Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Ulaya Mungu ibariki America Na Mungu ibariki pia Asia Mungu Mbariki Bongo zozo Tupabriki watoto wako Dunia Nzima
😘😭👏👏👏👏👏asante love wetu mungu akuzidishie kila la heri kwenye maisha yako pamojana FAMILY yako ww uko sawa kweli watu penda Africa nzima asante nakupenda sannna bongozozo pamoja na familia yako😘😘😘😘
Zozo leo umezozota umebubusa umenifanya nimefurahi sana mungu akuendeleze kipaji chako na uendelee na uibaji huo unakipati sasa toa wimbo hata mmoja unaweza sana kabisa
I love Tanzania my home be proud to born here watu kama wakina bongo zozo wanaacha nchi zao zina kila kityu lkn wanaipenda Tanzania how blessed we're One love bongo zozo
hongera bongo zozo wewe nizalendo wa kweli ningefurahi kuona na bend yako mkiimba wimbo wa natazama raman huo wimbo umejaa hisia za kweli za kiutanzania
Me nakukubali bongo zozo kwa mikakati yako na mapenzi na nchi yetu sote, mungu ikariki africa mungu ibaliki tanzania 💍🌹🌹💍🌹🌹💍 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 💍🌹🌹🌹🌹🌹💍 💍💍🌹🌹🌹💍💍 💍💍💍🌹💍💍💍
Nakuomba imba tena kwa lugha Taifa lako ili Taifa lako lione raha ya wimbo huu na lipate tafsiri ya wimbo huu na kwa sauti hihi, kwa kweli mmeimba vizuri sana hongera waimbaji wote nawapongeza sana.
inawezekana ila wimbo wa africa ni nembo ya taifa huwezi ubadilisha kwa lugha yoyote au kuedit maneno ni sawa na neno maji kuita mchanga ukiamanisha ni kitu kimoja
Huu upendo wa Bongo Zozo kwetu haupmiki,Dunia yote tungendana hv tungempendeza sana MUNGU wetu!We reply back this love to you and your family members Bro.
Wow!! You made sing with you guy,Bongo zozo you real are doing awesomely and humbly amazing for Tanzania we love you and THANK YOU SO MUCH,you all sang passionately
Hakika bongo zozo umeniliza hakika sisi tulio watanzania halisi hatuna uzalendo kama wako. Mungu akubariki sana kweli unaipenda Tanzania kutoka moyoni.
Mzuri kabisa Mimi mkenya nawapenda Tanzanian 😍😍
I live in the USA 🇺🇸 but I will always love you my beautiful Tanzania 🇹🇿
😢
😢
Naombeni like za bongo zozo Mungu ambariki kazi nzuri sana
Tunakupenda sana bongo zozo, muingereza mwenye nafsi ya Tanzania,, Mwenyezi Mungu akubariki Sana bongo zozo fujo isiyo umiza.
P
Bongo zozo ukifa tutakuzika Makaburi ya Kisutu na tutakuimbia huu wimbo ❤❤❤
Love Tanzania from Indonesia 💖🎉
Hongera mzee babaa umewakilisha vyema
Mungu ibariki Africa Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Ulaya Mungu ibariki America Na Mungu ibariki pia Asia
Mungu Mbariki Bongo zozo
Tupabriki watoto wako Dunia Nzima
Bongo zozo katika ubora wake .... Ahsante sana kaka ... umenibariki
😘😭👏👏👏👏👏asante love wetu mungu akuzidishie kila la heri kwenye maisha yako pamojana FAMILY yako ww uko sawa kweli watu penda Africa nzima asante nakupenda sannna bongozozo pamoja na familia yako😘😘😘😘
From Uganda but I love this anthem so great true Africa it boils my African blood
Wow, impressive anthem of a proud African nation! Love from SA, Nkosi sikelel' iAfrika...
Bongo zozo,SAFI sana kwa kazi nzuri unayo ifanya God bless you all,salam sana moshi na mama jeska we love you 🇹🇿🇹🇿
mungu ibarik africa mungu ibarik Tanzania ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Zozo leo umezozota umebubusa umenifanya nimefurahi sana mungu akuendeleze kipaji chako na uendelee na uibaji huo unakipati sasa toa wimbo hata mmoja unaweza sana kabisa
Mzeee baba unawakilisha nimependa sana,like zenu tafadhari
Bongo zozo ni mzalendo zaidi yetu wazaliwa 🇹🇿 god bless you like 2 show love for him
Waaaaaoh.... Wimbo umeimbwa Vizuri sana... Asanteee Sana Bongo Zozo.. Asanteee kwa Kuipenda Nchi yetu na kuendelea kuitangazaaa
Africa Waabariki Viongozi Wake...IIIIIh Bariki TANZANIA TZ
Bongo zozo umeniliza huu wimbo Asanteni!
Dude! Why hasn't the whole of Tanzania seen this and subscribed?. Awesome.
I love Tanzania 🇹🇿 while in Oregon Portland 🇺🇸✌️
Hongera umewazidi wanyarukolo wengi
Appreciated Bongo Zozo.Unaonyesha zaidi ya uzalendo kwa Tanzania nchi yetu.Love our country
Haki yanani tunakupenda sana ungejua huu upendo ungekua unatembea kama mm kitaaa?we love u broo
Mnaimba vizur mpaka raha,,hongera bongozozo Mungu ibariki Tanzania
I love Tanzania my home be proud to born here watu kama wakina bongo zozo wanaacha nchi zao zina kila kityu lkn wanaipenda Tanzania how blessed we're
One love bongo zozo
Huyu jamaa hakika nimempenda sana. Amekuwa mzalendo kuliko hata sisi wazawa. Stay blessed Mr Bongo Zozo
Thanks bongo zozo u're the best, utabaki juu mawinguni
Congratulations for your national holiday on 26th April Tanzania a from your friends in Germany
Safi sana bongo zozo kwa kuitangaza Tanzania na Africa kwa ujumla big up mzungu.
kazi nzuri sauti,mpangilio wa muziki ,umechanganya vipande vya video vizuri hongera
hongera bongo zozo wewe nizalendo wa kweli ningefurahi kuona na bend yako mkiimba wimbo wa natazama raman huo wimbo umejaa hisia za kweli za kiutanzania
Tanzania Anthem always gives me goose bump though I am Kenyan
Safi sana Bongo zozo. Wakilisha vyema Tanzania. Tujivunie vyetu na utaifa wetu.
Me nakukubali bongo zozo kwa mikakati yako na mapenzi na nchi yetu sote, mungu ikariki africa mungu ibaliki tanzania 💍🌹🌹💍🌹🌹💍
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
💍🌹🌹🌹🌹🌹💍
💍💍🌹🌹🌹💍💍
💍💍💍🌹💍💍💍
Wanaomkubali Bongo zozo kuwa ni Raia sa Kweli Nchini kwetu Tanzania. Gonga LIKE hapa.
Dope 👌👌👌 from 🇿🇦
oooooooooh oooooh yoooo safi sn shemeji ww ni mtanzania1 thank you so much for that
Cikuping bongo zozo, much blessings to youuuuuuuu
All da best.Ur teaching something to Tanzanians and Africans at large.
Nakuomba imba tena kwa lugha Taifa lako ili Taifa lako lione raha ya wimbo huu na lipate tafsiri ya wimbo huu na kwa sauti hihi, kwa kweli mmeimba vizuri sana hongera waimbaji wote nawapongeza sana.
inawezekana ila wimbo wa africa ni nembo ya taifa huwezi ubadilisha kwa lugha yoyote au kuedit maneno ni sawa na neno maji kuita mchanga ukiamanisha ni kitu kimoja
As usual, brother from another mother bongo zozo fujo isiyoumiza, Mungu akubariki kwa kuipenda nchi yetu Tanzania
Hakika wazungu wote wangekua na moyo kama wako kaka bongo zozo duniani pangekua sehem salama sana kuishi. Bro MUNGU akulinde usipate corona jaman
Wewe yupo kazini uyo
Live long and blessed bongo zozo........ its a very touching thing, we love you so so much balozi and Tanzania true blood
Umetishaaa mze fwaza
Tunakupenda sana Mtanzania mwezetu bongo zozo 🥰🥰🥰🥰
Mmetisha sana! Tunakupenda sana Bongo Zozo
imgnee bongo zozo kuna wengn wa Tanzania they don't sing with high feelings lakin wewe you do soo that's is xoo tremendous
Love u bongooo zozoo
Asante Sana shemeji mungu akibariki pia Sana miaka Mia kwako Amina.
Bongo zozo nakupenda bure mungu akubariki mzalendo WA kweli
Wow, I love it the way you sing it it's absolutely amazing
REST IN PEACE...
REST IN POWER MAGUFULI 😭😭😭😪😪😪😪😪 WE STILL LOVE YOU..
❤ Tubariki watoto wa Africa
Awesome
Braza umetisha sana, safi sana Bongo zozo
Bongo zozo unatisha kha asee we noma mimi mwenyewe siijui vizur nakoseaga hizo beti za wimbo
Ahsante sana. Uko vizuri sana
Safi sana bongo zozo kwa unachokifanya kila siku unafanya Mambo mazuri kwa watanzania wenzako mungu akubariki sana
Shemelaa,leo umeukosha moyo wangu,hadi nimelia machozi.Sauti zenu na vyombo wote mmenipa siku ya tabasamu tele usoni.Upo juuuu Bongo zozo fujo isiyoumizaaaaaaaa.Much love"!
Huu upendo wa Bongo Zozo kwetu haupmiki,Dunia yote tungendana hv tungempendeza sana MUNGU wetu!We reply back this love to you and your family members Bro.
Mmeimba vizuri sauti zenu nzuri mko vizuri Asante sana.
Mungu awaepushe na covid19
Saafii sana' ikopw Bongo Zozo wemkali nimeipenda
Dah!! NimePenda Kwa dhati,uzalendo wa kweli,inavutia sana,hongera sana Mzee zozo
Wow!! You made sing with you guy,Bongo zozo you real are doing awesomely and humbly amazing for Tanzania we love you and THANK YOU SO MUCH,you all sang passionately
Ahsante kwa kuwakilisha bongo zozo
Bongo zozo tunakukubali sana...Mungu akubaliki na we piaaaaaa
Bongo zozo una sauti nzur Mashallah
Tanzania has the best anthem in Africa ❤❤
It's another brainwashing tool to divide and conquer. Your not independent and sovereign if Europeans drew you border and flag .lol
Sounds similar to South Africa
High creativity man
Mungu akutanguliee kwa kile unachokifanyaa ktk nchii yetuu 🙏🙏🙏🙏
Waooo
Hongera kaka
This could be very great in praying for the country's current situation.
Thank you Bongo Zozo....May God Bless you
Hakika bongo zozo umeniliza hakika sisi tulio watanzania halisi hatuna uzalendo kama wako.
Mungu akubariki sana kweli unaipenda Tanzania kutoka moyoni.
Band nzuri sana....kongole kwenu you have done amaizing job
Amaizing bongo zozo it's tourch my sense Viva Tanzania Viva magufuli
Mungu ibaraki AFRICA
Mungu ibaraki Tanzania
Heri yako wewe, umenigusa kwa namna ambayo sijapata kuona!! Amina
bongo zozo nice your voic umenigusa sana
Huyu mtu anajua sannaaaaaa,, big up zungu
Ubarikiwe saaana Bongo zozo we love you so much
mungu m.barik bongo zozo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duuu+++ asante cana
Daaaaah,,,uko juu kaka
Barikiwa Sana Bongo zozo kusaidia kuitangaza Tz
Ubarikiwe bongo zozo
Mungu akubariki sana, kwa uzalendo wako usiopimika Amen
Imekaa vizur Mr bongo zozo
Wow bongo zozo you're amazing
Full love for # Bong zozo
Shemeji yangu hongera it's sound good,nawapenda wote
Tunakupenda................
Bongo zozo..safi sana
Bongo zozo nlkuja jana kwako nikaskia unaimba sana ndani iwish tuzungumze kwasaabbu una uzalendo wa ajabu sana na TANZANIA
Shukurani Sana zikifikie wewe bongo zoz: MUNGU IBARIKI 🇹🇿 Najivunie kuwa 🇹🇿
Fujo isiyo umiza umeua..........❤ bongo zozo
My prayer for my country is my song of the nation 🙏
Bongo zozo Pamoja sana fujo isiyoumiza kweli kweli
U r blessed Bongo zozo be 4eva blessings