HANS RAFAEL APIGA SIMU RWANDA KUJUA SIFA ZA CEO MPYA WA SIMBA/ WAANDISHI WAFUNGUKA A-Z
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz
Wimana uko vizuri sana, hapa Mo dewj amechemka kiukweli angejaribu kurudi South Africa hata Nigeria na maeneo mengine yaliyo piga hatua ki soka, na siyo Rwanda
Nadhani kuhusu kufanya vizuri kwa CEO ni swala la wachezaji na kocha kufanya vizuri kama issue kubwa ikiwa ni kupata vikombe lakini kuhusu mambo ya muunganisho na jinsi gani utaongeza thamani ya mapato na kukuza networking nadhani ni kitu ambacho atakuwa na uzoefu nao toka huko alikotoka.
Yuyu Uwimana aache kuzingua. Regis ni Kiongozi odali
Nomaa
Ila mimi nilimhitaji Sana Kajura Imani...
Jamani tunaomba na iringa tupate mnala wetu wa crown jaman tunaipenda sana
Mnahoji vichaa, anamtaja Barbra Gonzalez kwani huyu kabla ya kuteuliwa kuwa CEO alishafanya kqzi hii sehemu nyingine? Unamhukumu mtu kutokana na nchi anayotoka au kutoka na capabilities alizonazo? Anaweza kutoka uingereza lakini hajui kitu.
Mwanza fanyeni mambo crown fm tuwapate
Bidada hakupindisha Maneno kanyooka vizuri
Huyu mwandishi yuko smart sana...Ila adje tu kwanza iman kajura cjawahi muelewa anajifungia san
NI INSHORT HAKUNA CEO HUMO! 😂😂😂
Hugo babra ulimjua Kabla ya kutua Simba na Alifanya nn?
@@musamkembela1395 Labda ww ndio ulikuwa humjui, ila upo sawa maana unaishi Kimbugila huko ndani ndani.
Njo wewe
Wamana anasema huyo ceo hajacheza mpira na mambo mengine sasa Barbra na Kajula walicheza mpira?Ninachojua ameishi kwenye Soka na amefundisha mpira..tumpe Muda
Huyu mama kutoka Rwanda kaongea FACTS sana... Viongoz wa Simba Kuna time wanakurupuka sana
Simba inashushwa chini na viongoz wake.. Viongoz wa Simba hawatoshi
Ndg zangu ceo sio mchezaji lakini pia mkumbuke Babra alicheza mpira wapi na alifanya vizuri hapa ni mahusiano na Tajili yarakuaje ndo suala la msingi fitina zingine waachieni kina magori na wenzake
Acha ulimbukeni sio Kila jambo ni mpaka ulaya au mataifa yaliyoendeea
Ngoja aje atatusaidia
Babra kwani alicheza mpira wapi😅😊😅
Morogoro jmn tunaomba frequency mwaka huu
Huyo CO ni mzr na yupo poa na hataki kona kona
SASA NA NYIE MNAWADHARAU WACHEZAJI WENU? NA NYIE MNADHARAU TIMU YENU BADALA YAKUITIA MOYO
ALIKIBA AJUE KIGOMA NDO NYUMBANI BADO HATUJAPATA FREQUENCIES ZETU JAMANI
MBONA ANAJISAHAU
Alisha kataa alisema yeye ni mtu wa Iringa.
NA NYIE KWANI HAO MA CEO WALIOPITIA SIMBA WALICHEZA WAPI MPIRA? MBONA WALIFANYA VZR?
HII CHANEL CROWN NI BORA SANA NA WACHAMBUZI WAKE NI BORA SANA NA HONGERA SANA HII CHANEL BORA SANA
Kumbe bluess na ww🟦
Hapo alipoishukuru clouds 😢
Simba wameanza kuzingua mwishoni kudadek Sasa APR Yann afu na uyo CEO dah wameanza kuzingua mwishoni 😡
We hujui lolote
Kakojoe ulalee
kwamba uanwajua vzur APR na uyo Ceo au n umebarikiwa gubu tu
Wee ulitaka aje ahly au
Hujui mpila ww