Nimewahi kuishi KAMBINI TANZANIA Handeni Mkoa wa Tanga. Ilikua kama Heaven tulikua tunaishi tutakavyo as long as tunafata sheria. Tulimiliki baiskeli, pikipiki hata magari. Tulisafiri nje ya kambi kila likizo, tulisomea shule za kitanzania na Watanzania wengine kulingana na alama unazozipata shuleni. Hata Kenya ilikua the same kulikua na uhuru wa kumiliki utakacho tho kusafiri ilikua vigumu mpaka Travel documents watu pia tulikua tunavamiwa na kuibiwa wengine kuuawa. Kuhusu Tanzania nilisikiaga kuhusu manyanyaso ya wakimbizi sides za Kigoma sikua naamini bt thru this song na video it breaks my heart hio no mote than pain. Anaeweza kuokoa binadamu ni binadamu mwengine so tunafaa kusimama na hawa binadamu wenzetu. Hata kwa kushea someone somewhere anaeza iona sote tukawa wakombozi wa haki za Binadamu.
Huu Ubunifu umeenda shule sana Mazee. Hii tuiweke tu hapa ili kila Sikio nzuri linajua kusikia mziki mzuri Kama mimi tupate kuusambaza zaidi. Home sweet home. Nyarugusu!!!
Jamani ivi was Congo mko wapi, jamani wapeni like, comments, zao pia msisaahu KU subscribed jamani mna pendaga nyimbo zaahina gani mpaka nyege tu, nyie ni watu wangu na wakubali Sana vijana wetu.
Big up guys,nakuwa nikiisikia ngoma hii kila asubui ninapohamka Yaani hainiishi akilini,ama kweli maisha uvumilivu Fanya ku subscribe kwa channel yangu
Na wewe umeitazama 2024? Nipe like zangu
Nimewahi kuishi KAMBINI TANZANIA Handeni Mkoa wa Tanga. Ilikua kama Heaven tulikua tunaishi tutakavyo as long as tunafata sheria. Tulimiliki baiskeli, pikipiki hata magari. Tulisafiri nje ya kambi kila likizo, tulisomea shule za kitanzania na Watanzania wengine kulingana na alama unazozipata shuleni. Hata Kenya ilikua the same kulikua na uhuru wa kumiliki utakacho tho kusafiri ilikua vigumu mpaka Travel documents watu pia tulikua tunavamiwa na kuibiwa wengine kuuawa.
Kuhusu Tanzania nilisikiaga kuhusu manyanyaso ya wakimbizi sides za Kigoma sikua naamini bt thru this song na video it breaks my heart hio no mote than pain.
Anaeweza kuokoa binadamu ni binadamu mwengine so tunafaa kusimama na hawa binadamu wenzetu. Hata kwa kushea someone somewhere anaeza iona sote tukawa wakombozi wa haki za Binadamu.
Asante sana ndugu zangu kwa maneno kazi njema tunashukuru kwamaneno ayo Mungu awajalie kazi njema ongereni sana
Daah mnanikumbusha mbali kweli
Kitu kikali . Tuna wa support.
Huu Ubunifu umeenda shule sana Mazee. Hii tuiweke tu hapa ili kila Sikio nzuri linajua kusikia mziki mzuri Kama mimi tupate kuusambaza zaidi. Home sweet home. Nyarugusu!!!
Good job guys are you going to be able
Vizuri sana muko vizuri mungu awasaidie muhendelee " twende wapi"
Kazi njema vijana wetu kutoka camp nyarugusu
Unyama MWINGI 🎉🎉🎉
Ongereni sana kina kaka loool mnajuwa kuimba.mnajuwakupanga sauti zenu. Wimbo umetuliya vizuri sana. Nimetowa chozi kweli siyo siri😢😢😢😢😢😢.Ongereni tena.
😪👏
Nafurahi sana ninapoona vipaji kama hivi nilipotokea,
Keep it up 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pole sana Ilawimbo mzuri nawapenda wote ongera vijana
Jipeni moyo wapendwa... hali tunazopitia ni ngumu ila ipo siku yataisha
Nyimbo hiii nikali kabsa
Ndio nyarugusu home mungu hibariki yetu camp
Freshi sana jamaa zangu
Pole sana ndugu zangu mungu a zidi kuwa bariki mpata nguvu endelezeni vipaji vyenu
Coco band and new
Wako fresh kama na wewe unawakubali gonga like by Mr salum
Sema
Nikisikia huu Wimbo na kumbuka mengi sana kambini nyarugusu nyakati za ujana wetu,mahimba powa sana.
Tulio USA tuta wapa sapoti tu.
Mmm iyo nikweli kaka zangu mwajuwa kuimbasana kaka mungu awalinde love sing good sing brother 😍😘😚😙I like des
Nakubali ngoma
Jamani, ongereni goma kali sana
Unanikumbusha yalio mukambi ya kasorwe mukambi ya burundi. Tuliyaona kbs
Kazi Nzuri
Mungu awatanguliye tu jamani
Kali xana.
Mko wakali Sana endeleeni watu wangu.
Jamani kuna VIPAJI kutoka kwamungu nawapendeni NYOTE. Mnazidi kusonga mbele
So sad 😢 😢 😢 Mungu atusaidie kwakweli kwa watu sio kwenu nyumbani ni nyumbani
Mwenyezi Mungu aturehemu na sisi maana kama kutesa ni saaaana tu
Nc video guys keep it up may God bless y'all of u
🔥🔥🔥🔥#newlightband and #cocoband
Nice Sana nyarugusu apo safi sana kaka
NICE SONG NDUGU YANGU
Jamani ivi was Congo mko wapi, jamani wapeni like, comments, zao pia msisaahu KU subscribed jamani mna pendaga nyimbo zaahina gani mpaka nyege tu, nyie ni watu wangu na wakubali Sana vijana wetu.
Kaka Ngoma Kali Sana Big up sanaaaa
Thanks
😢😢😢 eeh mungu saidia nyarugusu yetu mungu 😢😢😢
Nice song bro don't give up
Nipendasana huuwimbowenu
Hyo itaendelea kutamba daima ❤❤❤❤
I'm connected with the song. Taabu kwa mkimbizi
Nakubali munaweza kazabuti 2
Big up sana kihukweli mpofreshi
Nice song. Keep it up my brothers
Good job akuna Matata
Hii ndio big team nyar
Nawapenda sana
This is fire from to my camp boys keep it up we really feeling this
Kazi nzuri
Powa Sana kazeni buti
Coco band muko sawa
😪👏
Wow that's nice
Hiyo kali wazee
Nimetazama tena kumbe wasani wanatoka mbali sana
Nice my brother
But wish u all the best
For your work guys keep it ☝
🔥 🔥 🔥 🔥
Up mablaza
Nawakubali sana
Kweli kabisa
ninapohamka love love okay
Amazing sana
Vizuri, keep it up
Ayseee hii band it’s better then band zte camp is my friend #Mariobaloteli 👌🔥🔥🔥
Congratulations guys 😀😀 my God be with y’all everyday 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ongera kwenu nyote mliyo himba wimbo huu
Shukraniii
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💞💞💞💞💞
Really is very sad congratulations y'all
New light band 🔥🔥🔥🔥
Dah nataka Ku to a mbinu ya DHL inapatikana kambini usiende Kasulu tena
Pole sana kweli Mungu awatangulie
Nice
Nice one
Nice 😥😥😢🤦♀️🤷♀️🤳
Mnanikumbusha mbali kazinjema sana
Wimbo nimeupenda sanaa
poa sana kaka
Wow 😘😮 Nice 👈😘😘
hahahahhahhaahhhahahhahh how areyou okay fanya k
#congolese 🇨🇩🇨🇩 nipe like kwa kusaport biyana yetu
Nice
Good
I am in love with this song
Nice song
I kundi mbona I najuwa sana shida ilitokea wapi
Nice song ❤❤❤❤❤🙏🙏
Big up guys
I like this song
kama nawewe uliwahi kuishi nyarugusu ila sasa uko usa gonga lipa apa. f1
Cool
🎧🎶🎵🎵🔥🔥🎤🔥🔥
Wambie hao
Big up guys,nakuwa nikiisikia ngoma hii kila asubui ninapohamka
Yaani hainiishi akilini,ama kweli maisha uvumilivu
Fanya ku subscribe kwa channel yangu
Ni subscribe wapi mzee baba
Nenda TH-cam andika DenisVEVO
Thanks 🙏
Kwa chaneli yako tena acha umama 😂😂
🤩You guys can sing ❤️❤️
Naikubali
Nc
Kazi mzuri sana munapendeza kaka ni saidie KU pitia SUBSCRIBE na sisi pia tafazari please
😥😢😢😭
Who watching in 2020
🔥🔥🔥🔥🔥
🥴🥴😤
Tilkey
Good job