😂 hapo umecheat ngoma ya miaka kumi iliyopita unaipandisha hewan leo like a new song kwahyo tusubirie na video ya sio mchoyo,hujal etc 😂.. lakini all in all you got out love man always and I can feel bado una work so hard kujitafuta urudi kwenye level yako.. all the best man
Inaweza kurudi Tena ila jitahidi punguza mambo mengi focus kwenye kazi Yako huoni watoto wadogo wanavimba hakuna wanacho imba Zaid ya kelele mtu anaimba Aweeee Kila siku show yule mengine chino Wana mana mnenguaji juz katoka Qatar kaza mzeee watoto watakuja kukuchezea sharubu
Kama na wewe uliiskiliza hi miaka 10 iliyopita nipe like
Ngoma naipendaga sana hii sahv naicheki hapa usiku flani saa 7 kama na 30 hv usiku mwezi wa 4 tarehe 14 mwaka 2024
Niko High ile mbayaa🎉🎉🎉🎉🎉😂
Young d upo wapi kaka kweli na miss sauti yako ukitoa new song bro umepotea😢😢😢
1:10 Live Long HAITHAM KIM 🕊️
0:4 0:57 6
Hii nyimbo ndo nilipo anza kukubali zaidi
Kipindi hiki nyota yako ilikuwa ing'aaa hatari❤❤❤ unawez fanya mabadiliko bado nafasi yako iko pale pale
Young dee rapa wangu mkali hadi kesho
Dah miaka kwl inakatik mwamb tulimsahau tayl ngom nilikuw naipnd kinoma
Hii ngoma ndo kwanza naisikia ila balaa sana mzee
Mwana sema umetumia ujanja ujanja sana kupost mwaka huu...hahahaha 2014 sio kama ss watu kuwa na smartphone 😅😂
More than fire 🔥🔥🔥🔥
😂 hapo umecheat ngoma ya miaka kumi iliyopita unaipandisha hewan leo like a new song kwahyo tusubirie na video ya sio mchoyo,hujal etc 😂.. lakini all in all you got out love man always and I can feel bado una work so hard kujitafuta urudi kwenye level yako.. all the best man
🔥
Nani kama young.... sitaki ujanja
Back then
2025 gonga like zangu hp
❤
Ipandishe bongo bahati mbaya Itatupa nguvu sana kutafuta Maisha na Kusafiri kwenda Ulaya Au Lile goma la Dada uyo Ameolewa 😂
🔥🔥🔥
ujanja ujanjaaaaaa
Ujanja ujanja
Inaweza kurudi Tena ila jitahidi punguza mambo mengi focus kwenye kazi Yako huoni watoto wadogo wanavimba hakuna wanacho imba Zaid ya kelele mtu anaimba Aweeee Kila siku show yule mengine chino Wana mana mnenguaji juz katoka Qatar kaza mzeee watoto watakuja kukuchezea sharubu
Kijana umekua mbele ya mda wakati ote
Dogo alikua munyamwezi sana
🎉😂😂🎉😂
Mwanangu wewe paka rapa
uli ua kaka hili goma
Nik