Shuka Aaahh shuka utende maishani mwangu Nimeona wengine ukiwatendea lakini Mimi bado Kufunga na kusali vyote nimefanya lakin hali ni ile tu Fungu la kumi bado nimetoa yatima nao nimesaidia heee Lakini Bado Nina ngangana Lakini bado ninapambana Shuka utende Ohh utende Shuka utende maishani mwangu Shuka baba Shuka utende maishani mwangu Shuka baba shuka utende maishani Shuka kwa wa mama shuka utende maishani mwao 2..Wana israeli kule jangwani walikuita ukaitika Danieli kwenye tundu la simba alikuita ukashuka Maana yake nikua wewe ni mkuu unasikia tunapokuita Hujawai chelewa hujawai nyamaza Unajibu kwa wakati wako Hujawai chelewa hujawai nyamaza Unajibu kwa wakati wako ooh ohhh Shuka aaaah shuka utende maishani mwangu Shuka aaah shuka utende maishani mwangu Shuka kwa kwa wababa shuka utende Shuka aaah shuka utende maishani mwangu Shuka aaah shuka utende maishani mwangu Shuka aaahh shuka utende maishani mwnagu Nishike mkono baba..aaahhh maishani mwangu Siwezi bila wewe aaahh maishan mwangu Nitembelee aaahh maishani mwangu Ooh baba Siwezi bila wewe siwezi bila wewe maishani mwangu Ooh ooh ohh yeeeeeeeeerr aaahh ….muzikaaaaa Aaaahhh maishani mwangu
Simon you are gifted indeed and at times I wonder how such gifts are just wasted as the world gives fame to those who sing worldly songs in the name of gospel......may God lift you more and more
Am going through alot in my life need someone to talk too. This song has been my inspiration anytime i listen i 😭😭😭😭😭😭😭know one day i will over come this
You’ll never know how much this song came to me just when I needed it. I must remember to “Be still and know that He is God”. He is faithful and works in His own time. 🙌🙌🙌 Thank you Simon…it was so joyful.
Congratulations 🎉 bro , may God bless you abundantly bro 💪💯🎉.........SHUKA SUKA BABA PIA KWANGU .......HUJAWAI CHELEWA IPO SIKU ,OOOH..!!!! AMINA💯🎉 RIBO KANTA SIRASEE
End of the year 2023 and I really need this prayer..Everyone passing through difficulties may you come back 2024 with good news that "Ametenda maishani mwako..❤❤❤
Sura ni ya sleepy Dave--sauti ni ya the late legend Emachichi ! Keep it bro-I saw this on tiktok am here on repeat mode! Shuka Baba unitende -Badili hali Amina!
Shuka utende maishani mwangu I got to listen this song after 7 months of being produced but I thank God that for sure these song is ministering in my heart I believe I will share a testimony 🙏🙏🙏
Shuka Aaahh shuka utende maishani mwangu
Nimeona wengine ukiwatendea lakini Mimi bado
Kufunga na kusali vyote nimefanya lakin hali ni ile tu
Fungu la kumi bado nimetoa yatima nao nimesaidia heee
Lakini Bado Nina ngangana
Lakini bado ninapambana
Shuka utende
Ohh utende
Shuka utende maishani mwangu
Shuka baba Shuka utende maishani mwangu
Shuka baba shuka utende maishani
Shuka kwa wa mama shuka utende maishani mwao
2..Wana israeli kule jangwani walikuita ukaitika
Danieli kwenye tundu la simba alikuita ukashuka
Maana yake nikua wewe ni mkuu unasikia tunapokuita
Hujawai chelewa hujawai nyamaza
Unajibu kwa wakati wako
Hujawai chelewa hujawai nyamaza
Unajibu kwa wakati wako ooh ohhh
Shuka aaaah shuka utende maishani mwangu
Shuka aaah shuka utende maishani mwangu
Shuka kwa kwa wababa shuka utende
Shuka aaah shuka utende maishani mwangu
Shuka aaah shuka utende maishani mwangu
Shuka aaahh shuka utende maishani mwnagu
Nishike mkono baba..aaahhh maishani mwangu
Siwezi bila wewe aaahh maishan mwangu
Nitembelee aaahh maishani mwangu
Ooh baba
Siwezi bila wewe siwezi bila wewe maishani mwangu
Ooh ooh ohh yeeeeeeeeerr aaahh ….muzikaaaaa
Aaaahhh maishani mwangu
Shuka utende baba🙏
Same to me allow us to download offline if possible it's really great
Me too
Me too from tiktok
Eu amo essa voz
From TikTok here we come
From TikTok wapi likes guys🎉🎉🎉
Shuka baba utende mema...this a blessing song for me.. keep it lit always though you are lost for long
From TikTok to here🏃love this❣️may Jehova God lift you higher🙏
Asante sana
Tuko wengi mbona😊
Mimi pia
Same 🙏🙏
Big up bro❤
From tiktok and am truly blessed ❤
From TikTok 😊😊😊😊😊😊..and I can say that am praying to God to do something in my life
From TikTok a lot of 💕
From TikTok.. great job.. blessings 🙌
It's my prayer too... " Shuka Baba utende maishani mwangu"
Simon you are gifted indeed and at times I wonder how such gifts are just wasted as the world gives fame to those who sing worldly songs in the name of gospel......may God lift you more and more
Kutoka tiktok pka nmeipta song yko yanibarika snq mtumishi mungu akuzidishie kipaji chko 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌
Wenye tumekuja hapa from tiktok mkono juu 😍😍..
This song deserves live recording
Good job... Sims... Alafu mandela amefanya kazi fiti
Who else appreciates the effort our dear simon sims puts into this…..everything sounds perfect…..this is a hit for sure…nice work ..sir 🍻❤
Asante my son ❤
Blessed 🙏🙏
May God I serve lift u up my dear Bro lm so blessed with this song
Am going through alot in my life need someone to talk too. This song has been my inspiration anytime i listen i 😭😭😭😭😭😭😭know one day i will over come this
From TikTok to here😅this is awesome.ive been playing this song repeatedly.may God bless you sims
Thank you so much
Shuka utende maishani mwangu Bwana🙏 Sims be blessed, I really love this song.
This is my prayer GOD shuka unitende kwa maisha yangu yesu😢
From FB reels to come and search this wonderful song here.....from now henceforth this is my ringtone and my daily prayer 🙏
Thank you so much deric
I had to pause Tiktok and run here, nice song with nice voice 🙏
Barikiwa sana ndugu huu wimbo ni mzuri na una neema kubwa,mungu akutambulishe kwa mataifa yote
It's a blessing listening to this❤may the Good Lord uplift you more
if i could recount how many answered prayers i have received indeed Mungu ameshuka na akatenda maishani mwangu
wow amazing song I can't be enough of this song God bless you ,,Mungu ni mwema kwangu nlipozikiza hii song I got a new situation
Amen ubarikiwe sna hii nyimbo naipenda sana kila siku paka niicheze
Wow Amen Amen 🙏 shuka utende maishani mwangu Baba
You have a voice just as that of Emachichi
From tiktok mungu akubariki Sana mtumishi umenitia moyo
Bro everytime i hear this sound i run TH-cam for the visual part,si song is big and blessing🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇬🇧🇺🇲❤️📸💰
Wow always salute you papaaa,🙏🙏Long time kwelii🙏🙏muzikii mzuriii😊
Love from Tanzania 🇹🇿 to Sweden 🇸🇪🙏
From TikTok to here , a true definition of praise song Emachichi is back
Shuka pia kwangu baba unitendee maishani mwangu.
You’ll never know how much this song came to me just when I needed it. I must remember to “Be still and know that He is God”. He is faithful and works in His own time. 🙌🙌🙌 Thank you Simon…it was so joyful.
I ran from TikTok to watch this, lovely music with a beautiful rhythm. Though I don’t understand a word but I love it
Aww that’s so sweet of you thank you.May God bless you
Shuka utende maishani mwangu eeh Mungu..congratulations bro u r gud in creativity
kijana mdogo.. nmependa kazi yako... Gospel ministry 8s about winning souls not for entertainment..Big up
mungu lazima atatenda ,sio mdanganyifu kama wanadamu 🙏
This is it,wimbo huu umeutendea haki ipaswavyo kaka,Mungu akuzidishie katika hatua za huduma hii.
Powerful song, mbarikiwa sana♥️👍
This morning has spoken My maid ,have been telling God this,God I tell you again ''shuka unitendee bwana''
From TikTok running here because it touched my heart,God bless you 🙏🙏
WOW 😮wow... God shuka baba I love it, it's remind alot ❤
❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
From tiktok here
I'm really blessed with this song "shuka utende"
My favourite ,,,it should be song of the year,,,God do for me and everyone working outside country it is not easy 😢
Great singing... Mungu anakupeleka mbali babaa
Here from tiktok ukiwa Glasgow. I like the song and prayer. ❤
Congratulations 🎉 bro , may God bless you abundantly bro 💪💯🎉.........SHUKA SUKA BABA PIA KWANGU .......HUJAWAI CHELEWA IPO SIKU ,OOOH..!!!! AMINA💯🎉
RIBO KANTA SIRASEE
Asante sana kakangu
Saw this on TikTok and boom can't let it go🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
From tiktok hadi hapa nice song always listen on repeat mode .
Na mungu azindi kutenda🙏🙏🙏
Glory to God,,,, shuka tenda kwangu mungu
From tiktok direct to TH-cam. Blessings🙏
End of the year 2023 and I really need this prayer..Everyone passing through difficulties may you come back 2024 with good news that "Ametenda maishani mwako..❤❤❤
From Facebook to here nice song,is ma song everytime in the house ❤,, congratulations
Amen More grace
Shuka utende jehova, barikiwa sana ndugu
Sura ni ya sleepy Dave--sauti ni ya the late legend Emachichi ! Keep it bro-I saw this on tiktok am here on repeat mode! Shuka Baba unitende -Badili hali Amina!
From tik tok to here... great job Simon,more grace
From tiktok iam here ,uuu shuka utendee maishani mwangu eee Mungu wangu
From TikTok now I'm here ❤❤you are blessed minister
Wimbo mzuri inayotia mtu nguvu kwa vyovyote vile tusikate tamas
huu wimbo huboeki kuusikiliza siku nzima,God lift yu frm glory to glory
and I promised yu frm tiktok ndio tunauwakilisha sunday chrch
Wow Asante sana
From Tiktok this is nice
From tik tok hadi hapa shuka utende maishani mwangu baba🙏🙏🙏
From tic tok to here .....i really love the song it ministers directly to my soul
From TikTok to here now☺️😁 can't get enough of your songs,God bless you man🙏
This song ,I love it so much 🙏 from tiktok to here
Shuka baba maishani mwangu,,,I need you God
Just because of the blessing through this song you have arned you're self a new sbucriber
Saw you on Tiktok, came here to listen to the full song. You have a nice voice
Amen baba Shuka ututendee ,wow that song is ❤
All the way from TikTok...nice song
From tiktok to here I love the song❤
Thank you so so much
Sending love hadi nakuwa na goosebumps nkiskiza ❤❤
from TikTok 😂😄 to here, am really blessed.
Be blessed ,I can't get enough of this song nina Imani atashuka na atatenda
Shuka utende yesu Maishani mwangu yesu ❤❤❤More grace.
Shuka utende maishani mwangu I got to listen this song after 7 months of being produced but I thank God that for sure these song is ministering in my heart I believe I will share a testimony 🙏🙏🙏
Amen Amen Amen. Shuka utende Maishani mwangu .Amen
Shikari tena Mingu amen 🙏 I love the song from tiktok
Nami Pia Naomba Pia Mungu ashike atende🙏
Simon apo umejua kuupiga yani hii itakutoa kaka lazima nakuombea sana
I love the song i use to watch it pn tik tok God's blessings Baraka tele
A nice song Simon...The streets of Scotland haven't changed your position on Christ....keep it up..
Amen I have arrived and subscribed from tiktok
From Tictok to here, nice song, more Grace ❤
Your video from TikTok brought me here.. you're blessed ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
From tiktok,,, this song is a blessing for sure. God bless you my brother
This is really God, Almighty God to remember you always
Nimeitafuta hii song kwa sana finaly nimeipata😊
My favorite song since last year. Big up bro
Amen ... More grace bro this song it's bless mea😢😢
Straight away from TikTok....God bless you brother, preach the gospel of Christ with more Grace and anointing
From TikTok to here❤Simon you are a blessing
Nakuja mbio kutoka tiktok be blessed man of God 😍😍
From tiktok to here , this song is a ministration to me! As the year ends this my prayer song !
From TikTok to hee. What a wonderful song
Dear God shuka utende maishani mwangu
From tiktok...this song is my prayer🙏