Yusuf Abdi - Salama Salama (Nasheed)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 128

  • @FaabinOmar-d6e
    @FaabinOmar-d6e 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaala my brother maalim unafanya kazi nzuri

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 4 ปีที่แล้ว +4

    Salama salamaaaaa
    Yarabi Salaaamaa
    Nitaposimamaaa
    Ck yakiamaa
    Nionye ruhumaa
    Ulo mkarimaa
    Uniweke peeemaa pamoja na weema
    Pamoja na weema.
    Aaah Nasheed tam jaman jaman vip tukimbilie kwenye music😢😢😢

    • @halima2549
      @halima2549 3 ปีที่แล้ว

      Wallah very heart touching nasheed.. Aty mtu afananisha na qaswida ambazo sku hzi si qaswida thena kama wanavyodai.. Zumejaa miziki mwanzo hadi mwsho hata ujumbe uliomo hausikizwi ila miziki na sauti za waimbaji.. Allah amuhifdh sheikh wetu

    • @bintsalimalbimany5340
      @bintsalimalbimany5340 3 ปีที่แล้ว

      @@halima2549 Ammin yarab👐👐

  • @rashidimohamedi7016
    @rashidimohamedi7016 4 ปีที่แล้ว +8

    Sheakh wallahi ukumbusho mzuri hii Nasheed imenitoa machozi imenifanya leo niichukie dunia allah atujalie wote pepo inshallah sheakh Yusuf.. mungu akulipe pepo we pamoja na kizazi chako nasi wote inshallah kwa pamoja na wazazi wetu Ameen

  • @mohamedhemed3016
    @mohamedhemed3016 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie uzidi kuuwelewesha uwislam

  • @hamidakhalfan3334
    @hamidakhalfan3334 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah wallah allah azid kukujaalien mwatupa burudan ikiwa na ujumbe mzito ( very sad)

  • @ahlamharoub1130
    @ahlamharoub1130 4 ปีที่แล้ว +2

    Amiiin ya Rabbi atupe mwisho mwema sie na wazee wetu na vizazi vyetu ya Allah

  • @mohamedridha9851
    @mohamedridha9851 7 หลายเดือนก่อน

    Allah akupe umri tawil sheikh langu
    Nakupenda sana kwa ajili ya Allah

  • @shoushou6112
    @shoushou6112 3 ปีที่แล้ว

    Ya rab turuzuku mwisho mwema 🥺🥺sisi pamoja na wazazi wetu na waisilam wote duniani🥺

  • @jumasulleiman6928
    @jumasulleiman6928 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah.....Allah akuongoze sheikh wangu ni ukumbusho mzur Wallah

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 4 ปีที่แล้ว +11

    Mola amupe afya njema na mafanikio duniani na akhera shekh Yusuf abd Jazak Allah khayran 🙏🏻💕💕💕💕nakupenda kwa ajili ya Allah mtukufu mkono kwa mkono hadi peponi salama salama ya Rabii salama ln sha Allah 💕💕

    • @sapsapase9656
      @sapsapase9656 4 ปีที่แล้ว

      (?(

    • @yasodishonest9792
      @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว +1

      Amiin.kwasote tupate Salama ya Allah 🤝

    • @ruqiyomohammed5701
      @ruqiyomohammed5701 3 ปีที่แล้ว +1

      😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @shoushou6112
    @shoushou6112 3 ปีที่แล้ว

    hii nashid 🙌🏾🥺 ya rab , barakallah fii aamalikum sheikh burundi 🇧🇮 twakupenda saaana 💌❤️

  • @buali2549
    @buali2549 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha'Allah Masha'Allah Allah akuzidishie sheikh wetu akupe umri mrefu wenye BARKA NA NEEMA TELE INSHALLAH 🤲🤲🤲

  • @IngabireAisha3813
    @IngabireAisha3813 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah khayran ya Rabii nimefurafi sana kupata nasheed hii mola awaripe kher awafurahishe awafariji zaidiyaninavyo farijika nikiyisikia amiin ya Rabii

  • @aidrisahmad8932
    @aidrisahmad8932 3 ปีที่แล้ว

    Maaha allah shukran jazaakumllahukhair mimisitakiukubwa niweko tu insha allah pamoja na wema wabillahi Tawfiiq

  • @hassanhamad3827
    @hassanhamad3827 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah sheikh hakika nashid zako nzur sanaa mungu kakupatia kipaj mashallah allah akuzidishie zaid shekh

  • @rahmaally5128
    @rahmaally5128 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah napend nasheed zako Sheikh nzuri ukizisikiliza na zina ujemb na mafunz nzuri mnoo jazakallahu kheir

  • @伊藤清-q6x
    @伊藤清-q6x 4 ปีที่แล้ว

    Salama salama kwa waislamu wote duniani yaa rabbi

  • @HuseniAbdi
    @HuseniAbdi 8 หลายเดือนก่อน

    Masha allha mungu akujaze kheri

  • @hamzawarseso
    @hamzawarseso 4 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah MashaAllah sheikh nasheed nzuri Sana 😊

  • @professorabdullah2300
    @professorabdullah2300 4 ปีที่แล้ว +1

    Naisubiri kwa hamu sanah ila nasheed ya #IN_SHAA_ALLAH

  • @trustman8034
    @trustman8034 3 ปีที่แล้ว

    Tuweke pema pamoja na wema kwa rehma zako ya Rabb

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

    mashallah nashed nzuri sn yafundisha Mola akupe umri mrefu uzid kutuelimishe ujumbe mzito sn 😍😍😍

  • @halima2549
    @halima2549 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah... Kati ya zote napenda Sana hii nasheed nzur wallah.. Allah akuongoze inshaAllah kka sheikh wetu

  • @KhaleedElhamzy
    @KhaleedElhamzy 4 ปีที่แล้ว +5

    MASHA ALLAH NASHEED NZURI❤

  • @asnakungulio2976
    @asnakungulio2976 2 ปีที่แล้ว

    Allah akujaalie bingwa

  • @binallymunshed7848
    @binallymunshed7848 2 ปีที่แล้ว

    Salama salama Masha Allah hiii ninzuri

  • @rahmahassan4292
    @rahmahassan4292 3 ปีที่แล้ว +2

    People who disliked this 🥺🥺🥺🥺
    I love it walahi

  • @brotherhamedofficial
    @brotherhamedofficial 4 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah mwali kazi imetulia bro

  • @salmasaeed9357
    @salmasaeed9357 4 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah shekh Allah atatuonea huruma soteni inshaAllah atueke pamoja na wema tusemeni ameeeen🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @aminaomar1170
    @aminaomar1170 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah,TabarakAllah sheikh.Shukran kwa nasheed Allah akupe afya njema.Aamiin.

  • @najmashenyalo6763
    @najmashenyalo6763 ปีที่แล้ว

    Mashalllh napenda nashid zako

  • @ariesfire9230
    @ariesfire9230 4 ปีที่แล้ว +1

    Inshaallah Allah atueke Pema penye Wema pamoja na Wema

  • @sayman158
    @sayman158 4 ปีที่แล้ว +3

    Daaah...subhanallah 😭😭😭😭

  • @aishamunga3056
    @aishamunga3056 3 ปีที่แล้ว

    Ya. Allah tupe salama salmin.

  • @yusufmuhamed8465
    @yusufmuhamed8465 2 ปีที่แล้ว

    Anashid zak mzur mashaalla

  • @bindaud3805
    @bindaud3805 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah nasheed safi sana

  • @hassanabdi3114
    @hassanabdi3114 4 ปีที่แล้ว +5

    Heart 💘 touching wallhi 😭😭😭😭❤️💯💯👃👃👃

  • @siedehassan6567
    @siedehassan6567 4 ปีที่แล้ว +4

    MaashaAllah 👌👌 among the very 1st nasheeds 2012 myb

  • @rahmaomar1109
    @rahmaomar1109 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah, so herart touching, Allah akuhifadhi

  • @burhan1000
    @burhan1000 4 ปีที่แล้ว +1

    Salama ya Rabby tupatie salama !!!

  • @rashidramazan-oy9gt
    @rashidramazan-oy9gt ปีที่แล้ว

    Nice one God bless u

  • @saeedsaeed7381
    @saeedsaeed7381 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah inspired nasheed Barakallah feeq

  • @muhammadmashjary3563
    @muhammadmashjary3563 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah 👌

  • @JumanneHussein-rr8vg
    @JumanneHussein-rr8vg ปีที่แล้ว

    Maashaallah 🤲🤲

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 4 ปีที่แล้ว +1

    ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA

  • @swahibulquran4586
    @swahibulquran4586 4 ปีที่แล้ว +2

    ما شا الله تبارك الله 🌹

  • @salamakombo3257
    @salamakombo3257 4 ปีที่แล้ว

    Nzur sana sante

  • @yassirhalimamohammedmohamm5913
    @yassirhalimamohammedmohamm5913 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah suti gamiil♥️🇾🇪

  • @junkaomar6304
    @junkaomar6304 3 ปีที่แล้ว

    masha Allah jazaka Allah

  • @a.856
    @a.856 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazakallah khayran

  • @Cendrillon1417
    @Cendrillon1417 4 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah best Nasheed ♥️♥️♥️

  • @salamasaleh3801
    @salamasaleh3801 ปีที่แล้ว

    Njema kabisa

  • @aidrisahmad8932
    @aidrisahmad8932 3 ปีที่แล้ว

    Maaha allah besha

  • @jumamfaume9738
    @jumamfaume9738 4 ปีที่แล้ว +3

    Salamaa na iweee salaamaaa

  • @twalibalihamza280
    @twalibalihamza280 ปีที่แล้ว

    THE BEST NASHEED EVER RANKING TOP

  • @HuseniAbdi
    @HuseniAbdi 8 หลายเดือนก่อน

    Masha sllh

  • @MaryamMaryam-ek7ks
    @MaryamMaryam-ek7ks 4 ปีที่แล้ว +4

    Amiin

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 ปีที่แล้ว +5

    amiin

  • @abdulhafidhmohamud6697
    @abdulhafidhmohamud6697 3 ปีที่แล้ว

    Yarabb salama😭😭😭

  • @khadijaosman8332
    @khadijaosman8332 3 ปีที่แล้ว

    Masha llah 😢😢😢😢😢😢

  • @aishafarah2456
    @aishafarah2456 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah Salama In shaa Allah

  • @thureyazuheir293
    @thureyazuheir293 2 ปีที่แล้ว

    mashaallh

  • @drhonga8889
    @drhonga8889 4 ปีที่แล้ว

    ماشاءالله يا شيخنا يوسف ابد

  • @khalifamohamed3123
    @khalifamohamed3123 4 ปีที่แล้ว

    Ya Allah tusamehe waja wako

  • @luqmanjumanne4667
    @luqmanjumanne4667 4 ปีที่แล้ว

    Maa asha allah SAALAMA SALAAAM

  • @patavyoteonlinetv2177
    @patavyoteonlinetv2177 5 หลายเดือนก่อน

    mashallah

  • @rahimasaid3674
    @rahimasaid3674 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah mashaallah

  • @nassorfarhat5045
    @nassorfarhat5045 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllah Allah bariq 🙏🙏

  • @ukhutyruuyuu3394
    @ukhutyruuyuu3394 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah nasheed❤️

  • @abdullahiabdulkadir5794
    @abdullahiabdulkadir5794 4 ปีที่แล้ว +2

    Assalamu aleykum sheikh twaomba pia u upload nasheed ya TUNA NINI TUNA NINI. Shukraan

  • @babaawena
    @babaawena 4 ปีที่แล้ว +4

    MashaAllah

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 4 ปีที่แล้ว

    Salama yaa Rabb salama insha Allah

  • @bekahtv8159
    @bekahtv8159 4 ปีที่แล้ว

    MASHAALLAH MASHAALLAH MASHAALLAH

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 ปีที่แล้ว

    Amen yarrab mashaallah

  • @sidesideboyonlytv2568
    @sidesideboyonlytv2568 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallaah

  • @abuuswafwani5722
    @abuuswafwani5722 2 ปีที่แล้ว

    Twayyibu

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah ❤

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 4 ปีที่แล้ว

    Masha Allah ❤

  • @sakinat2527
    @sakinat2527 4 ปีที่แล้ว

    Amiin yaa Rabb

  • @mozamaashaallahandmoza62
    @mozamaashaallahandmoza62 4 ปีที่แล้ว

    Aamiin inshallah

  • @maryamramadani8021
    @maryamramadani8021 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @yusufqassim2020
    @yusufqassim2020 ปีที่แล้ว

    Where can we get the relycs for this nasheed?

  • @rayyakhalfan4983
    @rayyakhalfan4983 4 ปีที่แล้ว

    Tunaomba free download sheikh

  • @basmallahseif
    @basmallahseif ปีที่แล้ว

    This looks like Swahili version of Salami salami nasheed

  • @zaitunijuma7831
    @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

    hiv haw wanao dislike vitu vizur na vyakufundisha km hivi ni wazima kweli jaman

    • @khalfanifarisy7445
      @khalfanifarisy7445 4 ปีที่แล้ว

      Swali langu nataka nijibiwe kwa ushahidi kamili. Kuna swahaba au Nabii Muhammad kwamba aliimba? Hizo anasheed. Nataka nipewe hadithi Tafadhari.

    • @khalfanifarisy7445
      @khalfanifarisy7445 4 ปีที่แล้ว

      Sauti 2 zimelaaniwa. Fil Dunia wal Akhera. Sauti ya muimbaji na Sauti ya kilio wakati wa msib, maombolezo. Hasan Al, Basiry kaipokea Hadithi hiyo.

    • @zaitunijuma7831
      @zaitunijuma7831 4 ปีที่แล้ว

      @@khalfanifarisy7445 ni ujumbe mzuri ambao haupotoshi ila unazid kuelimisha na kujenga kimani ww unatak kujuwa mtume km alishaimba jaman swali gn km huna iman na dini ya mtu bas

    • @khalfanifarisy7445
      @khalfanifarisy7445 4 ปีที่แล้ว

      @@zaitunijuma7831 Mimi ni Muislamu kama wewe, isipokuwa, nahitaji Dalili ama ushahidi wapi Nabii Muhammad s.a.w) au Maswahaba zake waliimba. Hilo swali zuri kama maswali mengine.

    • @khalfanifarisy7445
      @khalfanifarisy7445 4 ปีที่แล้ว

      @@zaitunijuma7831 Nipatie hadithi iseme siyo kulalamika

  • @sulley3181
    @sulley3181 4 ปีที่แล้ว +1

    Ajjab👌👌👌

    • @ruqiyomohammed5701
      @ruqiyomohammed5701 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @sivagurunathan8715
    @sivagurunathan8715 2 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @Faridykhan
    @Faridykhan 11 หลายเดือนก่อน

    Mashalah

  • @sakinamubaraka1246
    @sakinamubaraka1246 4 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah

  • @fatomafatoma2108
    @fatomafatoma2108 4 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @azzaalismaily8957
    @azzaalismaily8957 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mashaallah

  • @1958mos
    @1958mos 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @talibsuleiman5955
    @talibsuleiman5955 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @abduligumbo1254
    @abduligumbo1254 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @faridsalehsimai3207
    @faridsalehsimai3207 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @yusufmuhamed8465
    @yusufmuhamed8465 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @FaudhiaHamdani
    @FaudhiaHamdani 6 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah