Vip ripoti ya mambo yaliyotokea kupigwa kwake risasi Dodoma mko kimya sana na alikuwa anasema kuna watu walikuwa wanamfuatilia mkasema kama unavyovisema leo kamanda mwisho kilichotokea watanzania wote waliona iweje leo unatoka hadharani na kuanza kupinga taarifa hizo baada ya kuzifanyia kazi?
Sasa kamanda kama yeye amepigiwa simu na anaambiwa kwa hiyo wewe unataka akae kimya alipigwa risasi uchunguzi mpaka leo na mpaka kesho ni Giza tuu ana haki ya kusema no
Yani kamanda anaongea kama katoka bar kulewa pombe😏..eti anaongea kwamfano ww umesema mtu anakufuata kila uendako akupole camera yako alafu ukupolwa leo kesho wala keshokutwa kwaiyo asipopolwa kwa taarifa aliyoitoa inakuwa uongo au hao wasiojulikana wanatulia maana siri yao imevuja kwaiyo mtu asiseme au kutoa taarifa anapohisi jambo la hatari kwake?
Je kule area C Dodoma ktk makazi ya viongozi si aliwahi kusema kitu kama hicho?je nini matokeo yake?hapa AGP bado hujanyoosha maneni "There was something behind"
Lakini lengo lenu ni kukomesha mauaji ya watu wasio jurikana kama ndio nyie kama kikosi cha usalama wa raia na malizao kama kamanda mkuu huoni taarifa hiyo inaweza kukufanya ufanikishe kuwatambua watu wasio jurikana kwa kutumia garama kwa kutoa ulinzi kwa tundu lisu kwa nia njema ya kufanikisha kutambua wasio jurikana?
WEWE KAMANDA HATUWEZI KUKUAMINI HATA SIKU MOJA ENDELEA KUFANYA KAZI ZA CCM KAMA CHAWA SIKU ZENU NA CCM ZINAHESABIKA.KWANZA LETA JIBU NANI ALIMPIGA RISASI LISSU?
Huyo commander ni chawa wa CCM na serikali yake, hapo hamna kitu ni propaganda tu hapo. Mbona wakiuliwa watu na watu wasiojulikana huwa wanapatikana wauwaji lakini wakiuliwa watu na watu wasiojulikana huwa hakuna hatua ye yote inayochukuliwa.
Huyu afande lofa wa akili sijui walitumia sifa ipi kumteua na kumpa cheo sbb anatumia mdomo zaidi kuliko akili! ktk wakati ambao anapaswa kuwa Mwenye aibu lkn yeye anasimama kw kiburi kuwatetea waovu anafanania robot tu Pumbavu zake!
Tunatejemea askari hasa viongozi wao wasiwe wababaishaji. Taarifa mnapozipata zishughulikieni na wala usijesema ni propaganda. Propaganda ngapi mmesema zikawa kuwa kweli. Halafu ishini kwa hofu ya Mungu. Nchi hii siyo ya wachache wenye madaraka bali ni ya rain katka standard zote. Wewe ni mtu mwangalifu sana achana na kuudanganya uma.
Ni wewe wewe mlilo ulisema maandano ya chadema yana lengo la kuhatarisha usalama ndo mana mkawashugulikia na wakati hawakufanya lolote, isipokuwa mlishugulikia hisia zenu....police hamuaminiki kabisaaaaa mi najilinda mwenyewe
@@DINASSOURJibu lako tu linaonyeshe unaroho ya namna gani na upo upande gani, subirini yawakute ndio mtaelewa ni kwanini Watanzania walichukia udikteta
@@murubonabaptistmbstudentce7293Tatizo ujinga wa hawa chadema, hapo akifuatwa na polisi wanagoma kutoa ushirikiano Huku wakitoa visababu vyao vya kisharishari. Iliwahi kutokea hivi hivi kwa Dr slaa; alitangaza kwamba Kuna watu wanamfuatilia Ili wamuue, alipotakiwa aisaidie polisi akajibu, "polisi kazi yao ni kuchunguza basi na hili wachunguze kama ni kweli au la lakini Mimi sifanyi chochote, wahangaike wenyewe". Shabash.... nashukuru JPM alikuwa kuondoa huo ujinga.
Kazi hizi zinamwisho kunakusitafu
MKIAMBIWA CHADEMA INASEMEKANA WANAENDA KUFANYANYA SHEREHE ZA BAVICHA MBEYA HAPO VIPI,
Vip ripoti ya mambo yaliyotokea kupigwa kwake risasi Dodoma mko kimya sana na alikuwa anasema kuna watu walikuwa wanamfuatilia mkasema kama unavyovisema leo kamanda mwisho kilichotokea watanzania wote waliona iweje leo unatoka hadharani na kuanza kupinga taarifa hizo baada ya kuzifanyia kazi?
Jamaa anatafuta uimara wake kupitia cheo lkn atuko salama kabisa
Ndg kamanda vipi kipindi cha nyuma si alisema hivyo hivyo mkampuza haya ni maisha ya raia fanyia kazi ndg kuna kustaafu hapo
Sasa kamanda kama yeye amepigiwa simu na anaambiwa kwa hiyo wewe unataka akae kimya alipigwa risasi uchunguzi mpaka leo na mpaka kesho ni Giza tuu ana haki ya kusema no
Kumbe mnajua katiba Ina ruhusu uhuru wa maoni mbona mnashika watu wanaotoa maoni ya kuikosoa serekali?
Mbona katiba yenyewe huifuate kamainavyotakiwa Leo ndiyo unaongelea katiba ungekuwaunafanyahivyotungefikambalisana watanzani????????!!!!!!!
Ole wenu apigwe risasi tena au atekwe mana ilitokea na hamjafanya uchunguzi miaka yote.
Ila Mlilo unajua kutunga aisee 😂😂😂😂
Uyu afande alijibia kiajabu-ajabu nshu ya Sativa na mzee kibao utafikiri hamulikwi na camera yani sina hamu hata kumsikiliza
aisee yaani...
Yani kamanda anaongea kama katoka bar kulewa pombe😏..eti anaongea kwamfano ww umesema mtu anakufuata kila uendako akupole camera yako alafu ukupolwa leo kesho wala keshokutwa kwaiyo asipopolwa kwa taarifa aliyoitoa inakuwa uongo au hao wasiojulikana wanatulia maana siri yao imevuja kwaiyo mtu asiseme au kutoa taarifa anapohisi jambo la hatari kwake?
Sema kamanda mm waga nakukubar maana ata uongeaj wako unaonekana mtu makin 🤝🤝
Wadharimu wengi huwa wanakufa kwa kutapa tapa na Midimo huiacha wazi
Lissu oye
Kumbuka mh,Muliro huyu bwana aliwahi kusema haya mwaka fulani na yaliyotokea sote tunayajuwa
Mulilo lisemwalo lipo, Lissu is not crazy
Nyie semeni ni haki alafu itokee kweli mtatuua wote
Ndg Kamanda uko vizuri ndio maana serikali inakuheshimu na kukuamini.
Je kule area C Dodoma ktk makazi ya viongozi si aliwahi kusema kitu kama hicho?je nini matokeo yake?hapa AGP bado hujanyoosha maneni "There was something behind"
kwahyo iritakiwa akisema anatafutwa itokee reo iri ijurikane kuwa anatafutwa au aumizwe ndo ijurikane
Lakini lengo lenu ni kukomesha mauaji ya watu wasio jurikana kama ndio nyie kama kikosi cha usalama wa raia na malizao kama kamanda mkuu huoni taarifa hiyo inaweza kukufanya ufanikishe kuwatambua watu wasio jurikana kwa kutumia garama kwa kutoa ulinzi kwa tundu lisu kwa nia njema ya kufanikisha kutambua wasio jurikana?
😅😅😂😂 Ingekuwa Lissu ni Raia kama wa Kawaida kawaida hivi angeitwa akahojiwe bana achaneni na hizo
WEWE KAMANDA HATUWEZI KUKUAMINI HATA SIKU MOJA ENDELEA KUFANYA KAZI ZA CCM KAMA CHAWA SIKU ZENU NA CCM ZINAHESABIKA.KWANZA LETA JIBU NANI ALIMPIGA RISASI LISSU?
Huyo commander ni chawa wa CCM na serikali yake, hapo hamna kitu ni propaganda tu hapo. Mbona wakiuliwa watu na watu wasiojulikana huwa wanapatikana wauwaji lakini wakiuliwa watu na watu wasiojulikana huwa hakuna hatua ye yote inayochukuliwa.
Unazani ni yesu
Lkn watu wenye sifa na majina makunwa wengi walikuja wakapita yatapita nasi tutapita
Kamanda mbna unajibu kwa kisilaaan umekunja sura ili waandishi waogope kukuuliza maswali ya mcngi
Kamanda ndo anaemtafuta lissu😂😂
Mungu anawaona njie.
Hamtashika dola milele
Sasa munaacha vp vizazi vyenu na mukumbuke malipo hapa hapa duniani
Mi nadhani mngechukua kama mnavyochukuaga tahadhali mnapowazuia chadema kwa kigezo cha INTELIJENSIA, kuliko kutuambia eti NI Uhuru WA kikatiba
Uyo ndo atakuwa Rais wa Tanzania 🇹🇿 2025 mlindeni tafadhar
Watu wote wanaopotea na kuumwizwa hawaeleweki kweli?
Huyu ametuzingua tu
Kamba unajivuni winifom,iko siku, na wewe utakuwa wakawaida, mungu atakupitisha umo umo.
Kuna kuzimu ni lazima. Anyway tunadhambi pia ila nikiwakosa sistaeleqa
Kwani kamanda muliro ujui unadanganya watanzania kwani aliwahi piga kelele hivo mkapuzia akapigwa
toa ulinzi ikuru mulilo uwa kuna mda unajambaa
Polisi sio wa wote hawa wa watawala tu,Wengine wapuuzwe tu...
Maandamano yale uliulizwa ukasema hamsubiri madhara mpk yatokee huwa mnajipanga kabisa, hapo vpi mpk litokee kwanza au...
Pumbuvu sana ww
Hakuna Usalama
Mbona lissu alipigwa risas mbona hujafanya uchunguzi wewe ni mpuuzi tena kichaa endelea kuiba kura na kumulinda samia shenzi sana
Watu gani wako salama we mzee
Huyu afande lofa wa akili sijui walitumia sifa ipi kumteua na kumpa cheo sbb anatumia mdomo zaidi kuliko akili! ktk wakati ambao anapaswa kuwa Mwenye aibu lkn yeye anasimama kw kiburi kuwatetea waovu anafanania robot tu Pumbavu zake!
Murilo jibu kwa kibuli ipo Siku Yko ww siuna mabunduki na vifaru mda utafika tu
Tunatejemea askari hasa viongozi wao wasiwe wababaishaji. Taarifa mnapozipata zishughulikieni na wala usijesema ni propaganda. Propaganda ngapi mmesema zikawa kuwa kweli. Halafu ishini kwa hofu ya Mungu. Nchi hii siyo ya wachache wenye madaraka bali ni ya rain katka standard zote. Wewe ni mtu mwangalifu sana achana na kuudanganya uma.
Waifanyie hiyo taarifa.Yaleyale kabla ya kupigwa MARISASI NA WALIKUWA AKINA NANI VILEEEEEEE
Uko Vizuri
Sawa mzee
Kamanda upo sahihi maisha maref kwako
Lissu anatafuta kiki. Aache ujinga. Asuburi suluba ya Wana CHADEMA 😂😂
😂
Ni wewe wewe mlilo ulisema maandano ya chadema yana lengo la kuhatarisha usalama ndo mana mkawashugulikia na wakati hawakufanya lolote, isipokuwa mlishugulikia hisia zenu....police hamuaminiki kabisaaaaa mi najilinda mwenyewe
Haki ya kikatiba ya kusema.
Kama awasiwasi wa kuumizwa basi tu .hao chadema wenzie na kwa vile anataka kumpora tonge mbowe ndio hivyo
Hisia ya kwenye maandamano kutatokea vurugu hiyo inawezekana?
BORA UMEONGEA LISSU
HII NCHI HAINA HAKI
Kuna siku hata wewe jamaa zako watafanyiwa hivyo
Lisu ANATAFUTA KIKI
Unautindio wa ubongo unamjua vizuri lisu unafikiri ni kidampa kama wewe.
Lisu anatafuta KIKI
Pumbavu
Ckia
Anachofanya ni kazi ya wito kukomboa.
Sidhani km ww umemzidi elimu ama kipato au uhakika wa kuwa na kazi yenye maslahi.
Muheshimu hata kinafki
Uongo mtupu
Au cio
Safi sana kamanda
....wasifie tu....mpk ukiskia mwanaamfamilia wenu kimemkuta ndo utaelewa
@@DINASSOURJibu lako tu linaonyeshe unaroho ya namna gani na upo upande gani, subirini yawakute ndio mtaelewa ni kwanini Watanzania walichukia udikteta
Masainyota alisema kuna muda njaa ndio huwa inatoa maelekezo na kueiendesha akili
Lissu anatafuta huruma ya wapiga kura!achaneni naye asiwashughulishe,polisi wana kazi nyingi za kufanya!!
Wewe mpumbafu usiejua kitu kaa kimyaa
Moja ya kazi za polisi ni kunusa hali ya viashiria vya ubunjivu wa amani na usalama wa raia na mali zao.
Kumbuka alitoaga taarifa kwamba anafutiliwa na akapuzwa na kilichotokea.