Nioneshe Behind the Scene by Stamina Feat The Mafik

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 12

  • @radhackmapunda5989
    @radhackmapunda5989 29 วันที่ผ่านมา +2

    Wakwanza kwasholo bwenz gonga like

  • @DenmaQ
    @DenmaQ 29 วันที่ผ่านมา

    Bro shorobwenzi niajee apo Naomba tufanye hit moja lakufungia mwaka pamoja

  • @MosesOngalo-k5e
    @MosesOngalo-k5e 28 วันที่ผ่านมา

    Kazi kubwa wimbo mzuri kakangu, Mola àkuzidishie, sio rahisi

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 27 วันที่ผ่านมา

    One of the best rappers in Tanzania 🇨🇩

  • @marcosamwel6502
    @marcosamwel6502 29 วันที่ผ่านมา

    Hii itakuwa nzr, ngoja tuisubil

  • @Daniel-rl2cw
    @Daniel-rl2cw 28 วันที่ผ่านมา

    Good job brother

  • @DamarisNyakundi-w7u
    @DamarisNyakundi-w7u 29 วันที่ผ่านมา

    Jina la huyu stamina sikua nalijua nimekua natafuta nyimbo zake mwanzo ile ya baba unashindwa kununua ata kiwanja 😂hadi nikaja kuona dogo fulani tiktok anajiita sam one amemtaja ndio nikaja youtube kupata wimbo nilikua nautaka❤

  • @youngmagezi
    @youngmagezi 29 วันที่ผ่านมา

    Nakubr kaka🔥

  • @japhsam_simulator
    @japhsam_simulator 29 วันที่ผ่านมา +2

    Hatimae nimekua wa kwanza leo yaan nimefika hata video haijaanza naisubiri😂😂

  • @djumasuleimanisuleimani2724
    @djumasuleimanisuleimani2724 29 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @WilondjaAlenga
    @WilondjaAlenga 29 วันที่ผ่านมา

    Good 👍

    • @benedictoyo5995
      @benedictoyo5995 29 วันที่ผ่านมา

      Nafuatilia kutoka kaskazini 🇺🇬