Wa Cadastres ndo napendelea sana wajitaidi watiye villes zetu tofauti na Ville zingine ambozo zilijengwa jengwa zamani bila mpangiliyo wowote sisi watoto wa Fizi tuko na bahati sana kama ni masomo tumesoma kama ni kuhishi inchi zingine tofauti na congo sisi tuko mahali mbali mbali pande zote za Dunia. Basi naomba tusijengwa miji zetu kama zamani
Muacheni viwanja vya public place Kama vile stand bus parking, viwanja vya mpira na basketball na shule pia soko vinginevyo aitopendeza bila hivyo itakuwa na majumba mazuri Ila pablic place hakuna kuweni makini cadastre
Kumbe zone yetu ya fizi inawezafika katika hali kama na hii vraiment nashukuru sana kuone video hii kwa ndugu yetu Directeur wa WIFFA . Kwa maoni yangu kuhusu vile yetu ya Baraka naomba sana kwa wa Cadastres wajitaidi kuacha ma BaraBara: (ex: Barabara ihanza kuwa baada ya nyumba 25 ingine barabara inaanza hapo ili ileta vizuri aspect ya Ville . ila kijengwa en désordre itakuwa ville amboyo haina muonekana mnzuru wa ville hata kama itajengwa
Naomba kwa ndugu yangu directeur wa WIFFA Nyiye kwa influence ambayo muko nayo mu Territoire kwa jiji la baraka naomba mutusaidie kufikisha maoni yetu kwa viongozi na vyombo vya Habari na kwa ma Radio za jiji letu na vijiji vyetu katika zone ya Fizi
Shida barabara ni mbovu..utajenga nyumba nzuri yenye thamani ila vumbi sana...alafu hizo ni model za nyumba za kizaman sana 😢😢😢 Alafu umeme na maji akuna
Ndugu nashukuru sana tena jamani wa bembe tuko wengi Ulaya tujitaidi kila family ijenge kwenye ville yetu ya baraka Tusiwe na chekwa Mungu katupa Neema. Ndugu nahomba number yako kwanza for more Information.
Courage brother thank you we are coming to build soon am in South Africa
Kazi nzuri sana Mtangazaji Hongera Sana
Parcelle ni ngapi 20/20
Wa Cadastres ndo napendelea sana wajitaidi watiye villes zetu tofauti na Ville zingine ambozo zilijengwa jengwa zamani bila mpangiliyo wowote sisi watoto wa Fizi tuko na bahati sana kama ni masomo tumesoma kama ni kuhishi inchi zingine tofauti na congo sisi tuko mahali mbali mbali pande zote za Dunia. Basi naomba tusijengwa miji zetu kama zamani
Asante sana kwa information ya kwetu nyumbani.
Tunahomba
Number basi ndugu .tena wahache bara bara.
Amitie au fraternite uyu kaka na mkumbuka sura
Muacheni viwanja vya public place Kama vile stand bus parking, viwanja vya mpira na basketball na shule pia soko vinginevyo aitopendeza bila hivyo itakuwa na majumba mazuri Ila pablic place hakuna kuweni makini cadastre
Wow fantastic
Napenda kujuwa parcel ni pesa gapi inatapa aye???
Narudi ku nunua ni mkenya aliishii Goma
Merci
Kumbe zone yetu ya fizi inawezafika katika hali kama na hii vraiment nashukuru sana kuone video hii kwa ndugu yetu Directeur wa WIFFA . Kwa maoni yangu kuhusu vile yetu ya Baraka naomba sana kwa wa Cadastres wajitaidi kuacha ma BaraBara: (ex: Barabara ihanza kuwa baada ya nyumba 25 ingine barabara inaanza hapo ili ileta vizuri aspect ya Ville . ila kijengwa en désordre itakuwa ville amboyo haina muonekana mnzuru wa ville hata kama itajengwa
Wambiye wakate mabarabara
Naomba kwa ndugu yangu directeur wa WIFFA Nyiye kwa influence ambayo muko nayo mu Territoire kwa jiji la baraka naomba mutusaidie kufikisha maoni yetu kwa viongozi na vyombo vya Habari na kwa ma Radio za jiji letu na vijiji vyetu katika zone ya Fizi
Jambo nipo Kenya na uliza parcel ni pesa gapi
Uko hakuna umeme akuna mabomba ata miundo mbinu hakuna
ehhhh niatari
I was born there.
Volume sahuti iko kaloko
Shida barabara ni mbovu..utajenga nyumba nzuri yenye thamani ila vumbi sana...alafu hizo ni model za nyumba za kizaman sana 😢😢😢
Alafu umeme na maji akuna
mbona nyumba simezogea sana barabarani
Kweli kabisa
Safi sana.
Ndugu nashukuru sana tena jamani wa bembe tuko wengi Ulaya tujitaidi kila family ijenge kwenye ville yetu ya baraka
Tusiwe na chekwa Mungu katupa Neema. Ndugu nahomba number yako kwanza for more Information.
👌
mambo ni moto kateni barabara za mitaa maji wetu utapendeza zaidi
th-cam.com/video/lpRX5pNcOpY/w-d-xo.html
Sasa wewe dalali,nambazako mbona huziweki apo ilituongeye
th-cam.com/video/5aTVZW4ogGA/w-d-xo.html
th-cam.com/video/wFl50LaD0dY/w-d-xo.html