Niko hapa baada ya kusikia huu wimbo kwenye safari ya mwisho ya baba yetu mpendwa Dkt.John Pombe Magufuli ....nenda salama baba malaika Wa mbingu wakupokee kwa shangwe na vigelegele shujaa wetu
Hakika Leo amezikwa salama nyumbani kwao chato hakika Bwana ametoa na bwana ametwaa . Raha ya milele umpe ewe bwana na Mwanga wa mbinguni umuangazie. R.I.P MAGUFULI our President God take u in heaven
Wimbo huu unanikumbusha msiba mzito wa JPM na leo tarehe 16 March, 2023 nausikiliza kuelekea kumbukumbu ya miaka 2 toka mwamba alipotangulia kwa Baba mbinguni tarehe 17 March, 2021... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 R.I.P JPM
Wanasema huu wimbo ndiyo ulikuwa wimbo Pendwa kwake JPM na ndiyo maana ulitumika sana kwenye Msiba Wake. Wimbo huu Niliutunga mwaka 2001 hapa Parokia ya Chang'ombe Dsm Tz
Ni wimbo mzuri lakini ulionitia huzuni zaidi juu ya kifo cha jpm , hata hivyo kwangu mimi utabaki kuwa wimbo wa kumbukumbu muhimu ya msiba huo! Best song!! RIP JPM!!! Hongera mtunzi, hongera waimbaji!!Pole mama Janet! pole familia!pole wana chato! pole taifa!!
Huu wimbo utabaki kuwa historia kwenye maisha yangu binafsi nimejikuta naurudia zaidi ya mara tano kila nikiuskiliza namwona baba Magufuli ila ndugu tujaribu kuishi maisha ya upendo hapa duniani maana bado kifo kitabaki kuwa fumbo kwetu sisi wanadamu.. Vita umevipiga vilivyo vyema mwendo umeumaliza pumzika kwa amani baba
Baada ya kuusikia huuu wimbo kwenye maombolezo nimeufuatilia TH-cam nitaukumbuka wakati wote wa uhai wangu wote siku zote za maisha yangu nitakayokaaa hapa Duniani, R.I.P SHUJAAA WA AFRIKA DK JOHN POMBE MAGUFULI
Kuna siku najikuta naamka na huu wimbo kichwani na naweza kuusikiliza kwa kuurudia rudia hata zaidi ya mara tano. Wimbo wa hisia sana. Hongera kwa kazi nzuri Mtumishi.
Jamani huu wimbo unanijia hata nikilala usingizi naona msafara uliobeba mwili wa Raisi wangu!! Pumzika kwa amani Baba yetu kipenzi . Huu wimbo una uzito wa aina yake Ubarikiwe mtunzi
Sina mengi yakusema katika huu wimbo continue rest my dear president john pombe Joseph magufuli.mungu akupokee naahidi sitokuagusha wala sitakukana with ur slogan hapa kazi TU
Wimbo huu ni kati ya nyimbo zangu za Mwanzoni kabisa katika utunzi, niliutunga Mwaka 2001 nikiwa katika Parokia yangu ya Chang'ombe Jimbo Kuu la Dar es salaam. Baada ya Kutunga wimbo huu nyimbo nyingine nilizotunga Baadaye ni EE MUNGU WA HAKI YANGU 2003, NIRUDIENI MIMI ( LAKINI HATA SASA MWAKA 2004 na nyimbo nyingine zilizofuata Baadaye
Kwa kweli wimbo huu ni faraja ya watanzania kwani hayati raisi Magufuli alituasa tumtangulize Mungu ktk kila jambo. Tunafarijika Sana ubarikiwe sana mtunzi.🙏🙏RIP Magufuli
The song reminds me of Joseph Pombe Magufuli
Niko hapa baada ya kusikia huu wimbo kwenye maombolezo ya raisi wetu
Mimi pia so sad 😭😭
Mimi poa kwakweli
Sio mkrist lakn nimeitft hii nyimbo wallah 😭😭 RIP MAGUFULI
HATA MIMI
Hata mimi naupenda sana
Watu wametunga nyimbo ya kwa ajili ya msiba wa magufuli lakini hawajauufunika huu wimbo bonge la nyimbo 🙏🙏🙏🙏🙏
Kabisa!!
Aloyce Mungu aendelee kukutunza kwa tungo nzuri
Amina🙏
Everytime I hear this song I remember JPM . May his soul continue resting in peace.
😢😢
Niko hapa baada ya kuskia huu wimbo kwenye safari ya kumsindikiza mzee wetu Magufuli 😥💔
Mimi pia😭
Me pia aisee😭😭
@@irenealexander3562 💔
Wimbo umekata sana umepigwa sana kwa magufur safiii
Niko hapa baada ya kusikia huu wimbo kwenye safari ya mwisho ya baba yetu mpendwa Dkt.John Pombe Magufuli ....nenda salama baba malaika Wa mbingu wakupokee kwa shangwe na vigelegele shujaa wetu
Mtunzi wimbo huu unauzunisha Sanaa kwa kipindi hiki Cha mfungo pamoja na kipindi hiki Cha maombolezo mtunzi upo juu.
Abby hi
P
Kwa mara ya kwanza inanigusa na kuniliza siku ya leo hapa tbc live dar es salaam tunapomsindikiza mpewnda wetu ...baba joseph magufuli
Mimi pia🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
great
😢😢
Tbc wamejua kuniliza leo
ee bwana unifathili mimi
nakulilia
pokea roho ya magufuli wetu
JPM you are really missed continue to rest in peace our president you will never be forgotten
😢😢
Wimbo mzuri Sana, ubarikiwe Sana mtunzi, wimbo huu umetufariji sana kipindi hiki cha maombolezo ya rais wetu JPM.
Hakika Leo amezikwa salama nyumbani kwao chato hakika Bwana ametoa na bwana ametwaa . Raha ya milele umpe ewe bwana na Mwanga wa mbinguni umuangazie. R.I.P MAGUFULI our President God take u in heaven
R I P RAISI WETU MUNGU ALIWATUMU MUIMBE NYIMBO HII KWA RAISI WETU 😭😭😭😭 LALA SALAMA BABA YETU
Nyimbo ya magufuli baada kifo chake kwaya ya changombe
Pumzika mahali pema Rais wetu JPM.. tunakumbuka utumishi wako
Wimbo huu unanikumbusha msiba mzito wa JPM na leo tarehe 16 March, 2023 nausikiliza kuelekea kumbukumbu ya miaka 2 toka mwamba alipotangulia kwa Baba mbinguni tarehe 17 March, 2021...
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
R.I.P JPM
Wanasema huu wimbo ndiyo ulikuwa wimbo Pendwa kwake JPM na ndiyo maana ulitumika sana kwenye Msiba Wake. Wimbo huu Niliutunga mwaka 2001 hapa Parokia ya Chang'ombe Dsm Tz
Tuzidi kibarikiwa na uu mwimbo 🙏🙏
🙏
Nitaukumbuka wimbo huu kwa kumwezi raisi wetu
Kabisa!!
Aseeeeeee nihatali sana
Yaani huu wimbo imebidi niutafute. Raisi wetu apumzike kwa amani kwakweli, Mungu atusamehe, atusaidie na atufadhili. Amina
R.I.P President Jonh Pombe Magufuli 😭😭🇹🇿🇹🇿😭🤲🇹🇿🤲😭😭😭😭😭
Ni wimbo mzuri lakini ulionitia huzuni zaidi juu ya kifo cha jpm , hata hivyo kwangu mimi utabaki kuwa wimbo wa kumbukumbu muhimu ya msiba huo! Best song!! RIP JPM!!! Hongera mtunzi, hongera waimbaji!!Pole mama Janet! pole familia!pole wana chato! pole taifa!!
Hongera sana mtunzi nabarikiwa sana kupitia nyimbo
Tumshukuru Mungu kwani ndiye anayenipa karama hadi nikatunga wimbo huo
Huu wimbo utabaki kuwa historia kwenye maisha yangu binafsi nimejikuta naurudia zaidi ya mara tano kila nikiuskiliza namwona baba Magufuli ila ndugu tujaribu kuishi maisha ya upendo hapa duniani maana bado kifo kitabaki kuwa fumbo kwetu sisi wanadamu.. Vita umevipiga vilivyo vyema mwendo umeumaliza pumzika kwa amani baba
Kabisa!!
Kwel kabisa ndugu yangu
@@cutphilipo4732 umeona eeh
@@jumakapilima5674 Amina
Nice song.....will always remind me of magufuli
R.I.P JPM. May your soul rest well in the name of Jesus
Nimeusileo umenisusa Sana mungu mupokee magufuli wetu
This song will remain to be in my heart forever in memories of Dr.John MAGUFURI
Hongera,,,,,lakini nafikiri ingekuwa bora "This song will remain in my heart forever,,,,"
Me too. I remember the late Magufuli when I play this song
Kila nikisikiliza huu wimbo nakumbuka msiba wa Rais jamani, Bwana unifadhili mimi, Rest In Peace John Pombe Magufuli
Baada ya kuusikia huuu wimbo kwenye maombolezo nimeufuatilia TH-cam nitaukumbuka wakati wote wa uhai wangu wote siku zote za maisha yangu nitakayokaaa hapa Duniani, R.I.P SHUJAAA WA AFRIKA DK JOHN POMBE MAGUFULI
We km mimi mkuu daaaah
Kila nisikiliazapo Wimbo huu na kumbuka jiwe RIP president hakika umetenda mema kwenyeharusi taifa hili
😭😭😭😭😭buriani magufuli
Pamoja nakukuona CCM kirumba mwanza bado moyo wangu unaamini umelala usingizi Jpm utakapoisha kuna kitu nitakwambia shujaaa
Wimbo mzuri na umegusa nyoyo za watu hasa katika kipindi hiki kigumu mbarikiwe sana waimbaji
Pumzika kwa aman rais wetu JPM.This reminds mourning of magufuli
Dah huu wimbo umenitoa machozi pumzika kwa amani JPM
Kuna siku najikuta naamka na huu wimbo kichwani na naweza kuusikiliza kwa kuurudia rudia hata zaidi ya mara tano. Wimbo wa hisia sana. Hongera kwa kazi nzuri Mtumishi.
Tumshukuru Mungu
Barikiweni kwa wimbo mzuri kwa kipindi cha Kwaresima. So touching and blessing🙏🙏👏🏾👏🏾💕💕
Wimbo mzuri unaoguza moyo wangu katika kipindi hiki cha Kwaresima 2021. Hongera sana
kwa utunzi na uimbaji bora
Tumshukuru Mungu kwa yote
Wimbo mzuri sana wabarikiwe waimbaji wote na mtunzi
@@AloyceKipangula naomba mawasiliano yako
Nipo hapa baada ya kuisikia TBC tukimuaga chuma magufuli
Jamani huu wimbo unanijia hata nikilala usingizi naona msafara uliobeba mwili wa Raisi wangu!! Pumzika kwa amani Baba yetu kipenzi . Huu wimbo una uzito wa aina yake Ubarikiwe mtunzi
Eeeeee Bwana naomba inifadhili mm mwanadamu mwenye dhambi😭😭😭😭😭😭😭😭
Hapa baada ya Babaangu Magufuli. Best Song❤️. Upumzike kwa amani
Kwaresma mwema, baba Aloyce.
🙏
I will still remember this condolence song thanks to chang'ombe Roman Catholic quoir
🙏
Sina mengi yakusema katika huu wimbo continue rest my dear president john pombe Joseph magufuli.mungu akupokee naahidi sitokuagusha wala sitakukana with ur slogan hapa kazi TU
🙏
Rest In Peace John Magufuli wetu
Ee bwana nakulilia unijalie mwisho mwema Amina
Namshukuru Mungu kwa uumbaji wake kumuumba mtunzi huyu Asante baba
Asante Sana Baba
Ee Bwana unifadhili Amina
Nakulilia mchana kutwa bwana skia kilio changu
@@rehemamohammed4215 Ameni
Rest In Peace Hon.J.P Magufuli🇰🇪🤧
RIP magufuli
Nice song kwa hayati magufuli mungu akupokee toharani
Kila ninaposikiliza huu wimbo mwili mpaka unakufa ganzi,R IP magufuli
Magufuli Apumzike Kwa Amani
Nyimbo zako huwa sichoki
Well done saut zenu hazjachakachuliwa
Dah Niliusikia huu wimbo Siku Mwili wa hayati magufuri kutoka uwanja wa Taifa kwenda Hospital ya lugalo
Amina
Wimbo huu ni kati ya nyimbo zangu za Mwanzoni kabisa katika utunzi, niliutunga Mwaka 2001 nikiwa katika Parokia yangu ya Chang'ombe Jimbo Kuu la Dar es salaam. Baada ya Kutunga wimbo huu nyimbo nyingine nilizotunga Baadaye ni EE MUNGU WA HAKI YANGU 2003, NIRUDIENI MIMI ( LAKINI HATA SASA MWAKA 2004 na nyimbo nyingine zilizofuata Baadaye
Hongeren kwa kaz nzur
lala salama raisi wa tanzania
It reminds me the saddest moments of president Magufuli.
😢😢😢
This song reminds me of the saddest Tragedy of the Passing of our Beloved JPM.
REST EASY DADDY....FOREVER YOU WILL STAY IN OUR DEAR HEARTS😥🇹🇿
Niko hapa baada ya kusikia kwenye maombolezo ya Raisi wetu ulale salama kipenz cha watu wengi
Mbarikiwe kwa mwimbo mzuri
Nimetokea kuupenda huu wimbo
Hongereni sana Wanakwaya kwa Wimbo huu. Kila ninapousikiliza wimbo huu namkumbuka sana mpendwa wetu, JPM.
Mwenyezi Mungu ailaze pema roho yake. Amina.
mungu azidi kuwainua ktk viwango vya juu ,yote mfanyayo ni kwa utukufu wa mungu
Amina
Rip My President JPM 😭💔I will miss you Forever
Daaah ni pengo lisiloweza kuzibika jaman 😭😭💔
😢
Ubarikiwe mtunzi wa huu wimbo kwa kweli umetufariji wengi katika kipindi hiki kigumu cha kifo CHA Hayati JPM
Asante. Tumshukuru Mungu kwa Yote aliyotutendea anayotutendea na atakayotutendea
Mungu tujalie mwisho mwema
Nimeisikia nyimbo kwa mara ya kwanza katika msiba wa hayati Magufuli. Wimbo huu umebaki katika moyo wangu hata leo. Barikiweni sana
Asante Sana mwalimu Jonas. Naomba utusaidie kuwashirikisha na wengine link hii Ili wengi Zaidi wapate kuinjilika
Daah huzuni sana m/mungu akupumzishe kwa amani baba yetu magufuli
*Eeeh bwana unifadhili mimi*
Forever in my heart.❤
Amen
Pumzika kwaamani baba etu magufuri
Jamani wimbo unanikumbusha Rais wangu Mpendwa wangu.Mtetezi wa Wanyonge Magufuri .r.i.p.
💔😭 rest in peace my president J.P.M
Ulale salama RAIS WANGU.
Moyo wangu umefarijiwa na wimbo huu mtamu
Tumshukuru Mungu Aliyeweka ndani yetu karama ya kufunga nyimbo na kuziimba
😭😭😭😭
Mungu awapenguvu kwautunzi mzuri sana
Nimeupenda sana huu wimbo, barikiweni mnoo!
Kabisa,,,,it reminds the death of JPM!
R.I.P MY BELOVED MAMA BENNE, MALAIKA WAKUPOKEE HUKO MBINGUNI
Eebwana unifadhili mm
Namkumbukaga tu Jembe la Afrika JPM nikisikia hii nyimbo
Kweli mwenyezi mungu awabariki mzidi kufanikuwa zaidi
🙏
Huu wimbo imetokea naupenda
Yesu wangu nakushukuru sana tena sanakwa fadhili zako
Mungu awabariki
Ee bwana utufadhiliiii daima
Eheee bwana unifadhili Mimi katika shida zangu
Aise!!! Huu wimbo huu ...aise bonge la wimbo
Pumzka Kwa Amani Rais wetu JOHN MAGUFULI 🇹🇿 kwel tutakumbuka daima milele
Rest in peace mtoto wang trecy hakika nakumiss kwa mengi
Pole sana n kaz yamungu tumwombe mungu amlaze mahala pema peponi amina
Nice song🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Hongereni sana. Wimbo huu utakuwa kumbukumbu ya daima. Hasa ktk kumkumbuka mpendwa wetu. John Magufuli. R.I.P
I'm so blessed with this song..
We bwana unifadhil Mimi, sauti ya tatu inasikika vizur.
Nawapenda sana❤️
Wimbo una ujumbe nzuri sana Mungu wa Mbinguni Aibarki uinjilishaji wenu
Ubarikiwe sana mtumishi wamungu
Amina
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni
Na Amani Duniani
Nikisikiliza huu wimbo namkumbuka rais magufuri 😭😭😭😭😭
Naulilia huu wimbo jaman ucku kucha mbarikiwe sana
Amina 🙏
Wimbo huu unanitia huzuni sana
Unakumbuka nini Ndugu Hadi ukapata Huzuni
Kwa kweli wimbo huu ni faraja ya watanzania kwani hayati raisi Magufuli alituasa tumtangulize Mungu ktk kila jambo. Tunafarijika Sana ubarikiwe sana mtunzi.🙏🙏RIP Magufuli
🙏🙏
Wimbo mzuri Sana japo unanikumbusha mpendwa wetu Mheshimiwa JPM wetu
Lukwibuda sana yiyuva dee
😂😂😂Twilumba Yimagava. Ulwimbo ulo ndatungite Pa 2001