@dianaleo6067 Mungu anawapenda wooooote kufa ni kila mmoja kwa wakati wake, hapa kwenye kufa hapana cha kupendwa wala kuchukiwa, sasa wewe hapo uko hai ina maana Mungu HAKUPENDI??, ACHA HIZO kumpenda na kumchukia Samia hiyo ni hiari na haki yako, hata wewe hupendwi na woote, Toa hoja yenye mashiko. Hasira Haisaidii.
Tanzania nchi yangu nakumbuka nilivyokuwa mdogo nikiimba nyimbo mbalimbali za Tanzania shuleni nikiisifia nikiwa na mawazo chanya sana, leo hii Mungu awe nasi🙏
Maendeleo bila haki ni utesaji wa watanzania kuuzwa Kwa raslimali za Nchi ni Utumwa kutozuwia rushwa na uzembe wa huduma za Afya uzembe wa wahudim na ghalama za matibabu yasiyo endana na huduma zinazotolewa na taasisi za Umma
HESABU 35: 31-33 Tena msipokee fidia kwasababu ya uhai wa muuaji, ambae amekua na hatia ya mauti: Lakini lazima atauawa. 32 Tena hamtapokea fidia kwa ajili ya huyo, aliyeukimbilia mji wake wa makimbilio, apate kwenda kuketi katika nchi , hata kifo cha kuhani Mkuu. 33 Hivi hamtaitia unajisi nchi ambayo mwakaa; kwa kuwa damu huitia nchi unajisi; wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya damu iliyomwagwa ndani yake isipokuwa ni damu ya huyo aliyeimwaga. 34 Kwa hiyo msiitie unajisi nchi mketiyo, ambayo naketi nami kati yake: kwa kuwa mimi BWANA nakaa kati ya wana wa Israel. WAGALATIA 3: 13-14
Sasa raha ipi wananchi wanayo maisha wanafaidi wachache , viongozi wa mitaa wamezulumu ardhi watu wanalia sana na kweli miakamitatu mambo yaliyo fanyika ni hatari kwakuteka watu, sasa nzamu ya chadema
Nitakufata wewe kwanza kwani wewe ndio Mungu unotowa huku u, wewe una yko mangapi Nani kakupa laana, laanatullah nirudi kwako kwanza, mmezidi matusi kwa mama yetu, Mungu kama wadhfa hajautaka mwenyewe, kachaguliwa na muumba,
Sasa sisi waislamu na nyinyi makafiri nani ambao wanye majini nyinyi sindio kila siku kazi ya kutangaziana kwenye makanisa yenu kwamba tunatoa majini@@SolomoniRingia
Sio mnawakamata akina Mbowe baadae mnawaachia kimuweka chini ya ulinzi mtu usipomfikisha mahakamani ni kosa unamwachia Kwani amekuomba msamaha kama amekosa wakati maandamano ni haki ya katiba,hawana silaha wala mabomu kuwa labda wanataka kumvamia mtu tunataka amani Nchi yetu.
Si Dema si Susu si pakacha hakuna chama kitakacholeta uadilifu wa moja kwa moja kwa sbb kila binadamu anamapungufu yake kipindi Cha Magu watu wote waliufyata kwani hakuwa na mapungufu?kwa Nini lawama zote zote zote atupiwe huyu kulikoni ?
Dada anaogopa neno Samia must go madaraka au uraisi tamu sana Raisi unatangaza kwa hasira ingekuwa DRC ungeweza watu hawana silaha unatetemeka apana hii ni miaka mitatu ikifika kumi hapo kati itakuwaje na hao wanaokushauri jiongeze
Maandamano ni haki ya kikatiba ni zaidi ya sera, hata wewe hapo upo madarakani hakuna aliyekuchagua ni Kwa sababu ya katiba. Sasa nyie endeleleeni kufata katiba pale tu inapowapendelea ila inapowapendelea wengine mnatuma police, usalama wa taifa pengine hata jeshi mtakuja kuiingiza nchi katika vita.
Acha urofa wew, sawa katiba inaruhusu maandamano, ila hairuhusu maandamano yenye viashiria na kauli za mihemko zenye kuondoa amani, alafu wajinga ndio hujua ujinga wao baada ya madhara ya ujinga wao. Binafsi naona waelevu huwatumia wajinga kujinufaisha. Wasiojitambua kazi yao ni kutukana watu mitandaoni then akikamatwa oOoOO polis ooo polis.
samia amani unayoilinda ni yako peke ako na hao unaowateka huteki wapinzani ila unateka uhuru wa watanzania wote wa bara kama ulivoteka uhuru wa watanganyika 23/9/2024
,mama Samia watendaji wako wanakuangusha hasa wizara ya. ,àfya imechangia kudhulumiwa mjane na yatima kisa kurithi hospitali kutoka kwa marehem mumewe kwakuwa NI mtumishi WA wizara ya àfya atawezaje amiliki hospitali mama alipenda kuwa mjane NI mipango ya Allah wizara hiyo imechangia pakibwa Sana kudhuluma mjane na yatima safisha wizara
KUzuia Maandamano ya Amani ni Ukiukaji wa Katiba Unaofanywa na Serekali ya Raisi SAMIA. Asidhani.Watanzania hatujui Katiba. HAKI MTACHELEWESHA MUDA UTAFIKA ITAWALAZIMU MUACHIE BILA KUPENDA. NYIE WADHULUMAJI.
@jamesbayo1910 Kwa kweli mumempata MNYONGE, WAKATI WA MAGUFULI ALIZUIA KILA KITU, NA KUNA NDUGU ZETU PIA WALITESWA, WALITEKWA, WENGINE KUFIA JELA na WENGINE WAKIZIMIA KWENYE MIKUTANO, HAO WANAO HAMASISHA MAANDAMANO WALIHAMA NCHI NA KWENDA KULA BATA UGHAIBUNI. WAKAWAACHA HAPAHAPA MNAKULA VUMBI, HATKUWASIKIA WANASHERIA, WANAHARAKATI WALA MATAMKO YA MAPADRI, WOOTE KIMYAAAA. AMA KWELI RAIS WANGU MPENDWA ULIKOSEA SANA KUMTOA JINI KWENYE CHUPA, UNGEENDELEZA UBABE WA MWENDAZAKE TU. ANYWAY WEWE NI MSTAARABU NA MUUNGWANA. NA HAO WANA SHERIA KWELI WANAIJUA ILA TU CHA MLEVI HULIWA NA MGEMA.
Hongera Mama mzazi hunabaya Mwenyezimungu akulinde. Ila mama naomba utuniwezeshe mitaji tumekwama biashara zimekufa na Tuinue kikundi chetu kipo Tanga mjini tumekwama mamaetu.
Huyu mjinga maandamano sio Sera yenu lakini nihaki ya mwananchi wewe kama hupendi ni wewe na wajinga wenzio ambao mnaona maandamano ni mabaya kwenu lakini nikujulishe ndio njia yetu sisi wananchi sio kwa matakwa yenu na ninja nyepesi kujua tunakerwa kwakiasi kikubwa kwakile ambacho kinatufanya tuandamane
Mmmh! Tunachezewa sana hii nchi Kuna ivi huenda watawala hawajui katiba au Wana kiburi Cha madaraka Kwa mamlaka waliyonayo Kwa nguvu ya mtutu wa bunduki tunayo mifano mingi ya uvunjifu wa Sheria unafanywa na mihimili ya serikali
@@sskondopoleani9616 hakuna rais apo! hata huyo tembo anajua.jogoo huwika hata nyakati za masika ambapo jua hatulioni likitoka ila kuzama. Wewe mwenyewe unajua ukweli hatuna rais apo!
Moyo wa mwanadamu lazima uwe nashukrani ccm muwe na shukrani tumewachagua tangia uhuru na sasa tunachagua chama kingine kwani hakuna chama chenye hati ya kuongoza Tanzania milele.
@@halimamasai2234 Jenga hoja sio kutukana elimu ya uraia huna haki yako kikatiba hujui elimu ya darasani F uzalendo huna maana ya demokrasia 0 sema ndio afandeeee(ikitokea Kwa ndugu yako sijui utaendelea kutetea?pole ndugu jiajiri
@@tanzaniatouristsattraction1622 acha matusi huna elimu hili sio neno la kitunga ni neno liimeandikwa kwenye biblia kitabu Cha ufinuo tumia akili acha mihemko
Ufunuo 17:1 Akaja mmoja wa wale malaika Saba wenye vile vitasa Saba akanena nami akisema njoo huku nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketie juu ya maji mengi 2: Ambae wafalme wa nchi wamezini naye na wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake. 3:Akanichukua katika Roho hata jangwani nikaona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru mwenye vichwa Saba na pembe kumi. 4:Na mwanamke huyo alikua amevikwa nguo za rangi ya zambarau na nyekundu amepambwa kwa dhahabu na kito Cha thamani na lulu naye alikua na kikombe Cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukozo na machafu ya uasherati wake. 5: Na katika kiaji Cha uso wake alikua na jina la Siri BABELI MKUU MAMA WAMAKHABA NA MACHUKIZO YA NCHI. 6: Yule mwanamke amelewa damu ya watakatifu na kwa damu ya mashahidi wa Yesu nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu 18: Na yule mwanamke uliyomuona ni mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi. Kwa muda wako unaweza kusoma vizuri ukaelewa unabii unatumia na kanisa katolic ndio linaloutimiza unabii huu wa mwisho wa ulimwengu kanisa katolic ndio lenye nguvu hata ya kuikemea serikali Lakini kanisa katolic ndilo kanisa lililoongoza mauwaji ya wakristo takribani milioni 50 kwa kuwachoma moto na kuwatupa waliwe na simba na mateso mengine makali Kanisa katolic ndio Lina ufalme juu ya wafalme wa nchi, Rumi ni taifa Lina raisi wa nchi lakini vatcani ni makao makuu ya Roma na papa ni kiongozi wa vatcani ambaye mamlaka yake hayaingiliwi na raisi wa Rumi Kwahio sikuongea mambo yangu ila nimeionge biblia ila kama unataka kutokana na kuendekeza ushabiki wa kidini wewe endelea kutokana ila Mimi nimekwambia waandiko yanavyotabiri kuhusu mwisho wa dunia
KATIBA....KATIBA...KATIBA....MAANDAMANO YA AMANI NI HAKI KATIKA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI YETU....NA KATIBA NA SHERIA ZA HAKI ZA BINADAMU ZA UMOJA WA MATAIFA.
Amani ipi Mama? mbona watu kutekwa na kuonewa kila itwapo leo pia Maisha yanazidi kuwa Magumu,Ama hakika kweli watanzani bado tunakubari kudangaywa kiasi hicho,ivi kweli Tanzania ina Maisha Bora kwa kila Mmoja kama tunavyo ongopewa
Tengekuomba upite pia hapa Kibaha Shirika la elimu utoe tumaini ya Ile zawadi ya nchi za Nordic kwa Mwalimu na watanzania. Ile iwe center kubwa ya elimu na ujasiriamali. Ukifanya hivyo utaona mwitikio.
umetuchengia wee mama wee... dah tulikupenda sana ila mungu akupende zaidi.
@dianaleo6067 Mungu anawapenda wooooote kufa ni kila mmoja kwa wakati wake, hapa kwenye kufa hapana cha kupendwa wala kuchukiwa, sasa wewe hapo uko hai ina maana Mungu HAKUPENDI??, ACHA HIZO kumpenda na kumchukia Samia hiyo ni hiari na haki yako, hata wewe hupendwi na woote, Toa hoja yenye mashiko. Hasira Haisaidii.
@@sskondopoleani9616 no way, mungu ampende zaidi tuu.
@@dianaleo6067mungu atakupenda zaidi wewe pia.
@@zainabmapezi5730 Mungu mimi ananipenda sana... kuliko huyu muuaji.
Tanzania nchi yangu nakumbuka nilivyokuwa mdogo nikiimba nyimbo mbalimbali za Tanzania shuleni nikiisifia nikiwa na mawazo chanya sana, leo hii Mungu awe nasi🙏
Hatuku chagui sisi
Maendeleo bila haki ni utesaji wa watanzania kuuzwa Kwa raslimali za Nchi ni Utumwa kutozuwia rushwa na uzembe wa huduma za Afya uzembe wa wahudim na ghalama za matibabu yasiyo endana na huduma zinazotolewa na taasisi za Umma
Tuchague viongozi tunawowataka siyo waccm
@@daudimchileg307 Usipo wachagua viongozi wa CCM utachagua viongozi gani kama unadhani chadema huko hakuna chama wala viongozi wale ni Saccoos
@halimamasai2234 ni elimu ambayo hauna wee masai, sio kila mtu ni chadema sie tunahitaji viongozi safi sio chama, lakin nahic umasai wako ndio tatzo.
HESABU 35: 31-33 Tena msipokee fidia kwasababu ya uhai wa muuaji, ambae amekua na hatia ya mauti:
Lakini lazima atauawa. 32 Tena hamtapokea fidia kwa ajili ya huyo, aliyeukimbilia mji wake wa makimbilio, apate kwenda kuketi katika nchi , hata kifo cha kuhani Mkuu. 33 Hivi hamtaitia unajisi nchi ambayo mwakaa; kwa kuwa damu huitia nchi unajisi; wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya damu iliyomwagwa ndani yake isipokuwa ni damu ya huyo
aliyeimwaga. 34 Kwa hiyo msiitie unajisi nchi mketiyo, ambayo naketi nami kati yake: kwa kuwa mimi BWANA nakaa kati ya wana wa Israel. WAGALATIA 3: 13-14
Sasa raha ipi wananchi wanayo maisha wanafaidi wachache , viongozi wa mitaa wamezulumu ardhi watu wanalia sana na kweli miakamitatu mambo yaliyo fanyika ni hatari kwakuteka watu, sasa nzamu ya chadema
One day yes
Mama umechemsha
UMEHARIBU NCHI, UMEHARIBU NCHI YETU NZURI. LAANA INAKUFUATA SAMIA NA WATOTO WAKO.
Nitakufata wewe kwanza kwani wewe ndio Mungu unotowa huku u, wewe una yko mangapi Nani kakupa laana, laanatullah nirudi kwako kwanza, mmezidi matusi kwa mama yetu, Mungu kama wadhfa hajautaka mwenyewe, kachaguliwa na muumba,
@@salamasaid9525 kafiri wewe 😠 mlala namajini usiku 😠😡😡🇿🇦🇿🇦 malaya mbovu wa kidini sio mzawa wa nchi... 😡👆😠😡😠🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Sasa sisi waislamu na nyinyi makafiri nani ambao wanye majini nyinyi sindio kila siku kazi ya kutangaziana kwenye makanisa yenu kwamba tunatoa majini@@SolomoniRingia
Kuna kanisa asaivi linakwenda bila majini acha matusi hayana nafasi
Wananchi Wakukodi😀😀😀😀
Hatukupenda sisi wanachadema maana mama samia suluh hassan anakuwa kama siyo mama anayeza wana chadema wanauwawa kila mara na kila mda 👈
Ila sisi watanzaia wengi wetu unafki ndio unaotuuwa shagwe kama lote mkitoka hapo mnaenda kulalama mitaani kwa njaa😢😢
@@joycemkeka3769 😂😂😂🙌🏾🙌🏾
Hamna jipya
Majibu yako yote yata tolewa na mungu wetu aliye mbinguni
CCM juuuuu💪💪💪💪💪💪
Pumbavu sana wewe
@@NiazonBukoke Pumbavu mama yako na baba yako msenge wewe kafirwe huko
@@NiazonBukoke CCM juuu CCM oyeee kufa basi kuma mama yako
Acheni uvivu wa kufikili sasa mnatukanana mbaka wazazi wanausika nini? Ebu waacheni wazee wetu watulie kama Amna adabu tukananeni wenyewe wazazi sio wakuchezea
Tupo.pamoja.kazi.ieendeleeee
Hatujawai kuiona serekali nyingine ngoja tuione nyingine
Maandamano si Fujo na wala wasipandize fujo kutafuta sababu ya kupeleka askari mtaani kutisha wananchi
Sio mnawakamata akina Mbowe baadae mnawaachia kimuweka chini ya ulinzi mtu usipomfikisha mahakamani ni kosa unamwachia Kwani amekuomba msamaha kama amekosa wakati maandamano ni haki ya katiba,hawana silaha wala mabomu kuwa labda wanataka kumvamia mtu tunataka amani Nchi yetu.
Si Dema si Susu si pakacha hakuna chama kitakacholeta uadilifu wa moja kwa moja kwa sbb kila binadamu anamapungufu yake kipindi Cha Magu watu wote waliufyata kwani hakuwa na mapungufu?kwa Nini lawama zote zote zote atupiwe huyu kulikoni ?
Mnachaguliwa nn tena na mmemaliza maendeleo yote
Dada anaogopa neno Samia must go madaraka au uraisi tamu sana Raisi unatangaza kwa hasira ingekuwa DRC ungeweza watu hawana silaha unatetemeka apana hii ni miaka mitatu ikifika kumi hapo kati itakuwaje na hao wanaokushauri jiongeze
Maandamano ni haki ya kikatiba ni zaidi ya sera, hata wewe hapo upo madarakani hakuna aliyekuchagua ni Kwa sababu ya katiba. Sasa nyie endeleleeni kufata katiba pale tu inapowapendelea ila inapowapendelea wengine mnatuma police, usalama wa taifa pengine hata jeshi mtakuja kuiingiza nchi katika vita.
Tunza Pumzi yako.😊
Ukweli mchungu huu
Acha urofa wew, sawa katiba inaruhusu maandamano, ila hairuhusu maandamano yenye viashiria na kauli za mihemko zenye kuondoa amani, alafu wajinga ndio hujua ujinga wao baada ya madhara ya ujinga wao. Binafsi naona waelevu huwatumia wajinga kujinufaisha. Wasiojitambua kazi yao ni kutukana watu mitandaoni then akikamatwa oOoOO polis ooo polis.
@@azizimtege mbona wewe na ccm Yako ndio kinara wa kutukana hata kwenye comment hapa haujazungumza kitu zaidi ya kutukana.
Najuta kuzaliwa kwa kwa nchi ya watu wajinga wasio jielewa kama hawa
Maandamano sio sera yenu ila ni haki ya kikatiba mnayoikandamiza kwa nguvu zenu zote
Mama umechemka tuombe neema ya mungu tuu
wejifanye wew nimalaikatu
samia amani unayoilinda ni yako peke ako na hao unaowateka huteki wapinzani ila unateka uhuru wa watanzania wote wa bara kama ulivoteka uhuru wa watanganyika 23/9/2024
,mama Samia watendaji wako wanakuangusha hasa wizara ya. ,àfya imechangia kudhulumiwa mjane na yatima kisa kurithi hospitali kutoka kwa marehem mumewe kwakuwa NI mtumishi WA wizara ya àfya atawezaje amiliki hospitali mama alipenda kuwa mjane NI mipango ya Allah wizara hiyo imechangia pakibwa Sana kudhuluma mjane na yatima safisha wizara
KUzuia Maandamano ya Amani ni Ukiukaji wa Katiba Unaofanywa na Serekali ya Raisi SAMIA. Asidhani.Watanzania hatujui Katiba. HAKI MTACHELEWESHA MUDA UTAFIKA ITAWALAZIMU MUACHIE BILA KUPENDA. NYIE WADHULUMAJI.
Unajuaje yalikuwa maandamano ya amani.Wakati waliyoyakataza walishaona viwashilia vibaya
@@joscamwoshezi2986waliona viashiria gani
Tanzania yetu hii
@jamesbayo1910 Kwa kweli mumempata MNYONGE, WAKATI WA MAGUFULI ALIZUIA KILA KITU, NA KUNA NDUGU ZETU PIA WALITESWA, WALITEKWA, WENGINE KUFIA JELA na WENGINE WAKIZIMIA KWENYE MIKUTANO, HAO WANAO HAMASISHA MAANDAMANO WALIHAMA NCHI NA KWENDA KULA BATA UGHAIBUNI. WAKAWAACHA HAPAHAPA MNAKULA VUMBI, HATKUWASIKIA WANASHERIA, WANAHARAKATI WALA MATAMKO YA MAPADRI, WOOTE KIMYAAAA. AMA KWELI RAIS WANGU MPENDWA ULIKOSEA SANA KUMTOA JINI KWENYE CHUPA, UNGEENDELEZA UBABE WA MWENDAZAKE TU. ANYWAY WEWE NI MSTAARABU NA MUUNGWANA. NA HAO WANA SHERIA KWELI WANAIJUA ILA TU CHA MLEVI HULIWA NA MGEMA.
Duh! Hii Kali aisee
Muna waonea chadema wakishika dola mutajuta sana
Índia unafiki wako hapo
Samia 💪💪💪💪💪💪
Hongera Mama mzazi hunabaya Mwenyezimungu akulinde. Ila mama naomba utuniwezeshe mitaji tumekwama biashara zimekufa na Tuinue kikundi chetu kipo Tanga mjini tumekwama mamaetu.
Huyu mjinga maandamano sio Sera yenu lakini nihaki ya mwananchi wewe kama hupendi ni wewe na wajinga wenzio ambao mnaona maandamano ni mabaya kwenu lakini nikujulishe ndio njia yetu sisi wananchi sio kwa matakwa yenu na ninja nyepesi kujua tunakerwa kwakiasi kikubwa kwakile ambacho kinatufanya tuandamane
Wajinga wazee wako walokuleta dunian uje uendeleze chuki
😂
😅
Uchaguzi huo utaufanya na chama Gani?
Kwaiyo ndo sababu ya kupeleka polisi ili kuja kuwaambia wananchi maandamano ni vurugu
Hamna chochote
Muislamu anaingia kanisani kuitafuta dunia
Hakuna maendeleo. Rudisha kwanza bandari
Hahaha utasubiri Sana Mpaka Vasco da Gama.
Arudi ndio Bandarini itarudi😊
@@bernadetamushi 🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🙌🏾
Usalama upo wakutosha ila mnalazisha kutuziba midomo ila cku ipo
Mungu akusame, pia naona mngeua vyama vingi nafikili ingekua vizur tubaki na chama kimoja
Hapo umeongea,hilo nibora kabisaaaa
Mmmh! Tunachezewa sana hii nchi Kuna ivi huenda watawala hawajui katiba au Wana kiburi Cha madaraka Kwa mamlaka waliyonayo Kwa nguvu ya mtutu wa bunduki tunayo mifano mingi ya uvunjifu wa Sheria unafanywa na mihimili ya serikali
Sera yenu watu kuwawa kubakwa Kodi kubwa zisizoeleweka
Wanao kupenda ni wale wanao ulaji yaaan ulio waachili lkn tanzania nzima watu tunalalamika sana, tutamukumbka sana mahufuli
One
Rais anaanza kampemi ya ccm serikali za mitaa kabla ya wakati?
Washasombwa na magari kuja hapo
Kweli madaraka matamu sana
Wala hatukuchagui jipitishe mwenyewe .umetukera mno!!! Unatutishia bunduki na huku watz wenzetu wanatekwa na kuuwawa wewe unakimbilia songea kucheza bao 😂 wala hatukuchagui! Umeshafeli.😂
UmEnigurahisha sana
@@dianaleo6067 Hizo ni kelele za chura hazimzuii Tembo kunywa maji, na Na Jogoo asipowika haizuiii jua kutoka *KUTAKUCHA TU*
@@sskondopoleani9616 hakuna rais apo! hata huyo tembo anajua.jogoo huwika hata nyakati za masika ambapo jua hatulioni likitoka ila kuzama. Wewe mwenyewe unajua ukweli hatuna rais apo!
Samahani mh Rais kwani kampeni zimeanza? Mh
Moyo wa mwanadamu lazima uwe nashukrani ccm muwe na shukrani tumewachagua tangia uhuru na sasa tunachagua chama kingine kwani hakuna chama chenye hati ya kuongoza Tanzania milele.
Kuma tu unabeba
Matusi sio utamaduni wetu, hata kama humpendi😮
Wewe Wacha matusi...coz ukienda kizimbani uwe na ushahidi, kwani uliona tupu lake,toa ushahidi pls
Tena tusi kubwa na uyu ni mama atakama anamapungufu lakini ilotusi sio
Kumbuka Kuna uhalifu wa mitandao acha kuropoka tu,nakushauri tu mm
Usije kujaribu kumtus kiongoz wako lishike hilo
Utakufa kama mbuzi wa albadiri kwani akuna makundi ya wahasi Tanzania tujiunge
Kujipendekeza TU mteeekaaaji mama asiyena huruma
@@GeofreyWasulwa mtekaji mama yako msenge wewe
@@halimamasai2234 Jenga hoja sio kutukana elimu ya uraia huna haki yako kikatiba hujui elimu ya darasani F uzalendo huna maana ya demokrasia 0 sema ndio afandeeee(ikitokea Kwa ndugu yako sijui utaendelea kutetea?pole ndugu jiajiri
@@halimamasai2234 Pole Kwa kutokwenda shule shabiki usiyejua unashabikia Nini.(Subiri t-shirt na komoni )
Demokrasi ya kutambaza Polisi nchi nzima kudhibiti wapinzani
Siasa Dada hapana sisi tumeamua kuwa na yesu kristo siasa zina chosha myoyo yetu kristo tumaini letu
HAO WOTE WAMELAZIMISHWA KUJA TU
Ndio maana tunatoa kodi ili ilete maendeleo.
Swea yenu ni kutekana hovyo sana huyu chura
Jana septemba 23,2024 chadema waliandamana, kwa nini?!!! Itakuwa hawana kazi ya kufanya!!! One day yes!!!
Mama huyooooo❤❤❤❤❤
Watu watekwe watu wauawe,halafu wasiandamane wafanye Nini?
Kama unataka amani na maendeleo hakikisha ccm haipati kura.hakuna namna nyingine
PIGA KAZI mama Hata Yesu Alipingwa
Eti majitu ya napiga vigelegele hovyo sana wa tz mnashangilia huku mnanjaa mavi kweli nyie
Wewe mama una lolote
Utekaji ccm mnacha lini
@@nzitogondwe9976 🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Mpumbavu sana wewe jini la Zanzibar unaua watu na kuteka kutumia vyombo vya Dola
Yani siku hizi siasa zinfanyiki kwenye viwanja vya kanisa????? Aisee hii nchi imekua ngumu sana kanisa linafanya ukahaba na serikali
@@meshacknyandongo577 😂😂😂🙌🏾
Utalitaka wafanyie mkunduni mwa babaako
@@tanzaniatouristsattraction1622 acha matusi huna elimu hili sio neno la kitunga ni neno liimeandikwa kwenye biblia kitabu Cha ufinuo tumia akili acha mihemko
Sasa wewe kawape uwanja
Ufunuo 17:1 Akaja mmoja wa wale malaika Saba wenye vile vitasa Saba akanena nami akisema njoo huku nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketie juu ya maji mengi 2: Ambae wafalme wa nchi wamezini naye na wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake.
3:Akanichukua katika Roho hata jangwani nikaona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru mwenye vichwa Saba na pembe kumi.
4:Na mwanamke huyo alikua amevikwa nguo za rangi ya zambarau na nyekundu amepambwa kwa dhahabu na kito Cha thamani na lulu naye alikua na kikombe Cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukozo na machafu ya uasherati wake.
5: Na katika kiaji Cha uso wake alikua na jina la Siri BABELI MKUU MAMA WAMAKHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
6: Yule mwanamke amelewa damu ya watakatifu na kwa damu ya mashahidi wa Yesu nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu
18: Na yule mwanamke uliyomuona ni mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.
Kwa muda wako unaweza kusoma vizuri ukaelewa unabii unatumia na kanisa katolic ndio linaloutimiza unabii huu wa mwisho wa ulimwengu kanisa katolic ndio lenye nguvu hata ya kuikemea serikali
Lakini kanisa katolic ndilo kanisa lililoongoza mauwaji ya wakristo takribani milioni 50 kwa kuwachoma moto na kuwatupa waliwe na simba na mateso mengine makali
Kanisa katolic ndio Lina ufalme juu ya wafalme wa nchi, Rumi ni taifa Lina raisi wa nchi lakini vatcani ni makao makuu ya Roma na papa ni kiongozi wa vatcani ambaye mamlaka yake hayaingiliwi na raisi wa Rumi
Kwahio sikuongea mambo yangu ila nimeionge biblia ila kama unataka kutokana na kuendekeza ushabiki wa kidini wewe endelea kutokana ila Mimi nimekwambia waandiko yanavyotabiri kuhusu mwisho wa dunia
Peramiho, maposeni, ndilima
Hawajitambui😂😂😂
KATIBA....KATIBA...KATIBA....MAANDAMANO YA AMANI NI HAKI KATIKA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI YETU....NA KATIBA NA SHERIA ZA HAKI ZA BINADAMU ZA UMOJA WA MATAIFA.
Amani ipi Mama? mbona watu kutekwa na kuonewa kila itwapo leo pia Maisha yanazidi kuwa Magumu,Ama hakika kweli watanzani bado tunakubari kudangaywa kiasi hicho,ivi kweli Tanzania ina Maisha Bora kwa kila Mmoja kama tunavyo ongopewa
raisi hana mvuto kwa kweli ila mungu atusaidie tufike salama
Tengekuomba upite pia hapa Kibaha Shirika la elimu utoe tumaini ya Ile zawadi ya nchi za Nordic kwa Mwalimu na watanzania. Ile iwe center kubwa ya elimu na ujasiriamali. Ukifanya hivyo utaona mwitikio.
Wewemama ipo siku utaondoka nautateswa sana na watu unao watesa Sasa lakini kumbuka kuwa wewe nimwanamke
Ningekuwa huyu samia ni mama angu ningemshauri awape wanaume
McT m14.kwa nini awape wanaume.Mama anatosha kabisa
Akili ndogo ishiyo na ufahamu
@@McT-m1m awape nini? Kitumbua au? 😂😂😂🏃🏃🏃🏃🙌🏾🙌🏾
@@McT-m1m labda awape matako kama pdiddy 🤣🤣🤣🏃🇿🇦🙌🏾
Weka uhuru wa vyama vyingi kwanza. Na kupunguza mauaji
Siasa haitaki huruma mama usikie wazungu Bali watakubeba hovyo
Dictator wa kikee dunian n Samia suluhuu hasan
@@denisdamian1190 kwelii 😂😂😂
Jenista ni waziri mkuu au Makamu wa Rais ajae
Rasi Samia so uwaruhusu tunwa0izani wa adamane si uliziupo
unalana wewe nani akapgie ccm
kwan kampen zimeanza tayar au
@@NelsonMrang 😂😂😂👆
EE MUNGU TUONDOLEE HUU UTAWALA MBAYA
WA UKANDAMIZAJI
WA RUSHWA
WA UBABE
UTUONDOLEE EE MUNGU HUU UTAWALA MBAYA NA CHAMA KIBAYA
HUYU MAMA KWAKWELI ANAPENDWA
Ebu.rudia.tena.anapendwa.na.nani.sema.unamupenda.siyo.anapendwa
Ili apendwe aseme kwanza kwanini hatoi majibu kwa walipoteza ndugu zao kwa kutekwa na wengine kuuawa
Mimi nafikiri hakuna haja ya kuwa na vyama vingi Tanzania
Dunia ilipo leo masanja, cyo ile ya chama kimoja.
magu alijaribu lkn alishindwa,
vyama vipo, ukiona vinakukera maana yake katiba imekukaba koo.
Pumbavu
shenziiiiii
Wanasapoti ujinga2, sjui hunafki utaisha lin
Huyu mama nimemchukia sana
Mmm
Muheshimiwa rais wewe wamekuandikia tu usome lakini sio hivyo... kuna siri humo
Maandamano hayana maana yoyote;; wanatumia maandamano kujijenga kisiasa lakini kiukweli hakuna faida kwenye maandano
Hujijui na hujitambui
@@monicamwita7865 tatizo uwezo WA kufikir
Safi mama samia
Tutachagua chama tunachokitaka sisi wenyewe
Maendeleo yote ni kodi zetu... kwani wametoa mfukoni ? Acheni hizoo
Uje na kwimba hasa malya mama tunakupenda sana
Unampenda Kwa lip?
mama anaupiga mwingi....,😂😂😂😂
Hivi watu kutekwa na kuuawa ndo sera ya chama chako Cha ccm?
Kwani unadhani raisi si binaaadam kwamba anaweza kudhibiti Kila kitu hata ww ukipewa hiyo nafasi usikute yy atakua Bora kua na heshima basi
Kiongozi mzuri lakini chura hasikii sijui atasikia utekaji balaaa kubwab