Waaleikom Salam, Shukran kwa hilo ingawa waanzishi wa Taarab na mabendi hamujawafikia kuwaeleza hayo, Maana hao ndio walioshika misukani jadi na kuendelea hadi leo ila sie ni wenye kufanya video tu za kujikumbusha maisha ya zamani lakini MashaAllah hamujachelewa kutukosoa Alhamdulillah
Jamila weee
Kwa raha zako
😂😂😂😂
Ma sha Allah asema sawa mama Alhamdhulillah
Masha Allah Tabaraka Allah
😂😂😂
Ya leo kali!!Wapiga simba ropa Atlanta???
I just pray to Allah (SWA) that you don't make the girls miss out on OUR language... Yaani kidogokidogo auntie Insha'Allah
Mwanzo ungeanza na wewe kukiandika hapo lakini Naona kizungu kimekujaa 😂.. Allah anaelewa malengo Yangu Alhamdulillah
SAWA mama...AYEYAAAAHH
Hahahahaha
😅😅😅😅😅
Asalama Alaykum haifai kupinga ngoma miziki tarabu yote ni amal ya shettwan