Wimbo mzuri sana songa mbele dada mungu akutangulie katika uimbaji wako kiukweli ujumbe umetufikia tumebarikiwa sana naitwa mchungaji devidi mbaga kaibu sana Arusha shamsi sda
It's a master piece dear friend. Well arranged, beautifully sung. God bless you. I have played it more than 10x and still want to listen to more of it.
❤❤ tune za uimbaji zimefanana na yule mama dada yake na jafet aliyeimba sweet sweet. So jitahidi uwe na Radha Yako dada haijalishi mliambukizana au mlikopiana vingapi jitahidi uwe na Radha Yako ya pekee ya sauti. Mana naona ukiimba tune inafanana na ya yule mama
Wimbo mzuri sana, unawafariji watu waliokata tamaa. Endelee kumtukuza Mungu kwa maisha yako. Karibu sana Arusha, nipo tayari kuwa mwenyeji wako @@itsjamiladotto
Nimeamua Kuingia TH-cam nikaweze kusikiza nyimbo zakoo zotee Ujumbe upo sawa na ufikie wahusikaa na kila mmoja #MunguYupoNaJamilaAtaendaMbali Kama unaamini weka like
Wimbo mzuri Sana Dada angu,Ila pole kwa maumivu ya kuwekwa daladala,kakutumia,kakuzalisha afu kaoa mwanamke mwingine pole Sana,usikatee tamaa songa mbele yupo alieandaliwa kwa ajili yako,afu mtumikie mungu tuko p1 na ww,mungu azd kukuinua Katka huduma yako.
Nenda mbali sifu kama hutasifu kesho nakupenda changamoto nimojawapo kunowa maisha yako waombe mlio anzanao wasalimu mara kwamara wamefanyika njia ili ujulikane my afu sio kila swali tunalo uliza huku nje ujibu keep it up young lady we love you we pray for you may God bless you
Jamila umekua sana kimuziki ukiwa SOLO! Nakuona ukijenga uwezo mkubwa zaidi. Najifunza kuwa kuna wakati ni muhimu mwanamuziki aende SOLO ili aoneshe uwezo wake fully. Nyimbo zako zinatubariki sana!
unajikuta umefarijika tu hata kama una magumu mwisho unaanza kupambana upya kwa nguvu zote,
Hongera sana upo vizuri
Amina 🙏
Wimbo mzuri sana songa mbele dada mungu akutangulie katika uimbaji wako kiukweli ujumbe umetufikia tumebarikiwa sana naitwa mchungaji devidi mbaga kaibu sana Arusha shamsi sda
Amina ubarikiwe sana Mchungaji Mungu ni mwema sana 🙏
Mungu anayaweza yote waliyoshindwa watu🙏❤️
Wasa mungu aitwe mungu makua mrisi wako
You deserve my subscribe gal,good job👏👏
wajua kadada song very nice
Hakika Mungu anayaweza mambo yote yaliyoshindikana, na mimi nawaombeeni nyote mnaosoma ujumbe huu Mungu awatendee yale yote yaliyoshindikana, Ameen🙏🙏🙏
Amina Sana
Ubarikiwe sana
Ameeeeeen
Amen🙏🙏
Ameen my dear❤
Am blessed from Kenya,,, Sister Jamila keep up I wish to FT with you in my songs one day
Yaani mpwa wangu wimbo ni mzuri mno,,nimeuangalia mara kwa mara kiukweli mm mzazi wako nakupa baraka ubarikiwe
Mungu yupamoja nawe Fanya yote Kwa utukufu wake mana mbinguzinakutazama kuwa unaziwakilishaje nafasihiyoo pambana muwakilishe mungu nakuombea❤❤❤❤❤❤
Congratulations my beloved siz🎉❤nice one❤❤
Amen mrembo wa yesu binafsi niliumia walipokutoa,kwenye kikundi,amen hakika mungu anayaweza yaliyoshindikana Sasa songs mbele
Alijitoa mwenyewe jamani
Alienda kukuza kipaji chake .tu jmn badae kajitengemea
Wimbo mzuri ubarikiwe
Ee mungu naomba umtangulie katika maisha mbariki kipaji chake kikue ajulikane dunia nzima nakupenda sana dada angu
Kapu lako lispungukiwe kwa jina la yesu
More blessings dada, Mungu anayaweza yote katika maisha yangu
Mungu akutangulie ufike dada unakipaji 🔥🔥 wimbo mzuri ujumbe umetufikia 🙏🙏
Wimbo mzr sana mungu sana
It's a master piece dear friend. Well arranged, beautifully sung. God bless you. I have played it more than 10x and still want to listen to more of it.
Thanks a lot 😊
@@itsjamiladotto always welcome dear friend
I love your songs so much Jamilla dotto. ❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri sana naamin unanifariji mnoo hongera sana dad❤❤❤
That's mama carion keep up good work
❤❤ tune za uimbaji zimefanana na yule mama dada yake na jafet aliyeimba sweet sweet. So jitahidi uwe na Radha Yako dada haijalishi mliambukizana au mlikopiana vingapi jitahidi uwe na Radha Yako ya pekee ya sauti. Mana naona ukiimba tune inafanana na ya yule mama
Ni kweli nimefikiri niwa sister
Yoy are really an inspiration to me and the world. ❤❤❤❤
Hongera Jamila Kwa kazi nzuri Mungu azidi kuwa bawe
Machakos Kenya is well represented ❤
Great
Tupo site kabisa
Wow,Ubarikiwe sana dada angu Jamila uinuliwe sana na Bwana ktk huduma ya kuimba
Nina Amini utatuvusha kwa mambo yote yaliyoshindikanaa nyimbo nzurii yenye kutua moyo na kumshukuru mungu!! Barikiwa
Kazi Zuri dada
EE MUNGU UNAYAWEZA YOTE ,Very Nice Song
Jamila Umeimba vzr mnoo Mungu akuinue zaid🎉🎉
Unanitia moyo sana huu wimbo, barikiwa mnoo
Message ya huu wimbo ndio umenitoa tiktok kuja ku watch wote,be blessed darling sister keep moving forward 🎉🎉
Hongera sana. Mungu akuzidishie nguvu katika kumsifu.
Shukrani kwa wimbo mzuri
Kazi zuri kumu tumikiya Mungu 🙏be blessed my dear
Amen! Ahsante sana na barikiwa mno kwa ujumbe huu
Hongera sana Jamila Dotto! Nakukibali sana, unapambanaaah!!!
Barikiwa san Dad angu mzuri
wimbo mzuri songa mbele utafika pale unapo paitaji wew uwepo
Amina 🙏
Wimbo mzuri sana, unawafariji watu waliokata tamaa. Endelee kumtukuza Mungu kwa maisha yako. Karibu sana Arusha, nipo tayari kuwa mwenyeji wako @@itsjamiladotto
Hongera bint mlembo kwa wimbo mzuli
Balikiwa sana mtumishi wa mungu ,nyimbo nzuri sana
Hata before nisikize this is too fine let God guide you on every step darling ❤❤❤
So much
Pole kwa matatizo dadangu joan mungu akutie nguvu kama ameruhusu yatokee hayo mwamini yeye
Ubarikiwe sana, your songs ❤ inspires so much #NANAKUAMINI# Jehovah!!
Nimeamua
Kuingia TH-cam nikaweze kusikiza nyimbo zakoo zotee
Ujumbe upo sawa na ufikie wahusikaa na kila mmoja
#MunguYupoNaJamilaAtaendaMbali
Kama unaamini weka like
Amina🙏🙏
Good massage bt shikilia wokovu solo artst mna vita sana
Amen amen barikiwa sana dada Jamila,,a'm so blessed with this song
Amina Mungu ashukuriwe anayaweza yote n'a aendelee kukutia nguvu dadangu
Wimbo mzuri haswa yani very emotional😢 💕
Love you....io sauti...waaah.Tamu sana
Nilikua nimekata tamaa kwa stress lkn najiona kubarikiwa sana😢
Dada wimbo mzuri mno Mungu akubarki Sana ❤❤
Barikiwaa sana mtumishi
Very nice song, I love your music 🎉🎉🎉🎉
Kipaji unachoo pambana kbx Jamila
Bint hongera yak ya kumutukuza mung
Dada shikilia hapo hapo kwani mungu siku zote hamtupi mjawake hakika ipo siku utafurahia zaidi kazi yako ya kumtumikia mungu wetu❤❤❤
Wimbo huu ni mzuri sana
A very anointed song. Keep up the good work Jamila
Amen
AMINA Mungu azindi kukuinunwa zaini kipenzi
Oh God,Jamila dotto keep it up.God bless you
Wimbo mzuri Sana Dada angu,Ila pole kwa maumivu ya kuwekwa daladala,kakutumia,kakuzalisha afu kaoa mwanamke mwingine pole Sana,usikatee tamaa songa mbele yupo alieandaliwa kwa ajili yako,afu mtumikie mungu tuko p1 na ww,mungu azd kukuinua Katka huduma yako.
🎉
Jamila hongera Sana mdogo wangu wimbo mzuri sana songa mbele simama mtumikie mungu
❤
Jamila nimekuona ktk kipindi cha Nipe Tano,nikaanzia hapo kukufuatilia Duuh ,Uko vizuri Sanz na utafika Mbali mno,umenifurahisha mno.
Huyu dada namwombea kwa Mungu baba aendelee kumlinda na kukiza kipaji chake hakika ananibsriki sana
Nakukuar my friend
🎉
GOD bless you my dear, You've done it right
Thank you kindly
Kaz nzry Sana
Mti wenye matunda haukosi mawe, songa mbele dadangu Jehovah Mungu wetu ni mwaminifu, i subscribe to your channel 💯.
MUNGU akutumie zaidi 😍🙏
❤❤❤❤😊who else is also in love with this song
Hongera shetani alijua anaenda kukumaliza hatimaye unasonga mbele songa mbele safar yetu ni nzito ina milima na mabonde mawimbi nayo yatusonga lakn usiirudi nyuma
Uk vzr ila nass tunapenda tuunge p1 nawe
Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine ktk kuitenda kazi yake
Unanifurahisha san
Keep going gal....God's glory be upon you always 🎉🎉🎉🎉
Nenda mbali sifu kama hutasifu kesho nakupenda changamoto nimojawapo kunowa maisha yako waombe mlio anzanao wasalimu mara kwamara wamefanyika njia ili ujulikane my afu sio kila swali tunalo uliza huku nje ujibu keep it up young lady we love you we pray for you may God bless you
Amen hallelujah GOD BLESS YOU
Ameeen hakika anayaweza tote
Much love from Kenya 🇰🇪
Hongera mrembo, Mungu akutie nguvu.
Naomba unisaidie no ya director aliyefanya video, nataka nifanye video Mimi ni mwimbaji ASANTE
Kweli Mungu Anaweza yote songa mbele Jamila Mungu Akusimamie kwakazi nzuli y'a Kumtumikia
Hallelujah 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Yesu anakuja bado kitambo kidogo
Barikiwa dada angu nimebarikiwa na nyimbo ya ushujaa wa roho asante
Umenitia moyo sana.
Kazi nzuri sana dada kaza mwendo
Usiku mwema kwako Jamila nimetoka kusikia wimbo wako et
Wawooo mungu ni mwema piga kazi ya mungu mbaka adui aseme ee basii nimekomaaa
Keep it more bressed 🎉 song amazing sanaaa
Dada yangu Jamila Mungu akutangulie katka safari hio yaubaji binafsi maana sio rahisi dada yangu nakupenda
❤❤❤ barikiwa
Mungu akubariki pia tufike mbinguni rafiki ndiotumaini letu
Ongera sana dada angu endelea kusonga mbele naamin hutafika mbali mungu hakusaindie
Hongera kipenzi kazi nzurii🎉🎉❤❤
Sina Mashuka na Mungu wetu,,,,,atatuvusha salama
Hongera dear.
Watching from Nairobi Kenya...good job my sister.,,Uwimbo mzuri
Dada uko vizuri sana we hubiri kwa nguvu zote
Barikiwa bint doto Mungu akuinue zaidi
Jamila umekua sana kimuziki ukiwa SOLO! Nakuona ukijenga uwezo mkubwa zaidi. Najifunza kuwa kuna wakati ni muhimu mwanamuziki aende SOLO ili aoneshe uwezo wake fully. Nyimbo zako zinatubariki sana!
Ubarikiwe sana mtumishi Hadi machozi yananitoka
I love this song my dear. Kenya loves u Nina uchungu na Japheth sijui kwa nn but moyo wangu tulia kwa Bwana
Hongera Jamila. Nakuomba kwa Mungu apiganie huduma yako. Nakupenda sana.
Mtumshi ubarikiwe sana