Hapa muitaje simba kisenge maana mkitaja simba mtaje na nafasi ya ngapi kafu maana kuna vitimu vina maneno halafu hata kumi bola havimo mkomenkuitsja simba hapa mbwa nyie maneno tu halafu vitimu havijulikani uko
Viongozi wanatamaa ya Hela hawana uchungu na matokeo ya timu yaoo, waende Kwa Yanga kujifunza jinsi ya kuongoza timu Yao na nzuri zaidi Wana fedha za kuendesha timu why wanafeli?
I uzuri WA azamu nini mi sijui alafu iki ndicho kimewatoa kujiona Bora wakati hawana ubora huwo wamefanya nini wapi namungo na biashara mtibwa kombe mara 2 hawasemwi
Huyo horuma Muongo muongo tu,, Anahurizwa km alipata fununu yeyote kama wataachana na kocha wao, yy anajibu eti kumbe mpira unauma yani mtu mzima anatoa chozi ,, Sema ujui basi sio kuzunguka wakati auna jibu
Hawa jamaa hawajasema kitu chchote cha maana. Walishabikia na kumjaza upepo Fei kwenda Azamu kwa ushabiki bila kuangalia maslahi ya baadaye ya Fei. Kama unafanya usajili safi mbona hakuna matokeo?
Tatizo sio wachezaji tu, bali azam nzima hasa kwa uongozi hawako serious, sio timu ya ushindani na ndio maana hawawezi kufanya maamuzi yoyote kwenye bench la ufundi, gabo sio kocha sahii kwa azam lakini tatizo kubwa ni uongozi
Wachambuzi hamsemi kweli. Huyo hucheza kwa jasho kwa yanga na simba tu
Azam wamuombe kocha mgunda awe kocha wao
Mwanzo mliisifia sana Azam, mkasema ni timu iliyofanya usajili wa maana
Azam wakamchukue mgunda awee kocha ili timu irudi vizuri zaid
Tulisema toka awali kuwa FEISALI ni " FELIKALI "
Wakamiaji wa YANGA
Pamekucha sasa"si mlisema azam wako vizur saaaana juz tu?
Azam fc ni timu nzurii Sana lakini ushauri wangu bakresa auze hioo club ili ule usimba na uyanga upotee.
Mm najua kua azam kafelishwa na kocha wake kasajili wachezaji na kashindwa kuwatumia
Hapa muitaje simba kisenge maana mkitaja simba mtaje na nafasi ya ngapi kafu maana kuna vitimu vina maneno halafu hata kumi bola havimo mkomenkuitsja simba hapa mbwa nyie maneno tu halafu vitimu havijulikani uko
Azam ni Kilindi Cha Taarabu wanakamiaga Yanga tu
Viongozi wanatamaa ya Hela hawana uchungu na matokeo ya timu yaoo, waende Kwa Yanga kujifunza jinsi ya kuongoza timu Yao na nzuri zaidi Wana fedha za kuendesha timu why wanafeli?
Hapana Yanga walikuwa hawana fedha bila fedha huwezi kufanya mageuzi yoyote unayoyataka
Aliwahi kusema mayele awa wananakamiya machi2 awana malengo mme muhoma bangala anafoka Ila Ila akuna kitu
Sisi hatuna fitina tume jenu mbovu kama ugolo feisal na sila na wa colombia walikuwa chini sana azm kocha ana shido na wazawoooo
Saa itakuaje ?
Leo mnaanza Azam ooooh nini siyo nyie mnacangiyaga kubomoa mpira wetu wacambuzi nzala, Fei ondoka yanga mda umefika leo tena😅😂😂
Azam waache mauno uwanjani
Da mi kinachoniuma ni fei sijui atakua anajiskiaje ila kikubwa aache utoto wa kutamba hasa anapomfunga yanga
Kocha Hana UWEZO.
Penalt enyew walipewa tu"ila haikuwa hata penalt
Dabo na wenzie hawana kazi.
Mbona hamkusema hayo maneno kuwa wako slow kabla hawajacheza na kutolewa? Mngesema ingewasaidia lakini kwa uchambuzi wa hovyo ndiyo huu
Ukiangalia timu inavyocheza ni makosa ya benchi ya ufundi hawakuonyesha mbinu yoyote ile ya kuonyesha kuvuka, wfukuze kuanzia kocha mpaka wachezaji
Hamna timu Azam
Semeni ukweli hao wakamiaji wa simba na Yanga
Ondoeni viongozi wote hasa mashabiki wa yanga na simba ajiri watu wanaopenda mpira sio wanaopenda yanga na simba
Sasa SIMBA na YANGA wanahusika vipi hapo mashindano ya kimataifa
Kwa hio uongozi wa yanga na Simba ndio ulio pelekea azam kutokufuzu hatua inayo fuata CAF champion league
Mtu kapigwa 4 juzi tu apa😂😂iyo ndio ilikuwa red flag ya mapema
Azam wakamiajitu ,hawanaloloteee😂😂😂
wafukuze viongozi ili waweke wenye amsha amsha kwa wachezaji
Walipewa mademu wazuri wazuri wa kitusi wakamalizwa kiulain tu😋😋
I uzuri WA azamu nini mi sijui alafu iki ndicho kimewatoa kujiona Bora wakati hawana ubora huwo wamefanya nini wapi namungo na biashara mtibwa kombe mara 2 hawasemwi
Wachezaji wa azam,
Mili ipo azamu akili zinawazia simba na Yanga ndio shida hiyo,
Kwa fei toto, ubora wa mchezaji unategemea unacheza na nani,
Pira wa Azam ni kwa Yangua na Simba.
Hii halisi nyinyi hamsemi
Mjue msitudanganye maana kama Wana scout nzur wanafanya nn kumbukeni mchezaj mkubwa Huwa hasubir mda hayo ni matokeo ya usajili mbovu walio nao
Acheni umbea azam ikiwa nzuri simba na yanga tutapata taabu hivyo wacha tuinjoy
😂😂😂😂😂
Kazi yao kubunja wavjezaji wa yanga tuu na kukata mauno kama zuena wale silah fei wangeanzia benchhh
Uongozi ni MBOVU hawapendi kwenda MBELE kimataifa
Bangala ni n6 ful Ila anacheza yeye mwenyewe n 6 4 tazama goli lakwanza ata lapili shida
Huyo horuma Muongo muongo tu,, Anahurizwa km alipata fununu yeyote kama wataachana na kocha wao, yy anajibu eti kumbe mpira unauma yani mtu mzima anatoa chozi ,, Sema ujui basi sio kuzunguka wakati auna jibu
Nani katoka Kigali awe Simba au Yanga?
Hujaeleweka
Azam bado timu ndogo
Hana hoja huyo
Mukwala ni hatari kama Mo cola
Hawa jamaa hawajasema kitu chchote cha maana. Walishabikia na kumjaza upepo Fei kwenda Azamu kwa ushabiki bila kuangalia maslahi ya baadaye ya Fei. Kama unafanya usajili safi mbona hakuna matokeo?
Wew ukitaka fei akatae mshahara wa milion 16 aendelee kupokea yanga milion 4
Wew ulitaka
Si aliambiwa wakae aboleshewe mshahara acha mtoto kautaka@@clarencesichila9497
Sio ivo hata hao simba na yanga hawakuenda moja kwa moja hatua ya robo final walikuwa wanakwama ila yote yanakuja kwa sababu ni azam
Walikua hawana pesa wakati huo Azam hawana kisingizio
@@fredylucas2484 Huo ni ukweli mtupu.
Wanarudusha nyuma ligi yetu.
@@fredylucas2484 co kweli. Unaamini kuanzia 1960 mpaka 2020 hizo timu zilikuwa hazina pesa?
Point
Hawakuwa na wachezaji wazur kama wa azam na hawakuwa na pesa
Azam wanacheza kitoto