James Atilio🏅
James Atilio🏅
  • 85
  • 45 331
Mchanganuo wa jinsi faida inayopatikana unapoweka akiba kwenye mifuko maalum (compound interest)
Katika video hii, tunakuletea mchanganuo wa kina wa jinsi faida inavyopatikana kupitia uwekezaji wa hisa au mifuko mingine ya fedha kwa kutumia nguvu ya Compound Interest. Jifunze jinsi riba inavyoongeza thamani ya uwekezaji wako kila mwaka na kukuza utajiri wako kwa muda mrefu. Kwanini usiwekeze leo na kufurahia faida za baadaye?
#Uwekezaji #CompoundInterest #Hisa #FaidaZaUwekezaji #Fedha #MafunzoYaFedha #MchanganuoWaFaida"
มุมมอง: 0

วีดีโอ

Elimu ya fedha (summarized )
มุมมอง 164 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hii ni summary fupi ya video yangu kuhusu elimu ya fedha, maalum kwa wale wasiopenda kuangalia video ndefu. Nimechukua vipande muhimu kutoka kwenye video nzima ili kutoa muhtasari wa kile unachohitaji kujua kuhusu usimamizi wa fedha zako. Hapa utapata vidokezo vya haraka na vya msingi vitakavyokusaidia kufahamu kanuni muhimu za fedha kwa urahisi na haraka. Tafadhali angalia, jifunze, na anza sa...
Misingi 5 Muhimu ya Elimu ya Fedha Kwa Mafanikio ya Kifedha! - James Atilio
มุมมอง 659 ชั่วโมงที่ผ่านมา
"Katika video hii, tutazungumzia misingi 5 muhimu ambayo kila mtu anapaswa kujua kuhusu elimu ya fedha. Ukiweza kuelewa na kuzingatia misingi hii, utapata uwezo wa kudhibiti pesa zako vizuri, kuwekeza kwa ufanisi, na kujenga mustakabali mzuri wa kifedha. Usikose kujifunza kanuni hizi muhimu na jinsi zinavyoweza kukusaidia kufikia malengo yako ya kifedha. 💡💸 ⏩ Tazama mpaka mwisho na hakikisha un...
Behind the scene (akiba na elimu ya fedha)
มุมมอง 2316 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Hapa nilikua nikiandaa video ya elimu ya fedha, elimu hii imekua adimu sana kwa watu wengi...usikose somo hili ambalo nitalileta hivi karibuni. #budget2024 #actionplan #financialeducation #financialfreedom #jamesaatilio #economicconcept #joelnanauka #jinsiyakuwekaakiba #jinsiyakuanzabiashara
Mambo muhimu kuyafahamu kuhusu akiba na uwekezaji
มุมมอง 87วันที่ผ่านมา
Je, unajua kuwa akiba na uwekezaji ni msingi wa mafanikio ya kifedha? Katika video hii, nitakueleza ukweli wa kipekee kuhusu umuhimu wa akiba na uwekezaji, jinsi zinavyoonyesha nidhamu ya fedha, na kwa nini watu wakuu hutumia siri hii kufikia malengo yao. Pia, nitakufunulia jinsi akiba na uwekezaji ni 'mapacha' wasiotenganishwa kwenye safari ya kujenga utajiri, na kwa nini ni dhana ngumu kwa we...
Riba Unayopata na Riba Unayolipa: Faida za kuweka akiba kwenye fixed account
มุมมอง 6714 วันที่ผ่านมา
Katika video hii, tunajadili kwa undani aina mbili za riba - riba unayopata na riba unayoriba. 🤔💰 Utajifunza kwanini benki zinakuchaji riba na pia kwanini zinalipa riba kwa wateja wao. Hii ni elimu muhimu kwa yeyote anayetaka kuelewa jinsi mfumo wa kifedha unavyofanya kazi na jinsi ya kutumia faida ya riba katika maisha yako ya kifedha! 📈💼 #Riba #Fedha #Benki #ElimuYaKifedha #MaarifaYaFedha #Ri...
Jinsi ya kugundua uwezo wako wa kipekee (Kitabu cha Core genius) kipaji
มุมมอง 17221 วันที่ผ่านมา
Jinsi ya kugundua uwezo wako wa kipekee (Kitabu cha Core genius) kipaji
Usipoteze Fursa! Fahamu Gharama Halisi ya Maamuzi Yako -[Opportunity Cost]-James Atilio
มุมมอง 14528 วันที่ผ่านมา
Usipoteze Fursa! Fahamu Gharama Halisi ya Maamuzi Yako -[Opportunity Cost]-James Atilio
NJia ya kuwa na akiba ya kudumu - James Atilio
มุมมอง 58หลายเดือนก่อน
NJia ya kuwa na akiba ya kudumu - James Atilio
EPUKA KUFANYA MATUMIZI AMBAYO HUKUPANGA [ unplanned, impulse, impromptu purchase] -James Atilio
มุมมอง 34หลายเดือนก่อน
EPUKA KUFANYA MATUMIZI AMBAYO HUKUPANGA [ unplanned, impulse, impromptu purchase] -James Atilio
Jinsi matumizi madogo madogo yanavyoathiri mapato yako
มุมมอง 45หลายเดือนก่อน
Jinsi matumizi madogo madogo yanavyoathiri mapato yako
NJIA MBILI ZA KUDHIBITI MUDA WAKO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
มุมมอง 74หลายเดือนก่อน
NJIA MBILI ZA KUDHIBITI MUDA WAKO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
KANUNI 7 ZA FEDHA (The Richest Man in Babylon book 📖 summary)
มุมมอง 50หลายเดือนก่อน
KANUNI 7 ZA FEDHA (The Richest Man in Babylon book summary)
Mbinu ya kufika kwenye lengo lako
มุมมอง 28หลายเดือนก่อน
Mbinu ya kufika kwenye lengo lako
TUMIA KANUNI HII KUANDAA BAJETI YAKO
มุมมอง 932 หลายเดือนก่อน
TUMIA KANUNI HII KUANDAA BAJETI YAKO
BURN 🔥 THE BOATS [ CHOMA MELI] - James Atilio
มุมมอง 1532 หลายเดือนก่อน
BURN 🔥 THE BOATS [ CHOMA MELI] - James Atilio
HATUA ZA KUTIMIZA MALENGO YAKO || James Atilio
มุมมอง 3482 หลายเดือนก่อน
HATUA ZA KUTIMIZA MALENGO YAKO || James Atilio
THE RICHEST MAN IN BABYLON [Tajiri zaidi wa Babylon]- James Atilio
มุมมอง 8K3 หลายเดือนก่อน
THE RICHEST MAN IN BABYLON [Tajiri zaidi wa Babylon]- James Atilio
SEHEMU 04 (mwisho): JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
มุมมอง 4123 หลายเดือนก่อน
SEHEMU 04 (mwisho): JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
SEHEMU 03: JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
มุมมอง 3883 หลายเดือนก่อน
SEHEMU 03: JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
SEHEMU 02: JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
มุมมอง 5683 หลายเดือนก่อน
SEHEMU 02: JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
SEHEMU 01: JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
มุมมอง 1.1K3 หลายเดือนก่อน
SEHEMU 01: JINSI YA KUJITOFAUTISHA NA WENGINE KWA NAMNA YA KIPEKEE [Joel Nanauka]
JINSI YA KUPINDUA MATOKEO NA KUFANIKIWA| COMEBACK PHILOSOPHY | James Atilio |
มุมมอง 1763 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUPINDUA MATOKEO NA KUFANIKIWA| COMEBACK PHILOSOPHY | James Atilio |
JINSI YA KUPONA MAUMIVU AU UCHUNGU MOYONI [James Atilio]
มุมมอง 9273 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUPONA MAUMIVU AU UCHUNGU MOYONI [James Atilio]
KUMBUKA WEWE NI MWANADAMU [Tahadhari wakati wa mafanikio] -James Atilio
มุมมอง 1.1K3 หลายเดือนก่อน
KUMBUKA WEWE NI MWANADAMU [Tahadhari wakati wa mafanikio] -James Atilio
AINA 4 ZA MAUMIVU YANAYO WATESA WATU WENGI- James Atilio
มุมมอง 5734 หลายเดือนก่อน
AINA 4 ZA MAUMIVU YANAYO WATESA WATU WENGI- James Atilio
JINSI YA KUMFAHAMU MTU ANAEPITIA MAUMIVU MAKALI YA KIHISIA MOYONI MWAKE - James Atilio
มุมมอง 1.9K4 หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUMFAHAMU MTU ANAEPITIA MAUMIVU MAKALI YA KIHISIA MOYONI MWAKE - James Atilio
Njia rahisi ya kuongeza ujasiri-James Atilio
มุมมอง 5254 หลายเดือนก่อน
Njia rahisi ya kuongeza ujasiri-James Atilio
Jinsi ya kutunza muda-James Atilio
มุมมอง 3514 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kutunza muda-James Atilio
Usiwe mtumwa wa maumivu-James Atilio
มุมมอง 3274 หลายเดือนก่อน
Usiwe mtumwa wa maumivu-James Atilio

ความคิดเห็น

  • @joelmoron5896
    @joelmoron5896 2 วันที่ผ่านมา

    Tupe mambo kaka

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 3 วันที่ผ่านมา

    Kabla ya kuwekeza, hakikisha una ufahamu mzuri wa biashara au soko unalolenga. Tafiti, elewa hatari, na usikimbilie maamuzi ya haraka. Uwekezaji mzuri unahitaji mipango na maarifa sahihi✍️

  • @dottomabula7253
    @dottomabula7253 3 วันที่ผ่านมา

    💯

  • @bhokewambura9941
    @bhokewambura9941 3 วันที่ผ่านมา

    💯💯💪🏾

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 4 วันที่ผ่านมา

    Usichanganye KUTUNZA NA KULINDA...hayo ni maneno mawili tofauti

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 4 วันที่ผ่านมา

    KULINDA kipato

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 4 วันที่ผ่านมา

    KUONGEZA kipato

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 4 วันที่ผ่านมา

    KUTUNZA Kipato

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 4 วันที่ผ่านมา

    KUTUMIA kipato

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 4 วันที่ผ่านมา

    KUINGIZA kipato

  • @dottomabula7253
    @dottomabula7253 10 วันที่ผ่านมา

    🧠

  • @rishaboyvamba255
    @rishaboyvamba255 10 วันที่ผ่านมา

    ✍️✍️✍️✍️noted ✅️

  • @fratilupembe3479
    @fratilupembe3479 11 วันที่ผ่านมา

    💥✍️💥💥💥✍️

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 22 วันที่ผ่านมา

    That's is fact 👍

  • @mixturechannel6988
    @mixturechannel6988 26 วันที่ผ่านมา

    Kaka mm nakuelewa sna

  • @mtabatibakari4322
    @mtabatibakari4322 26 วันที่ผ่านมา

    Bro napenda unachofanya. Ila Contents zako zinafanana sana na contents za Joel nanauka jaribu kuwa unique

  • @rishaboyvamba255
    @rishaboyvamba255 หลายเดือนก่อน

    Asante sana brother kwa kutukumbusha 👋

  • @KefaMwasote
    @KefaMwasote หลายเดือนก่อน

    Dah Asante kwa somo

  • @francismwaibako
    @francismwaibako หลายเดือนก่อน

    Umegusa penyewe....safii sanaaa👏👏👏👏👏👏

  • @SheilaOmar2007
    @SheilaOmar2007 หลายเดือนก่อน

    Sana bro 🙏

  • @GidionAtilio
    @GidionAtilio หลายเดือนก่อน

    Sure

  • @rishaboyvamba255
    @rishaboyvamba255 หลายเดือนก่อน

    Yani kaka kama mimi nikiingiaga tik tok yani natumia mda mwingi sana. Asante sana hii njia ya pili ya kudownload hii app kwangu inanifaa. Asante sana brother

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio หลายเดือนก่อน

    Weka Akiba: Hifadhi angalau asilimia 10 ya kipato chako. Hii ni misingi ya kujenga utajiri - 1. kuweka akiba kidogo kidogo kila mwezi. 2.Dhibiti Matumizi Yako: Tumia chini ya kile unachopata. Epuka matumizi yasiyo ya lazima ili fedha yako iweze kuongezeka. 3.Zalisha Akiba Yako: Wekeza fedha zako ili zizae faida. Fedha iliyowekwa vizuri itakuletea mapato zaidi kwa muda. 4.Linda Mali Yako: Wekeza kwa busara, ukiepuka hatari zisizo za lazima. Tumia ushauri wa wataalamu na epuka mipango ya kupata utajiri haraka. 5.Miliki Nyumba Yako: Umiliki nyumba yako mwenyewe ili kuepuka kulipa kodi kwa wengine. Hii ni njia ya kuokoa gharama za makazi. 6.Hakikisha Mapato ya Baadaye: Wekeza kwa ajili ya siku zijazo. Andaa mafao ya uzeeni au uwe na vitega uchumi vya muda mrefu. 7.Ongeza Uwezo Wako wa Kipato: Endelea kujifunza na kujiendeleza ili kuongeza ujuzi wako na uwezo wa kupata kipato kikubwa zaidi.

  • @EastCoastOilandFatslimited
    @EastCoastOilandFatslimited หลายเดือนก่อน

    Pay your self first 🥇

  • @GidionAtilio
    @GidionAtilio หลายเดือนก่อน

    Thankyou bro I always gain new perception whatever

  • @enock-ih3yv
    @enock-ih3yv หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio ukweli mtupu

  • @salmindrogbaofficiallyrash3014
    @salmindrogbaofficiallyrash3014 หลายเดือนก่อน

    Good xna kaka ,,that's really life

  • @SalhinaShabani-ht1hg
    @SalhinaShabani-ht1hg หลายเดือนก่อน

    Sheria na Tabia

  • @hellenmawere9284
    @hellenmawere9284 หลายเดือนก่อน

    Ukweli mchungu huo kaka. Tubadilike.

  • @Kelvinchristopher072
    @Kelvinchristopher072 หลายเดือนก่อน

    Asante 💯

  • @zainabzain3434
    @zainabzain3434 หลายเดือนก่อน

    Asante hii ni sahihi muhimu kuheshimu kila pesa unayoishika ktk mikono yako kimatumizi ili. Kufika malengo😊

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 2 หลายเดือนก่อน

    Hakikisha unaanza kulipa madeni yale unayoyaweza kwanza kabla ya kuweka akiba ili uwe na utulivu wa akili

  • @denniskiwara7804
    @denniskiwara7804 2 หลายเดือนก่อน

    🤫🤫

  • @bhokewambura9941
    @bhokewambura9941 2 หลายเดือนก่อน

    Sitakata tamaa

  • @rishaboyvamba255
    @rishaboyvamba255 2 หลายเดือนก่อน

    Naanza upya😂

  • @rishaboyvamba255
    @rishaboyvamba255 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂 sawa mkuu

  • @user-jn9rc3oj2k
    @user-jn9rc3oj2k 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa somo zuri

  • @JamesAtilio
    @JamesAtilio 2 หลายเดือนก่อน

    Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuandaa bajeti kwa kutumia kanuni maarufu ya 50/30/20. Utajifunza jinsi ya kugawa mapato yako kwenye sehemu tatu kuu: 50% kwa ajili ya mahitaji muhimu, 30% kwa matumizi ya ziada, na 20% kwa ajili ya akiba na kulipa madeni. Njia hii rahisi na yenye ufanisi itakusaidia kudhibiti fedha zako vizuri na kufikia malengo yako ya kifedha.

  • @Madam255
    @Madam255 2 หลายเดือนก่อน

    Be blessed brother

    • @JamesAtilio
      @JamesAtilio 2 หลายเดือนก่อน

      Amen. You too be blessed.

  • @ClovisSongolo
    @ClovisSongolo 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 😂 kila mwanzo ni mugumu ila wewe utafika mbali saana,pamoja saana🎉🎉

    • @JamesAtilio
      @JamesAtilio 2 หลายเดือนก่อน

      @@ClovisSongolo Amina, 😄 na Asante sana

  • @ANDREWMLEGU
    @ANDREWMLEGU 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka nimependa kazi yako....we can talk more....?

    • @JamesAtilio
      @JamesAtilio 2 หลายเดือนก่อน

      @@ANDREWMLEGU 0759551270

  • @boyrobby5612
    @boyrobby5612 2 หลายเดือนก่อน

    Nakuelewa mkuu

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 2 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli mtu hafanikiwa kwa sababu anatamani, bali anafanikiwa kwa sababu anatumia kanuni zinazohitajika kupata anachokitaka. Barikiwa sana economist and analyst.

  • @bensonjohn9633
    @bensonjohn9633 2 หลายเดือนก่อน

    Ukweli tunapata darasa la bure Ila tulipaswa kulipia hii gharama ya Elimu