JOHN PAMBALU AMKAANGA VIKALI WENJE, AMKATAA MBOWE, ATAMKA RASMI KUMUUNGA TUNDU LISSU NA HECHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 88

  • @NebaMwaipasi
    @NebaMwaipasi 8 วันที่ผ่านมา

    Sana kk ufafanua vzr mungu akulinde

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 12 วันที่ผ่านมา +9

    Ahsante Mpambalu,mungu akujalie hekima,busara ukweli utakuinua.Tunaomba mkilinde chama.

  • @LoiteyoAmakoMako
    @LoiteyoAmakoMako 12 วันที่ผ่านมา +9

    Pambalu namkubali sana huyu mwamba

  • @MasungaNekwa
    @MasungaNekwa 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki na wewe ndg yangu Pambalu I wish you all the best.

  • @AnjelaAkonaay
    @AnjelaAkonaay 10 วันที่ผ่านมา

    Pambalu umeongea maneno ya busara mungu akutie nguvu

  • @msalilagrace
    @msalilagrace 11 วันที่ผ่านมา +2

    John naomba namba❤❤❤

  • @charlesshaban1915
    @charlesshaban1915 11 วันที่ผ่านมา +2

    Upo vizuri mkuuuu

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 12 วันที่ผ่านมา +6

    Huyu dogo genius sana

  • @oscarwasenga1333
    @oscarwasenga1333 12 วันที่ผ่านมา +6

    Pambalu dogo upo vizuri

  • @HemedKiama
    @HemedKiama 12 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani,nimewasikiliza wote timu mbowe na lisu,naona ni mbingu na aridhi,mbona timu mbowe wanaongea pumba za hatari,bila lisu hatutawaelewa!...?

  • @MusaSembui
    @MusaSembui 11 วันที่ผ่านมา +4

    Mbowe ukisimama majukwaani unataka ccm itoke imekaa tangu uhuru .wakati wewe mwenyewe hutaki kuachia wenzako kuwa mwenyekiti .wewe mzee kalime maua. Tunza heshima yako

  • @chrispinrafael3831
    @chrispinrafael3831 11 วันที่ผ่านมา +1

    Uko vizuri pambaru

  • @ildephoncevicent1568
    @ildephoncevicent1568 11 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe ni hazina ya serikali kwa miaka ijayo ulindwe kijana

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante kaka umemalza

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 12 วันที่ผ่านมา +3

    Pambaru akili kubwa sana mungu akutangulie lissu hoyeee

  • @SalumMsongera-n7b
    @SalumMsongera-n7b 11 วันที่ผ่านมา +1

    Wajumbe rushwa ni adui wa maendeleo wajumbe mmuokope mungu na mjue mmebeba haki za watanzania wanyonge msiwauze kwa thaman ndogo ya vipande vya fedha ata mungu awezi kuwasamehe

  • @osodowilberforce2321
    @osodowilberforce2321 12 วันที่ผ่านมา +5

    The best young politician in Tanzania.Congratulations Mwalimu.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pambalu umenisuza moyo,,nimekukubali uko vizur,,

  • @MginaFiloteus
    @MginaFiloteus 12 วันที่ผ่านมา +2

    JOHN PAMBALU MIMI NI MWANACHAMA EA KAWAIDA SEMA SANA TUNUSURU CHAMA KINAZAMA NA WAKUNJA FEDHA

  • @martinegeorge4696
    @martinegeorge4696 12 วันที่ผ่านมา +8

    Huyu jamaa Yuko vizuri sana l like him

  • @VicentMichael-l6p
    @VicentMichael-l6p 12 วันที่ผ่านมา +9

    Mboe akishinda nitaamini uchawi upo

  • @KamalaBuberwa
    @KamalaBuberwa 12 วันที่ผ่านมา +1

    Pambaluuu, we are going on same Target

  • @elizabethsaibo3658
    @elizabethsaibo3658 11 วันที่ผ่านมา

    Ongera ni kweli tunahitaji mabadiliko

  • @jacksonbohbahck6307
    @jacksonbohbahck6307 11 วันที่ผ่านมา +1

    Kaiva mnoo anatosha vyema

  • @stanslauslupelele5726
    @stanslauslupelele5726 11 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika chadema kuna hazina kubwa ya watu wenye vipaji sana

  • @SajaliAmri
    @SajaliAmri 11 วันที่ผ่านมา

    Kijana mwenzangu nakujua njee ndani naela nilikuchangia kwenye kugombea wenyekiti wa kanda ila unapotosha sana wewe mwenyewe tukiwa nyakato ulisema hii ngoma inavyo elekea ningumu uiwezi tukakufosi leo unasema ety uliujumiwa 😁😁😁 ushachemka kijana

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kila sehemu rushwa

  • @SalumMsongera-n7b
    @SalumMsongera-n7b 11 วันที่ผ่านมา +1

    Nikwel kageuza ni kariakoo yake ni chadema ndomana ananunua bidhaa ambao ni wajumbe ili biashara yake isio na lesen Wala tin namba avune pesa za chama si atakuwa Maisha kinunua

  • @SalumMsongera-n7b
    @SalumMsongera-n7b 11 วันที่ผ่านมา +1

    Pesa kulen Ila akili kichwan mwenu hv mtu anataka madarka yasio na mshahara yenye kutetea haki ya watanzania wanyonge vip atoe rushwa il alipwe nin mzee akalale a

  • @TusumeKashililika
    @TusumeKashililika 11 วันที่ผ่านมา

    Mnapokela sana kumtaja jpm

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 12 วันที่ผ่านมา +1

    Heche anastahili kuwa m.kiti

  • @AmiriAlmasi-m1c
    @AmiriAlmasi-m1c 12 วันที่ผ่านมา +1

    Lazima pambalu uwe na akiba ya maneno huu ni uchaguzi na utakwisha ,chama ni Bora kulikoni maneno Yani yasio na ekma

    • @MbalaziTv4135
      @MbalaziTv4135 11 วันที่ผ่านมา

      Sasa kama hapo ulitaka aweke akiba ya rushwa asiseme au ni vipi

  • @MusaSembui
    @MusaSembui 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mbowe anataka chama kiwe cha wachaga hana nia ya siasa anataka kukifanya chama cha kibishara .aende na namba za kisiasa chama kiwe nalaza

    • @dicksonmoshi7480
      @dicksonmoshi7480 11 วันที่ผ่านมา

      Uchaga unaingiaje hapa kaka musa

  • @onesphoryndomba6115
    @onesphoryndomba6115 11 วันที่ผ่านมา

    Umekosea sana kumtaja jpm pumbavu sana ww umeongea vizuri lakini ulipo mtaja magufuri tu. Nimeona nikuandikie coment acha ufara ukitaka kusonga mbele acha kumuongelea magu ww angalieni ya kwenu

    • @FrankMwakatundu-cu6bd
      @FrankMwakatundu-cu6bd 11 วันที่ผ่านมา

      Mungu akusaidie kukuondoa ktk UTUMWA wa JPM wako!!! Tambua kuwa HAPA KAZI TU BILA HAKI NI 0.NAJUWA WENGI MLIMKUBALI SANA JPM KWA UJENZI WA MIUNDO MBINU TU LAKINI UKIUKAJI WAKE WA HAKI NYINGI ZA WANANCHI IKIWEMO UKIUKAJI WAKE WA KIAPO CHA KATIBA YA NCHI HAMUONI KUWA HILO NI TATIZO KUBWA SANA!!! UKITENDA MEMA NJE YA HAKI UMEPOTEZA, NAZUNGUMZIA KWA MUNGU, MUNGU NDIYE KILA KITU.

    • @sebastianmwantuge5597
      @sebastianmwantuge5597 11 วันที่ผ่านมา +1

      Unapokuwa na baba mchawi na hajakurithisha,wakimsema baba yako mchawi lazima utakasirika

  • @mnyalucanvas2274
    @mnyalucanvas2274 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sugu umesaliti ukweli????

  • @MosesMushi-p2p
    @MosesMushi-p2p 12 วันที่ผ่านมา

    Wewe ulifeli sana

  • @JosephineKabuka
    @JosephineKabuka 12 วันที่ผ่านมา

    KANANDAAAA❤❤

  • @nestor384
    @nestor384 12 วันที่ผ่านมา

    They have to go drawing board

  • @salama1113
    @salama1113 11 วันที่ผ่านมา

    Wanajizima data nawao wanaongea polojo jana

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 12 วันที่ผ่านมา

    Namkubali Lema kwa mara ya kwanza kwamba uchaguzi wa chadema ni wa hovyo kuliko ule wa serikali za mitaa na maana yake ni kwamba chadema ni wabaya kukiko CCM kwa rushwa na udikiteta. Na hata akitoka Mbowe, bado kuna watu wengi walioshiriki ktk. ubaya huo na ambao kila anayesimama anamnyoshea kidole Mbowe watabaki ndani ya chama hicho. Viongozi wote wanaogombea na kumpinga Mbowe wamekaa kimya kwa muda woote wa uongozi wake na hawakutoka hadharani kumuwajibisha licha ya ubora wa katiba yao.Hao ndio wasaidizi na washauri wake wakuu wa Mbowe ambao leo wanalazimisha waonekane ni watakatifu kuliko Mbowe. Chama hiki kama kweli wanataka mabadiliko ya kweli , hawakupaswa kuwabakiza hata moja kati ya Mbowe, Lisu, Wenje, Heche, Lema, Mnyika na Halmashauri kuu yote kwa sababu hao ndio waliofuga huo uozo wa Mbowe lakini leo nao wanakalamika kama vile hawakuwa na uwezo na mamlaka ya kumwajibisha Mbiwe, licha ya kwamba walikuwa na mamlaka kikatiba .b Wote hao walikuwa na lao moja ila huenda walinyimamana au kudhulumiana migawo. Hayo wanayofanya yanaonyesha wazi udhaifu wa kiutawala uliojikita ndani ya chadema kwa muda mrefu na ambao hauwezi kuondika kwa kumtoa Mbowe peke yake. Chama chenye watu makini hakiwezi kujichafua kwa tuhumu za aibu kama hizi mitandaoni na hii ni sawa na mtu anaye kata tawi ktk. mti mrefu huku akiwa amelikalia.

  • @MasaluMashala
    @MasaluMashala 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera mno

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 12 วันที่ผ่านมา +1

    Asante Mhe pambalu kwa kusema ukweli Lissu anafaa

  • @idrisabakari584
    @idrisabakari584 11 วันที่ผ่านมา

    Mtu na nusu huyu

  • @AminaMahenge-h5q
    @AminaMahenge-h5q 11 วันที่ผ่านมา

    Wajumbe tunaamba mtuletee kijana tukochin yaminguu yenu

  • @GloryJosephMosiyoka
    @GloryJosephMosiyoka 12 วันที่ผ่านมา +1

    Nachokiona mimi kwa mtazamo wangu binafsi ni kwamba tundu lissu na mbowe tayari washapatana kwamba amuachie mbowe hiyo miaka yake mitano amalizie, af lisu yeye agombee urais, yeye abaki kuwa mwenyekiti,ndicho nachohisi mimi, ni kwel kutoka moyon kwamba asilimia 99.5 wanamuhitaji lisu kutokana na misimamo yake na ni mtu wa haki, lakin kwa mbowe alivyo na uchu wa madaraka, kwakwel hapo ua garagaza, atatumia mabavu, na ndipo chama kitapoteza dira kabisa, hadi kije kirejee imara, ni miaka mingine 20,wakati huo tunazidi kunyanyasika na watawala

    • @shahamemalenga4838
      @shahamemalenga4838 12 วันที่ผ่านมา

      Ikiwa ivyo Chadema watapoteana yani Tundu Lisu asiweze kua Mwenyekiti wa Chama awe Rais wa Inchi

    • @PoliteJustine-s9z
      @PoliteJustine-s9z 12 วันที่ผ่านมา +1

      Umepoteza muda wako kuandika ujinga😂😂😂

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera pambalu

  • @JoachimKisoka-d5l
    @JoachimKisoka-d5l 12 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba busara itumike kwenye huu uchaguzi kaka mkuu mwachie mdogo wako bado utabaki na heshima yako.

  • @mzeewanondo
    @mzeewanondo 12 วันที่ผ่านมา +3

    Pambalu ni fala tu alipomtukana Jpm hapo hatutaelewana na yeye kabisa

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ulitaka asemaje sasa

    • @SalambaPeter
      @SalambaPeter 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani jpm hakuwa mwanadam? Mbona tumekuwa wajinga tunaacha kumwabudu mungu atupae uzima tumebaki kuwaabudu watu tumwogope mungu maana yeye habadilliki lkn mtu ni kitu gani?

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 11 วันที่ผ่านมา +1

      Kumamako na huyo magufuli wako kumamake kama wewe mbwa unayeliwa kinyeo.

  • @aabedi541
    @aabedi541 12 วันที่ผ่านมา

    Chadema taayari mpasuko kuweni makini sana

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 12 วันที่ผ่านมา +1

      CCM wangeweka wagombea 2 nafasi ya mwenyekiti ungeona 😂😂 mpasuko ndani ya CCM

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 11 วันที่ผ่านมา

    Usiogelee JPM acha upuuzi, ongelea ushetan kamili wa mbowe na wenje

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 11 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe unampangia maneno ya kuongea kama nani?

  • @ShomaryMapunda
    @ShomaryMapunda 12 วันที่ผ่านมา

    Sugu njoo huku ujionee

  • @AmosKayega
    @AmosKayega 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hakiyamungu mtamkumbuka mbowe lisu ni tapeli mke na familia yake wako wapi

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kamchague mwenyewe Sasa awe mwenyekiti wa milele. ... Sijui watu wengine mkoje tu yaani akili hamna kabisa. Wa milele ni Mungu tu. Acha ife sasa.

    • @joelthomas-mx6gm
      @joelthomas-mx6gm 12 วันที่ผ่านมา +1

      WATU WANAMTAKA UYO,UYO TAPELI mengne ACHIA wajumbe acha kuumia

    • @zamberimturi5593
      @zamberimturi5593 12 วันที่ผ่านมา +1

      Alikutapeli nini wewe kilaza tu kafie mbele na huyo bwana ako mbowe

  • @oltetiangaroya8489
    @oltetiangaroya8489 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli hawa ndio vijana wenye akili kubwa

  • @msalilagrace
    @msalilagrace 11 วันที่ผ่านมา

    Dogo janjaaaaa

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 12 วันที่ผ่านมา

    Semen muwszavyo ila kwa swala la kumchaufua magufuli mume feli hamuna sifa za kumfikia magufuli wa jinga nyie

  • @kelvinmasungakilunguja7539
    @kelvinmasungakilunguja7539 12 วันที่ผ่านมา

    Sku tatu tu ushapauka na bado ngoja tuwapige kwenye sanduku mkachoke kama msigwa😂😂😂

  • @RabihuHussein
    @RabihuHussein 12 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu nae ka msenge!
    Chadema jihadharini sana mnapomtaja JPM kwa ubaya!

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kumanyoko wewe

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 12 วันที่ผ่านมา +1

      Uchaguzi 2020 ulienda poa na washinda Bado wanamlaumu pia walipewa uhuru wa mikutano na hakuna aliyepotea Wala kukimbia nchi Leo wanamlaumu Bora wewe una shukrani.

    • @mzeewanondo
      @mzeewanondo 12 วันที่ผ่านมา

      @@RabihuHussein :- Nakupongeza sana, Hawa wapumbavu na Wasenge kumtukana Jpm ni kujipunguzia kura zao.

  • @mzeewanondo
    @mzeewanondo 12 วันที่ผ่านมา

    Pambalu huna akili sawa sawa hasa unapomtukana Jpm

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 12 วันที่ผ่านมา +1

      Ulitaka utukanwe wewe au

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kusema ukweli wa hali ya kisiasa iliyokuwepo enzi zile ni kutukana?

    • @mzeewanondo
      @mzeewanondo 12 วันที่ผ่านมา

      @@yosephatMasanyiwa-oh1rl :- Kumtukana Jpm wewe unaona ni sawa? Kama unaona hivyo, basi majibu utayapata kwenye uchaguzi Mkuu 2025, CDM itaambulia patupu na Lisu wenu

    • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
      @yosephatMasanyiwa-oh1rl 12 วันที่ผ่านมา +1

      @andersonshimbi1378 Toa ucxm wako hapa sisi wenye akili na uchaji wa Mungu huwezi kutuambia kitu juu ya Hawa CCM na ubaya wao Mungu TU ndo anajua atakavyowafanya siku ya mwisho.

    • @AyubuFufulu
      @AyubuFufulu 12 วันที่ผ่านมา

      Alikua nakula matako