Mzee said 😂😂😂 Makomando......kofii 🤪😅🤣🤣we mzee mbavu zangu uku daa makofi makofii..kata kata kapewa mtu kibao 😂😂😂 naenda kujisalimisha 😂😂Daa mungu akujalie maisha marefu na uwe na afya njema mzee wetu said daa unatufrahisha saana👏👏
Wewe unaye soma omenti hii mungu akulinde umalize kwa juu kwa kishindo wnaokupangia mabaya mungu aww angushe nchini kama una ota ndoto na inakuchanganya njoo inbox nita kutabiria uta pata ufumbuzi wa ndoto yako ndoto ni maisha unacho kiota katika ulimwengu wa roho ndivyo itakavyo kua maisha ya kawaida mungu aww bariki sana
Wewe Unayesoma Comment hii Najua Hatufahamiani ila Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu Akujalie Afya Njema Na Akupe Wepesi Ufikie Malengo Yako Yatimie Vizuri 🙏🙏
Jamani tumsaidie mavambo,unajua toka mechi ya costal alivyo mvulia yule mchezaji jezi mpaka leo amepoteana kabisa....tumsaidie mchezaji wetu hii tanzania bwana.
Watanzania uchaw mwingi sana mavambo nayeye alijua huku n ulaya ona sasa kinachomkuta nilisema lakin wachezaj wetu wasiwape wapinzan chochote zaid ya mo kola bas nguo haifai kumpa audi yako
Huyu mzee ni mchawi mkubwa akome kututaja hii ni mechi ya pili akiiombea yanga ushindi akome aiombee timu yake lkn mzee said ww kunifunga ni kwenye ndoto zako tu na siku hiyo nitakutafuta nicheke mpaka basi 😂😂😂
Chagamba mwabie mzeeh saidi kuwa galagashene maana yake ni kuonyeshana kazi akibisha namtumia mshee tishet mbili Za simba mmi ni daud mahumbi Niko tabora pia asali tunaita bhuki sio uchi

Mzee Saidiiiiiiii! Nakupenda bure Babangu!🥰
Ila mzee said bwana apewe maua yake yaani natamani kukuangalia kila siku big up mzee wangu
Mzeeeeeeeee Said nilitaman nikuone toka Jana ila hata ivo haujachelewa umekuja muda sahihi mzeeeeeeeee wetu
Walokua wanamsubir mzee said gonga makofi
Mzee Side sometimes kama bangi zinamzinguwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mzukaa
Asante Chagamba kumleta Mzee Said nimefurahi kumuona kumsikia Mzee Said
Wewe unaye soma omenti hii mungu akulinde umalize kwa juu kwa kishindo wnaokupangia mabaya mungu aww angushe nchini kama una ota ndoto na inakuchanganya njoo inbox nita kutabiria uta pata ufumbuzi wa ndoto yako ndoto ni maisha unacho kiota katika ulimwengu wa roho ndivyo itakavyo kua maisha ya kawaida mungu aww bariki sana
Nakupnd mzeee said kwa maneno yk😂😂😂😂😂
Kkkkkkkk mzee Said bana unachekesha sana 🙏🏽🙏🏽🙏🙏
ILA MZEE SAID 😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Wapi Mzee side ubaya ubwela
Big up mzee nakukubali na uzi wako wa kimataifa wa MO cola
Waoo mzee said nawapenda na chagamba
Wewe Unayesoma Comment hii Najua Hatufahamiani ila Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu Akujalie Afya Njema Na Akupe Wepesi Ufikie Malengo Yako Yatimie Vizuri 🙏🙏
Asate na pia
Aamin
@@AnisiaKazungu 🙏🙏
@@DeodatusRogasian 🙏🙏
Amina
😂😂😂😂😂😂muzeee saidii
Uyu mzee ni yangaa kabisaa❤
Nakubali sanaaa
Mzee saidi safiiii
*jamani tunao mkubali mzee wetu like ziwe nyingi kwake😅😅
😂😂😂ila mzee said
Za ndaaaniiii gamondi anaend singida big stars n musa ndaw
Wamzee hatari😅😅
Mze saidi unaongea ukwer tu Mungu aku baliki
Mzee Said Heshima yako 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 11:17 😂😂😂
😂😂😂😂❤❤❤❤said
Mm mwana Simba kocha kuvaa tah anaonekana yupo sirias na kz 😂😂😂😂
Mzee utatuuwa 😅😅
Simba ina watu bhna mpka raha, mzee saidi, Gb 64, Kisugu,
Mzee said bwanaaa ananikoshaa sanaaa
Hapo "ooh anafungwa "😂😂😂
Bwana wewe unasema 🎉🎉🎉🎉vizuri leo
Huyuu ndoo Mzee saidi
nacheka Japo nimefiwa
Kweli Mzee side
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂 Nimecheka sana Eti dogo unaweza? Twende mpaka kwa diara 😁😁
Mzee said 😃😃😃😃😃
Ahahhahaa mzewe said eti kamoni
Hakika nafurahi sana kukusikiliza babu yangu
Ila mzee said
Mzee said hana ufundi ila akizungumza unafurahi hata kama anamsifia mpinzani wako
Simba bila Camara wangefungwa goli mbili, Camara akafanya kazi kubwa sana.
Sasa bila Camara Kwan Camara mchezaji wa wap acha uboyaa wewe kama diara kashatoboka tuliaaa mzee
Kwani Kamala ni mchezaji wa nani?
Kwani camara sioo mchezaji wa simba ,,na kama nj mchezaji wa simba katimiza majukumu yake
Uchawi huo 😂😂😂😂
Camara ni refa au mchezaji wa simba?
Sema Chagamba unavunjikaga sana mbavu kwa Mzee Said😂
Mzee Saidi mkumbushe chagamba kweli mwenye ng'ombe ndio tajiri
Ana maisha mazuri kabisa😂😂😂
mzee said Raha sana jhaman
Ila Mzee saidi
Mzee said hajui mpira ni mchekeshaji
😅😅😅
Wewe unajua fungua redio uchambue
Ngaa twende, ngaa twende, ngaa twende mbuvu zangu jamani
ILA MZEE SAID ETI LIBENGE LIONGO😂😂😂
Pinpin
Eti nga twende nga twende
Gamondi kaialibu timu yetu
😁😁😁😁😁😁
Mzee said ulisema utopolo asiposhinda na simba hatutashinda.. sasa utopolo hakushinda na mnyama kashinda...
Kweli😂😂
Amesema yanga isiposhinda basi simba itakuwa ngumu ila amemaamisha kuwa yanga wanaweza kufanya kitu cha figisu ili Simba ikwame ktk matokeo
Tunatumia hiki kipindi wamegombana na mganga wao 😂😂😂😂
Pia alisema yanga Bora Simba mbov na aliipa ushindi mechi ya nne na kaapa huyu Mzee nilikuw namkubali ila kazd kujifbya anajua mpka anapoteza mvto
@@DStarTz-if2ko ni kweli kabisa.. halafu Leo kama sio yeye..
ubaya ubwela namkubali sana Mzee
😂😂😂😊
Hahahahahah mzeen aid mbavu zangu
Gamba anacheka sana anapomhoji huyo Mzee saidi
Chagamba umpeleke mzee South Africa akale nchi na Miraji
Ukiona mtu anasema Gari haiendi Juan anjua amewafanya nini?
🎉🎉🎉🎉🎉
Mzee anaona aibu alivyoiponda simba uyu sasaiv anajikaza tu mana alitabir unaz nakaapa ndn y mech y nne eti ynga bingw simba mbov
Yaan mualetee malaika wa mungu utani wa kiwaki alafu awape ubingwa !? Ubingwa wa konyo😀😁😂
Haka kazee kanafiki tu kweri
Jamani tumsaidie mavambo,unajua toka mechi ya costal alivyo mvulia yule mchezaji jezi mpaka leo amepoteana kabisa....tumsaidie mchezaji wetu hii tanzania bwana.
Watanzania uchaw mwingi sana mavambo nayeye alijua huku n ulaya ona sasa kinachomkuta nilisema lakin wachezaj wetu wasiwape wapinzan chochote zaid ya mo kola bas nguo haifai kumpa audi yako
Chagamba nakuona unakonda sijui unafanya kaz san
😅😢😅😢😅😢🎉🎉
Kicheko changu mie siyo yanga yangu yangu ya gamond
Simba walieda kufanya mazoezi kule kwa uwaja wakaroga
Mzee saiv ndio interview zake sinaingoza kwa. Viewers
Mimi chasambi simkibali mipira mingi ahanaalibu
Kiukwel nisiwe mnafki naonaga Mzee said km anaongea unafk hv plus pumba tuu
Sawa ni mtazamo wako ila sio wetu😂
Sahihi Kiongozi huyu ni mnafiki wa kwelimchome no mbili
Hata wewe tunaona umeandika pumba na una akili hv
Demu wa yanga huwezi kumpenda mzee said, utampenda mobeto tu😂😂
Usimuangalieee basi hajakuita
Huyu mzee ni mchawi mkubwa akome kututaja hii ni mechi ya pili akiiombea yanga ushindi akome aiombee timu yake lkn mzee said ww kunifunga ni kwenye ndoto zako tu na siku hiyo nitakutafuta nicheke mpaka basi 😂😂😂
kwa namna nilivyo waona wapinzani hawa wawili wengine simba tujipange
Uzur wake tunabadilika kutokana mechi
Tutacheza kulingana na walivyokuja
Chagamba mwabie mzeeh saidi kuwa galagashene maana yake ni kuonyeshana kazi akibisha namtumia mshee tishet mbili Za simba mmi ni daud mahumbi Niko tabora pia asali tunaita bhuki sio uchi
Humeokota dodo mzee
Ili lizee ni lanayanga tumeshalijua
Ongerea timu yako choko kalime wewe
Uyu mzee nae kashaanza umakumaku uyu