ASANTE MUNGU HATIMAE TUMEMALIZA TAMTHILIA YETU PENDWA YA KIBENTEN,, ASANTENI SANA MASHABIKI KWA UPENDO MLIOUONESHA KWENYE TAMTHILIA HII,, HII IMETUPA NGUVU ZAIDI YA KUANDAA KAZI NZURI ZAIDI KWA AJILI YENU WATU WETU,, TUNAWAPENDA SANA TUKUTANE KWENYE TAMTHILIA IJAYO ASANTENI🙏🙏
❤❤❤MANZEE NILIJUA TUH KICHECHE NDO ATAKUWA GATE MAN😂😂😂😂 SAWA NAKUBALI SANA LUTA HE IS BRINGING IT INTO REALITY.....MANZEE KICHECHE GOOD WORK PLEASE TOA NEXT SEASON SOON. THANKS SANA ..
Gaai Tanzania,,, congratulations 👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i have enjoyed watching the whole series ,,,, i really appreciate this,,, I LOVE YOU MUCH GUYS ❤❤❤❤❤ 🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️👆❤️🇰🇪 LUTA MAN 💝💝💘💘💘 TIFAH MANN,, KICHECHE MAN GWANDA MAN,,,
I followed it from the beginning, it's wonderful, amazing. When watching, I sometimes feel sorry of myself because I find that I take part inside while outside and become one of characters. Keep it up 💯
Nmefuatilia mwanzo mwisho...was fantastic movie creativity and talent made a difference with other movies... am really appreciate it and congratulations @kicheche and u're team bravo 👏 bravo 👏 bravo 👏🎉
Asante sana wote kwa kutuburudisha kwa tamthilia hii. Kusema ukweli mliianza kama mchezo lakini hatimae mkaifanya ni yenye kuvutia, kuburudisha, kupendwa na uzuri zaidi ina mafunzo vile vile ndani yake... Kwa ushauri tuu naomba mkija na ingine mtuletee yenye mafunzo zaidi ya hii wanangu man... Nasema tena Hongera sana kwa kazi safi kama hii, one ❤
Hii tarf kwang imekuwa kama msiba manak mmmh niltaman iendelee hata mwaka ama zaid asant pia kongole kwa kaz nzur inshaa` Allah Allahu awakubal 😭😭😭....🙏🙏
Napenda sana filam zako na vichekesho vyako naomba ulete nyengine kama hiiiii kibenteni nimeifuatilia mwanzo mpaka mwisho tunaona utakavyo ipeleka Tanzania yetu mbele nakuona kanumba wa baadae ilove u co much kicheche brand luta man
Movie safi yenye funzo Rutoman mbarikiwe. Maisha ni gwaride wakwanza anakiwa wa mwisho na wamisho anakiwa wakwanza . Usimzarau usie mjuwa man like❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Sasa hii ndo sanaa halisi twende na moto huu mzee hii imepenya sana thanks boss pia thanks Kwa mashabiki wenzang tunakuombea upambane utupe mambo mazur zaid na zaid chao
ASANTE MUNGU HATIMAE TUMEMALIZA TAMTHILIA YETU PENDWA YA KIBENTEN,, ASANTENI SANA MASHABIKI KWA UPENDO MLIOUONESHA KWENYE TAMTHILIA HII,, HII IMETUPA NGUVU ZAIDI YA KUANDAA KAZI NZURI ZAIDI KWA AJILI YENU WATU WETU,, TUNAWAPENDA SANA TUKUTANE KWENYE TAMTHILIA IJAYO ASANTENI🙏🙏
Kakaa ii atarii
Asante sana man tunawapenda sana man❤😂
Mapua😂😂😂😂
Asante Sanaa hongereni
Kicheche namimi unaweza kunipa kazi yoyote hata ya kukufulia napenda sana kazi yako nipo burundi
Yaani kicheche angajua hii movie tunaifuatilia walai angeanza tu kupanga ingine😊😊😊anaekubali like tia like 😅😅
ndio kabisa 😅😅
Tunashkuru sana kwa kutuletea filam yenye mafunzo makubwa sana kicheche tunaomba utuletee na nyingine kama hii
Great movie, Great characters, Great final.
We need another one like this...🔥🔥🔥🔥🔥
Much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 never disappoint kicheche 😂😂😂😂
Nawewe kumbe uba urino🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Congratulations Ruta Man, kicheche mlinzi kweli mahabuba amemuacha kicheche.
😅😅😅
Kama umetazama kibenten mwanzo mpaka mwisho naomba likes zangu
have it
Uzipeleke wapi masikini wewe
Uwakaka unyam mwing
❤❤❤MANZEE NILIJUA TUH KICHECHE NDO ATAKUWA GATE MAN😂😂😂😂 SAWA NAKUBALI SANA LUTA HE IS BRINGING IT INTO REALITY.....MANZEE KICHECHE GOOD WORK PLEASE TOA NEXT SEASON SOON. THANKS SANA ..
Luta man you played your part nicely much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
We Say Thanks For This Opportunity To Give Us This Movie , We Proud Of You And Your Team🎉🎉🎉🎉
Wow tulikua wote EP 1 hadi ya 17 Asante sana timu kibenteni ❤❤❤❤❤ one love from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 one zambia one nation
Kicheche nakuombea mazur zaid kwa mungu, uko kwenye nafasi yako itumie, Kwan kila kitu kina wakati wake, huu ni wakati wako!!! ❤❤❤🎉🎉🎉
Gaai Tanzania,,, congratulations 👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i have enjoyed watching the whole series ,,,, i really appreciate this,,, I LOVE YOU MUCH GUYS ❤❤❤❤❤ 🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️👆❤️🇰🇪 LUTA MAN 💝💝💘💘💘 TIFAH MANN,, KICHECHE MAN GWANDA MAN,,,
I followed it from the beginning, it's wonderful, amazing. When watching, I sometimes feel sorry of myself because I find that I take part inside while outside and become one of characters. Keep it up 💯
Kicheche never disappoint I love this man kumbavu zangu mbwa mimi 😂😂upwiruu😂😂 mpange sasa mtoe ingine
Duhh yaan hii movie mmejua kuitendea haki mana imeishia pazur sanaaa bg up wadau 2naitaj tna 1 km hii ❤❤❤
Thanks Mr kicheche for the move we hv been together since first ntill now God bless you man .... Just make another one that is much than this
Kicheche mlinzi,,,I LOVE YOU GUYS MUCH LOVE FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️
Nmefuatilia mwanzo mwisho...was fantastic movie creativity and talent made a difference with other movies... am really appreciate it and congratulations @kicheche and u're team bravo 👏 bravo 👏 bravo 👏🎉
Although am late but I have watched 🥰 kicheche content is undefined much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰❣️❣️🥰❣️❣️
Asante sana wote kwa kutuburudisha kwa tamthilia hii. Kusema ukweli mliianza kama mchezo lakini hatimae mkaifanya ni yenye kuvutia, kuburudisha, kupendwa na uzuri zaidi ina mafunzo vile vile ndani yake... Kwa ushauri tuu naomba mkija na ingine mtuletee yenye mafunzo zaidi ya hii wanangu man... Nasema tena Hongera sana kwa kazi safi kama hii, one ❤
Huyo dada askar anajuaa xnaa
Dah jamanii kibenteni yetuuu 😢 tulikupenda ila kicheche kakupenda zaidi, mnisaidie like 5 tuu maana sitaiona tenaa 😢😢😢😢 daah
Daaa ilikua tam xan aiseee 😢
Wakwanza nahomba likes zangu ❤❤❤❤❤❤
Vraiment 🔥🔥🔥 mrc Kicheche kwa movie iyi ( comedy ) wewe ni king of new génération
Kicheche for life ❤
Congratulations 🎉🎉❤❤ we love it make another one amazing like this please 😻
I congratulete you mr. Kicheche and i've appreciated it so much we are waiting for a next Thamthilia🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Pao bro
Congratulations guys we love it 🎉🎉🎉
Hapa ni Ruta man vs Kicheche
Ila Rutaman's story is one the untold truths kwa watu wa aina yake 🎉
I like this movie i learn too much from this roota man respect broo kicheche na na wewe pumbavu zako mbwaa wewe nakubali sana man
Kwanini inaisha man twende paka 20 man more from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 man
Mbna final mapema congration to all kicheche family 🎊🎊❤️❤️❤️
Kibenten actors are all super! Tifr, vai, never disappoint, luta man,kicheche & all de rest we salute u. Teamkenya
Kkkkkkkkkkkk aise mwisho wakicheche noma sana adi mbavu zangu zimeumia
Natamani ata isiishe an daaah big up sana #Kicheche crew💪
😂😂😂😂Kicheche Luta man pumbavu zako,I enjoyed it since ep 1 man big up Kicheche and your team big love from 254
Much love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Mbwa mimi pumbavu zangu you never dissapoint😂😂ulimkataa mama mzazi kisa mapenzi,daaah😅😅😅
🎉🎉🎉❤❤🎉🎉nimependa kweli.. congratulations guys.. nimejifunza kitu katika maisha
Wakwanza naombeni like zangu ❤️❤️❤️🔥
Congratulations to all people in kibenteni much love
Wa kwanza naomba like zangu ❤😂❤😂❤
😂😂😂😂 kicheche mbwa 😢 ahsante kwa fundi na kutengeneza kiti kizuri big up 🫡
Yeah man leo man nafurahia hiyi man msitunyoteze man nimejua ww man lutta man mchezaji man😂😂😂😂😂😂
Kicheche eti Final😂😂😂😂😂😂😂😂😂mze kicheche usiharibu season..bora Season II
Kule so kuzuli😂😂😂😊 ksema final
@@GeorgeNyoni-u4p kbs laza aendeleze!!
Asante kicheche natoka RD Congo Kinshasa 🇨🇩💯💯
Nipeni like zangu😂😂😂
Can't believe how good your mini series is.
Ruta mwanang umenifunz San mdog wak 🎉🎉🎉🎉 big up pm1 San mungu akusaidiy ktk harakat Zak za maish
From congo 🇨🇩 apa
Bravo bravo brother it's has a been an interesting short scrip nakukubali sana Makoti .... waiting for more # tembeakenya
Mko sure hii ni final?? Aky #kicheche but big up sana to you all, you did a big job with your team, okay then nipee likes zangu hapa wakwanz mimi 🥰
Aksante Sana.
Hii tarf kwang imekuwa kama msiba manak mmmh niltaman iendelee hata mwaka ama zaid asant pia kongole kwa kaz nzur inshaa` Allah Allahu awakubal 😭😭😭....🙏🙏
Napenda sana filam zako na vichekesho vyako naomba ulete nyengine kama hiiiii kibenteni nimeifuatilia mwanzo mpaka mwisho tunaona utakavyo ipeleka Tanzania yetu mbele nakuona kanumba wa baadae ilove u co much kicheche brand luta man
Kicheche this story is so touching man big up man much ❤from D.R.CONGO
LEO MIMI WAKWANZA NAOMBA LAKE ZANGU APA😂😂
Tulio fuatilia Kibenten mwanzo mwisho tujuane kwa Like💯Apa
This is awesome I reel enjoyed kibenten much love from kenya
Kicheche kazi nzuri sana tunaomba tamthilia nyingine kama hii
Wakwanza nipeni like zangu❤❤❤❤❤❤❤
Wakwaza Léo nipeni like hâta 30 jamani nawapenda ❤❤
Naitaj like no1
Ilikuwa nzuri thanaaa man, tumeipendaaa sanaaa man😅
Me naona tu ingeendelea hii hii maisha ya ruta man na latifa i like them na kicheche! Ua so 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatar
Much love ❤❤❤from Kenya🇰🇪
wakwanza mmi jamani 🎉🎉😂❤❤❤
😂😂😂kichecha anashangaa ati awe mlizi tena 😂😂Good my people one love from kenya and Colombia
Kaka hii Kali sana nimejifunza uvumilivu
Kazi nzurii kama unaikubarii weka kopa
Wakwanza from Rwanda 🇷🇼
Bite nawe ukunda kicheche
Nyabugogo hejuru
Ilikua 🔥🔥 congratulations zangu Toka 🇰🇪🇰🇪nimeipenda kinoma ...tunangoja ingne fire kicheche +Luta ..moto wa kuotea mbali ...🔥🔥
Mimi NGO wakwanza kutokeya Congo 🇨🇩
Imeisha vizurii sana sterling makotii hii nzuriii hii 🎉🎉🎉 hongera kwako kicheche na Team yako❤💥
Dar pongezi sana Kwa muhandaaji wa hii move kwakwel tumeinjoy sana pia mmeweza sana tena sana 🎉🎉🎉..mnastair pongezi sana kicheche respect broo👊🤛🤝🤝
Nakukumbalia bro from Kenya 🇰🇪
Wakwanza from Kenya 🇰🇪
Naitwa mpesa mpesa 🇨🇩 unafanya muzuri kabisa
Movie safi yenye funzo Rutoman mbarikiwe.
Maisha ni gwaride wakwanza anakiwa wa mwisho na wamisho anakiwa wakwanza .
Usimzarau usie mjuwa man like❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wooow that's so nice,Yani tamthilia imenipa funzo kubwa,I like the acting,everybody played his/her role perfectly.✅✅✅Kenyan boy
We love you kicheche from Burundi 🇧🇮
Wow the movie from kicheche ❤❤❤❤😂🎉😢😮😅😊❤❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri Boy from 🇲🇿🇲🇿
Lutaaaa 💪 Nakupenda Man 😂 you nailed it
Kazi nzuri Sanaa endeni jikoni mtuandalie ingine safii kama hii tunashukuru 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Congratulation Kicece kwa Kutuburudisha kweli kweli 🇧🇮
MWENYW NASHANGAA KWANN HATOKI VIPELE ❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉😂🎉
Nawapenda sana from Burundi ❤❤❤
Sasa hii ndo sanaa halisi twende na moto huu mzee hii imepenya sana thanks boss pia thanks Kwa mashabiki wenzang tunakuombea upambane utupe mambo mazur zaid na zaid chao
Kicheche the unstoppable Dude👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🤝🤝🤝🤝🤝
Kicheche never disappoint
Ongera sn tamthiria nzur sana
👏👏👏
Endeleyeni
Kicheche endeleyeni
Mimi ndoo wa kwanza like zangu ❤
Wakwanza kwa veas naombeni like
Kichechee pumbavu zako kwweli Sasa umekuwa mlinzi tu kuvumba Na kuvumbuaa 😂😂
I love you kicheche and your comedy team altogether man........God bless you man...
Kicheche is fire
Leo nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu
Nip like zangu😂😂
Ongeren jmn❤❤ Alhamdulillah nmekuwa na nyny mpk mwsho much love frm 🇰🇪🇰🇪❤❤
Luta mpka mpenzi jamani wamwita man 😂 Wacha kuchoma man
Congratulations ❤