Ukipata mwenza unayempenda ujue Mola ndiye anajua kama atakufaa katika maisha yako au la. Kwa hivyo jua ukimuomba Allah akuongoze pale atakuelekeza ndipo sahihi.
Mada na maoni mazuri sanaa molla azidi kuwabarki awape afua njema ili mzidi kutuelemisha kwa maana sasa hivi jamii imepotea kwa mapenzi na teknolojia mpya
ndoa ya siku hizi si mchezo i am 26 and am blessed with a a beaurifull daughter and a son just know you are a father and always remember you are a father you will be fine but once you behave as you were before the marriage you will lose everything.
Sheikh jioneshe ni muislam ujibu kiuslam sio Uko hapo wajificha ficha Na mtume wetu alioka different ya 15yrs akiwa mdogo Leo watupa naswaha za kidunia Na utajiri Nana Khadija ndie alikua tajiri pia
@@voodothurday lakini alimuoa huyo mkubwa na ndie mke alio mpenda katika wote hadi kufa so happo hakuna chariwaya nisafi yake mwenye alioa karibu wote wake wakuu
Mze wangu mume kua na pesa kuliko mke ni kweli alakina kuna wakati na mwanaume anapiga kelele mkienda shopping, ukisema tununue hiyi mune anakataa hiyo hiko kwa pande zote
Apo shekhe ameshindwa kuweka sawa hoja hii, ktk uislamu mume kuzidiwa umri na mke ni sunna so shekhe alipaswa aweke wazi jambo hili kwamba mapenzi hayana umri na sio kuifata dunia inavyotaka.
@@edwin-mk9lh age doesnt define maturity. Unaeza pata dem wa 27 years na bado anabehave like a 16 year old girl. Unaeza pata yule ako 22 years na anareason kama a 30 year old lady. Maturity is a personal initiative... Age should not really define the scope of the relationship
Mimi kijana niliona mschana ambapo tafauti ya umri yetu ilikwa miaka 5 lakini huyu mschana akaolewa na mzee ana mchinda miaka kumi na tano...kwa hakika si pesa ilipeleka huko kwa vile huyu mjaa hana Mali vile. Nataka kujue ninii ilimsukoma kwa yule ilihali angeweza kupata kijana mwingine mwenye hali na Mali.??? Jee siri ya wazee kwa wasichana nini kando na pesa?
Kwa mm vile najuwa wanawake wengi kufata wazee uwa wanajuwa ni watu wazima na wameshakula maisha na wamekoma Akili yani uwa hawana usumbufu do maana uwa wanakibilia wazee
Omena republique...wewe una knowledge gani? Shut up your mouth na utuwache sisi tufaidike. If you think the sheikh doesn't have knowledge this is not a place for you...ISHIAA
Ukipata mwenza unayempenda ujue Mola ndiye anajua kama atakufaa katika maisha yako au la. Kwa hivyo jua ukimuomba Allah akuongoze pale atakuelekeza ndipo sahihi.
😂 😂 😂 Ya sheikh congrats you added more flavor to the show
Exactly.
Mariam umefurahi sana
Rashid, sheikh leo akufurahisha sana
Mada na maoni mazuri sanaa molla azidi kuwabarki awape afua njema ili mzidi kutuelemisha kwa maana sasa hivi jamii imepotea kwa mapenzi na teknolojia mpya
Nakupateni vizuri Ujerumani,
Hakuna umri wa kuoa mwanzo Ni Bora kuoa mama mkubwa mwenye experience ya maisha kuliko Hawa wadogo hatari
alex B. Hahaha wallah
Abdlla Athman apo ni ukweri although mimi huogopa kijana mdogo kuniliko but 3 different age nsawa
😁😁😁😁😁😁
Wuuui kumbe mm bado acha nijikaze nkifka 45 ntaolewa kama kuna wamama wazee wanaoleka huku😂😂
Nimecheka aaahhh.....sheikh...mtoto atakuchezeshaaaa.....jamani wazee wanapenda wasichana wadogo.
abdala ni vipi bwana umenifanya nikacheka mno msikose kuleta sheghe abdala afurahi asanteni nyote bi msafari lulu naangali toka swiss
I once dated my agemate....wololo🙆 i almost died of depression.....wanaume wa 20s your girlfriends are in highschool 😁
Ur right lady
Hahahaha
Mwamvunja mbavu Rashed
Nimecheka Sana leo maada nzuri sana hongera sana pia
Rashid mada imemfurahisha
Its not about age it is about maturity period
Marriage is by choice period by Steve Irungu Jermaine
Rashid, hapo kw kimo naona ulikosea. Haha, Sheikh amenishangaza kweli
ndoa ya siku hizi si mchezo
i am 26 and am blessed with a a beaurifull daughter and a son
just know you are a father and always remember you are a father you will be fine but once you behave as you were before the marriage you will lose everything.
Aki Rashid kafurahishwa na hii Mada😂😂😂😂😎
Sheikh jioneshe ni muislam ujibu kiuslam sio Uko hapo wajificha ficha Na mtume wetu alioka different ya 15yrs akiwa mdogo Leo watupa naswaha za kidunia Na utajiri Nana Khadija ndie alikua tajiri pia
Haha sheikh anacheza safe si ati ajui anaogopa kutroliwa 😁
Hapa hashauri waislam pekee na pia generation yetu imebadilika mno so hapa ni kupima maji na unga
Akhui usimshambulie shehe,kuna riwaya ngapi mtume salallahu alayhi wasalam akipendekeza sahaba kuoa waschana wadogo (bikra)
@@voodothurday lakini alimuoa huyo mkubwa na ndie mke alio mpenda katika wote hadi kufa so happo hakuna chariwaya nisafi yake mwenye alioa karibu wote wake wakuu
Alafu kuhusu swala na huduma za chumbani ni ubunifu na ufndi sio umri maana wapo vijana wengi tu ambao wanashimdwa na utekelezaji wa swala hilo.
Point ya 2 rashid naona ameshikwa na haya😃😃
Kumbe umeona
nimecheka sana shekhe sijui lini ntakuona ukaja kunitembelea katika ndoa yangu.ila mbona mm nina miak 31 na mume wangu anamiak40 ila mambo mubashara
Masha Allah 😘😘
Mashaallah mungu awazidshie
Simmesha oana hii haikuhusu
It's not about age it's about maturity period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine
Kimo ! Rashid twawaonaaaa
We Rashid wanichekesha sana 😂😂😂😂😂 Sasa waona aibu na huyo Sheikh ama Lulu?? Mboa hatukuelewi baba😂😂😂😂😂😂
Ameona aibu na lulu
Kutoka nnje ya ndoa ni tabia ya mtu sio kuzeeka kwa mke ndio itakua sababu.
Mze wangu mume kua na pesa kuliko mke ni kweli alakina kuna wakati na mwanaume anapiga kelele mkienda shopping, ukisema tununue hiyi mune anakataa hiyo hiko kwa pande zote
Miaka is not a big dear, kukomaa kiakili ndio muhimu!!
Kweli kabisa
Mimi Nina umri 22 nioe na miak
Marriage is a non issue period by Steve Irungu Jermaine
Apo shekhe ameshindwa kuweka sawa hoja hii, ktk uislamu mume kuzidiwa umri na mke ni sunna so shekhe alipaswa aweke wazi jambo hili kwamba mapenzi hayana umri na sio kuifata dunia inavyotaka.
Sahihi kabisa
Mm bora tuelewane umri n namba to
Lulu maskini kwann ulimweka mzee kwa hiki kipindi amecheka Sana hadi hawezi tazama kamera.
HATA RASHIDI HATAKI KUINUA USO LULU WEWE ILA MAWAITHA YAKO SAWA ASANTE SANA WANGU TUMEACHANA KWA MIAKA 10
Mbona uowe ukoko kula kitu freshi,sheikh amepiga shoka hapo😂
Sheh we huna elmu hata kidogo
Rashid Abdallah just laughing 😂😂😂
Ya leo ilikwa kali sana. Haki imenisaidia kwa maneno ya busara na hekima
mtaua Rashid na kicheko😂😂
Mke wangu hata kama ananizidi umri na anahela kwa nini nisimpende
Hahaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂shekh uko juuu
Rasheed nitasema hivi Kuna self-service kwa wanawake wanajipa raha juu
Marriage is a none issue period
Huyu Rashid amemsakama sheikh Jumaa Amir heheheee
The old Sheik is full of it in his 2970's brain
Hahaha age is just a number what matters is maturity
no, age matters
@@edwin-mk9lh age doesnt define maturity.
Unaeza pata dem wa 27 years na bado anabehave like a 16 year old girl.
Unaeza pata yule ako 22 years na anareason kama a 30 year old lady.
Maturity is a personal initiative... Age should not really define the scope of the relationship
Wala si haya, Rashid ampa heshima ya hali ya juu sheikh wake na mzee wake Juma.
Kabisa yaani
Pacific A.
Ya faa hivo kabisa
Shehk bana ...umri sio tatizo
Mschana kuoa mzee ni penzi lakini kijana kuoa ajuza ni shida ndioilipeleka sana.
Rashid unanibamba tu sana umecheka tu sana
Sheikh smart sana,
Kwa nini watu wa Bara hatuwaoni kwenye hii mijadala ni watu wa Pwani tuu!?
Mr. Rashid, hahaha
Vipi kuhusu mkilingana kwa umri. Kuna ubaya?
Kutusha ni kukera
Ichi kipindi siku izi mbona sikion jamani
Rashid umenimaliza na uko kucheka
Lol tuweke Jiwe tena gari lipande mlima
Kuhanya kwa wanaume ni kama kawaida kwa umri wowote
Asantee sista ndio hekima sisi tunaoa wakee wanne
🤣 🤣 🤣 Maneno hayo
Kwanini kulishwa ukoko ?
Nimecheka nikaambiwa majinuni
sasa sheikh hao wanaume wafupi wasioe au
Waowe wafupi wenzao
@@mwanakombogodoro141 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🙏🙏👏👏👏💞
Mimi kijana niliona mschana ambapo tafauti ya umri yetu ilikwa miaka 5 lakini huyu mschana akaolewa na mzee ana mchinda miaka kumi na tano...kwa hakika si pesa ilipeleka huko kwa vile huyu mjaa hana Mali vile. Nataka kujue ninii ilimsukoma kwa yule ilihali angeweza kupata kijana mwingine mwenye hali na Mali.??? Jee siri ya wazee kwa wasichana nini kando na pesa?
Kwa mm vile najuwa wanawake wengi kufata wazee uwa wanajuwa ni watu wazima na wameshakula maisha na wamekoma Akili yani uwa hawana usumbufu do maana uwa wanakibilia wazee
ni kweli kabisa
Shek wetu bana😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣baba wee
Ok
Rashid na lulu raha kweli
😂😂😂😂😂😂
Omena republique...wewe una knowledge gani? Shut up your mouth na utuwache sisi tufaidike. If you think the sheikh doesn't have knowledge this is not a place for you...ISHIAA
Bure Kabisa Sheikh,,,,, speaking little if no knowledge at all
He has it...........you better believe it
He is very biased only thinking of himself and his ego...
Don't say like that have respect for the sheikh
@Halima respect is earned...you don't need to agree with people's opinion. ..
Hamjaitwa hapa
It's not about age it's about maturity period I'm extremely sorry 😐😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔 that's the bitter truth by Steve Irungu Jermaine