Moving To Namanyere // Bye Dar es Salaam with English subtitles
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- I'm going back to my home country to work for my father as a project writer. I miss home and am so excited with my new job. i hope it is going to be fun and games for me. Planning to share my stay there with you on this TH-cam platform. So stay tuned.
I love you, all the best my daughter
Wewe namanyere siyo kijijini we
Nafurahi sana ninapokuona ukiendelea kutabasamu Mungu ni mwema sana uzidi kuimarika kwa viwango vya juu🙏🙏🙏
Hongera sana nimekukumbuka kweli
Hongera sn da wakonta nakupenda
Hongera Sana Wakonta, nakufuatilia sana ❤️😍
Asanteee sana
Hongera sana mdogo wangu
Tutenzi kalesaa
Namanyere home sweet home 🥰🥰karibú mpenzi
Hongera sana my dear #WAKONTA
Usafiri salama mwenyezi mungu akufanyie wepes kwenye harakat zako zote, huko ndio home ila sjawahi fika, siku moja nitakuwa mgen wako hapo Namanyere Rukwa.
Asanteee na karibu sana,Rukwa
Nakutakia maisha mazuri, Wakonta
All the best Wakonta. I love you so much
♥️♥️♥️♥️ wish u good life
Thank youuu
All the best my twin
🙏
Thank you twiniiii
Mashallah hongera sana
Nenda mwaya ufanye kazi na Baba yako
Mungu akubariki sana
Santeeeeeee
Yan mambo unayo yafanya ni makubwa sn Mdogo wngu ina maana ungekua mZima ungefanya mambo makubwa zaid Lkn yote tunamshukuru Mungu 🙏🙏🙏 kwa kila jambo
Nenda kipenzi kikubwa upate furahaa i love youuu
I love you toooo
Kila la heri