Kristo wa neema yote imbisha moyo wangu. Nyimbo za Kristo No:10

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024
  • Subscribe @7t7_ministry_english ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
    Fungu 1:
    Kristo wa neema yote imbisha moyo wangu
    Mifulizo ya baraka inaamsha shangwe kuu.
    Unifunze nikupende, nikuandame kote,
    Moyo wangu ukajae furaha na tumai.
    Fungu 2:
    Namshukuru sana Bwana, aniwezesha huku.
    Salama aniongiza hata kule nyumbani.
    Yesu alinitafuta njiani mbali kwake,
    Akatoa damu yake nipone hatarini.
    Fungu 3:
    Kweli mimi mwiwa mkubwa wa neema daima;
    Wema wako unifunge zaidi kwako Bwana.
    Ili nisivutwe tena kukuacha, ee Mponya,
    Nitwalie moyo wangu uwe wako kamili.

ความคิดเห็น • 5

  • @kongoloamunazogina9699
    @kongoloamunazogina9699 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤Amenn

  • @josephisack8787
    @josephisack8787 ปีที่แล้ว +1

    Thanks God

  • @rosemtiva516
    @rosemtiva516 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @AikoSarah
    @AikoSarah 7 หลายเดือนก่อน

  • @cadeaumahuridi7054
    @cadeaumahuridi7054 2 ปีที่แล้ว +1

    mutumishi wa Mungu tuwekee nyimbo zingine ili na sisi tujifunza hizi nyimbo za kumutukuza Mungu wetu maana nyimbo za kisasa hazibariki watu