LATRA YAFUNGIA MABASI YA KATARAMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Uthibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imesitisha leseni ya safari ya mabasi ya Kampuni ya Katarama kwa kosa la kuchezea mifumo ya mwenendo ya mabasi yaliwekwa na Latra kwenye mabasi hayo ambayo kusitishwa kwake safari yanaanza kesho.
    Kusimamishwa kwa leseni hiyo ya usafirishaji ni hadi uchunguzi utakapofanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Mamlaka hiyo.
    Hayo ameyasema Leo Mkurugenzi wa Latra Habibu Suluo Jijini Dar es salaam alipokutana na wamiliki wa mabasi ya BM Coach,Super Feo,Abood Bus na Katarama Bus
    Follow us on:
    FACEBOOK;
    SpotiLeo: / spotileo-176. .
    HabariLeo: / habarileo
    DailyNews: / dailynewstz
    INSTAGRAM;
    HabariLeo: ....
    SpotiLeo: ....
    TWITTER;
    Twitter HabariLeo: Ha...

ความคิดเห็น • 99

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 7 วันที่ผ่านมา +7

    Maashaallaah umeongea kwa ustaarabu wa hali ya juu unastahili kuwa kwenye hiyo ofisi

  • @bonyngoyindengoyinde6139
    @bonyngoyindengoyinde6139 4 วันที่ผ่านมา +5

    Mimi niltok mwanza saa8 mchan na KATALAMA 11 alfajil nikaingia Magufur stendi, wadhibit naul speed wamwachie mwenyez Mungu

    • @Mdenya
      @Mdenya 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂

  • @benjaminwerema8758
    @benjaminwerema8758 2 วันที่ผ่านมา +2

    Dar live huyo mtu wenu wa production hajui kazi yake vizuri, inakuwaje muongeaji anaongea huku akionesha kifaa afu yeye anatuonesha barabarani huko.. ajirekebishe

  • @yohanaantony5774
    @yohanaantony5774 7 วันที่ผ่านมา +11

    Mkurugenz tunaomba nauli ziangaliwe Kwan mafuta yamekuwa yakishuka Mara kwa mara Ila nauli bado ni kuwa wamilik wa mabasi wanaendelea kunufaika huku wananchi wakiendelea kuumia tunaomba nauli zishuke

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 7 วันที่ผ่านมา

      Hapo nikweli maana yakipanda tena kidogo itaapanda zaid😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @MgonjaFide
      @MgonjaFide 5 วันที่ผ่านมา

      Wewe unaangalia mafuta tu tairi na vifaa vingine vya magari aaaaaa

    • @djhdscratchmaster4110
      @djhdscratchmaster4110 4 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@MgonjaFidekwani wao wanapandisha kisa matairi? Mbona mnajitoaga ufahamu kwenye vitu vya wazi

    • @mpajibinaisa7238
      @mpajibinaisa7238 3 วันที่ผ่านมา

      Kuna kitu bado hujakijua ukiona mafuta yameshuka shilingi mia kwa mwezi huu ujue mwezi unaokuja miatatu jaribu kufatilia kila jumatano ya mwanzo wa mwezi nilazima bei ya mafuta ibadirike kwa kushuka au kwa kupanda ila nilazima mabadiriko yapo fatalia iyo utajua kwanini naur hazishuki

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 6 วันที่ผ่านมา +6

    ONGERENI SANA LATRA KULINDA USALAMA WA ABIRIA,

    • @isayakiluswa1521
      @isayakiluswa1521 2 วันที่ผ่านมา

      Kufungia safari za kampuny Fulani? Ni matumizi mabovu ya maamzi!,Kuna vitu vingi vinawweza sabababisha ajari,pia onyo nalo ni funzo kuliko kufungia,wakumbuke hayo magari yanalipa marejesho,Kuna askr anasababisha ajari.wapeni ruhusa waendelee au hamtaki scania Tz sauli mlimfungia nae

  • @ChiaChia-k2w
    @ChiaChia-k2w 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madeleva. Wana zalau mabalabalani Wana ovateki bila kuangalia mbere anaekuja kama mmeliona hili pia hongeleni sana. Kisa katalama. Kweeeli

  • @user-hd7gs5by4s
    @user-hd7gs5by4s 7 วันที่ผ่านมา +6

    Muna upendeleo bro new force PAMOJA na BM mumeacha wap

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 6 วันที่ผ่านมา

      sababu newforce ni ya wachina

    • @LucyBalilemwa
      @LucyBalilemwa 5 วันที่ผ่านมา

      Bm mbona imetajwa

  • @akidajulius8397
    @akidajulius8397 7 วันที่ผ่านมา +6

    KWAKWELI, MABASI YOTE YANAFANANA TU, SIJAONA LA NAFUU ,

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 5 วันที่ผ่านมา +2

    Mie Nakumbuka walianza kufunga speed gavana kwenye mabasi lakini haikuzuia watu kufwa Kwa ajali ajali zitokeazo huku kwe2 nisawa na wanao kufa kule gaza Kwa kupigwa bom Kwan ukiona bus lililo tolewa roof ni Zaid ya bom napia ukiona ajali ya coster na Lori babati nizaodi ya shambulizi huko gaza mungu atusaidie jamani 🙏🙏🙏 ahsante mungu

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 วันที่ผ่านมา +1

    Editor wa video mshamba sana unatuonesha picha za mitaaa wakati mtu anaonesha vitu vya maana alafu sauti zimepishana

  • @SaidMkwabi-ho8yy
    @SaidMkwabi-ho8yy 5 วันที่ผ่านมา +3

    Watanzania tuache rohombaya yani baada kuona katarama katoa vyuma vipya bas mmeanza chokochoko hayosiomaisha niupotofu wa fikra

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 4 วันที่ผ่านมา

      Ndugu wakipploteza maisha kwenye ajali ndo utaelewa

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 3 วันที่ผ่านมา +1

    Aya basisi ya usiku nihatari sana yaani basi rimejaaa lakini usiku wanabeba abiria ambao wanakariwa apo chini wanakuwa nimengi muno nihatari sana

  • @JustinMwakalukila
    @JustinMwakalukila 7 วันที่ผ่านมา +4

    MADEREVA wa MABASI 75% wana RISK sna maisha ya ABIRIA alaf shda sio tyu namna wanavokimbia lkn pia atanamna Wanavochukua OVERTAKE yaan hawana tahdhar kabsaa,me huwa nasafir mara kwa mara najionea na nina video za ushaidi wa MABASI mengi tyu,alaf njian wanafosi kupakia wkt BUS limejaa baaz ya makampun wanaweka ndoo katikat ya kiti na kit mtuu anakaa yan ni shda HUKO BARABARAN

  • @VirianWere-n3v
    @VirianWere-n3v 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hakika

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 6 วันที่ผ่านมา +2

    Nauli jaman nauli nauli mesahau kuzungumzia mnatukanyaga sana

  • @MorsadHamisi-nz4rd
    @MorsadHamisi-nz4rd 3 วันที่ผ่านมา

    Kwa b.m tu iyo tuzo anastahiki kwa hakika

  • @kelvinnkaka5008
    @kelvinnkaka5008 4 วันที่ผ่านมา

    And also check speed limiters kwa magari mengine ya Golden deer ambao yana safiri usiku kutoka Tunduma kwenda Dar es salaam.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 7 วันที่ผ่านมา +3

    Duuuh kweli bongo hata waweke roboti wahuni watalichokonoa t mpaka lipoteze fahamu

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo ni madreva nahuo wito mtoe kwa madreva lkn sio kwa matajili Katarama wakovizuli na ana watejawengi pia jinalake matajili wanalihofia linaweza kuwazidi hapobadae kwasababu Katarama anampango wa kumwaga basi nyingi mikoayote karama anapendwa sana naabilia ilaafuate Shelia zabarabarani

  • @norobo205
    @norobo205 6 วันที่ผ่านมา +2

    Tatizo mkiyafungia wanakuja na majina mapya

  • @domymerinyo8165
    @domymerinyo8165 7 วันที่ผ่านมา +3

    Msameheni ni binadamu huyo amelipa kodi, apewe somo zaidi kuna watu wanapata riziki kwao

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 7 วันที่ผ่านมา

      Unaongea kitu ambacho haukijui maana hayo mabasi aisee ni hatari niliwahi kusafiri na Moja wapo safari ya usku wanaovateki kuliko kawaida

    • @coyancodavao4004
      @coyancodavao4004 วันที่ผ่านมา

      ​@@philemonmagesa5548waongezewe adhabu

  • @MAJALATV485
    @MAJALATV485 5 วันที่ผ่านมา +3

    Mmeshindwa kudhibiti Nauli mnafungia mabasi jitafakarini

  • @MAJALATV485
    @MAJALATV485 5 วันที่ผ่านมา +1

    Latra acheni ubabaishaji mngekuwa mnamiliki mabasi msingekuwa mnafanya mambo yenu ya kufungia magari......Jitafakarin utendaji wenu

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 2 วันที่ผ่านมา

    MABAS 4 DRIVERS ROHO Z BINADAM JAMAN DESTANS

  • @user-cz5oy1od5d
    @user-cz5oy1od5d 5 วันที่ผ่านมา

    Hamna lolote ni mbwembwe tu za LATRA. Wakitoa kitu kidogo Kesho tutaiona Katarama barabarani.

  • @jamaa2760
    @jamaa2760 7 วันที่ผ่านมา +1

    ,MABASI yanayopakia abiria Stendi kuu ya Mabsi Dodoma,, hawatoi tiketi za kielectronik

  • @HashimMpenda
    @HashimMpenda 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Latila shusheni nauli

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 4 วันที่ผ่านมา

    Ukiona hivi ujue SGR haina wateja😮

  • @johnluis35
    @johnluis35 7 วันที่ผ่านมา +2

    Au la wekeni muda wa kufika kila sehemu mbona awamu ya Tano mliweza

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 6 วันที่ผ่านมา +1

    Katarama mumemuonea kabisa

  • @paullluhanyapaullluhanya2446
    @paullluhanyapaullluhanya2446 6 วันที่ผ่านมา +2

    Katarama mnamuonea jaman

  • @user-nn9ds7uf2r
    @user-nn9ds7uf2r 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na ally's je

  • @silvanussallu952
    @silvanussallu952 2 วันที่ผ่านมา

    Gari za umma hyo mispeed

  • @JoshuaSama-gc5xm
    @JoshuaSama-gc5xm 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shida siyo katalama shida ni Ratra hawako makini nakazizao.

  • @Tee-King
    @Tee-King 7 วันที่ผ่านมา +1

    KATARAMA vurugu lakini akuna ajali wasio na vurugu ndio ajari tatzo pia wajaribu kufatilia vizur mana lipo pia tatzo kubwa hasa uzembe wa madereva nakuto kufuata sheria za barabarani ivyo ni 70% ndio inasababisya ajali.

  • @mastidiawamara1264
    @mastidiawamara1264 6 วันที่ผ่านมา

    Jamani Katarama mbona mnamuonea?

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg 7 วันที่ผ่านมา

    😢

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 3 วันที่ผ่านมา

    Hiyo kampuni ilipaswa kushtakiwa pia kufungiwa pekee haitoshi maana hawajali abiria wao pia mtu akiachwa(bus zao huwahi kabla ya muda rasmi wa kuindoka) wao husema abiria ndio kaacha bus!! Pia Green Line imulikwe

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 4 วันที่ผ่านมา

    Agozeni wachina watengeneze magari ya speed 50. Sio kusumbua wamiliki mara govenor mara nini. Kingine mbavu za mbwa bolt zinalegea ajali zinatokea mnasema mwendo kasi

  • @browntv1119
    @browntv1119 6 วันที่ผ่านมา

    WACHUNGUZENI NA ALLYS ZA DAR -KANDA YA ZIWA

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 7 วันที่ผ่านมา +1

    shida si wamiliki wa mabasi,shida ni madereva,wabaneni madereva kwa sheria kali,akisababisha ajali faini alipe dereva,na akisababisha ajali mbaya anyang'anywe leseni yake!!mnawaonea wamiliki,maana wamiliki hawajawatuma kuendesha hovyo barabarani!!
    Mnawang'ang'ania wenye mabasi mnawacha waliobeba dhamana ya roho za abiria!!

    • @sundaynurdin2864
      @sundaynurdin2864 7 วันที่ผ่านมา +1

      Mwenye basi ndo Kila kitu akisema gari yangu isikimbie dereva Hana mamlaka

  • @stanslausbereghe3819
    @stanslausbereghe3819 2 วันที่ผ่านมา

    Onyesha kifaa tuone, huna/umekosa umakini hapo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 วันที่ผ่านมา +1

    We mwandishi mbona Fala unahamisha kamera kwenye kikao unatuonyesha barabara

  • @PeterLoina-g1p
    @PeterLoina-g1p 4 วันที่ผ่านมา

    Mimi ninawaambia msiwemnakimbizamagari hapana kwaiyo akiki mbiza fungia kampuni tumeonywa super feo naneweforce

  • @ShinagalaPaschal
    @ShinagalaPaschal วันที่ผ่านมา

    Hivi kwanini katarama tu au aliwapa Nini ally's huonionevu

  • @user-zm7kk1tr5l
    @user-zm7kk1tr5l 3 วันที่ผ่านมา

    Unariipa nauri 55000 lakini uko kwenye watu wanakarishwa hapa chini kama wrote kama akitaka kulala anaanza kukuendemea kwenye miguu nihatari sana maasikari wewe wanakaguwa basi yanayofari usiku

  • @shabanimbega40
    @shabanimbega40 5 วันที่ผ่านมา

    Na kubwa Kwa nini hawatoi ticket za mitandao shida nini maana zile hazitambuliki kwa sasa fanyieni kazi kwenye ukaguzi wa tiketi

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 7 วันที่ผ่านมา

    Abud na bm hawaheshimu sheria za barabarani kwenye taa hawasimami

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 4 วันที่ผ่านมา

    Latra nunuen ma basi yenu tuyaone acheni kutisha raia,madereva ndoo awajbshwe

  • @charlesmajiwa6771
    @charlesmajiwa6771 5 วันที่ผ่านมา

    Hii itakuwa chuki na njama za wenye mabasi wengine maana katarama ajaongeza nauli kama wengine afu ana wateja wengi. Cha apili auwez linganisha scania na hayo magar mengine, ata ukiweka spidi mwisho 80 katarama itakuwa mbele tu

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 7 วันที่ผ่านมา

    Katarama walinunua mabas wakapaka rangi yao, nilipanda likanifia dodoma

  • @MaryShayo-tg4vq
    @MaryShayo-tg4vq 7 วันที่ผ่านมา

    Msije mkaatumbia hizo fitna acheni makasiriko tafuteni Hela

  • @JacksonMahelo-dx2it
    @JacksonMahelo-dx2it 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona maneno yanayo tamkwa na yamdom nitofaut

  • @babuumaeda7671
    @babuumaeda7671 5 วันที่ผ่านมา

    Tanzania BONGO MOVIES 😅😅

  • @abdulkarimabdallah9536
    @abdulkarimabdallah9536 6 วันที่ผ่านมา

    Hakuna wa unafuu hapo meangalia
    Nani ana jina kubwa mjini ndicho nilichogundua
    Alafu mnazungumza mnaacha kuhusu nauli zimepanda sana kwani mafuta inamana mpaka sasa bado yamepanda 2 au ndo hivyo mafuta yanaza panda nakushuka nauli inabaki pale pale

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 6 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi ni yahasara sana unafungiaje mtu biashara akati unatakiwa umuonye mtu ndo akikosea tena ndo mumuazibu kaka peleka basi zako ata mombasa achana na mchi yenye umasikini Adi wa akili

  • @Japanese-lz1or
    @Japanese-lz1or 7 วันที่ผ่านมา

    Latra acheni makasiriko na katarama 😡😡😡

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 6 วันที่ผ่านมา

    Latra mnataka pesa tu hapo ukisajiliwa Dereva ndio hupati ajali? Latra mnajifanya mahakimu .

  • @DevisMadath
    @DevisMadath 2 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅

  • @DanielKusongwa
    @DanielKusongwa 6 วันที่ผ่านมา

    Nyie mmesahau new force za sumbawanga

  • @johnluis35
    @johnluis35 7 วันที่ผ่านมา

    Wekeni speed limit za mabasi mbona shabiby kashawashauri mara nyingi , leteni basi za speed max 80kph

    • @2116-n
      @2116-n 7 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa si ndio hicho alichokilalamikia mkurugenzi, wamewekewa lkn wamekichokoza

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 6 วันที่ผ่านมา

    Madereva wanaowaajiri ni macharii wadogo wanapenda kukimbizana hawajali roho za watu

  • @user-ut9zv7ft1g
    @user-ut9zv7ft1g 4 วันที่ผ่านมา

    hawa nao ni kirusi sasa hawaeleweki wameshindwa kusimamia nauli kufungia tu .magari ya watu sasa kama katarama unamfungia je huyo Ally star vp hizi nazo ni rushwa kwa wawekezaji mjihadhali na hizo tama zenu

  • @Chamlola
    @Chamlola 7 วันที่ผ่านมา +1

    Bora afungiwe huyo katarama amezidi kageuza kama serikali ya kwake bwanaaa

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma 7 วันที่ผ่านมา +1

      Tafta hela upunguze chuki kwa waliofanikiwa.

    • @hatibumohamedi3471
      @hatibumohamedi3471 7 วันที่ผ่านมา +1

      Chawa wa Allys sio 😂😂😂 Kafie mbere huko

    • @Chamlola
      @Chamlola 7 วันที่ผ่านมา

      @@hatibumohamedi3471 sio chawa mmetuchosha mitandaoni na Eliza zenu mbovu gari zimekuja zishatembea kilometa 15 milioni bado mnaleta vimaneno vya kwenye kanga nunueni polo mpya kama mna jeuri

    • @Chamlola
      @Chamlola 7 วันที่ผ่านมา

      @@Bonifaskagoma anunue gar mpya kama kweli kafanikiwa sio magari mabovu used

    • @Bonifaskagoma
      @Bonifaskagoma 6 วันที่ผ่านมา

      @@Chamlola hahhahahhaa aya bhn ila nadhan ni mpya maana kila gari pale kachukua kwa bil.4.3

  • @AlfaSaa-j4h
    @AlfaSaa-j4h 6 วันที่ผ่านมา

    Viongozi hawa wa hovyo kabisa.
    Katalama mnawaonea tu wapuuzi mmepesa mlungula nini

  • @Worldunite
    @Worldunite 6 วันที่ผ่านมา

    Tatizo, jee na nyie mnatumia usafiri wa umma????????

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 6 วันที่ผ่านมา

    Na wewe mkulugenzi nunua basi uone ugumu wa biashara, biashara ni ngumu sana, kingine muishauri serikali iendelee kuboresha Barabara ikiwezekana ile miji yenye misongamano kuwe na barabara za basi ili kurahisisha abiria kufika kwa wakati, mfano Dodoma dar kuwe na njia ya mabasi tu, pia mtaleta ushindani wa kibishara, ukweli usio pingika abiria wengi wanapenda basi linalo kimbia ili wawahi mambo yao, Kwa hiyo hata nyie watendaji mnatakiwa kufikiria tofaufi ili msiwakwamishe wamiliki wa hayo mabasi kwani wamewekeza pesa nyingi, fikirieni sana ajali wakati mwingine Zina sababishwa na miundo mbinu, mfano ni kama pale wame Kila mara palikikua panaripotiwa ajali lakini kwa sasa hali imekua shwari, kwahiyo wakati mwingine msikimbilie madili ya kuwauzia watu hivyo vifaa wakati labda mngetengeneza miundo mbinu rafiki kwaajili ya usafiri kwa wananchi

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 6 วันที่ผ่านมา

    Kampuni inayoongoza kuchukuwa abiria wasio na ticket ni ABOOD BUS sijui mana Kuna kampuni nyengine inayomuingia kwa kufanya hivyo.
    Ila pia yupo makini njiani haendi mbio anaendesha kistarabu sana hasa ikisafiri nae usiku.