MBINU BORA ZA UTUNZAJI WA VIFARANGA VYA KUKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Utunzaji wa vifaranga vya kuku umekuwa na changamoto nyingi, hii ni kutokana na wafugaji wengi kutozijua ama kutozingatia mbinu bora zitakazowasaidia kuweza kukuza vifaranga na kuzuia/kupunguza vifo. Katika video hii, utapata kujua mahitaji ya vifaranga na matunzo maalum yatakayokuwezesha kukuza vifaranga wenye afya njema.

ความคิดเห็น • 4

  • @frolanyamete6438
    @frolanyamete6438 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Dr. kwa mafundisho haya.. Wengi wetu tunapenda kufuga kuku lakini namna ya kufuga ndo ulikuwa changamoto. Asante Sana kwa elimu hii nzuri.

  • @domcityfarmingcenter7754
    @domcityfarmingcenter7754 2 ปีที่แล้ว +1

    Natamani watu wengi wajue hii you tube channel yako masomo mazuri sana hongera sana🙏🙏🙏🙏