🚨Simba 3-0 Tabora united,Tathimini dkk 90,Kikosi Cha Simba kimeimalika.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #simba #yangatv #ahmedally #alikamwe #simbatanzania #yangafc #yangasc #youtube #football #simbaislive

ความคิดเห็น • 13

  • @sulejmandj7582
    @sulejmandj7582 23 วันที่ผ่านมา

    Jamn kwakwel tabora wangefunguka wangefungwa goals nyingiiii sana awesu awes ply Meka nzuri sana inabid awekwe no 10

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 24 วันที่ผ่านมา +1

    So good 😊😊😊

  • @silvanuskisinza4303
    @silvanuskisinza4303 24 วันที่ผ่านมา +1

    Simba hii haina mfumo wa kutengeneza nafasi za kufunga ndo maana mukwala hawezi kupata nafasi ya kufunga.

  • @Sempay-cs9dr
    @Sempay-cs9dr 24 วันที่ผ่านมา +1

    Mjasema wapizani nando kwanza safali ina anza wakizoeana wachezaji tu mtaisoma namba

  • @user-yr6bq3ct2w
    @user-yr6bq3ct2w 24 วันที่ผ่านมา +1

    itafahamika tu 😢😢 hapo bado gari halijawaka ndio kwanza ' maji moto tumeweka mchele'

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 24 วันที่ผ่านมา

    Simba yetu bado tumeshinda lakini mpira ovyo, mukwala Hana baya shida hana wapishi.

  • @abdulrahmanmdimu6750
    @abdulrahmanmdimu6750 24 วันที่ผ่านมา +1

    Forward hutu

  • @mconedimple5364
    @mconedimple5364 24 วันที่ผ่านมา

    Unazi tuu kwa mastraika wetu muwaache

    • @Sanjey-vp1fm
      @Sanjey-vp1fm 23 วันที่ผ่านมา

      Hawa wasafi cc simba ata hawatupi tabu maana hawajui mpira, maana hata kujua nini maana ya home advantage inavofanya kazi, awesu anacheza ligi ambayo keshaizoea kwamaana yupo home lakini ahoua yupo away so anahitaji muda kuizoea, lkn yote na yote wanasimba tushakuzoeeni na tunajua ni vibaraka wa nani. Simba nguvu moja.

  • @user-ce3tx7mr8v
    @user-ce3tx7mr8v 24 วันที่ผ่านมา

    Kimeimalika KULIKO TIMU ya MWAKA Jana?TIMU GANI INAFANYA MAZOEZI MASHINDANONI?HUU NI UZEMBE!

  • @nicodemuswidambe5132
    @nicodemuswidambe5132 24 วันที่ผ่านมา

    Kimeimarika ukilinganisha na nini?bado sana ila sbb nyinyi ni wale wale, tusubiri kila mwaka ni hayo hayo.