J Mo Ni Masta Sawa Beat Ni Miondoko Ya Les Wanyika Ila Uimbaji Ni Tofauti Wazee Huyu Ni Masta Masta Ni Masta Tuu Hongera Ziende Washiriki Wote Wa Kazi Hii Nyote Mmetenda Haki J Mo Wewe Nouma
Kaka pigo jipya hili amakweri mkubwa haishiwi mbinu hoongera sana kaka j.m kazinzuli hii nimeipenda mungu aenderee kuku simamia mimdogo wako nipo nyuma yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Uha@@jumamarco-mh1hguhakika gude yshauri mzur kikubwa ni amani na majugu kuweka peben mtafika bar sana mdog wangu gude hata wewe unapiga safi sana hasa hii ya ccm umetupa asilimia kubwa sana ya ushidi kwetu kakola uje ushuti vizur
@@jumamarco-mh1hg nafurahi sana ninapowaona wasanii wangu wa siku nyingi mkichart na kutiana mioyo hii ni ishara tosha ya upendo sana bhudagala ubarikiwe sana kaka na ninakuomba usiwe mbinafisi kama wengine lakin pia jmo wew ni jembe hujisikii pia ndio maana nakukubali sana na ninakuombea Kwa MUNGU uendelee kuwini kama moto wa mwanasabuniii
Hongera sana kaka nyimbo nzur inafundisha na inaujumbe mzuri sana kesho sina nyimbo nyingine ya kupiga kijiweni zaidi ya hii itaunguluma asubui mpaka jioni kwenye bit ndo usiseme tena🎉🎉🎉🎉
J Mo Ni Masta Sawa Beat Ni Miondoko Ya Les Wanyika Ila Uimbaji Ni Tofauti Wazee Huyu Ni Masta Masta Ni Masta Tuu Hongera Ziende Washiriki Wote Wa Kazi Hii Nyote Mmetenda Haki J Mo Wewe Nouma
Ngoma ya mwaka
Dah iko good sana karibu mpanda
❤❤❤ Wimbo mzuri sana
Binafisi yangu Jonas master nimeikubali hiikaz
asantee Jonas ubalikiwe sana
Hili goma nalsikiliza nikiwa pande za kashishi kwetu hakika kazi nzuri piga kazi kaka lake mm hapa
Kaka kizuli chajiuza nashukulu sana kwakuona kizuli kinajiuza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 shusha nyingine bila kuniangusha kaka
Asante sana bwana mdogo amos malingita tuko pamoja sana mziki wa kisuma tuupushi kwenda mbele usjar ndugu yangu
Kweli
Wachache San Kaz nzur
Selemani nikiwa Dar silama tumaipata vizur Sana hongera
Asante sana bwana selemani kutoka dar tuko pamoja sana kakaangu
nice omwateli
Kaka pigo jipya hili amakweri mkubwa haishiwi mbinu hoongera sana kaka j.m kazinzuli hii nimeipenda mungu aenderee kuku simamia mimdogo wako nipo nyuma yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
sawa pamoja mdogo wangu gude gude tupambaneni sana ili mziki wetu wa asili tuufikishe mbali mungu atungulie kwa kila jambo
Uha@@jumamarco-mh1hguhakika gude yshauri mzur kikubwa ni amani na majugu kuweka peben mtafika bar sana mdog wangu gude hata wewe unapiga safi sana hasa hii ya ccm umetupa asilimia kubwa sana ya ushidi kwetu kakola uje ushuti vizur
Saf sana Kaka Kaz nzuli ng'walu kisinza toka bariad msanii
Kutoka Igunga Tabora umeupiga mwingi saaana Mnyama kutoka Kashishi JM classic❤❤🎉🎉🎉🎉
From Arusha; dierector apewe maua yake pamoja sana wazee kali za wasukuma zimeanza kutubamba mpaka uku chuga
Niliitafuta sana toka kwenye show ibela mafipa
polee sana boss
Makin Bro
@@directorj4wede277 jumanne kwema bro
Wasanii wangu wadamun ww na shikomba bhulolo ongera sana kaz nzuli
Sawa kazi zunr sn
Tunasubiri vitendo...nyimbo nzr
mwanzalima John usjar boss wangu
you killed it no judgement on it🔥🔥🔥
@brother salute sana nyimbo nzr sana
mwita Petro sawa kabsaa
ubunifu mzur merci papa jma marco byee
Aseee niigata ngoma hii kutoka kayenze pammoja saana kaka KATAVI lake hap
sawa tuko pamoja sana kutoka kayenze katavi mpanda hukoo boss wangu
Piga kazi kaka nakupenda sana
Lyambuga sijamuona❤😮😮
eee alikuwa anaumwa sana lyambuga
Ila wewe kaka hii mbona ni ngoma Kali sana jamani weka mauwa yake JMo❤❤❤
haya bwana kachelengwa nashukuru sana kwa kunipa mauwa yangu
Mwakitoryo no 5 tunakupata vyema msanii wetu wa milele usiyefulia Leo Wala kesho
asateeeee mwakitolyo tuko pamojaaa sana
Inavyoanza tu ni. 🔥🔥🔥
🎉🎉 ngoma kali sana kaka by maliganya madirisha ongera sana bwana mkubwa j mo pamoja na migera
Iringa imetufikia ong'wise ❤❤
Hii ngoma ni🔥🔥 lakn manoti sijamuona kabsaa 😢😢
kashatusalit manot
Hafu director wa hili goma ni naniiiii
migera director wa hii gomaa
Umetsha ikhuluye🎉🎉
Asante mdogo wangu
msalimie mama, maria and also your welcome at ngoma kwetu 🙏🙏😎
Kwa kweli wivu wako heeeee kali bro
Asante sana dada rejina glory kwakuupongeza wivuuu jaman
Haiy sasa twendeni nayo mtaa Kwa mtaa
unyama mwingi sana jmoo
Jamaa yangu hapa naona unatuwakilisha paka kogo kichasa safi salee hata mondi akalale uko vizur kaka sina usemi mauwa yako. 💥💥💥💥💥💥💯💯💯💯💯💯
jams kakola sawa sawa rafiki yangu
Tuko pamoja sana kaka
nitumie namba Yako kaka jams kakola jamani ilipotea cm yangu
@jumamarco-mh1hg ngoj nikutafute tu
KALI SANA KAKA❤❤❤
Kaz nzuri🎉🎉🎉🎉
nelemi pamoja sana kaka
Broo kazi nzur sana Dj philimon nipo mkoan mwanza wilaya magu karibu
Asante sana philimon mussa kutoka magu mm nitakuja TU mungu atujalie uzima
@@jumamarco-mh1hg amen
Tayari 🎉🎉🎉🎉
🎉🎉 ngoma kali sana kaka by maliganya madirisha ongera sana bwana mkubwa j mo pamoja na migera
maliganya sawa kabsa mdogo wangu
Umebadilisha namba
Kaka pamoja Sana bugomba b moja🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Koffiolomide wa kisukuma wetu😂😂😂
Asante masanja samweli pamoja sana boss wangu
@@jumamarco-mh1hg nipe no yako tuwasiliane kaka angu mi nakupenda sana toka Niko hungumalwa mpaka mwakitoryo no 5 bro
J mo❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🪑🪑 nyimbo suli sana
❤❤❤🎉
Nyimbo nzuri pia biti zuri sana
Video Kali balaaa
Wengi niwanafiki hamna wimbo hapo.menlody 0
kweriiii
achia wimbo wako sasa tuuone boss wangu na wew tukupongezeeeee
kaka juma umeuwa Sana hii Ngoma congratulations
Ujumbe Mzur Sana ila Hii Beat Sasa Kila Mtu Anaimbia Kuweni Wabunifu Wasanii Sawa Juma😢
Yako ulio imba iko wapi
Hii bit inahatali sijui inabei gani
@@OscarBoniphace-s5q itakuwa Ni Lahis
Director Migera ww ni mtu wa watu nimekubali hii kazi kiukweli au ubaguzi juma umeimba safi sana
asantee sana kakaangu bhudagala mwanamaronja kwa kunitia moyo kwa hii kazi tuko pamoja sana kaka
@@jumamarco-mh1hg nafurahi sana ninapowaona wasanii wangu wa siku nyingi mkichart na kutiana mioyo hii ni ishara tosha ya upendo sana bhudagala ubarikiwe sana kaka na ninakuomba usiwe mbinafisi kama wengine lakin pia jmo wew ni jembe hujisikii pia ndio maana nakukubali sana na ninakuombea Kwa MUNGU uendelee kuwini kama moto wa mwanasabuniii
Hongera sana kaka nyimbo nzur inafundisha na inaujumbe mzuri sana kesho sina nyimbo nyingine ya kupiga kijiweni zaidi ya hii itaunguluma asubui mpaka jioni kwenye bit ndo usiseme tena🎉🎉🎉🎉
mm nashukuru sana kwa ushauri wako kaka masanja samweli kwa kutushauri wasanii tuwe kitu kimoja kakaangu ubalikiwe sana kaka
Kazizuli 🎉🎉
selepaulo usjar kakaangu
Mzazi unatisha❤❤❤❤
Safiiiiiiiiiiiii
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Lakin pia producer ni nani make goma limetisha na mpangaji wa saut ni nani NAOMBA aje achukue maua yakee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 hapa
mpangaji WA saut anaitwa Adam jcmc kahama
@@jumamarco-mh1hg sawa kaka etu
Kaka JMOO
Roget mm tuko pamoja sana mdogo wangu
Good
Dah Nyimbo Nzur piah Roceshn Nzur Sana Aihse Hongera Mwamba jmo
Asante baba
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🪑🪑 nyimbo suli sana