maashaallah sheikh wetu . Allah akuzidishie Elimu . kwa kweli tunanufaika sana sana . Endelea kutuelimisha . Allah Subhanahu Wataala akulipe darja ya juu kabisa ukawe na mzee wetu sheikh Nassor Bachu na maulamaa wengine pamoja na kipenzi chetu mtume wetu Muhammad Sallallahu Alayhi Wasallam . Allahummaamiin
Alhamdulillah shekh tunasoma ingawa wamekufukuza nyumban bal hatutaacha kukupenda madam umekamata hak allah akuthibitishe kwa hilo na akuzidishie afya na elmu na hekma tuzid kunufaika nawe amiin.
A.a shukran ustadh tafadhal usicheleweshe sana darsa angalau ikiwezekana kila baada ya siku mbili.Kwasababu inasikitisha nimeona mashekhe wengi wanaanzisha darasa kwa hammu baadaye wanatoweka inakuwa msiba mkubwa kwa wanafunzi.Shukran.
Assalaamu Alaykua mwalim nakuomba hizi darsa ziendelee Biidhnillah ili wale wanafunzi tusome na kumaliza vitamu nasema hivi nimeona baadhi yao wakianzisha masomo mtandaoni kipindi mwanafunzi anapoanza kuelewa mwalim hupotea na hatuzioni tena post za darsa tafadhali mwalim
Jazakallahu khairah Allah akuhifadhi shekh wetu

shukran ustadh mohammed Bachu nafuata darsa lako kutoka kenya
Allah akupe umri mrufu ili nizid kuwa mwanafunzi wako.
Mashallah Shukraan sana sheikh wetu nakupenda sana kwa ajili ya allah
أحبك الله الذي أحببتني فيه
Tunafuatilia kutoka Kenya
Assalam aleikum warrahmatu llah shehe wetu,mungo akubarique.
Maasha Allah tunafatilia kwa umakini sanaaa... umetusaidia sanaa ss watu wa maofic tunaotaka kusoma dini ... Allah akupe afya udumu na a'amal hii.
Umeona eeeh
Hhhhhhhh hata kufasiri haujui Sio fanni yako
ALLAH akulipe kutokana na kejeli zako,huyu ni mwalimu mzuri sana
Allah akulipe kwa kejeli zako
Swadakta tuko pamoja
اشكرك .والله أنا أستفيذ منك
Mwalim.Alhwa.namuomba akulipe Mwalim wangu kwa wema wako.
بارك الله فيك وزادك الله علما النافع
Baaraka allahu fiik
Jazakallahu khairah
ahsante sana sheikh kwa kutuekea maneno ya kitabu ,jazaaka llahu khayr
Assalaamu Alaykua mwalim nakuomba hizi darsa ziendelee Biidhnillah ili wale wanafunzi tusome na kumaliza vitamu nasema hivi nimeona baadhi yao wakianzisha masomo mtandaoni kipindi mwanafunzi anapoanza kuelewa mwalim hupotea na hatuzioni tena post za darsa tafadhali mwalim
Kama ALLA atakupata taufiq yakuendeleza hili darasa ustadh,NSHA-LLA karibuni ntakuwa muarabu mweusi.
😂😂😂mwarabu mweus tena
Shukran sheikh wa jazakallah kheyr Allah akupe umri taweel wenye barka amin
Asante xheikh
Allah akubaarik 🙏🙏🙏
لقد استخدم أستاذي طريقة جيدة جدًا جزاكم الله خيرًا
A.a ustadh tuna hamu yakusoma ziko wapi class nyengine.
Shukran ustadh
Shukran sheikh
Alhmdu linlah
جزاك الله خيرا
Assalam aleykum warrahmatullah darasa zimesimama naona
Asalam alaykum,sheikh darsa hili limesimama au linaendelea?
Shukran..
Ma sha allah
Well defined work
Nizaidi yakuako darasani
But it's too short..
Ili mtu asichoke mara moja.
Wengi hawajapata utamu wa elimu, wanachoka mara moja kuskiliza.
Wakipata ladha ya kusoma tutarefusha inshaAllah.
@@Muhammad_Nassor_Bachu_.
Sawa mwalim tuko pamoja ....allah akuwezeshe
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. ustadh darsa zimesimama au mko busy
Shukran
As salaam alaykum vp hali yako sheikh wetu. Allah akulipe kheri zaidi. Sheikh mm niko Kigoma Tz mudamrefu nilikua natafuta mawasiliano yako na sikufanikiwa nikapanga labda nikufanyie ziara sheikh wetu. Sasa naweza kuipata namba yako ?
Hii darsa yatoka kwa week mara ngapi??
Mash Allah sheikh mwenyezimungu akuhifadhi tupate faida zaidi
Uculize mwache atoe cku zte.. .tuzidi kufaidika
المعلم آسف لدي رقم هاتفك