Othman Masoud: Zanzibar haikuanza 1964 - Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba ni makosa kudhani kwamba Zanzibar ilianza mwaka 1964 baada ya Mapinduzi au 1995 baada ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi na kwamba jambo ambalo haliwezi kuepukika muda wote ni mabadiliko. Msikilize kwenye sehemu hii ya kwanza ukijitarisha kwa ajili ya sehemu ya pili ya mazungumzo aliyofanya na Radio Noor ya Mjini Unguja.

ความคิดเห็น • 35

  • @zakiafaki7682
    @zakiafaki7682 4 ปีที่แล้ว +4

    Ahsante kwa maelezo yako kuhusu Zanzibar kwa kweli unakumbukumbu kubwa. ALLA akubarik nauzidi kutueleza na mengineyo kwani tumepata kujua .

  • @salehali2380
    @salehali2380 4 ปีที่แล้ว +6

    Mashallah. Huyu jamaa yuko vizuri sana. Ndio maana wakamueka bench. Nimemsikiliza vizuri maneno yake yana mantiki sana.

  • @taffgong7751
    @taffgong7751 4 ปีที่แล้ว +4

    Wewe ni ginius, nakukubali sana Mh Othman.

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 หลายเดือนก่อน

    Excellent OMO... you are the best

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 ปีที่แล้ว +2

    Makamu wa 1 wa rais wa Zanzibar. Aluta continua!

  • @khatibuhijja459
    @khatibuhijja459 4 ปีที่แล้ว +3

    Safi kabisa, mwanasheriawangu mzalendo

  • @amoural-harthy7312
    @amoural-harthy7312 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona sauti ndogo sana

  • @machanomachanokhamis8389
    @machanomachanokhamis8389 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jama noma Jana yani atabaki kua yeye hakuna

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 ปีที่แล้ว +3

    , ZANZIBAR ipo na itabaki kuwa Dola kamili.Kuungana hakubadilishi jina la watabaki kuwa WAZANZIBARI.

  • @husseinhajihaji2313
    @husseinhajihaji2313 4 ปีที่แล้ว +3

    Saivi umebaki utawala wa wabongo

  • @111dudi
    @111dudi 4 ปีที่แล้ว +1

    Basi tunawaomba muache kuwasakama waarabu kama walikuwa watu wabaya wakifanya utumwa. Mbona wa wereno na waingereza hamuyasemi? Au munawaogopa?

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 4 ปีที่แล้ว +2

    Othman tunakukubali

  • @muhsinkombo3736
    @muhsinkombo3736 4 ปีที่แล้ว +4

    Uko makini, hufuati mawazo ya kimazoea, mbumbumbu atabaki kuwa mbumbumbu tu.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว

    Mbona wanasema ccm mapinduzi wamempindua mwarabu hili jambo kweli Mwanasheria

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa tangia miaka 400 iliyo pita. Zanzibar ilionekana kama kituo kidogo kidogo cha wavuvi na utumwa wa kibiashara.
    Ndio mana wareno, warabu , wazungu..hawakuthubutu katu kuijenga Zanzibar katika ustawi wa maisha Bora, wao walikuwa ni wapitaji tu na wazushi na walowezi wa kibiashara za samaki karafu na utumwa.
    Hatimaye waingeleza wakaja kuwaondoa warabu Kwa vita ya dakika 30, 😁 ili waendeze ishu zao, Ila Kwa mapinduzi ya zanzibari Kwa Abedi na Nyerere ndiyo ikajitahidi kuiweka kisiwa hicho katika ustawi walau kidogo kidogo.
    Hivyo Zanzibar ki uwalisia ilikuwa inaonekana kama kisiwa cha wavuvi na mabahalia wanao pita na watumwa ndio mana kiliachwa kama yatima.
    Kwa sasa Zanzibar ina jitambua na haya yote yana tokana na jitihada za hayati Abedi karume na Nyerere na chama cha mapinduzi ccm.
    Kwa sasa mtanza kukibesa ccm kama chama ambacho kina wakandamiza kumbe ni ulimbukeni wa kimawazo na kukosa kujua history ya nzanzibari.
    Ila kizazi hiki mnapaswa kuelimishana ukweli, sio kuneza propaganda za kichochezi eti kisa tu mnataka kujitawala,Natuna jua asili ya watu wa huko ni kutoka bara.
    Kwani wavuvi kutoka bagamoyo, tanga, daresalam, mafia, Mombasa, ndiyo walio anzisha maisha uko tangia enzi hizo za miaka 400
    Muingiliano wa wageni na kujamiana, warabu hasahasa) na walatini, wagiliki, wareno, Wazungu, katika utumwa ndiyo zikaja asili za watu wa kipemba na shombe shombe
    Wewe umeona wapi mwarabu ni mweusi, au umeona wapi mzungu ni mweusi, umeona wapi mchina ni mweusi, wa Zanzibar asiliyao ni kutoka bara, ni mwiko nyie kutubeza sie wabara kwani Zanzibar nimoja ya maeneo tuliokuwa tunaishi katika kutafuta maisha

    • @ibnismail8831
      @ibnismail8831 3 ปีที่แล้ว

      Kwhy ili iwejee yaan

    • @mack_vita_onyango8409
      @mack_vita_onyango8409 3 ปีที่แล้ว

      @@ibnismail8831 iweje kuhusu nani ?

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 3 ปีที่แล้ว

      Vi taa 88 Typical mawazo pori kutoka kwa typical ccm kichwa maji. Nani aliokwambia znz ilikua yatima hao ccm wamejenga nini zaidi ya majumba ya makaazi, bwawani hotel, aman stadium yaliobakia mengi wamerithi hata zile skuli zote stone Town zilikua zipo tokea kabla ya mapinduzi mjinga mkubwa na hayo munayodanganyana eti muafrika hakuwa na haki mbona hasemi Mwinyi ktk kitabu chake alisoma kwa kiasi gani, Jumbe, Idriss a wote hawa mbona hawakuwahi kusema walilipia ada ya elimu kiasi gani? Acheni propaganda nyie na pia znz ilikuwepo kabla ya kenya, Uganda, Tanganyika, Malawi n.k tena vipi asili ya wa zanzibar watokee Tanganyika wakati hio Tanganyika imekuja kuvumbuliwa nchi huku zanzibar ishakuwa mpaka na mabalozi wa nchi zote kubwa duniani. Mume jitahidi kupotosha ukweli na memefanikiwa lkn aibu yetu iko siku itawasuta wanafiki wakubwa.

  • @abdullasuleiman4477
    @abdullasuleiman4477 4 ปีที่แล้ว

    Wazabzibar wamelalaa tuwamshee baba

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanganyika itabaki kuwa Tanganyika.

  • @allyabdallah1776
    @allyabdallah1776 4 ปีที่แล้ว

    safi sana mzee

    • @hamadchande4164
      @hamadchande4164 4 ปีที่แล้ว +5

      MWENYEZI MUNGU ATAKULINDA KWA JUHUDI ZAKO

  • @kaykay9722
    @kaykay9722 3 ปีที่แล้ว

    Waeleze wafahamu hao jamaa ila kua makini hawaaminiki hao

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 ปีที่แล้ว

    Weyani channel ynu ina matatzo ya saut

  • @alihaji7201
    @alihaji7201 4 ปีที่แล้ว

    Anafaaaa kuchkua kijiti Cha rais shein huyu simsikii Sana ccm ayeee

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 4 ปีที่แล้ว

    Huna lazima ya kusoma aya mh kama huzijui hio ni Quran

    • @rashidsaleh513
      @rashidsaleh513 4 ปีที่แล้ว +1

      Kasoma kuliko weye uyo kw taarifa yko

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 4 ปีที่แล้ว

      @@rashidsaleh513 kwa sheria za dunia hana mpinzani namkubali sana lkn sio Quran husikii hizo aya alivoziaoma

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 4 ปีที่แล้ว

      @@rashidsaleh513 kwa sheria za dunia hana mpinzani namkubali sana lkn sio Quran husikii hizo aya alivoziaoma

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 4 ปีที่แล้ว

      @@rashidsaleh513 kwa sheria za dunia hana mpinzani namkubali sana lkn sio Quran husikii hizo aya alivoziaoma??

    • @princeganji2779
      @princeganji2779 4 ปีที่แล้ว

      Tuliza kipira mzungu