🛑FRIJI BOVU: AUKUBALI MZIKI WA AWESU AWESU NA VALENTINO MASHAKA, AHOUA BADO ANAPOTEZA MIPIRA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 2 หลายเดือนก่อน

    Mashabik wenzngu wa simba simba yetu bdo lkn tuwe wavumilivu team mpya hii,,,tumefurah sababu tumeshinda lkn tungefungwa sidhan km tungesema mpira ulikuwa mzur,all in all kove you simba for lever,,tuiombee sana team yetu maadui ni weng sanaa❤❤

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    Aya hauwa kalogwa , wote alowàaifia semaji wameshikwa ,watibieni muone watavyo fanya kazi nzuri mi nawambia ujui kusima na picha huitambui MOO POLE. USIPOCHUKUWA. HATAMU CHANGAMKA BADO ASUBUHI wachezaji wako ni wazuri sana ila changamka

  • @dhulkifl2208
    @dhulkifl2208 2 หลายเดือนก่อน

    Nimapema sana kuwajaji wachezaju tuwaache walau mechi 5 na sio sasa

  • @Omarymatelephone
    @Omarymatelephone 2 หลายเดือนก่อน

    Hamza yuko vzr pasi zake ni nzuri Sana inafika

  • @YusuphAlly-y9o
    @YusuphAlly-y9o 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani 3 ulitaka gapi weew

  • @johntulio2644
    @johntulio2644 2 หลายเดือนก่อน

    Ni mapema mno kusema wachezaji hawafai, mpira Sio draft bn!!!

  • @mariaraphael5463
    @mariaraphael5463 2 หลายเดือนก่อน

    Tumwombee mukwala mungu amsaidie wazee kufunga🙏🙏🙏🙏

    • @DanieliDgani
      @DanieliDgani 2 หลายเดือนก่อน

      Skiliza sio kumombea mess ana kwenda psj mechi tano bila goli mkwala kacheza mechi ngapi huyu mnasikiliza yye ana piga pesa kumsikiliza ana piga pesa miyeyusho tu

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani hata wananyanga ukimjadili mchezaji mmoja wako vizr sana magoli wanayakosa mangapo tuachieni simba yangu

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 หลายเดือนก่อน

    Friji bovu uko sahih sana Hamza ni mtu ila Ahua tunaomba acheze kitim anakuwa mchoyo

  • @OmayAlly
    @OmayAlly 2 หลายเดือนก่อน

    Kwel bro nmekuelew

  • @Sanjey-vp1fm
    @Sanjey-vp1fm 2 หลายเดือนก่อน

    Mm ndio maana cpendi sana kuwackiliza wachambuzi wa mpira wa Tanzania maana wanakurupuka sana kumjadili mchezaji, wachezaji wachache sana wanaokuja ligi ya Tanzania wakang'ara moja kwa moja so ninachokuomba kwa wana simba wenzangu musifuate mkumbo wa maneno ya wachambuzi kwasasa wacha tushinde huku timu ikiendelea kuzoea ligi yetu.

  • @jumanneselemani2172
    @jumanneselemani2172 2 หลายเดือนก่อน

    Kwani goli.alilofunga Malon mpira ulitka kwa nani kama siyo Haua

  • @AllySety
    @AllySety 2 หลายเดือนก่อน

    sio hna kitu ww sema bdo anashindwa kukuamini hta chama alipokuja hakuwakatu baada ya mda ndio chama akaonekana

  • @andrewmuya7212
    @andrewmuya7212 2 หลายเดือนก่อน

    Friji bovu acha kuongelea simba vibaya wachezaji wetu mda Bado.Azizi ki alikua ivyo alivosajaliwa na yanga

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    Kama unasema timu inalogwa waone viongozi ili kuchukuwa hatua wasilongwe ,

  • @rahemakapara1073
    @rahemakapara1073 2 หลายเดือนก่อน

    Hilo la mazoezi mimi sijui hayo mambo ila nikasema hee ndio mazoezi yenyewe

  • @AshaNchira
    @AshaNchira 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga wanaanza kuturoga haiwezekani wachezaji kama hao wakimataifa wacheze levo hiyo yanga wachawi tusipo jiangalia ndg zangu ni hatari.

  • @MchungajiNzelani
    @MchungajiNzelani 2 หลายเดือนก่อน

    Hawa walijifunza wapi uchambuzi

  • @SimonMwashitete
    @SimonMwashitete 2 หลายเดือนก่อน

    Mpira unaujua kaka nakusapoet kabisa Yan me mnyama laiv

  • @drallan6879
    @drallan6879 2 หลายเดือนก่อน

    mpira ni magoli acha Ku underrate Simba fridge bovu

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    Pia Mimi namlaumi msemaji anawatangaza sana wachezaji , anashani kuw wote wanàipenda Simba kwaujumla msemaji anakosea sajili nyamaza hao hao wachezaji waneshikwa amimi usiamini ,msemaji umealibu kusifia wanakusikia wakasema ngoja tuje tuwaone wameshikwa

  • @hamidoungoma4301
    @hamidoungoma4301 2 หลายเดือนก่อน

    Kwasasa Simba hii ligi anaichukulia kama kupanga kikosi chake kwaajili ya mashindano ya kimataifa, wanachokitaka ni ushindi tena isiwe magoli mengi, ufundi muliona kwa Yanga, sasa ufundi umehamia Caf,mutapata burdani huko, hapa ki point 3 tu

  • @YusuphAlly-y9o
    @YusuphAlly-y9o 2 หลายเดือนก่อน

    Timu inagoli 3 hujuikituww kwenda huko

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    Na mwisho wanataka muqaache wawacheke msipate ubigwa na itapika hamtapata wachezaji wZuri kwani wataidharau tim MOO kUWA MAKINI KAWATIBIE HAOWACHEZAJIWAKO UTAPAMATOKEO ukiyadhalaua haya uatajuata baadae.

  • @YusuphAlly-y9o
    @YusuphAlly-y9o 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mchezaji AmBAR hafai pale mechi yakwnza heee

  • @marthamsacky6973
    @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

    Asante simba yetu ,Mungu asiwache wachezaji wetu awalinde na hatari
    Goli 3 zimepqtikanaje tunashukuru kwa hilo

  • @suleimanali6939
    @suleimanali6939 2 หลายเดือนก่อน

    TUMEVUTIWA NA MPIRAAAAAA
    TUMEVUTIWA NA MPIRAAAAA
    TUMEVUTIWA NA MPIRAAAAA

  • @cassimjohar1694
    @cassimjohar1694 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakufatlia sana wakati mwengine unabutua una blem wachezaji ndiokwanza mechi ya kwanza tayar hawafai kwako sio chunvi wala sukar usikurupuke vuta subra wewe

  • @niyangupima5407
    @niyangupima5407 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe jamaa acha uchambuzi uchwara,Chama,Miquisone na Mugalu walipofika Simba walikua wanaanzia benchi bnw

  • @emanuelmwampashi9009
    @emanuelmwampashi9009 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kaka umeongea ukweli kabisaa simba hawanakasi kabisaa tumeshinda lkn mpila hauvutii kabisa na pia eneo la umaliziaji hakuna kabisa hawapres kabisaa Simba bado tunakitu chakufanyaaa😮

    • @dicksonbenard1741
      @dicksonbenard1741 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ww ulitaka mpira wenye kas gan jifunze kuangalia nakutoa fact ya mpira ulivyo, Simba hawakua na kas ile kama uliyo itarajia kwasababu mpinza wake kupaki bas zaid ya dk 87 kwan wakat Simba anamilk mpira tabora walikua mara zote kwenye zone yao zaid ya wachezaji 8-9 ili kufanya blocking kwenye eneo lao kwa hal hyo ikaufanya mchezo kuwa wakimbinu zaid, ndio maana mwl alipo bain akafanya sub ya washambuliaj wengi ili kuifungua saf ya tabora ilyo kua mda wote ipo kwenye lango lao, ndio maana unaona baada ya ile sub Simba il pres mpira wa kasi na ikaifanya saf ya mabek kukosa utuliv mda wote nandio maana ikapata matokeo hayo

    • @januarysungura8119
      @januarysungura8119 2 หลายเดือนก่อน

      Ivi unajua maana ya kupress au umelisikua tu na unaandika , sasa kama timu imepaki basi na mpira unao wewe hiyo pressing unaipataje wakati hampishani?

  • @VascoKasambala
    @VascoKasambala 2 หลายเดือนก่อน

    WE NDO ZUZU TIM IMESHINDA GOLI3 UNASEMA BADO WE KITUKO

  • @emanuelmwampashi9009
    @emanuelmwampashi9009 2 หลายเดือนก่อน

    Charles Ahua hawezi kuvaa viatu vya chama hana uturivu kabisaa anamapepe tu

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 2 หลายเดือนก่อน

    Ahua amesahau kazi yake anataka afunge yy mwenyewe unadhani mukwala atapata wapi mipira

  • @FaridsalehBinsadun
    @FaridsalehBinsadun 2 หลายเดือนก่อน

    wengine humu ni machoko vipi simba wakimbize wakati tabora wamepaki basi acheni usenge mpira hamjuwi mafikili mpira nikama kunyonya mboo kuma zenu za nyuma zinanuka mavi

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    Uwenda mkwla pia kalogwa kwanini aweivyo viongozi changamkeni, pia wewe friji bivu acha kumsemasema sana mukwLa huyo kalogwa , akajitibu

  • @PendoMkaka
    @PendoMkaka 2 หลายเดือนก่อน

    VIONGOZI WA SIMBA CHANGAMKENI ,AYA MKIDHARAU JUU YENU SUBILINI KUCHEKWA MI NAMLAUMU MSEMAJI KUSIFIA WACHEZAJI UNAWAWEKA WAZI KWANINI

  • @PeterJustin-ke5mk
    @PeterJustin-ke5mk 2 หลายเดือนก่อน

    Unataka kasi ya aina gn wewe acha ushamba muhimu magoli na point 3 pia mfahamu mpira unautarabu wake ma speed yakwenda wapi

  • @johnlusingu3491
    @johnlusingu3491 2 หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi waBongo utadhani wao waliwahi kucheza mpira. Hovyo

  • @IssaMkuki-f4j
    @IssaMkuki-f4j 2 หลายเดือนก่อน

    Umeshinda kwani ulicheza wewe, wewe kacheze mechi Yako kitandani kwako.

  • @ReylaSele
    @ReylaSele 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe kaka shoga nini ulivhokiongea ata sikuelewi

  • @AbasBendela
    @AbasBendela 2 หลายเดือนก่อน

    tuwapemda jamani badimapemasana

  • @jumachum8647
    @jumachum8647 2 หลายเดือนก่อน

    unaonekana siyo mtu wa mpira unazungumziya mhemko

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 2 หลายเดือนก่อน

    Tatizo tabora walikuwa nyuma muda wote,,watakimbizana na nani?ungekuwa moira wa kupishana ungeona kasi,,pia timu bado kufahamiana,,msiwape pressure wachezaji,,wachambuzi msituharibie timu

    • @marthamsacky6973
      @marthamsacky6973 2 หลายเดือนก่อน

      Ndio ujuylize mpira wenyewe wapinzani wametulia tuu wanasubiria mpira upelekwe hivi hiyo kasi wanayoitaka ingetokea wapi jamani

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 2 หลายเดือนก่อน

    We jamaa na wewe ni bwege , hujui kama siku ya yanga na wao atleast walikuwa wanajitahidi kushindana? Sasa watu kumi na moja wako nyuma ya mpira unawezaje kufanya kasi na pressing, hebu mjielewe.

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 2 หลายเดือนก่อน

    WACHAMBUZI WAMCHONGO MNTAENGENEZA PRESHA KUBWA KWA WACHEZAJI.
    AHOUA AMETENGENEZA ASSIST MOJA.
    MUKWALA ANACHEZA VIZUUR.
    MNAONGEA POROJO MNAHARIBU TEAM.
    MIHEMKO MINGI

  • @AshaShariff-lr6ry
    @AshaShariff-lr6ry 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani tusubiri tuone mmbape nae ataanza kufunga kuananzia mechi ya ngapi? Maana jana hajafunga wachambuzi wa,bongo ndio mnaya kuza wajinga nyie