Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU napenda kazi zako shauku yangu na Mimi nataka kuwa Kama wewe na nije tufanye corabolatin ya nyimbo zaidi ya moja🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
hawa stage hows huku kukata mauno si kumchezea Mungu hawachezi kwa stahashida Mtz akipewa kidole anataka mkono,mimi ni Mtz lakin sijawahi kumsikia huyu mwimbaji
Kitu minacho kumbuka na huu mkutano ni kwamba nilipotamani kupiga selfie nawe hao majamaa wa hiyo church walikuja kunivuruga kama mwizi 😢😢😢lakini mbona hivo surely
Nataka kukuona kabla urudi tz please my brother
Napenda sana nyimbo zako ...we thank God for you ooh...Mungu akuzidie...🇰🇪🇰🇪
Ubarikiwe sana mtumishi karibu Kenya mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sanaaa Mtumishi wa Mungu Nazidi kukuombea siku moja tuonane Nakupenda Sanaa
We love you so much..much welkam 😍 Kenya napenda nyimbo zko sna zimeniinua kirohoa😊God bless you 😊
Mungu akujaze upako zaidi na ulinzi urudi salama watoto wako tunakusubiri Tanzania love you dady
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ my mentor welcome home
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU napenda kazi zako shauku yangu na Mimi nataka kuwa Kama wewe na nije tufanye corabolatin ya nyimbo zaidi ya moja🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu awe pamoja nawe ktk kazi hii njema katikati ya kizazi hiki
Napenda sana nyimbo zako mtumishi. Mungu akubariki sana n akuongezee
Man of God I love you songs so much congrats unaenda bàli
Waaau my love songs.barikiwa sana mtumishi wa mungu.amen karibu Kenya.
Annoit karibu kenya twakupenda sana Annoit mungu akuinue zaidi Annoit
Happy to see this man in Kenya karibu Annoint be blessed
Napenda kaz zako mtumishi wa mungu anoint amani
Wow I feel nice to see you in Kenya brother
I love you from this side🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪
Shalom shalom na amiina nyingi barikiwa cna mutumishi wa mungu mungu akufikishe mbali na umri murefu🙏🙏🙏🙏
Kenyans 🇰🇪 we salute you ❤
Oo Glory to God
Wow welcome and welcome again and again tunakupenda sana Amani❤
Welcome brother kindly please perform jitu la mbinguni
Waaah hio Kali sana
Congratulations 🎉
Mi nafurahia sana juuuu umefunza embarambamba kucheza
Welcome Kenya my favorite
We love you 💕💕 brother 🇰🇪
Bro annoint Mungu akuinue zaidi ...
Nakupenda kwa nyimbo zako za kutia moyo na kuburudisha.
Be blessed sana Apostle 🙏
Love this
Pamoja San mtumishi mungu azidi kukuinua
hawa stage hows huku kukata mauno si kumchezea Mungu hawachezi kwa stahashida Mtz akipewa kidole anataka mkono,mimi ni Mtz lakin sijawahi kumsikia huyu mwimbaji
I thank God Embarambamba behaved🤣🤣🤣
Proud of you dady❤
Karibu Kenya Anoint , Wakenya tunakupenda .
Anapendwa sana apa kenya❤
Karibu nyumbani ubarikiwe
Sauti unayo kaka sio utani❤❤❤❤❤
Yesu Ni Bwana ❤❤❤❤
Pitia Nakuru twakupenda
Ameeen ubarikiwe sana
Sijajua huu wimbo ni wa dini au bongo fleva duuu
Ubarikiwe sana aki
😂 𝐮𝐦𝐞𝐭𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚
My lovely annoint
Moto umewakaa🎉
Nisub kwangu pia man of God TH-cam ni Sebastian Mutinda
It's too short,wao
Mungu axis kukuinua
Halleluya🎉
Namuona embelambamba
Welcome and welcome be blessed🎉🎉🎉
Kuja Nairobi karibu sana
Namuona embarambamba
Mungu yupoo
Feel home mtumishi wa Mungu
Tunakukaribisha tena
Kumbe embarambamba Ako stage
❤
😂embaranba tunakupende bure
Hapo ni wapi
Imbarambamba yuko
Amina
Kitu minacho kumbuka na huu mkutano ni kwamba nilipotamani kupiga selfie nawe hao majamaa wa hiyo church walikuja kunivuruga kama mwizi 😢😢😢lakini mbona hivo surely
There is protocol everywhere, uliuliza kama unaeza piga picha ama uliruka na simu tu na camera,,anyway
Unaamanisha Nini mtumishi ukisema TANZANIA INAZAA VIPAJI KENYA INALEA VIPAJI?
TANZANIA HAVE TALENTS THAT ARE SUPPORTED BY KENYA MAJORLY BY BEING THEIR FIRST MARKET DUE TO LANGUAGE
Tunaomba ukoje Mombasa tukuone
Kajaza
Hakika
Kuna watu walijiita kwa uibaji bt wajaitwa,kuiba sio kuiba toa messenger inabark watu
Ubarikiwe sana mtumishi karibu Kenya mtumishi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
We love you so much..much welkam 😍 Kenya napenda nyimbo zko sna zimeniinua kirohoa😊God bless you 😊