Kaka @mshanatheblacksmith umepata credit score ya $ 1000 , whats the interest in return?! And that last for how long? Mfano huku kwetu Tz, ukipewa mkopo bank unapewa interest kiasi Fulani au asilimia Fulani Na labda unaambiwa within a year or ahalf uwe umeshamalza kulipa, what's for u.s.a bank creditscore system
Yaah ukipata hiyo pesa ya credit unakuwa unayoitumia ndio utayolipa mfano mwezi huu ukitumia $500 utalipa hiyo mwezi unaokuja kidogo kidogo au yote na watu wengi wanalipa yote because wanawez kulip

Kazi nzuri 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Asante kk 🫶🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
Dogo upo sawa mjomba hongera
Bro Mshana hongera sn kw kazi nzuri unatusanua vzr sn kiukwl ss hapo wamekupa $1000 unatakiwa kurejesha kwa mda hswa limit time for return
Yaah ukipata hiyo pesa ya credit unakuwa unayoitumia ndio utayolipa mfano mwezi huu ukitumia $500 utalipa hiyo mwezi unaokuja kidogo kidogo au yote na watu wengi wanalipa yote because wanawez kulip
Pamoja mkuu
NIDA Mwaka wa pili huu card hazijatoka😂USA wapo vizuri
Dash it’s so stupid Ila ndo nchi yetu tutafika kwashida sana
Kaka mil.2 dollars or ya kibongo
Tuna card za £10,000 na bado makampuni mengine yanakubembeleza uchukue card zao 😂 hawana huruma hawa 😂
Tutafutieni kazi nasie tuje
Wow 10k credit score nzuri sanaaaa
Nakubaliana na wewe ili tatizo mifumo ya Afrika bado ,watu tu hawana kazi