HATUA ZA KUTIMIZA MALENGO YAKO || James Atilio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • HABARI, Karibu kwenye video hii ya leo ambayo nimeshare na wewe hatua kuhusu jinsi ya kupanga malengo kwa ufanisi. Katika video hii, nitakuelekeza hatua 6 muhimu za kuzingatia unapopanga malengo yako na kuandaa mpango wa utekelezaji. Ikiwa unataka kufanikisha malengo yako na kuboresha maisha yako, hii ni video unayohitaji
    Mambo Muhimu:
    1. Jinsi ya kuweka malengo yaliyo wazi na yenye maana
    2. Umuhimu wa kuwa na vipimo vya maendeleo ili kufuatilia mafanikio yako
    3. Kuhakikisha malengo yako ni ya kweli na yanaweza kufikiwa
    4. Kuweka malengo yanayoendana na maisha yako na matarajio yako
    5. Kuweka muda maalum wa kufikia malengo yako ili kuongeza motisha
    6. Mwongozo wa hatua kwa hatua wa kuunda mpango madhubuti wa utekelezaji
    Kwanini Utazame Video Hii?
    1. Kujifunza misingi ya kupanga malengo kwa ufanisi
    2. Kupata mbinu za kufanikisha malengo yako
    3. Kupata motisha ya kuanza safari yako ya mafanikio
    Jiunge katika familia ya kujifunza na kuboresha maisha yetu Usisahau ku-like video hii, ku-share na marafiki zako, na ku-subscribe kwenye channel kwa video zaidi ya kuhamasisha na kuelimisha. Pia, niache maoni yako hapo chini na niambie ni hatua gani unazopanga kutumia katika kupanga malengo yako. Gusa alama ya kengele notification ili usipitwe na video mpya!
    #KupangaMalengo #Mafanikio #MpangoWaUtekelezaji #Maendeleo #Motisha

ความคิดเห็น • 3

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hakika James nimetafakari kidogo kwa kurejea kitabu cha
    mithali 24:30-34
    {30} nilipita karibu na shamba la mvivu na shamba la mizabibu la MTU asiye na akili.
    {31} kumbe lote pia limemea miba uso wake ulifunika kwa viwavi na ukuta wake wa mawe umebomoka.
    {32} ndipo nilipoangalia na kufikiri sana niliona nikapata mafundisho.
    {33} bado kulala kidogo ,kusinzia kidogo bado kukunja mikono upate usingizi.
    {34} hivyo umaskini wako huja kama mtu mwenye silaha.
    #Tukutane nchi ya asali na maziwa#

    • @JamesAtilio
      @JamesAtilio  2 หลายเดือนก่อน +1

      Barikiwa mtu wa MUNGU

    • @pelekamadilisha
      @pelekamadilisha 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤