HATIMAE ZUCHU AOLEWA RASMI NA DIAMOND NDOA YAPITA KIMYA KIMYA JUMA LOKOLE ATA SIRI MANGE UCHAWI UPO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #waachana #zuchu #diamondplatnumz
#tiffadangote #nillan #southafrica #zanzibar #zarithebosslady #allywhiteparty #fahyvanny #kofia #wasafifestival #dodoma #tanashadonna #southafrica #zari #shakibcham #wasafitv
Mange anyoosha mikono, adai Zuchu anaolewa na Diamond, adai Chibu ndio kafika
KIMENUKA CHUKI YA ZUCHU KWA DIAMOND MANGE KIMAMBI AFUNGUKA SABABU BORA NIOLEWE MIMI UCHAWI UPO UMEMROGA MTOTO WA WATU
ZUCHU BAAADA YA KUFUNGIWA AMLILIA DIAMOND AMBEMBELEZA MPENZI WAKE DANGA LAKE MAHABA MOTO
ZUCHU AFUNGIWA MIEZI SITA HAKUNA KUPIGA NYIMBO ZAKE NA FAINI ZANZIBAR SHOW YA KENDWA DIAMOND MANGE KIMAMBI NA ZARI WAMPONZA
ZUCHU AOMBA MSAMAHA BASATA NA WOTE WALIO CHUKIA MANENO YAKE ALIYO YATOA KWA WANAO MTAKA DIAMOND
ZUCHU AMCHANGANYA DIAMOND KWA MAVAZI YAKE ASHINDWA JIZUIA ATANGAZA NDOA WIKI HII IJUMAA NAKUOA
ZUCHU NA DIAMOND ZANZIBAR APELEKWA UKWENI KUSALIMIA NDUGU WATAKA NDOA WIKI IJAYO AKUBALI KUMUOA\
NDOA ZUCHU NA DIAMOND UTAPENDA BWANA HARUSI NA BI HARUSI WALIVYO PENDEZA MAANDALIZI YAANZA MADALE
ZUCHU NA DIAMOND WATIA AIBU KWENYE SEND OFF YA MTOTO WA MKUBWA FELLA WAPIGANA MABUSU UKUMBINI
ZUCHU NA DIAMOND WASHINDWA KUJIZUIA KWENYE SEND OFF YA MTOTO WA MKUBWA FELLA WAPIGANA MABUSU UKUMBINI
ZUCHU NA DIAMOND WAFANYA KIKAO CHA KWANZA CHA NDOA MAMA DANGOTE NA KHADIJA KOPA WAKUTANA MADALE
ZUCHU AHAMIA NYUMBANI KWA DIAMOND SIBANDUKI NDOA ITANIKUTA HAPA HAPA WAENDELEA KUISHI PAMOJA
ZUCHU AMPA ONYO KALI ZARI HUWEZI KUMCHUKUA DIAMOND BILA KUPIGA MAGOTI NISINGE MSAMEHE MANGE TULIA
ZUCHU AMSAMEHE DIAMOND ZANZIBAR KHADIJA KOPA AMPA ONYO LA MWISHIO SITAKI MWANANGU ACHEZEWE WIKI IJAYO MFUNGE NDOA KAMA HUWEZI BASI
ZUCHU AFATWA NA DIAMOND ZANZIBAR AONGOZANA NA FAMILIA NZIMA YAMUOMBA MSAMAHA WARUDIANA MANGE AUMBUKA
ZUCHU AFUNGUKA KUMFUKUZA KAZI MENEJA WAKE DORICE NA MIMBA ALIYO PEWA NA DIAMOND AMCHAMBA MANGE
ZUCHU AYATIMBA KWA MANGE KIMAMBI TENA WACHAMBANA VIBAYA DIAMOND AMPA MIMBA DORICE MENEJA AMFUKUZA
ZUCHU AACHANA NA DIAMOND AANDIKA YOTE ALIYO FANYIWA NA FAMILIA NZIMA DHARAU ZIMEZIDI ZARI CHANZO
VIDEO ZUCHU ATANGAZA KUACHANA DIAMOND AJITENGA NA FAMILIA YOTE NAWATAKIA MAISHA MEMA SIKUTAKI TENA
VIDEO ZUCHU AJITENGA NA FAMILIA YA DIAMOND ATAMKA MBELE YA MAMA DANGOTE NA ESMA AGOMA KUOLEWA
ZUCHU AACHWA TENA NA DIAMOND AMKANA KWEUPE BILA AIBU BORA KIFO KULIKO MWANAMKE SIWEZI KUOA KAMWE
UTAPENDA ZUCHU ZARI DIAMOND NA WATOTO WAO WALICHO KIFANYA KWENYE GARI SOUTH AFRICA FUNGENI NDOA
VALENTINE DAY ZUCHU AMNYIMA DIAMOND UNIOE KWANZA AMPELEKA SOUTH AFRICA AMPA ZAWADI YA SAA YA M 200
ZUCHU MJAMZITO DIAMOND ATHIBITISHA AMKATAA MCHEPUKO NDIO MANA MAMA KIJACHO YUPO NYUMBANI ANA NIPIKIA
ZUCHU APEWA HESHIMA YAKE NA DIAMOND ATHIBITISHA KUA MJAMZITO AMKATAA MCHEPUKO NDIO MANA MAMA KIJACHO YUPO NYUMBANI ANA NIPIKIA
ZUCHU APELEKWA CLINIC NA DIAMOND WAPEWA USHAURI WAJIANDAA KUPATA MTOTO WAO MJAMZITO • ZUCHU APELEKWA CLINIC ...
ZUCHU ATANGAZA MWEZI WA KUJIFUNGUA MTOTO WAKE ATAZALIWA SIKU MOJA NA BABA YAKE
ZUCHU MJAMZITO WAMBEA WAMUUMBUA VIDEO AKIWA NA DIAMOND YAONYESHA TUMBO LAKE MIMBA KUBWA
ZAIDI YA MAHABA ZUCHU NA DIAMOND WAKIWA JIKONI WANAPIKA PAMOJA WASHINDWA KUJIZUIA WAONYESHA WANAVYO PENDANA
ZUCHU NA DIAMOND WAACHANA VIBAYA SIRI YAFICHUKA MKATABA WA YOUNG FAMOUS AGOMA KWENDA KWA JUX
ZUCHU ASHUSHA KICHAMBO KIZITO KWA WANAO TAKA AACHWE NA DIAMOND BADO TUPO SANA TU MNIKOME
ZUCHU AMWAGA MACHOZI DIAMOND AGOMA KUFUNGA NAE NDOA NILISHA UMIZWA NA MWANAMKE NILIE MPENDA NAOGOPA
ZUCHU NA DIAMOND WAFULIWA NGUO NA MAMA DANGOTE MKIRUDI TOKA SOUTH AFRICA MSI HANGAIKE WANANGU
KIMENUKA ZARI AWASHIWA MOTO NA MUME WAKE SHAKIB CHAM KUMPOST DIAMOND NA KUMSIFIA AFUTA HARAKA
ZUCHU ATUA SOUTH AFRICA AMFATA DIAMOND ZARI AWAPELEKA WATOTO WAKE TIFFA NA NILLAN WAKAE PAMOJA
ZUCHU ATETEWA NA DIAMOND HAJAWAI KUNIROGA NI MAHABA TU YAMENIZIDI MSIONE NAPENDEZA NATUNZWA
ZUCHU ASIFIWA NA MAMA DANGOTE JINSI ANAVYO MTUNZA DIAMOND NYUMBANI MSIMUONE MWANANGU ANATUNZWA
ZUCHU ATHIBITISHA KUA NA UJAUZITO WA DIAMOND NIMEENDA SEHEMU WATU WAMENIGUNDUA NIMEKIMBIA
ZUCHU AGEUKA MBOGO AMPA MASAA MAWILI MPENZI WA DIAMOND NISIKUKUTE HAPO NYUMBANI IZO VIDEO ZIISHE.
PENZI LA ZUCHU NA DIAMOND LIPO KIKAANGONI MREMBO HUYU AMNYIMA USINGIZI WALALIANA KIMAHABA MNAENDANA
PENZI LA ZUCHU NA DIAMOND LIPO KIKAANGONI MREMBO HUYU AMNYIMA USINGIZI
ZUCHU AZIDI KUTEMA CHECHE KWA WASIO PENDA PENZI LAKE NA DIAMOND MAJUNGU YENU NA MANENO YENU SIYAJALI
ZUCHU AMPELEKA DIAMOND KWA BABA YAKE MZAZI KUMTAMBULISHA KHADIJA KOPA AFURAHI SANA
ZUCHU NA DIAMOND WATUA MADALE KWA MAMA DANGOTE KIKAO KIZITO CHA UTAMBULISHO AFICHA TUMBO LAKE
KIKAO KIZITO ZUCHU NA DIAMOND WAKALISHWA CHINI NA MAMA DANGOTE LEA MIMBA SITAKI UMLIZE
ZUCHU ATUA OFISINI KWA DIAMOND AMPA TAARIFA YA UJAMZITO NINA MIMBA YAKO HATUACHANI/JUMA LOKOLE
#AfricaIsWatching #WasafiDigital
#mangekimambi #gigymoney #aaliyah #tanashadonna #rahma #dvoice
#diamondplatnumz
#wasafibet
#BINGWALAMTAA
#matukioonlinetv
#dazamedia
#wasafi #wasafitv #wasafifm
#WCB #ZUCHU
Mabrook bi dadaz zuuuu Allah akujalie kher katikandoa yako
Hongera sana ❤ kipenzi
Zuuuuuu you look gorgeous!!!!!❤❤❤❤❤❤❤🎉🙏🏼
Ongera sana dada yangu kipenzi zuhura ❤❤❤❤mwenyezi mungu akulinde
ZUCHU Jenga unyumba wenu Kwa akili, care, na unyenyekevu, keep silent Kwa wale wa mbanda wote. Kaa kimya, usibajibu, amani kwenu, . Tegemea Mungu tu.
Alhamdulillah ndugu yang hongera sana mamaang allah akufanyie wepes ktk kila hatua ya ndoa yako
Asanti mwenyezi mungu kwa kua sala imeitikiwa. Soyez heureux tous les deux.
Zuchu machallah machallah
Madame Simba Daimond plantumz Dangonte ♥️🇫🇷🦁🥰😘 vous jette très très belle 💃💐👍👍👌👌👁️👁️👁️👁️🇫🇷🇫🇷🇫🇷🇲🇬🇲🇬🇲🇬♥️♥️♥️♥️
Wanawake Wana wivu na pengine wengi wao wanateswa na mapenzi alafu stress zao zote wanamrushia Zuchu, this time mtakoma maumbwa
Hiyo ni kweli, wivu inawasumbuwa sana, wanazidi kucunga Simba tu, amempata wake wa sasa, ameamuwa, mucunge mwengine, wenye wivu wajinyonge.
Best wishes to the new family, ( Diamond & ZUCHU), we love your couple so much, now Diamond belong to ZUCHU.
Yessssssssssssssssssssss
Hongera sana kipenzi chetru ❤❤❤france
Woooooh dada zuchu
Kwani yy daimond anasura gani jamani acheni kumuonea dada wawatu
Kwan Zuchu anaubaya gan jaman?? Punguzeni uumbaji ndg zangu🙌
Ni mrembo ana akili ni mpambanaji mkome kimtukania mamake malkia wa taarabu ana sura nzuri sana na ni malkia wa nguvu si mchezo kulea wanae peke yake. HONGERA sana km kweli.
In shaa Allah iwe ndoa ya kheri na fanaka
Allahumma Ammiyn
Zuchu uwempole kwa mond n'a kuvumilia n'a yazaidi ujuwe munguwee maaba weslamu wana wadanganya
Congurates
Iweivyo kutoka congo Lubumbashi 🎉❤❤❤❤🎉
Mungu awarinde kwenye maisha yenu ys ndoa
Mabruk, Wapenzi wetu. ❤❤❤❤
Hajafata makalio amekipenda kifua😂
Wazanzibar wote tucomment hapa in sha Allah atujaalie tuzidi kua wavumilivu in sha Allah ikawe kheri Ya rabbal aalamii n
😘😘❤️😍
Zuchu mrembo mashallaah❤❤❤
❤️
Congrats ❤❤❤❤❤
Ongera xana dada❤❤❤
Wanaume tuna vitu vyetu katika mwanamke sio uzur unao onekana kwa nje...
Hapo sasa.
Kwa kipi iwe ndoa ya siri bila watu au hata wazazi
Hongera sana ❤
❤️❤️🥰😍😘
Amiin
Zuu nimvumilivu saana so nikawaida tu hataakiolewa namond
😂😂😂kwamba wameshaoanaa au😂??enii weii hayanihusuu njoenii niwauziee vitu mbalimbalii vya kupendezeshaa nyumba zenu😂😂🙌
Weee Mange ushatinginywa na baba yako mzazi mpaka umezaa naye shoga yangu akuowe nani huachiii?
Kesho tutaskiya khabar zingine😅😅😅
❤❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤
Achan mama yen nyny
Hongera ❤❤
In shaa Allah iwe ndoa ya kheri na fanaka
Allahumma Ammiyn
Kama mama yake alivyoachika vivyo hivyo hata zuchu ategemee kuachwa take my word
True. she has a long way to go.
wataachana tu
Waongo, mange ndio msemaji wenu, simuende mkalipie app, kweli mumekua watumwa,.
😞
Muache wivu, maneno yenu yamekwisha, mupokee yote, kwani Simba akaa na mkee wake, ZUCHU, mfite Mungu amempatiya .
Mbn ww una umbo la shoka lkn watu hawasemi
Zanzibar hakuna maajabu ila zuchu kamuweza dai na pesa unaambiwa zuu anamuingizia mkwanja mrefu sana kwenye label
Amna kitu hapoamna harusi thubutu
Sio kweli iyo ni kiki zao zisizo kwisha
Amini ukipenda
Huu ni uongo ya kipuuzi!! Mbona hakuna video?!!!
Mbape sikiliza adi mwisho 😞
Uone video ww km nan
Sasa mangi ndoa yapangwa mbingini lkni mbona waongea ivyo kwani zuChu di mke
😞
rizki yamtu haingiliw
Ndo ivo tena ndege mjanja hunasa kwwnye tundu bovu 😂😂😂😂😂
Akomehuyoanaesemawazanzibar.niwachaw.kwani.rizikianatoeayeye.mmhwahuo
Zuchu sio type ya mondi kheeee nywele Kama tumbili 😂😂😂
Sawa mond type yako wewe
Mwakani talaka tatu
DAH 😂😂Anavyotia Huruma Sasa kama Muuza Kashata 😂😂
Mchagua jembe si mkulima
❤❤❤❤