Mkuu wa Mkoa apigwa butwaa na binti aliyepoteza miguu, vidole na kizazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella Septemba 18, 2019 ametembelea Kituo cha kutengeneza viungo bandia vya binadamu (Mwanza Prosthetics & Orthotics Workshop) na kuvutiwa na huduma zinazotolewa kituoni hapo.
    Kituo hicho kilichopo Pasiansi Manispaa ya Ilemela kinatengeneza viungo mbalimbali bandia kwa watu wenye ulamavu ikiwemo miguu pamoja na kurekebisha ulemavu wa viungo mbalimbali mwilini.
    Mongella amechangia mafuta lita 200 kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za Kituo hicho kufikisha huduma tembezi (Mobile Workshop) huku pia akitoa ahadi ya kumpatia mtaji wa kuanzisha mradi wa saluni binti AsianPatrick ambaye amenufaika na viungo bandia kituoni hapo ambaye kwa sasa anasoma chuo cha urembo.

ความคิดเห็น • 8

  • @glorymutalemwa296
    @glorymutalemwa296 2 ปีที่แล้ว +1

    Congrats

  • @jojinarmillinga7219
    @jojinarmillinga7219 4 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏

  • @emmanuelalphaxard9276
    @emmanuelalphaxard9276 5 ปีที่แล้ว +1

    BMG pamoja daima

  • @beathalucas1161
    @beathalucas1161 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani mimi nina shida ningependa kujua hiyo miguu kwa mfano kama mtu anahitaji mguu mmoja ninaweza kupata kwa sh. Ngapi? Jamani naomba msaada wa majibu ninashida sana

    • @BMGOnlineTV
      @BMGOnlineTV  4 ปีที่แล้ว

      Tunawasiliane ili tukuunganishe na wahusika 0757432694

  • @sinzonkwabilwa519
    @sinzonkwabilwa519 2 ปีที่แล้ว

    Jmn naomben namba ya simu

  • @honestytimber1559
    @honestytimber1559 5 ปีที่แล้ว +1

    Xaf jombaa craud