ELIMU YA MBUZI, NG'OMBE NA PUNDA, TALIRI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ส.ค. 2024
  • Wataalamu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wakielezea teknolojia bora za mbuzi, ng'ombe na punda kwa wadau waliotembelea banda la taasisi hiyo katika Maonesho ya Nanenane Viwanja vya Nzuguni.

ความคิดเห็น •