RAHBY -ISRAEL YAZUIA WANAJESHI WAKE KUSAFIRI NJE YA NCHI KWA KHOFU YA KUKAMATWA KWA UHALIFU GAZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 56

  • @amiribinuri5425
    @amiribinuri5425 19 วันที่ผ่านมา +2

    Tunakuelewa kaka ❤

  • @abbashummer7634
    @abbashummer7634 20 วันที่ผ่านมา +3

    Ibrahim una jua sana mm naoenda sana kusukiliza uchambuzi wako nata kujiunga nafanyaje

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 20 วันที่ผ่านมา +6

    mungu atawaokowa israel na marekani mungu awalaani

    • @salymsuleiman2035
      @salymsuleiman2035 20 วันที่ผ่านมา +1

      Hhhhhhhhh

    • @fatumahamisi-m1e
      @fatumahamisi-m1e 20 วันที่ผ่านมา

      ​@@salymsuleiman2035unaimba au unasoma?

    • @humudmarhoon8044
      @humudmarhoon8044 19 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu yupi unakusudia Mungu marekani ama Mungu baba..maana Israel ya sasa ishaasi kwa Mungu baba ndio maana Mungu baba kagoma KUWASAIDIA kwasababu wamelinajisi taifa teule la Mungu kwa kukaribisha MACHAFU KAMA USHOGA KUSAGANA NDOA ZA JINSIA MOJA NA KUUWA RAIA WASIO NA HATIA huku akisaidiwa na Mungu wake marekani akisaidiwa silaha na majeshi kutoka marekani ila sio kwa Mungu baba

    • @MssaNzalia
      @MssaNzalia 18 วันที่ผ่านมา

      Nawewe uelewa wako umeishia hapo

  • @husseinc
    @husseinc 19 วันที่ผ่านมา +2

    Gallant kasafiri kwenda marekani ICC Imetoka hati ya kukamatwa kwake pamoja na netanyau, mahakama za kimataifa zinapuuzwa, kuna watu walikuwa wanadanganyika wakiambiwa marekani inaheshimu sheria za kimataifa, haki za binadamu, biashara huru

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 20 วันที่ผ่านมา +3

    Asante sana bro God bless you ❤❤❤

  • @sameerbaksh98
    @sameerbaksh98 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mim naona focus na uchambuz acha kupoteza muda kuwaeleza wasio elewa

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa 20 วันที่ผ่านมา +2

    Shukrani sana kaka

  • @PizzaBoy-w1g
    @PizzaBoy-w1g 20 วันที่ผ่านมา +1

    Tunakuwelewa vizur tu

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 20 วันที่ผ่านมา +2

    Shukran kaka ❤

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 20 วันที่ผ่านมา +2

    Good sana

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 20 วันที่ผ่านมา +2

    Anae kerwa asitizame atuachie wenyewe kipindi chetu

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 20 วันที่ผ่านมา +2

    Waalykum Salam SS twaomba amani Ila hakuna jambo lisilokua na mwisho hata firauni alijifanya mbabe Sasa Ako wapi

  • @hidayahidaya-vd3ze
    @hidayahidaya-vd3ze 20 วันที่ผ่านมา +2

    Muungu hakuna kitu anachokichukiya kama kuuwa hata uombe duwa gani muungu hafurahii huyu nyatanyahu migaidi ni firauni WA pili kwahiyo wakati muungu alimlaani firauni nahiyu hata muongee duwa gani hachomokii kaandaliwa hukum mzurii subirii mutaona

  • @AziziSalimini
    @AziziSalimini 20 วันที่ผ่านมา +3

    Good job broh salute ❤❤

  • @AwadAbedalla
    @AwadAbedalla 20 วันที่ผ่านมา +1

    🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸👍👍👍❤️❤️❤️💪💪💪💪

  • @Pedeshee01
    @Pedeshee01 19 วันที่ผ่านมา

    Cyprus ndiyo Qubrus?

  • @rashidhussein-cq2si
    @rashidhussein-cq2si 20 วันที่ผ่านมา +3

    Vita ya Ukraine ikiisha Syria itakombolewa

  • @MohdJuma-w6l
    @MohdJuma-w6l 20 วันที่ผ่านมา +2

    Mara nyingi unakutia wanaopinga hua ni wazayuni weusi kina kristina et na wao wanaumizwa😂😂

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 20 วันที่ผ่านมา +4

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 20 วันที่ผ่านมา +2

      Unashabikia mauwaji?

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 20 วันที่ผ่านมา +2

      ​@@salumabdallah2990 pole kuwa mshirika wa maaduwi ya bwana.

    • @salymsuleiman2035
      @salymsuleiman2035 20 วันที่ผ่านมา +1

      Awape na mkundu tu

    • @salumabdallah2990
      @salumabdallah2990 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@jumamussantuiche kwaiyo unashabikia mauwaji?

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 20 วันที่ผ่านมา +1

      @@sylvestermhojaaron9659 baada kumuomba mungu aibarika roman unaomba ibarikiwe israel huoni kama huo ni ujinga

  • @DaudiMinzi-n4l
    @DaudiMinzi-n4l 20 วันที่ผ่านมา

    Hivi hatima ya Palestine kwenye hii vita kafanikiwa kwa kiasi gani lengo lake limetimia

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 19 วันที่ผ่านมา

    Marecan haimo iccc

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 18 วันที่ผ่านมา

    Israel haina dini halaf uchokoz ni israel wanata ardhi ya gaza

  • @FaisalMood-p4f
    @FaisalMood-p4f 20 วันที่ผ่านมา +3

    Haya mashoga yapo tu yanachojua kukomment Israel taifa la mugu kusoma hayataki yanapandikizwa ujinga tu na wazungu mpaka wamekua mashoga sasa wanabaki kuwashobokea mabwana zao wazungu na wazungu wenyewe wanawatenga na hawana hata mpango nao zaidi ya kuwatia ushoga

  • @ce-08
    @ce-08 20 วันที่ผ่านมา +1

    Pia siku utuelezee upinzani wa ndani wa Iran

    • @MohdJuma-w6l
      @MohdJuma-w6l 20 วันที่ผ่านมา +2

      @@ce-08 vizuri tungependa na ww ukatengeneza makala yko kuhusu mgogoro wa ndani wa irani

    • @ce-08
      @ce-08 20 วันที่ผ่านมา +1

      @MohdJuma-w6l 😂😂😂 shida yako unahisi nmeongea kumkejer mm nmeitaj hvyo sababu hizi nchi mbili Israel na Iran zmekuwa znadhibiti sana vyombo vya habari vya ndani kutoa mafukuto ya ndani ya nchi zao yasijulikane nje

    • @muhamedmsomally4175
      @muhamedmsomally4175 20 วันที่ผ่านมา

      Hhhhhhhh

  • @ukweliwamileletv9450
    @ukweliwamileletv9450 20 วันที่ผ่านมา +1

    Uko.sawa swali netanyshu akiondoka, Palestrina itapata uhuru wake?

    • @abbashummer7634
      @abbashummer7634 20 วันที่ผ่านมา +1

      Sidhani ila waisraek wote wako kama netanyau ni makali sana

  • @JosephMadeleke
    @JosephMadeleke 20 วันที่ผ่านมา +1

    Je wananchi wa Israel ndio waliomlazimisha Netanyahu kutoka Lebanon? Acha ushabiki. Wao wenyewe wamejionea silaha nyingi zilizokamatwa kutoka kwenye mashimo yao. Viwanda vya silaha kwenye mahandaki. Lazima wamshukuru sana Netanyahu kwa msimamo wake imara usioyumbishwa ameliweka imara taifa hilo adui alikusudia kufanya kuifanyia mambo mabaya sana. Israel. Jina la Bwana Libarikiwe

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 19 วันที่ผ่านมา +1

      Kafirwe na Israel kuma la mama yako huna mpango wowote Manyani Meusi yanayoishi Tanzania MAKAFIRI wakubwa mbwa mwitu Wewe

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 19 วันที่ผ่านมา

    🇮🇱 🔥 💪

  • @AmbweneKaini
    @AmbweneKaini 20 วันที่ผ่านมา

    Wewe muongo sana hata bbc sijui ulipataje hiyo nafasi umesababisha tuichukie bbc israel wanachokozwa ndio maana nao wanajibu.kwanini waislamu wote nyinyi mnailaum israel tu

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 20 วันที่ผ่านมา +1

      We ni mjinga tu sa wleza kwa nini israel imeingia Syria na kupiga mabomi maeneo zaidi ya 450 je Syria iliichokoza Israel?

    • @abdulazizirajabu1153
      @abdulazizirajabu1153 20 วันที่ผ่านมา +1

      Nani kamchokoza İsrail!!??
      Udini unakutia upofu hata haujui Hıı ni nyeusi ile nyeupe
      Hata Hili la Hivi Sasa tu hulioni
      Majambazi Wa kizayuni wanavyoiba maeneo siria
      Fumbua macho wewe Usiwe kibaraka Wa genge la mashoga duniani

    • @JosephMadeleke
      @JosephMadeleke 20 วันที่ผ่านมา

      Hiyo sio mjinga lazima ujue Israel alikuwa anashambuliwa na Mataifa matatu Iran, Yemen na Syria. Lebanon pia migaidi ambayo yaliichukua Lebanoni kama nchi Yao wakisaidiwa na Irani.mbona hayo hayasemi mchambuzi hiyo. Mbaraka juu Israel uzidi kuwashinda wanaoiwazia mabaya Israel duniani hakuna jeshi litakalo lifikia jeshi la Israel Hadi hapo unabii utakapoifikia kutoka kwa Mwenyeenzi mwenyeee.​@@abdulazizirajabu1153

    • @nasseralhatmi1762
      @nasseralhatmi1762 19 วันที่ผ่านมา

      Kafirwe na Israel mbwaa koko wewe Falaa tu

    • @sameerbaksh98
      @sameerbaksh98 17 วันที่ผ่านมา +1

      We mwehu soma hapa uislam hapa