Mjukuu, umepiga hatua kubwa sana kwani umetufanya tuzidi kukupenda siyo mjukuu malundi wa mwaka juzi aliyekuwa anaimba matusi ila kwasasa umepanda level za akina Bhudagala, kisima, juma marco na wengineo
Mjukuu wa Mwanamalonde kwa hii staili unayoimba siku hizi nakushauri uendelee nayo , Kuanzia wimbo wa Nyumbani,Mila na huu wa Riziki Ni Staili moja nzuri sanaaa Tena sana
Riziki ni hak yakila mtu kuwa na lizik yake toka kwa mngu ila kunalizik za wanyonge huchukuliwa na wenye wivu mngu jibu maombi ya wanyonge walejeshee lizik zao zungumuza ww lizik 😭💯🙌
Hii lazma niseme tu ukwl nibonge la kaz video makn pia Audio Makin Sasa kwa kifup mjukuu up vzr mungu akutangulie uzd kupand milima kutokan na mabadlko uliy yafany mwaka huu
Pg kazi mashabikiwako tunasapoti uko vizur sana🎉
Yes hapo umeimba hivyo ndo tunataka so kutukana watu ongelq
Piga kazi namoyo mmoja🎉
Mjukuu, umepiga hatua kubwa sana kwani umetufanya tuzidi kukupenda siyo mjukuu malundi wa mwaka juzi aliyekuwa anaimba matusi ila kwasasa umepanda level za akina Bhudagala, kisima, juma marco na wengineo
Nakbal sana unajua big
Umevadilika endelee iv iv asaiv unaimba vzr sanah
Umenena vyema
Ukiweza umeweza ila lizik ni vita kal itufanyayo hatulal na ukifikilia sana we ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪
Mjukuu wa Mwanamalonde kwa hii staili unayoimba siku hizi nakushauri uendelee nayo ,
Kuanzia wimbo wa Nyumbani,Mila na huu wa Riziki
Ni Staili moja nzuri sanaaa Tena sana
🙌🙌nimekuelewa sana
Hongera sana apo unanikosha kweli nikiwa Dr
Nakubar wimbo mzuri sana goja niudanarod
maaaaaa utauwaaaa wewe unapika kazi kali kama hii kweli
Karibu sana mjukuu Dr kariakoo
Duh hapa napo umeniacha hoi sina ubishi.
Riziki ni hak yakila mtu kuwa na lizik yake toka kwa mngu ila kunalizik za wanyonge huchukuliwa na wenye wivu mngu jibu maombi ya wanyonge walejeshee lizik zao zungumuza ww lizik 😭💯🙌
Sina neno Kaka juu yahii ngoma saruti sana kaka
Umejitahidi sanaaa
Salute broo nakpa bigap xana kaka
Wana hatujachelewa kuidaka kazi pamoja mwamba
Kazi kubwa sana Mungu aktangulie mjukuu🙏🙏🙏
Naitafahamika wape dawa wanywe
Mwamba wa kanda ya ziwa umemaliza wala hujakosea
Hii lazma niseme tu ukwl nibonge la kaz video makn pia Audio Makin Sasa kwa kifup mjukuu up vzr mungu akutangulie uzd kupand milima kutokan na mabadlko uliy yafany mwaka huu
💯🇹🇿🙇🙇🙇🔥🔥🔥🔥
Shem maiko vp waukwel
Mjukuu ninoma sema watu wanamchukulia simple shaul yenu
nice bro
Nomaaa
Kali sa
Kweli wewe nimwamba wakanda yaziwa
👍
Quality ya video unajitahidi Sana 🎤
😂😂