MC PILIPILI AACHANA NA KANISA ALILOFUNGUA ''NAJIPANGA UPYA, SITOFUNGUA TENA KANISA''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 23

  • @MagyMunna
    @MagyMunna 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na Mungu hazihakiwi

  • @abdullatifabeid7453
    @abdullatifabeid7453 8 หลายเดือนก่อน +4

    ​Kanisa siyo siasa kijana achana na kazi hiyo kama haujaitwa utapoteza muda wako, endelea na kazi uliyokuwa ukifanya kijana, usifanye kwa maslahi.

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 8 หลายเดือนก่อน +3

    Uyu tangu afiwe na mama yake ni kama hayuko sawa kabisa 😢😢

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 8 หลายเดือนก่อน

      labda alitoa kfara😂😂😂😂😂😂😂

  • @gladishaule9261
    @gladishaule9261 8 หลายเดือนก่อน

    Tubu haraka kabla haujaja Usiku..Fanya kazi nje uchungaji..utafanikiwa...tutakujua kwa matunda yako...hapo kwako matunda hayapo..uwe Una maneno machache ya kiungu... Bwana akurejeshee furaha ya moyo wako...

  • @olivajoseph1697
    @olivajoseph1697 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu kaka alichanganyikiwa wangempeleka soba kwanza Ili akaesawa. Wanasema Hadi mkewe waliachana

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 8 หลายเดือนก่อน

      Kwan alikuw na shida gan

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 8 หลายเดือนก่อน

      Alikula kondoo, hadi akamvimbisha.. wife aka-mind.... akatafute biashara nyingine

  • @Thobiaslucaskipara
    @Thobiaslucaskipara 8 หลายเดือนก่อน +2

    Njaa haijawahi kumuacha mtu salama

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 8 หลายเดือนก่อน

    uchungaji ni wito kaka

  • @peterntora5041
    @peterntora5041 8 หลายเดือนก่อน

    Haya ndo madhara ya kujiita ktk utumishi

  • @ndigwako
    @ndigwako 8 หลายเดือนก่อน

    Ajiulize aliitwa kwenye utumishi au alijiita

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk 8 หลายเดือนก่อน +1

    21 Si kila mtu aniambiaye, Bwana, Bwana, atakayeingia katika ufalme wa mbinguni; bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
    Mathayo 7:21
    22 Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?
    Mathayo 7:22
    23 Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.
    Mathayo 7:23

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 8 หลายเดือนก่อน

    Mbona Mc anaongea kama hiyo ni bussnes sio utumishi tena

  • @MagyMunna
    @MagyMunna 8 หลายเดือนก่อน

    Amna kitu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 8 หลายเดือนก่อน

    Alianza kula wachungaji wanono... akamvimbisha kondoo wake..wife aka_mind.... washirika wakatawanyika,wasije kuvimbishwa

  • @BashiriShabani-sy6wu
    @BashiriShabani-sy6wu 8 หลายเดือนก่อน

    mc pilipili hayuko sawa kisaikolojia sababu kubwa ni ndoa yke kukumbwa na misukosuko

  • @mtangag774
    @mtangag774 8 หลายเดือนก่อน

    Nani kamuelewa mc pilipili anieleweshe😂😂😂

  • @mtangag774
    @mtangag774 8 หลายเดือนก่อน

    Unamuelewa mc pilipili hahaha😂

  • @youngchezo2744
    @youngchezo2744 8 หลายเดือนก่อน

    MC pilipili ludi nyumbani Dodoma kumenoga njoo ufungue kanisa uku

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 8 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭

  • @boniphacesululu5428
    @boniphacesululu5428 8 หลายเดือนก่อน

    Kijana Uchungaji ni WITO ,SASA UTAKUWAJE MCHUNGAJI NA MAMBO YA DUNIA YA KUNYOA SIJUI UMENYOAJE HIVO ...YAANI UNAONEKANA KABISA SIO MCHUNGAJI ULIYEITWA NA MUNGU WEWE UTATUMIKA KUWAPOTEZA WATU ...ETI KANISA LINACHUKUA DINI ZOTE KHAA UJUE HATA FREEMASON NI DINI

  • @winnerjudith2007
    @winnerjudith2007 8 หลายเดือนก่อน

    duu