Tanzania One Soul
Tanzania One Soul
  • 5
  • 224 860
TANZANIA ONE SOUL NI SALAMA
TANZANIA ONE SOUL NI SALAMA
มุมมอง: 8 340

วีดีโอ

Tanzania One Soul - Asante (Official Videoa)
มุมมอง 3.7K3 ปีที่แล้ว
#Rugemtahaba​ #Hatunajambodogo​ #ChomozaTV​ Kundi La Muziki Wa Gospel (Tanzania One Soul) Wamekutana Na kutengeneza Wimbo Maalumu Wa Kumuenzi Marehemu Ruge Mtahaba Aliyekua Na Mchango Mkubwa Katika Muziki Wa Gospel.
Tuna Ujasiri - Tanzania One Soul (Official Music Video)
มุมมอง 198K3 ปีที่แล้ว
TUNA UJASIRI - ni wimbo maalum ulioimbwa kwa ajili ya kuomboleza kifo cha Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli katika wimbo huu waimbaji walioshiriki ni kama ifatavyo Japhet Zabron Walter Chilambo Ambwene Mwasongwe Miriam Mbepera Miriam Lukindo Beda Andrew Paul Clement Rehema Simfukwe Jessica Honore Iren Robert Godfrey Steven Mathias Walichupa Gwamaka Mwakalinga Dr.Ipyana Kibonge Wa...
Tuna Ujasiri - Tanzania One Soul (Official Music Audio)
มุมมอง 12K3 ปีที่แล้ว
TUNA UJASIRI - ni wimbo maalum ulioimbwa kwa ajili ya kuomboleza kifo cha Rais wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli katika wimbo huu waimbaji walioshiriki ni pamoja na Japhet Zabron Walter Chilambo Ambwene Mwasongwe Miriam Mbepera Miriam Lukindo Beda Andrew Paul Clement Rehema Simfukwe Jessica Honore Iren Robert Godfrey Steven Mathias Walichupa Gwamaka Mwakalinga Dr.Ipyana Kibonge Wa Yes...
Tanzania One Soul - Nakupenda (Official Auido)
มุมมอง 2.8K5 ปีที่แล้ว
Ni wimbo ulioimbwa na waimbaji wa fuatao Joel Lwaga,Angel Benard,Paul Clement,Miriam Lukindo & Jessca Honore.Barikwa na wimbo huu kumbuka kusubscribe channel hii mtu wa Mungu.#TanzaniaOneSoul#Nakupenda#

ความคิดเห็น

  • @crizeyaden6158
    @crizeyaden6158 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭Mungu wapumzishe kwa amani ndugu zetu zote

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 2 หลายเดือนก่อน

    Ajali ya ghorofa Kariakoo imenikumbusha huu wimbo. Mungu atasudaie watanzania

  • @Gregorycyprian
    @Gregorycyprian 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anasababu kutukumbusha wanadamu tunajisahau 😢

  • @SharifaJames-t5s
    @SharifaJames-t5s 5 หลายเดือนก่อน

    Ningejua ningekuzuia lakini sikujua 😢😢

  • @JosephMasunga-zm7lv
    @JosephMasunga-zm7lv 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ you are soo so 🔥

  • @GGGB2011
    @GGGB2011 9 หลายเดือนก่อน

    I Love this song. Mungu awabariki wasani wote mliomba huu wimbo. RIP Magufuli

  • @agnesandrew2742
    @agnesandrew2742 10 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @LaurentChitojo
    @LaurentChitojo 10 หลายเดือนก่อน

    2024 ni salama

  • @princepeter2110
    @princepeter2110 ปีที่แล้ว

    Zabron kweli ni singer ..melody kali hadi kwenye nyimbo ya Msiba Wa mpanho😢😢

  • @StephenFesto
    @StephenFesto ปีที่แล้ว

    So sad

  • @RachelMethod-rt1qx
    @RachelMethod-rt1qx ปีที่แล้ว

    Bado tunakumbuka rais wetu mpendwa, hakika hatujawahi kuzowea, haswa Kwa haya yanayo endelea Tanzania yetuu

  • @Godalonereposts
    @Godalonereposts ปีที่แล้ว

    I love this song soo much...🙏🙏

  • @olipavedasto4713
    @olipavedasto4713 2 ปีที่แล้ว

    Upendo nkone unamanisha hata unapoimba

  • @mptaiter8404
    @mptaiter8404 2 ปีที่แล้ว

    Godfrey Steven,ambwene mwasongwe halooo mmeniweza

  • @neemajonas5628
    @neemajonas5628 2 ปีที่แล้ว

    Dunia kama Maua Leo twachanua kesho twanyauka😭😭😭😭😭

  • @hosianakibona659
    @hosianakibona659 2 ปีที่แล้ว

    Jessica Honore Killed the last chorus, wish could lead for next 8 minutes. Jessica Is superb 👌

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 2 ปีที่แล้ว

    Yohana 5:8-9 Bado tunaujasiri mioyoni mwetu, tutainuka tena.

  • @ivanyseseja662
    @ivanyseseja662 2 ปีที่แล้ว

    Rip dady

  • @Godalonereposts
    @Godalonereposts 3 ปีที่แล้ว

    Months after and I still feel the gap...keep resting in peace 🕊️🕊️...I love this song from kenya

  • @chrisokidoki1
    @chrisokidoki1 3 ปีที่แล้ว

    the music is like my home

  • @chrisokidoki1
    @chrisokidoki1 3 ปีที่แล้ว

    i am from europe but i was with nigerian 9 years married but i like tansanija i think i have in my other live a connection with tansanija

  • @chrisokidoki1
    @chrisokidoki1 3 ปีที่แล้ว

    i like so much tansanija

  • @chrisokidoki1
    @chrisokidoki1 3 ปีที่แล้ว

    is very nice this song

  • @Alka_8576
    @Alka_8576 3 ปีที่แล้ว

    Everytime i listen day song 😭😭

  • @ashtonmzumara4020
    @ashtonmzumara4020 3 ปีที่แล้ว

    How many of us have we been playing this song the whole of this month? This song got all it takes to be the a dedication song of a decade,You are unarguably the real stars ⭐️

  • @janetwangui9881
    @janetwangui9881 3 ปีที่แล้ว

    May the Lord heal and bind your wounds oh Tanzania

  • @mathewben6833
    @mathewben6833 3 ปีที่แล้ว

    Living song,nikiusikiliza namkumbuka Magufuli rais wetu 😭😭😭

  • @eliaspetro5459
    @eliaspetro5459 3 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Tozo zimefanya nirudi kusikiliza hii nyimbo RIP JPM...

  • @rulebudodo2301
    @rulebudodo2301 3 ปีที่แล้ว

    Japhet Zabron Walter Chilambo Ambwene Mwasongwe Miriam Mbepera Miriam Lukindo Beda Andrew Paul Clement Rehema Simfukwe Jessica Honore Iren Robert Godfrey Steven Mathias Walichupa Gwamaka Mwakalinga Dr.Ipyana Kibonge Wa Yesu Madam Flora Neema Mudosa Upendo Nkone Producer wa audio hii ni Fredric Masanja Mwl Vacal - Zamoyoni Alex Studio (S & M ) Sound Music Video Director Yotham Lyobha Mungu awabariki sana

  • @nangukidasu8040
    @nangukidasu8040 3 ปีที่แล้ว

    Tutabaki nayo milele fly over,stend za kisasa, madaraja ,shule!

  • @nangukidasu8040
    @nangukidasu8040 3 ปีที่แล้ว

    Magufuli jamani! Magufuli.

  • @Wakio231
    @Wakio231 3 ปีที่แล้ว

    Endelea kupumzika beloved president 💔🇰🇪

  • @evelynmasaka2894
    @evelynmasaka2894 3 ปีที่แล้ว

    Rehema semfukwe wewe ni hatar kwa kuimba.

  • @mundethomas9313
    @mundethomas9313 3 ปีที่แล้ว

    Super talented people, vocals zote ni hatari and i know we were mourning, lakini man we are so very lucky mlichagua kuimba injili. We are so lucky Tz has you all. His ways are not our ways, he's kind and loving, he's merciful and forgiving, he is

  • @nereahapela7456
    @nereahapela7456 3 ปีที่แล้ว

    This song has almost all the best Christian song leads in Tanzania

  • @johnsylvester7621
    @johnsylvester7621 3 ปีที่แล้ว

    Amen wimbo huu utaishi milele

  • @ommykhantz
    @ommykhantz 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @edinamanyono2559
    @edinamanyono2559 3 ปีที่แล้ว

    mungu na awatumie kila wakat na kila saa

  • @tumainimapoma5329
    @tumainimapoma5329 3 ปีที่แล้ว

    Bado tunaujasiri miyoni mwetu utabaki kuwa mungu

  • @marywakati6504
    @marywakati6504 3 ปีที่แล้ว

    I just keep listening to dis song everyday b'se it comfort ma heart🙏 that chorus wow😍🙌

  • @jefredyfrednandy5880
    @jefredyfrednandy5880 3 ปีที่แล้ว

    Moyo unasema loo kuna nn kimetokea something is not Nomorl ............. Nafarijikaa

  • @sammymelkchambi7230
    @sammymelkchambi7230 3 ปีที่แล้ว

    Dr. Ipyana, Gwamaka, Walter, Paul clement, Japhet Zabron, Ambwene, Rehema Simfukwe, Godrey steve, Upendo nkone, Kibonge wa Yesu, Beda andrew🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭

  • @special.777
    @special.777 3 ปีที่แล้ว

    Jamani asanteni nimepata faraja na hii nyimbo .

  • @Elizabeth-mw4mo
    @Elizabeth-mw4mo 3 ปีที่แล้ว

    Such a comforting song mbarikiwe waimbaji wote

  • @neemamichael8058
    @neemamichael8058 3 ปีที่แล้ว

    Paul Clement may God bless u

  • @neemamichael8058
    @neemamichael8058 3 ปีที่แล้ว

    Japhet Zabron killed it

  • @neemamichael8058
    @neemamichael8058 3 ปีที่แล้ว

    Kati ya nyimbo zote huu ni the best unatia moyo

    • @Elizabeth-mw4mo
      @Elizabeth-mw4mo 3 ปีที่แล้ว

      Sana best song kwakwel very comforting

  • @gustavrwekaza802
    @gustavrwekaza802 3 ปีที่แล้ว

    Upendo Nkone Wewe mama ni mwombolezaji by nature Wewe ni mmoja wa Wamama wanaozungumziwa kwenye Yeremia 9:17 Mungu akubariki kwa karama hii

  • @alfredkalinga9829
    @alfredkalinga9829 3 ปีที่แล้ว

    waooh. 🙏🏼💫

  • @dottiemeekery7266
    @dottiemeekery7266 3 ปีที่แล้ว

    Mema yote uliyotutendea utayakuta kwa Mungu 😭😭 RIP Magufuli