Jack barikiwa sana kuna kitu nimejifunza kupitia ww ambacho sikuwa nakijua toka awal napenda sana hii biashara lakn najitahid sana kusoma vitabu pia najitahid sana kujifuatilia mitandao ya kijamii nime enjoy sana nilipokutana na hii video
Ukipata location ndo la msingi, mimi nimeanza na mtaji wa laki nne tuu kwa mwezi kamisheni nilianza na elfu 30 tu kwa line zote nne ila sasa nina miaka miwili ya uzoefu na mtaji kwasasa ni haupungui mil 6 lkn bado unaona hautoshi, Kikubwa upate eneo lenye watu wengi mf stand za magari, au center yoyote iliyochangamka, maana asilimia kubwa wateja huwa ni wakujirudia hivyo nidhamu kwa kujali wateja inahitajika ili usimpoteze mteja. Ni hayo tuu
Uwaka w benk lazim uwe na tin na leseni ,kitambulisho Cha nida ,picha ya ofisi na uwe ulishaanza uwakala wa simu Huwa wanahutaj uambatanishe statement ya miamala ya simu ambayo unaipata kwa wakala wako mkuu wa simu alafu utaenda na pesa za kununua mashine ambaza utazidiposite bank kwa ajili ya mashine zamani mashine zilikuwa zinauzwa laki Tano kwa sasa ni million moja laki moja na elfu sita unaidumbukiza
@@jescarkinabo6281kwa huyo sijui ila naweza kukushauri pia dada, mtaji siyo cha kuhofia, kuwa na location nzr, muingiliano wa watu uwepo afu kuwa na mtaji kuanzia laki nne tu, kakuhakikishia utaona mafanikia. Ila angalizo ni usimamie ww mwenyew, uwe unajal wateja maana huwa ni walewale hivyo ukiwa na kauli mbaya umeisha. Kuwa na nia na juta sana kumpoteza mteja. Ila jitahidi kujibana ili ukuze mtaji maana mteja kila akija anataka mf laki 7 afu huna mara ya tatu haji tena, inauma sana
Nimefurahi kukutana na hii video, nina plan ya kufungua hii biashara very soon nilitamani kujua changamoto zikoje, barikiwa sana Dada Jack
Ushqpata eneo le kazi?
Vp una eneo? Lipo wapi@@aboually7656
Dah dada jack God bless you. You seems a very nice person. Very open minded na fighter pia
Jack barikiwa sana kuna kitu nimejifunza kupitia ww ambacho sikuwa nakijua toka awal napenda sana hii biashara lakn najitahid sana kusoma vitabu pia najitahid sana kujifuatilia mitandao ya kijamii nime enjoy sana nilipokutana na hii video
congratulations my sister because you are of the super women
dadangu kipenz...piga kazi mama...Mungu azid kuweka mikono yake yenye baraka juu yako....nakupenda
Ubarikiwe sana dada Jack, napenda kufanya biashara hii ya uwakala, nimejifunza mengi kupitia video hii na nimehamasika zaidi.
Hongera sana madam Jack for sure umeupiga Mwingi na nimeyapenda sana maamuzi yako Hakika na Mungu akubaliki katika kazi yako
Kwahyo umakini ndio silaha kubwa mnooo asantee hii imenipa nguvu mnoo asantee sana
Hongera sana classmate.... Very interested
Hii Biashara Mzuri sana Aisee Mwezi mmoja tu nimerudisha gharama zangu
Hongera sana
Fantastic sister
Am so inspired dada jack, how can i get more info abt this , please if possible naomba unielekeze
Asante sana sister
vzr ata mi naipenda sana iyo kazi
Natmn kupta no zko dada jack plz
Naomba namba ya dada jack tupige nae kazi mie pia ni wakala nipo Dom
hongera mwana arts mwenzangu
Duh uko pw nakubali
Naomba interview 🙌
Tigo mnanoa sana Tena sana huduma hazieleweki kama kupigisimu nilipo anzia napiga mnakata
Barikiwa sana
Napenda sana Nazi ya uwakala
Dada kwanza congratulation,ila ningependa kupata namba ya Dada Jack ili tuongee kuhusu biashara
Ukiwa na kitu unaongezewa kituu ,hii ni kweli kabisa naiyona mpka saivi 🤲🙏
Sio kweli amini ktk ipo siku Yako itafika tuu
Asante
Host hajui ku host
What is wrong with you
Akisanti Sana dada jina unaitwa Nani?
Kwani contact ya dada ni ipi?
Phone+ email... etc
Nimependa sana 🎉❤
❤🙏
Muuliza maswali hamna kitu kabisa watu tunataka umuulize mtaji ni kiasi gani na faida anapataje?
Ukipata location ndo la msingi, mimi nimeanza na mtaji wa laki nne tuu kwa mwezi kamisheni nilianza na elfu 30 tu kwa line zote nne ila sasa nina miaka miwili ya uzoefu na mtaji kwasasa ni haupungui mil 6 lkn bado unaona hautoshi, Kikubwa upate eneo lenye watu wengi mf stand za magari, au center yoyote iliyochangamka, maana asilimia kubwa wateja huwa ni wakujirudia hivyo nidhamu kwa kujali wateja inahitajika ili usimpoteze mteja. Ni hayo tuu
😂hongera Dada jaki
Malipo yakoje?
Vizuri
Dada mambo
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
dada samahani naomba nikuurize kwamba. nivitugani vya muhim ambavyo nirazima endapo nikitaka kuwa wakalawa benki
Uwaka w benk lazim uwe na tin na leseni ,kitambulisho Cha nida ,picha ya ofisi na uwe ulishaanza uwakala wa simu Huwa wanahutaj uambatanishe statement ya miamala ya simu ambayo unaipata kwa wakala wako mkuu wa simu alafu utaenda na pesa za kununua mashine ambaza utazidiposite bank kwa ajili ya mashine zamani mashine zilikuwa zinauzwa laki Tano kwa sasa ni million moja laki moja na elfu sita unaidumbukiza
Mtaji wake ulianza na bei gan na pia kuhus lain unapataje?
Mtaji unaweza anza na wowote ule kikubwa ni
1, location
2, watu wengi ( muingiliano)
3, ndo mtaji.
Ulianza na mtaji wa shi ngapi
Kama una nia... unaweza anza na mtaji wowote ule hata laki4 tuu
Mtangazaji aulizi maswali ya msingi
Tutakuwa na Part two. Maswali yapi ungependa yaulizwe ?
@@ajirazetutvmtaji shingapi,
@@jescarkinabo6281kwa huyo sijui ila naweza kukushauri pia dada, mtaji siyo cha kuhofia, kuwa na location nzr, muingiliano wa watu uwepo afu kuwa na mtaji kuanzia laki nne tu, kakuhakikishia utaona mafanikia. Ila angalizo ni usimamie ww mwenyew, uwe unajal wateja maana huwa ni walewale hivyo ukiwa na kauli mbaya umeisha. Kuwa na nia na juta sana kumpoteza mteja. Ila jitahidi kujibana ili ukuze mtaji maana mteja kila akija anataka mf laki 7 afu huna mara ya tatu haji tena, inauma sana
Clip kama hizi ni mhimu sana! Zinatia moyo wanaotafuta
Hongera sana mtangazaji!
Jaman mbona wanasema et commision imepungua ni kwel???
Ndiyo imepungua, lkn haiathili kwa mtu anayejituma dada, kuwa na nia tuuu
@@gitanokambarage8789kaka inaweza kua imepungua pakubwa sana