My brother I really love and apreciate your work , I am not an expert in Music but from my sincere perspective I think your music are so quick or fast pls singe a little bit slowly I don't know if is only me as i said i'm not an expert Forgive if i have offended you. 🙏🏽✌️
Roho shuka lakini munaimba Roho ashuke na munajipamba atakaa sehemu gani wimbo maneno Mazuri lakini mavazi na kujipamba😢
𝑯𝒂𝒔𝒂𝒏𝒕𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒌𝒂𝒌𝒂
Mungu azidi kupa nguvu za roho mtakatifu ili uzudi kupasha abari zake
Huu wimbo ni mzuri sana hakika ongea sana na mungu azidi kuku bariki katika kazi yako
YESU akuzidishie
Hii upako kweli
Roho tayari kushuka huku
Ubarikiwe sana Kiongozi wangu
Mungu akuinuwe zaidi kaka, nyimbo ikona ujumbe kabisa
Wimbo wa tapeli ulipeleka wapi? Ndo wimbo unanifundishaka sana
Mubarikiwe
Karibu roho.! Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Powerful
Tafzali Roho shuka juu yetu ili huduma zifanywe kwa ufasaa.
Mubarikiwe ndugungu.💪💪🙏
Kazi nzuri kabisa, Mungu aendeleye naku ku inuwa kila siku kabisa, Izi nyimbo zako zina kuwa Baraka kwetu kila Siku, Big up
Barikiweni mno
Very nice sana kijana
Kazur ila kafupi
Amen
Amen 🙏 mtumishi Mungu atusaidie kwa kweli
Amen amen brother wangu
Be bless
Thanks you Jésus Christ for Holy spirit to god 👏🔥🔥🔥🔥 congratulations very Nice job godbless 🕊🕊🕊🕊🕊🕊🔥🔥🔥🔥🔥
Wow nice song 👌 indeed..
my brothers go far with the lord may God bless you both with more inspiration mungu akubariki
Glory to Jesus Christ
Congratulations 🙏🙏🙏
Stay blessed more 🙏🙌🙏 always nazipenda nyimbo bro I appreciate you ❤️ much man
Upako, inaugura🔥🔥🔥💯
Amen 🙏
You always make me happy bro, (France )
Wao,glory to GOD,am happy for you.
My brother I really love and apreciate your work , I am not an expert in Music but from my sincere perspective I think your music are so quick or fast pls singe a little bit slowly I don't know if is only me as i said i'm not an expert Forgive if i have offended you. 🙏🏽✌️
mziki mzuri sana, visit us here www.fizitunes.com for all the latest songs and be bless you all
Bwana hibariki kazi ya ndugu yetu...
Amen
Amen