Hongera sana Tundu Lissu, tuelemishe hata tuliyokuwa hatuyafahamu. Nape na Samia wanataka wamasai wawe wakimbizi kutoka katika Inchi yake. Nape anafurahia kuona wamasai hawana kwao. Kwa nini mzanzibari atufukuze mahali petu? Yeye anagawa kila kitu lakini Nape anaona raha kwa kuwa mchawa kwa Samia. Kawe mchawa tu kwa Samia. Kwani kuitwa mzanzibari ni vibaya kwani. Hata hivyo tunataka KATIBA na hiyo KATIBA ni lazima Tanganyika yetu irudi . Ninyi Zanzibar mna KATIBA yenu sisi labda hatuna KATIBA ya Tanganyika. Basi nasi tuwe na KATIBA yetu ni lazima tuwe na hiyo KATIBA ya Tanganyika ili hili hili LIKATIBA libaki kuwa la muungano wao.
Nape mkamateni na yule wa Bukoba aliesema watu wakipotea wasitafutwe. Mbona husemi iweje lisu? Usifikiri watanzania hawajui? Ila wameamua kunyamaza tuuu na kukimbilia kwa mwamposa kwa sababu wamekata tamaa na viongozi kama wewe...
😮muungano tunataka ra kini tuweke saw upo hovyo ulikuwa mzuri zaman tulikuwa 3 mlion wakat zamba walikuwa 9 laki so mgao wa sawa kwa watu 3 mlion kwa milin 70, siyo sawa tulekebishe
It’s so nice kumsikiliza Tundu Lissu. Yaani hata kama anakudanganya basi unadanganyika kwa kueleweshwa vizuri kwa hoja zilizopangika vizuri. Kimsingi unakuwa unapotea kwa maelekezo mazuri. Lakini I just love him.
Nape anatetea ugali wake wasimsikilize lisu ila watu wameamka yeye nape anapata mihela kibao kazibwa mdomo maovu hayasemi kwa iyo lisu kapewa pesa zake ndio asiseme ukweli na anasema anapotosha watu sioni tatizo kwa lisu tuache ujinga haki itawale
kweli kabisa nape sio wa kusikilizwa hawa wanaccm wanatetea ulaji wanaokula nchi hii,kwann ajawai kuongelea kuhusu sisi wamasai tunavyonyang'anywa sehemu zetu kama kweli anapenda nchi na wananchi waliopo kwann amekaa kimya wakat huku tunafukuzwa kama mbwa na yupo bungen na anasikia na anajua
Wewe ni mpuuzi kupimdukia Tena umebaki tumbo TU huna lolote. Unadhami watanzania ni wajinga kama wewe inaongea matope kwa kuwa akili Yako ni tope. Tena wewe ni mnafiki.enzi za unafiki zalimepitwa na wakati. Hivi huko ccm inakaaa ukifanya nini rndapo unatoa pumba Kali hivyo? Umeshiba hata unashindwa kuelewa ukweli ulivyo? Kweli una tatizo kubwa sana kiakili au pengine umrshachangsmyolies. Pole sana.😢
Kwendraaa Kule nyie ndio wenye tamaa mnauza nchi yetu nahii mibunge iliopita bila kupingwa yenyew Kaz kupiga meza tu hayana hata hoja kama masenge vile mamae
Uko sawa MH. Ubaguzi wa aina yoyote hautakiwi, Waasisi wetu wote waliukemea kwa nguvu zote. Ni jukumu la Kila Mtanzania kuilinda AMANI TULIYONAYO. CHARLES MASOLWA MABONA.
Watanganyika wengi wanaona Hili la Utanganyika ila hawalioni vp wazanzibar na wao miaka nenda miaka rudi znz haipewi fungu lake la Muungano wamekaa kimya
ETI LISSU NI MWENYE AKILI NYINGI - INAMAANA KUUKUBALI USHOGA NI AKILI NYINGI WE BWEGE KWELI ALIPEWA MASHARTI HUKO ULAYA ALIKOKUWA ASAPORT USHOGA NA ALIKUBALI NA AKASHABIKIA USHOGA NA WALE WAZUNGU WAKE WAWILI AMBAO INAONESHA INAWEZEKANA WALIKUWA NI MABWANA ZAKE.
Watanganyika watengeni CCM . Nape hana habari kuwa CCM IMEISHA TENGWA KABISA TENA UKIZIDI KUTUONGOPEA NDIYO TUTAWATENGA. NDIYO SABABU MAGUFULI MWENYE AKILI ALIYEKUWA HATAKI UNAFIKI ALIKUFUKUZA
Kweli kabisa ni bunge la mchongo. Nape ndiye anatumia maneno ya hivyo kama alipomtukana Magufuli. Kama alivyo ongea maneno ya ovyo kuwa yuko tayari kuingiza CCM hata kwa goal la mkono.
Muungano hauko fair. Inakuwaje bunge lina wabunge wengi wazanzibari na wakati wawo idadi yawo ni łąki 5 tu. Huwa simuungi Tundu Lissu mkono kwa hili Tundu Lissu anasema ukweli. Wewe NAPE nyamaza ni wewe unamutukana Rais. Wewe ulimutukana Magufuli na Polepole. Muungwana kwa kukupa Kazi bila ya elimu? CCM ilinyamaza wakati Magufuli akitukanwa
Mtoke sasa mfanye mikutano ya hadhara muwaeleze wananchi ili wasimusikilize, lakini lazima tuseme ukweli, nakonda ndiyo ilikuwa kiboko yao, kwa sababu alipoteuluwa tu walianza kumuhutubia kwenye mikutano na maadamano yao.
nape ni mmoja kati ya watu ndan ya serikali hii wenye ukabila na ni mmoja wa wanaotunyima haki yetu wamasai na kutuhamisha atakama haongei ila yupo kwann tundu lisu akiongea kuhusu hilo anakua mkali wanapata nini kwenye hili,inamaana hakuna sehemu nzazibar ya kuwapa waarabu
Siasa hizi! Zanzibar ni nchi na Tanganyika ni nchi. Usisfanye hesabu ya watu kienyeji hivyo kuwa majimbo upande mmoja ni madogo mno. Hakuna hesabu ya hivyo. Mi mtu wa Bara, mbona nina jamaa zangu toka bara wanamiliki ardhi Zanzibar? CHEDEMA tuambieni sera zenu mtaifanyia nini Tanzania ili tuwachague . Siyo hayo maneno mnayopotosha wananchi.
Kabila mzanzibar hapana hii haiko sawa ila ktk maneno yake Kuna pointi maana world oil imenunua bandari ya Tanzania na c ya Zanzibar je... Wewe unaweza liwazaje hilooo
Tundu lisu Kaa kimya nchi,,itawalike!!! Vinginevyo urudi ulikokuwa,,, nilikuwa nakukubali SANA lakini sasa inatoshaaa,,,,,nshagundua kua ni mtafuta ubwabwa tu na weweeeee!! Umepewa uhuru lakini uhuru tukafurahi kwamba ututetee chama chetuu!!! Tena umeanza kutumia vibaya,,,basii!!✌️❌ Kuanzia Leo nileteeni kadi ya 👍✅
Maneno yamtokayo Tundu Lisu, hayamstahilishi kumuita mwanasiasa!!!Siamini mwanasiasa kuwa juu ya sheria.Hii ni kututia mashaka siye waajiri wa wanasiasa. Hata hivyo hii ndiyo maana ya siasa?..Tuwaamishe hivyo watoto.wetu?.Kwa namna yake, je, huupokea mkate wa Beana? Ni hatari!!!.
Nape.. hata wewe ulipo tumbiliwa ulisema umelala Porini kuiweka CCM Madarakani. Leo umepata cheo una muona Lisu hafai. Mimi ni CCM. Lakini nimemsikiliza Lisu, kweli maneno yake yana make Sense
Nape ww ni sawa na mbu kunyonya damu mmekula nchi kuanzia babako hadi leo uozo mlio nao ni mkubwa mno mnaropoka tu hamjui upande upepo unapoelekea kwani mmelelewa kimayai huoni kbs mateso tuliyo nayo watu wa chini shut up up kula kulala ww
Ahsante Sana mwanetuuu. Uko vizuri Sana, umenena vyema. Umekonga Moyo wangu mno. Huo ndiyo uzalendo baba. Ni wajibu wetu kulinda Nchi, kiilinda katiba, kiilinda Serikali na Raisi aliyepo madarakani. Mungu akulinde Mheshimiwa Nape,
Kumbukeni watz bwawa la nyerere limeiva sgr nayo iko mbioni, lažima wazungu watatumia kilambinu manufaa haya yasiwafikie wananchi kuwa tumia vibaraka hawa
Hatukuelewi kwanza unaongea nini hii nchi ni. Ya wote ulikuwa unategemea akaishi wap? Tete tumbo lako sis bado hi nchi inahitaji watu wenye hofu ya MUNGU KAMA MH. LISU TU.
Mimi si fan wa CCM na hasa si wa huyu Nae, lakini katika hili ukweli usemwe: matamshi ya Lissu si mazuri wala ya siasa njema. Huyu atapelekea machafuko. Si Uzanzibari. Watanganyika wangapi, JK, wameiuza nchi?
@@user-nf7vq6dt3z ivi watu kama nyinyi uwa niwa tz au munavamia nchii ndo mnatualibia nchi ye2 kwaiyo bandali aija uzwa sio nawalee wamasai awaja fukuzwa sindio naizii Kodii azipo sindio ivi we unajitambua au akili zako zip kwenye makalio Yani maisha magum wa2 Wana kufa mitaani kwa ugonjwa galama laki mbili2 ivi we una akili kwelii wee nichizii lama chiziii ujitambuiii
Wewe utalinda muungano hauna maslahi kwa mjibu wa kile alichosema huyu lisu kama ni kweli muungano wazanzibari wavunje nao katiba yao tuwenayo moja . Ndiyo maana ya kuungana
Mwanaharamu tu huyu sijui kama yeye anaijuwa asili yake angepewa yeye icho kiti angefanya hivohivo ubaguzi tu anauleta mungu Kawalani watu kama hawa asitake tufarakane na nchi yetu kukosa amani tunajivunia amani yetu
Nape ni mkweli nchi yetu ni ya Watanzania, tusijinadi kwa ukabila, ukanda na utaifa kwa maana nchi yetu ni moja nayo ni jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Lissu kaainisha kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema Zanzibar ni nchi na mambo mengine mfano wake. Hapo tayari kuna nchi mbili naona, hebu jaribu kuweka sawa maelezo yako.
Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Zanzibar ina rais, ina katiba yake, ina jeshi lake, kinajiendesha mambo yake bila shida, ya Tanganyika yako wapi? Tumeungana kwenye nini? Wekeni mambo sawa. Mpoooo?
Vunja Muungano Wazanzibari wote tunamsapoti Lissu ,Lissu anatetea Tanganyika yao ni yupo sawa ,Tanzania ni nchi mbili zilizoungana Tanganyika na Zanzibar, Zanzibar ipo Hiyo nyingine ipo wapi??????ndio suali la Lissu inshort Huo Muungano ni batili ,hakuna muungano wenye masilahi kwa upande mmoja tu
jamani watanzania tunafikaje huko. hakika kama ataendelea katika kukosoa serikari kwa kuweka mgawanyiko wa Tanganyika na Zanzibar . atasababisha hitilafu kubwa kati ya wanainchi wa Zanzibar na Tanganyika. tafadharini sana watanzania wenzangu
Wewe mwenyewe Nape unashindwa kuwaheshimu wanasiasa wenzako unawaita wapuuzi unataka upigiwe magoti wewe nani nchi hii ni yetu wote na kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake hasa yanayohusu watu wote na siyo cheo au nafasi yako uliyorithi kutoka kwa baba yako wewe tumeshakushutukia ni chawa tu
Kumrudisha Lisu na Kuruhusu mikutano.Swali: Je Ukimfadhili mtu ndiyo iwe sababu ya kufanya unavyotaka? Hutakiwi kukemea Mfadhili anapokosea? Umeme kwetu ni wa mgao,Zanzibar hamna kitu hicho? Bandari za Tanganyika amezigawa za Zanzibar ziko salama.Lisu na Samia nani ni mbaguzi? Wabunge mnapiga makofi mnashangilia KWELI ni HAKI hivyo mnavyofanya?
Nape achana na Roboti Hilo . Muflis hawana hoja mara bandari , mara katiba , mara maandamano haijulikani wanataka Nini eti Mzazibari Nini maana ya Tanzania ,Roboti futa neno Tanzania .
@@jakobongwara3038 hili tunalifurahia mda huu, ila hii dhambi itatutafuna, tushabikie vyenye tija na mwanga kwa taifa hila kwa hili analolizungumza lisu kuhusu uzanzibari na utanganyika sijalikubali.
Nape unazani watanzania awajui ukweli acha kijipendekea nape taifa aliko sawa kabisa kodi inadidimiza taifa kila kitu nikodi tu mahosptali amna madawa
Tundu Risu ni jicho wa wa Tanzania Alie teuliwa na mungu kuyasemea madudu yanayo endelea Kwa watanzania tusemee tusie jua nchi inaendaje
Umejibiwa na wanaume wasomi.umesikia katiba ya zanzimba alivyo fafanuwa.mwanaume lissu.. nape lisuu ni msomi huwezi kulingana naye. Powa.
Hongera sana Tundu Lissu, tuelemishe hata tuliyokuwa hatuyafahamu. Nape na Samia wanataka wamasai wawe wakimbizi kutoka katika Inchi yake. Nape anafurahia kuona wamasai hawana kwao. Kwa nini mzanzibari atufukuze mahali petu? Yeye anagawa kila kitu lakini Nape anaona raha kwa kuwa mchawa kwa Samia. Kawe mchawa tu kwa Samia. Kwani kuitwa mzanzibari ni vibaya kwani. Hata hivyo tunataka KATIBA na hiyo KATIBA ni lazima Tanganyika yetu irudi . Ninyi Zanzibar mna KATIBA yenu sisi labda hatuna KATIBA ya Tanganyika. Basi nasi tuwe na KATIBA yetu ni lazima tuwe na hiyo KATIBA ya Tanganyika ili hili hili LIKATIBA libaki kuwa la muungano wao.
Kwanza nape sisi atukuelewi kabisa ili tuanze kukusikiliza turudishie MB zetu ulizo tuibia
Kwahiyo kama amerudishwa asiseme ukweli nape umesahau mungu atakukimbusha ipo siku
Nape mkamateni na yule wa Bukoba aliesema watu wakipotea wasitafutwe. Mbona husemi iweje lisu? Usifikiri watanzania hawajui? Ila wameamua kunyamaza tuuu na kukimbilia kwa mwamposa kwa sababu wamekata tamaa na viongozi kama wewe...
Lisu yuko sawa safi sana
Nahuyu Nape ni chawa tuuuu hizi nihona za kitafuta cheo cha juuu
Nape punguza jazba jibu hoja ya Katiba ya Zanziba inayo futa Uraiya wa .................kuwa niwa Mchongo
Mikundu nyiemsilete ukabila
Wewe chawa tu mmechelewa lazima mjue muda wenu umeisha. Jiandaeni kuwa upinzani ujao.
Ww ndo wakwanza kukutenga sio lisu nape ww unatetea ugari hapo unataka upatiwe uwazir ww nape tumtenge watanzanis
Wewe ndiyo utengwe na ulaaniwe anayosema yanatoka kwenye katiba ya Zanzibar
Amelaaniwa Nape tumbo nnauye
Kemeaa wizi wa hela za walipa kodi cag mbona umenyamaza wacha watu waseme ukweli.
😮muungano tunataka ra kini tuweke saw upo hovyo ulikuwa mzuri zaman tulikuwa 3 mlion wakat zamba walikuwa 9 laki so mgao wa sawa kwa watu 3 mlion kwa milin 70, siyo sawa tulekebishe
Ww si yule wa kipindi kile cha ---- au mm nmesahau, mliongea sana kuhusu ukanda, acha dawa iwaingie
It’s so nice kumsikiliza Tundu Lissu. Yaani hata kama anakudanganya basi unadanganyika kwa kueleweshwa vizuri kwa hoja zilizopangika vizuri. Kimsingi unakuwa unapotea kwa maelekezo mazuri. Lakini I just love him.
Nape wewe ndo uwelewi.
so mnataka kuwa wakabila kama sisi wakenya 😆😆😆karibuni sana
Akili ndogo inaongoza akili kubwa. Muungano ufe tumechoka.
Nape anatetea ugali wake wasimsikilize lisu ila watu wameamka yeye nape anapata mihela kibao kazibwa mdomo maovu hayasemi kwa iyo lisu kapewa pesa zake ndio asiseme ukweli na anasema anapotosha watu sioni tatizo kwa lisu tuache ujinga haki itawale
kweli kabisa nape sio wa kusikilizwa hawa wanaccm wanatetea ulaji wanaokula nchi hii,kwann ajawai kuongelea kuhusu sisi wamasai tunavyonyang'anywa sehemu zetu kama kweli anapenda nchi na wananchi waliopo kwann amekaa kimya wakat huku tunafukuzwa kama mbwa na yupo bungen na anasikia na anajua
Wewe ni mpuuzi kupimdukia Tena umebaki tumbo TU huna lolote. Unadhami watanzania ni wajinga kama wewe inaongea matope kwa kuwa akili Yako ni tope. Tena wewe ni mnafiki.enzi za unafiki zalimepitwa na wakati. Hivi huko ccm inakaaa ukifanya nini rndapo unatoa pumba Kali hivyo? Umeshiba hata unashindwa kuelewa ukweli ulivyo? Kweli una tatizo kubwa sana kiakili au pengine umrshachangsmyolies. Pole sana.😢
Kwendraaa Kule nyie ndio wenye tamaa mnauza nchi yetu nahii mibunge iliopita bila kupingwa yenyew Kaz kupiga meza tu hayana hata hoja kama masenge vile mamae
Wewe nape pamoja na ccm wote. Wezi mbwa nyie.
Nape endelea kutetea tumbo lako nakuongezea ukubwa wa suti sisi sio wajinga tunaona 😂
Hilo neno upuuzi Kwa bungeni halina avya
Watanzania sio wajinga Nnape huna sera
Watanzania ni wajinga
Wanaacha kazi na kutembea barabarani .Lisu analipwa wao wamelipwa nini
Wanasiasa ndiyo wenye fedha
Mnaoandamana mnalipwa nin
Kichwa kibovu jamani mhurumieni huyu fala
Jenga point zenye hoja tija,
Sio kujichawisha kichawa chawa tu.
Uko sawa MH. Ubaguzi wa aina yoyote hautakiwi, Waasisi wetu wote waliukemea kwa nguvu zote. Ni jukumu la Kila Mtanzania kuilinda AMANI TULIYONAYO. CHARLES MASOLWA MABONA.
Tanganyika kwanza.
Tuwatenge ccm
Mi naona Hawa ccm wanamatatizo sana mbona Nyerere alikua raisi wa jamhuri ya muungano: je aliwahi kuuza ardhi ya Zanzibar???
Sasa hv tunamtaka huyohuyo dr Samia kazi iendelee!!!
Kwa maneno hayo Nape unatakiwa utengwe!
Lisu yuko sawa
KAKAE NAE KICHAA HUYO MVURUGA AMANI
Watanganyika wengi wanaona Hili la Utanganyika ila hawalioni vp wazanzibar na wao miaka nenda miaka rudi znz haipewi fungu lake la Muungano wamekaa kimya
Lisu hayuko SAWA Maana CHADEMA Ina wadhamini wa Chama Tanganyika na Znz
LISSU MTU MWENYE AKILI NYINGI SANA ASIKILIZWE PLEASE
Lisu ni kichaa kabisa.
ETI LISSU NI MWENYE AKILI NYINGI - INAMAANA KUUKUBALI USHOGA NI AKILI NYINGI WE BWEGE KWELI ALIPEWA MASHARTI HUKO ULAYA ALIKOKUWA ASAPORT USHOGA NA ALIKUBALI NA AKASHABIKIA USHOGA NA WALE WAZUNGU WAKE WAWILI AMBAO INAONESHA INAWEZEKANA WALIKUWA NI MABWANA ZAKE.
@@user-go2qe8hx5u Kwani Kuwa Shoga Mtu Analazimishwa c Anataka Mwenyewe Kufumuliwa Halafu Mimi sio Bwege May be Your Father.
@@joscamwoshezi2986kweli yawezekana lissu ni kichaa na yule wa bukoba mnamweke kwenye kundi gani
@@user-go2qe8hx5upropaganda hatutaki , tunaitaka katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
Watanganyika watengeni CCM . Nape hana habari kuwa CCM IMEISHA TENGWA KABISA TENA UKIZIDI KUTUONGOPEA NDIYO TUTAWATENGA. NDIYO SABABU MAGUFULI MWENYE AKILI ALIYEKUWA HATAKI UNAFIKI ALIKUFUKUZA
Kweli kabisa ni bunge la mchongo. Nape ndiye anatumia maneno ya hivyo kama alipomtukana Magufuli. Kama alivyo ongea maneno ya ovyo kuwa yuko tayari kuingiza CCM hata kwa goal la mkono.
Chombo Cha juu Cha habari kinaita watu wapuuzi kikiwa kimesimama bungeni dah
Muungano hauko fair. Inakuwaje bunge lina wabunge wengi wazanzibari na wakati wawo idadi yawo ni łąki 5 tu. Huwa simuungi Tundu Lissu mkono kwa hili Tundu Lissu anasema ukweli. Wewe NAPE nyamaza ni wewe unamutukana Rais. Wewe ulimutukana Magufuli na Polepole. Muungwana kwa kukupa Kazi bila ya elimu? CCM ilinyamaza wakati Magufuli akitukanwa
Nape instead muungano,, au tonge? Kwani wamasai hawadhalilishwi? Nape tambua WATANGANYIKA sisi sio walee,,,,
CCM kashindwa kuizika chadema wewe utaweza ???????????? Mpuuzi weeeeee
Huyu si wa kwanza kuulizia Tanganyika! Alikuwepo Mtikila! Alidai wakati bado hata mchonga yupo 😆😀
Mtoke sasa mfanye mikutano ya hadhara muwaeleze wananchi ili wasimusikilize, lakini lazima tuseme ukweli, nakonda ndiyo ilikuwa kiboko yao, kwa sababu alipoteuluwa tu walianza kumuhutubia kwenye mikutano na maadamano yao.
Ila Makonda angekuwa Mwenezi haya yasingetokea kabisa uchawi wa upinzani Dawa yao ni Makonda.
Mm simpendi tundulissu lkn ukweli mwabaini amesema ukweli kbs
Sahihi
nape ni mmoja kati ya watu ndan ya serikali hii wenye ukabila na ni mmoja wa wanaotunyima haki yetu wamasai na kutuhamisha atakama haongei ila yupo kwann tundu lisu akiongea kuhusu hilo anakua mkali wanapata nini kwenye hili,inamaana hakuna sehemu nzazibar ya kuwapa waarabu
Siasa hizi! Zanzibar ni nchi na Tanganyika ni nchi. Usisfanye hesabu ya watu kienyeji hivyo kuwa majimbo upande mmoja ni madogo mno. Hakuna hesabu ya hivyo. Mi mtu wa Bara, mbona nina jamaa zangu toka bara wanamiliki ardhi Zanzibar? CHEDEMA tuambieni sera zenu mtaifanyia nini Tanzania ili tuwachague . Siyo hayo maneno mnayopotosha wananchi.
acha uongo wewe, katiba ya Zanzibar hairuhusu hiyo kitu
Kabila mzanzibar hapana hii haiko sawa ila ktk maneno yake Kuna pointi maana world oil imenunua bandari ya Tanzania na c ya Zanzibar je... Wewe unaweza liwazaje hilooo
Nnape umepata madaraka kwa mgongo wa mzee Moses Nnauye! Wangapi mko humo kwa majina ya Baba zenu au unadhan hatujui
Jiongeze Brother Be Care full
Kuandamana ni haki ya Kila mmoja si uhungwana wa mtu.
Tundu lisu Kaa kimya nchi,,itawalike!!! Vinginevyo urudi ulikokuwa,,, nilikuwa nakukubali SANA lakini sasa inatoshaaa,,,,,nshagundua kua ni mtafuta ubwabwa tu na weweeeee!! Umepewa uhuru lakini uhuru tukafurahi kwamba ututetee chama chetuu!!! Tena umeanza kutumia vibaya,,,basii!!✌️❌ Kuanzia Leo nileteeni kadi ya 👍✅
Acha unafiki tangu lini ukawa chadema mpuuzi kama wewe kaa utulie sindano ziwaingie mbwa nyie.
Maneno yamtokayo Tundu Lisu, hayamstahilishi kumuita mwanasiasa!!!Siamini mwanasiasa kuwa juu ya sheria.Hii ni kututia mashaka siye waajiri wa wanasiasa. Hata hivyo hii ndiyo maana ya siasa?..Tuwaamishe hivyo watoto.wetu?.Kwa namna yake, je, huupokea mkate wa Beana? Ni hatari!!!.
Nape we mjinga tu huna uwezo wa kuongea au kujibishana na Tundu lisu
Wabunge wa mchongo wanashangilia ufala
Nape.. hata wewe ulipo tumbiliwa ulisema umelala Porini kuiweka CCM Madarakani. Leo umepata cheo una muona Lisu hafai. Mimi ni CCM. Lakini nimemsikiliza Lisu, kweli maneno yake yana make Sense
Tundulisu amekua mchonganishi apuuzwe .kujenga nchi si lelemama. mengine tuzibe masikio
Wacha auze mbn taanyika inaibana Zanzibar..basi vunjeni muungano..wakati Wazanzibar ndo wanabaguliwa
Nape ww ni sawa na mbu kunyonya damu mmekula nchi kuanzia babako hadi leo uozo mlio nao ni mkubwa mno mnaropoka tu hamjui upande upepo unapoelekea kwani mmelelewa kimayai huoni kbs mateso tuliyo nayo watu wa chini shut up up kula kulala ww
LISU RISASI ZIMEFYATUA AKILI ZAKE. HII NCHI HAINA DINI WALA UKANDA. NA HAIONGOZWI KWA SABABU ZA DINI RANGI UKANDA NA UKABILA.
All is well, ila kauli ya Tundulisu kuhusu Uzanzbar na Utanganyika ni ya kichoko na haina afya kwa Taifa letu.
Lisu yupo saaaaaaaaaaaaawa kabisa wewe ndio ulaaaaniwe asilimia Mia ,alafu hao polis kulinda maandamano ndio kaz yao kikatiba wew tulia kunywauji
Ahsante Sana mwanetuuu.
Uko vizuri Sana, umenena vyema. Umekonga Moyo wangu mno. Huo ndiyo uzalendo baba. Ni wajibu wetu kulinda Nchi, kiilinda katiba, kiilinda Serikali na Raisi aliyepo madarakani.
Mungu akulinde Mheshimiwa Nape,
Mwaka 2025 TUUNGANE KUMNG'OA mzanzibar wao arudi nchini kwao
Kumbukeni watz bwawa la nyerere limeiva sgr nayo iko mbioni, lažima wazungu watatumia kilambinu manufaa haya yasiwafikie wananchi kuwa tumia vibaraka hawa
Vibaraka Wa Bandari Zetu Unawajua?
Hujui kitu unabwabwaja man na Bado watoto wako watakuja kuelewa tu.
Kibaraka km nape
Hatukuelewi kwanza unaongea nini hii nchi ni. Ya wote ulikuwa unategemea akaishi wap? Tete tumbo lako sis bado hi nchi inahitaji watu wenye hofu ya MUNGU KAMA MH. LISU TU.
ifike mahari katiba ibadilshwe huu ujinga mpaka lin kwan hii nchi aina wasomi mpaka tunaongozwa na wazanzibar.?
Mimi si fan wa CCM na hasa si wa huyu Nae, lakini katika hili ukweli usemwe: matamshi ya Lissu si mazuri wala ya siasa njema. Huyu atapelekea machafuko. Si Uzanzibari. Watanganyika wangapi, JK, wameiuza nchi?
Sasa ajibu oja kwa nn Zina uzwa mali Tanganyika pekeake na sio Zanzibar
Ww nawe una akili ndogo ,atapelekea machafuko kivipi?
Tundu anaumwa apimwe akili huyu ni mwenda wazimu kuliko wendawazimu wa jamaika.
Kimeuzwa kitu Gani lisu ACHA uongo hujawapeleke maji wananchi skuli hospitali wewe unajenga matusi tu basi hatukutakiiii
@@user-nf7vq6dt3z ivi watu kama nyinyi uwa niwa tz au munavamia nchii ndo mnatualibia nchi ye2 kwaiyo bandali aija uzwa sio nawalee wamasai awaja fukuzwa sindio naizii Kodii azipo sindio ivi we unajitambua au akili zako zip kwenye makalio Yani maisha magum wa2 Wana kufa mitaani kwa ugonjwa galama laki mbili2 ivi we una akili kwelii wee nichizii lama chiziii ujitambuiii
Wewe utalinda muungano hauna maslahi kwa mjibu wa kile alichosema huyu lisu kama ni kweli muungano wazanzibari wavunje nao katiba yao tuwenayo moja . Ndiyo maana ya kuungana
Kama tupo pamoja kwanini Zanzibar Wana Katina yaooo nasisi hatuna
Huna akili ww na kichwa chako kikibwa ivho utamkosoa lossu ww au umesahau nyakat za mzee jpm ulivochanganyikiwa ww
akawa kama mnyoo wa safura
Polepole bwana. Uko kwenye jukwaa kubwa.
Mwanaharamu tu huyu sijui kama yeye anaijuwa asili yake angepewa yeye icho kiti angefanya hivohivo ubaguzi tu anauleta mungu Kawalani watu kama hawa asitake tufarakane na nchi yetu kukosa amani tunajivunia amani yetu
Hatutaki mazoeya kwani so kweli anauza ardhi za Tanganyika na kuwaangaisha wananchi huku na kule muungano Bora ivunjike
Nape achakutoa povu hunalolote unabebwatu unatafutahuruma ya rais iliakuchague uwe waziri😂
Hatutaki muungano hauna maan ni manyanyaso
Jamani kwani Samia ni mtanganyika si mzanzibari jamani kosa la lissu liko wapi
shangaa!!
Nape hayo maneno yakurudie wewe mwenyewe, kama Roho ya Mungu iishivyo . NA NDOO MAANA MAGUFULI ALIKUFUKUZA.
Uyoo Lisu anajichanganya tu sjui kajipak mavi
Nape ni mkweli nchi yetu ni ya Watanzania, tusijinadi kwa ukabila, ukanda na utaifa kwa maana nchi yetu ni moja nayo ni jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Usilete ubaguzi hayo mambo yako yamepita na wakati
@@tinosimon595ila wizi wa kura umehalalishwa si ndio?
TUNATAKA RASILIMALI ZETU .
Lissu kaainisha kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema Zanzibar ni nchi na mambo mengine mfano wake. Hapo tayari kuna nchi mbili naona, hebu jaribu kuweka sawa maelezo yako.
Kweli CCM bilawewe itakufa wewe nimtu muhimu sana
Mwache Lisu aongee. Tz ya sasa ni ya Demokrasia, kwa sasa ni full uhuru wa kuongea
Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Zanzibar ina rais, ina katiba yake, ina jeshi lake, kinajiendesha mambo yake bila shida, ya Tanganyika yako wapi? Tumeungana kwenye nini? Wekeni mambo sawa. Mpoooo?
Tundu lisu fanyeni jitihada zenu muvunje muungano ili musiongoze na mzanzibari kwa wazanzibar hatutaki muungano
Na wewe usimkosea mwenzako kumeita "mpuuzi" huo sio uungwana. Kemea kwa STAHA!!
Vunja Muungano Wazanzibari wote tunamsapoti Lissu ,Lissu anatetea Tanganyika yao ni yupo sawa ,Tanzania ni nchi mbili zilizoungana Tanganyika na Zanzibar, Zanzibar ipo Hiyo nyingine ipo wapi??????ndio suali la Lissu inshort Huo Muungano ni batili ,hakuna muungano wenye masilahi kwa upande mmoja tu
Hongera Nape!!!
jamani watanzania tunafikaje huko. hakika kama ataendelea katika kukosoa serikari kwa kuweka mgawanyiko wa Tanganyika na Zanzibar . atasababisha hitilafu kubwa kati ya wanainchi wa Zanzibar na Tanganyika. tafadharini sana watanzania wenzangu
Hyu tindu lisu ni shoga halafu yy mwenyewe ni mtusi amezoea ubaguzi mbwa hyu mungu akulaani mshenzi mkubwa w
Acha mambo ya ajabu wewe,
Love ❤ you lisu
Wewe mwenyewe Nape unashindwa kuwaheshimu wanasiasa wenzako unawaita wapuuzi unataka upigiwe magoti wewe nani nchi hii ni yetu wote na kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake hasa yanayohusu watu wote na siyo cheo au nafasi yako uliyorithi kutoka kwa baba yako wewe tumeshakushutukia ni chawa tu
Anazingua huyu mzee tumajua kila kitu cc niwatumwactunajua
Muongo lissu watanganyika wapo Zanzibar na wanamiliki ardhi na washazaana usiseme uongo
Mi mzamzibari ila hapo namunga mkono lisi yupo sahihi badae hata wewe ukikosa Cheo utaongelea tu hivo
Tumwambie nape yeye nawenzie ndo wapigaji wakubwa wainchi hii
Tusomee katiba ya Zanzibar kwanza
Point
Hivi alipata Devision ngapi huyu form 4
0
Haina jipya nape,jibu kilichozungumzwa
NAPE NAKUULEWA SANA KAKA YANGU
Lisu ni mpumbavu km wapumbavu wengine apuuzwe ameishiwa kisiasa
Yy apiganie ushogo tu sio siasa ana akili kabsa
Kumrudisha Lisu na Kuruhusu mikutano.Swali: Je Ukimfadhili mtu ndiyo iwe sababu ya kufanya unavyotaka? Hutakiwi kukemea Mfadhili anapokosea? Umeme kwetu ni wa mgao,Zanzibar hamna kitu hicho? Bandari za Tanganyika amezigawa za Zanzibar ziko salama.Lisu na Samia nani ni mbaguzi? Wabunge mnapiga makofi mnashangilia KWELI ni HAKI hivyo mnavyofanya?
Nape achana na Roboti Hilo . Muflis hawana hoja mara bandari , mara katiba , mara maandamano haijulikani wanataka Nini eti Mzazibari Nini maana ya Tanzania ,Roboti futa neno Tanzania .
Nape tulia upewe dozi na watu wenye akili
Mfungeni jera au anapata viboko 3kilasiku nyau
Nnn wanauza Mali arafu wanachukiwa kuambiwa ukweri mungu anawaona ccm hizimali mtatapika siku mungu akija haaaa

Risu wanyoshe walevi wamadalaka
@@jakobongwara3038 hili tunalifurahia mda huu, ila hii dhambi itatutafuna, tushabikie vyenye tija na mwanga kwa taifa hila kwa hili analolizungumza lisu kuhusu uzanzibari na utanganyika sijalikubali.
Nape kweliwewe falakabisa zazibali unaenda nakitabulisho wazazibali wanaingia bala bilachochote
Nani amefilisika kwani zanziba hakuna misitu bandari kwanini hajayikabizi waarabu nape acha ubwege
sasaaaa siandiki chochote ila kati ya Hawa Wawili mmoja Ana Akili sana na Ana utaalamu mkubwa wa kufafanua Mambo na kuisaidia TANGANYIKA....