MAAJABU BARAHATIH MAJINA YOTE NO:1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2021

ความคิดเห็น • 21

  • @ZakadJuma
    @ZakadJuma 25 วันที่ผ่านมา

    Inshaallah

  • @zuberhamza7852
    @zuberhamza7852 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah
    Shukran
    Bado majina nimeyapata sita tu maalim

  • @jonathanfabiano-oc9do
    @jonathanfabiano-oc9do ปีที่แล้ว

    Nimesoma barahatii mara 1000 nikapewa karama ya kuamurisha fimbo inifate ninavyotaka

  • @bintkijangwa4305
    @bintkijangwa4305 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sana mwalim wangu
    Je ikiwa mie sio mtaalam lakin napenda kupata khuddam atakaenihifadhisha qur an naweza soma jina la pili mara elf moja kwa huo muda wa siku 7

  • @mohammedchuma7333
    @mohammedchuma7333 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akujaze elimu

  • @saudally8275
    @saudally8275 2 ปีที่แล้ว

    mi nauliza kuandika surat bayina unatumia peni au zafarani

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 2 ปีที่แล้ว

    Salaam ya Muallim! Je, tunatumia Zafarani au wino gani? Allah akubarik kheri na ulinzi.

  • @AhmadiMatwani
    @AhmadiMatwani 7 หลายเดือนก่อน

    Asalam Alaykum mimi nataka kuwa mwanafunzi wako mpya

  • @abdulazizabdullah8173
    @abdulazizabdullah8173 ปีที่แล้ว

    222

  • @mohammedchuma7333
    @mohammedchuma7333 2 ปีที่แล้ว

    Sheikh sie watu wa qasam umetushitua kidogo

    • @iddalihussein1534
      @iddalihussein1534 ปีที่แล้ว

      Asalaam aleikum sheikhe wangu,
      Niko na shida sana nikipata pesa ni madeni, pesa Deni, yaani pese hazinisadii , Insha-Allah nataka niwanze kusuma majina , Insha-Allah na Niko na Imani , natafaulu na mangu yangu yatafunguka Insha-Allah.
      Barak-Allah sheikhe wangu

  • @zuhurazabiir3769
    @zuhurazabiir3769 ปีที่แล้ว

    Na kama una majini ya kichawi ukisoma watakuja

    • @NADUAonlineTV
      @NADUAonlineTV  ปีที่แล้ว +1

      Kama unasoma mwenyewe sio rahis kuja kwako lbda akusomee mtu mwingine

  • @mohammedchuma7333
    @mohammedchuma7333 2 ปีที่แล้ว

    Tupe elimu hio

  • @noorynmohammedy6063
    @noorynmohammedy6063 2 ปีที่แล้ว

    Hyo ni kwel me nipo Dubai nafanya kaz passport yngu alikua nayo boss wngu namm nilikua naitaka hili niweze kutoroka pale nilipo soma Kwa mda wa siku 3 tu usiku saa 8 na nimefanikiwa kuipata na kutoroka kwake

    • @NADUAonlineTV
      @NADUAonlineTV  2 ปีที่แล้ว

      Nadua
      hakuna uwongo hpa ni kufundisha tujisaidie

    • @noorynmohammedy6063
      @noorynmohammedy6063 2 ปีที่แล้ว

      @@NADUAonlineTV Nashukuru sna asante ubalikiwe 🙏

    • @maryamjuma2268
      @maryamjuma2268 ปีที่แล้ว

      @@noorynmohammedy6063plse nitafute