Kigusile Mulenda
Kigusile Mulenda
  • 30
  • 602 958
Kigusile Mulenda - Zama za Yesu ( official video)
Axe of Jesus .
mulenda.kigusile
th-cam.com/video/zIVY_0nMHno/w-d-xo.html
profile.php?id=100085950852672
Filmed by T.sappy
มุมมอง: 11 161

วีดีโอ

NIKO HURU OFFICIAL VIDEO
มุมมอง 4.1K5 หลายเดือนก่อน
NIKO HURU OFFICIAL VIDEO
REHEMA ZAKO by KIGUSILE MULENDA ft SYNTICHE (Offical video)
มุมมอง 6K7 หลายเดือนก่อน
REHEMA ZAKO by KIGUSILE MULENDA ft SYNTICHE (Offical video)
BONGOLA MOTEMA
มุมมอง 4.1K9 หลายเดือนก่อน
KIGUSILE MULENDA Directed by @kapelapicture
REHEMA ZAKO by KIGUSILE MULENDA ft SYNTICHE
มุมมอง 1.4K10 หลายเดือนก่อน
RHUMBA GOSPEL SONG
YESU NI MUNGU
มุมมอง 9Kปีที่แล้ว
YESU NI MUNGU
Kigusile Mulenda - Ondokeni (official video
มุมมอง 13Kปีที่แล้ว
Brand new music video written & performed by: Kigusile Mulenda Executive producer : Kigusile mulenda produced by : Axe of Jesus records video director : T sappy film Crew : light : Fiston kioko, DOP : Lenny , Stedycam : lenny & T sappy, Coo- director Ayubu, set designer : Fiston
Kigusile Mulenda - ujanja wa shetani official video
มุมมอง 12K2 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda - ujanja wa shetani official video
Kigusile Mulenda - Ecumenism - official video
มุมมอง 28K2 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda - Ecumenism - official video
KIGUSILE M FT PAPI M - INSENSÉS (official video)
มุมมอง 20K2 ปีที่แล้ว
KIGUSILE M FT PAPI M - INSENSÉS (official video)
Kigusile Mulenda - NIRA (Official Video )
มุมมอง 16K3 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda - NIRA (Official Video )
Kgusile Mulenda Ni bure Official Video
มุมมอง 21K3 ปีที่แล้ว
Audio by Axe of Jesus Records - 254798335809 Video by Rahim Filmed in Tanzania
Kigusile Mulenda -Engwelete Official Video
มุมมอง 34K3 ปีที่แล้ว
ÉNGWÉLÉTÉ CHORUS Weninga wacule m’mèsè anaba m’monya, The only begotten son who came into the world as a Savior Weninga waôile manga anahela lya manga, The only begotten Son who humbled himself and got exalted to the highest place Weninga waonjice luu anacúa na baû The only begotten Son who tasted death and raised with the dead Weninga waléle na batú anuma na luû Yesú. The only begotten Son who...
Kigusile Mulenda Live concert -Tukuka
มุมมอง 4.4K3 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda Live concert -Tukuka
Kigusile Mulenda Live concert - Anaweza
มุมมอง 4.6K3 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda Live concert - Anaweza
Kigusile Mulenda - USIYE SHINDWA
มุมมอง 7K3 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda - USIYE SHINDWA
Christopher Mwahangila Ft Kigusile Mulenda - Moto (Fire) Official video
มุมมอง 37K4 ปีที่แล้ว
Christopher Mwahangila Ft Kigusile Mulenda - Moto (Fire) Official video
Kigusile Mulenda - My God is Bigger Official Video ( 2020 New Release.)
มุมมอง 18K4 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda - My God is Bigger Official Video ( 2020 New Release.)
Umenipenda by Kigusile Mulenda Official Video 2020
มุมมอง 56K4 ปีที่แล้ว
Umenipenda by Kigusile Mulenda Official Video 2020
Kigusile Mulenda - Rudi Nyuma (Official clip)
มุมมอง 11K5 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda - Rudi Nyuma (Official clip)
Kigusile Mulenda concert Calvary church part 2
มุมมอง 3.9K5 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda concert Calvary church part 2
Mataifa
มุมมอง 3.6K5 ปีที่แล้ว
Mataifa
Kigusile Mulenda -Opperation Philip Intro.
มุมมอง 4.3K5 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda -Opperation Philip Intro.
Kigusile Mulenda Live concert(opperation Philip part 1)
มุมมอง 14K5 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda Live concert(opperation Philip part 1)
Kigusile Mulenda Ft Papi M - Upako (Official Video)
มุมมอง 34K5 ปีที่แล้ว
Kigusile Mulenda Ft Papi M - Upako (Official Video)
Kigusile's first Concert in Kenya
มุมมอง 7K5 ปีที่แล้ว
Kigusile's first Concert in Kenya
Ndoa (Marriage) by Kigusile Mulenda
มุมมอง 28K6 ปีที่แล้ว
Ndoa (Marriage) by Kigusile Mulenda
Solomon Mkubwa FT Kigusile - Neno (Official Video)
มุมมอง 56K6 ปีที่แล้ว
Solomon Mkubwa FT Kigusile - Neno (Official Video)
Kigusile M Ft Papi M I Mlenda I Official Video
มุมมอง 81K6 ปีที่แล้ว
Kigusile M Ft Papi M I Mlenda I Official Video
Kigusile - Umenipa Uzima (Official Video)
มุมมอง 52K6 ปีที่แล้ว
Kigusile - Umenipa Uzima (Official Video)

ความคิดเห็น

  • @revelationgospelchoir
    @revelationgospelchoir 2 วันที่ผ่านมา

    Good job

  • @UfunuoLukube-k4x
    @UfunuoLukube-k4x 4 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @honoabedi7063
    @honoabedi7063 7 วันที่ผ่านมา

    Seben kali sana …… Ubarikiwe ❤❤❤

  • @leahleah1538
    @leahleah1538 20 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤ Amen pastor 🎉🎉be blessed 🙏🙏🙏

  • @MajaliwaBitomwa
    @MajaliwaBitomwa หลายเดือนก่อน

    ❤❤🎉

  • @JacklineMwende-rn5ef
    @JacklineMwende-rn5ef หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana hii wimbo

  • @GodfreyMachuka777
    @GodfreyMachuka777 2 หลายเดือนก่อน

    ZAMA ZA YESU MUNGU WA MBINGU MUNGU WA MBINGU ALIUMBA DUNIA KANIPA NITAWALE NA MAAGIZO YAKE MUNGU WA MBINGU ALIUMBA DUNIA KANIPA NITAWALE NA MAAGIZO YAKE UZURI WA DUNIA NIMPENDE MUNGU KWA MOYO WANGU WOTE UZURI WA DUNIA NIMPENDE MUNGU KWA AKILI ZANGU ZOTE UZURI WA DUNIA NIMPENDE MUNGU KWA ROHO YOTE TENA UZURI WA DUNIA NIMPENDE JIRANI YANGU KAMA NAFSI YANGU NISIWE SABABU YA MATESO YANGU NISIYOTAKA KUTENDEWA NA WATU NISIWATENDEE NIWE SABABU YA FURAHA YANGU NINAYOTAKA KUTENDEWA NA WATU NIWATENDEE MAANA HAKUNA JIPYA TENA HAPA CHINI YA MBINGU YOTE YAMESHAKUWA EE TENA KUBALI MAONYO HAKUNA MWISHO WOWOTE WA KUTUNGA VITABU HII NI JUMLA YA MAMBO YOTE YAMEKWISHA KUSIKIWA MCHE MUNGU SHIKE AMRI ZAKE ADUI ZANGU, OOO, AAA NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA WASONIPENDA MIE, NIWAOMBEE, NIWAWAZIE NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA WATESI WANGU, WAJAPONICHUKIA, MIE NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA WANAONIPANGIA MABAYA, MAISHANI MWANGU, BALI NITAOMBA NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA KIPINDI CHA JICHO KWA JICHO KILIPITWA NA WAKATI HII NI ZAMA ZA YESU EEI ZAMA ZA KUSAMEHE MAADUI SABA MARA SABINI ZAMA ZA YESU KIPINDI CHA KUANGAMIZA MAADUI KILIPITWA NA WAKATI HII NI ZAMA ZA YESU EEI ZAMA ZA KUOMBEA MAADUI WALE WATUVIZIAO ZAMA ZA YESU KIPINDI CHA JINO KWA JINO KILIPITWA NA WAKATI HII NI ZAMA ZA YESU ZAMA ZA KUSAMEHE MAADUI WALE WATUKOSEAO ZAMA ZA YESU MAOMBI YA MADHABAHU YA UKOO YALIPITWA NA WAKATI HII NI ZAMA ZA YESU ZAMA ZA KUFANYWA KIUMBE KIPYA KUOKOLEWA NA YESU YA KALE YOTE YAPITE EE EE AKUNYANG’ANYAYE JOHO LAKO SIMZUILIE NA KANZU MAANA KIZAZI SI CHETU NI CHA BWANA ANAYEHARIBU NDOA YAKO USING’ANG’ANE NA YA KWAKE MAANA VITA SIO VYETU NI VYA YESU AKUPIGAYE SHAVU LA KUSHOTO MGEUZIE LA KUUME MAANA KIZAZI SI CHETU NI CHA BWANA ANAYEHARIBU MAISHA YAKO USING’ANG’ANE NA YA KWAKE MAANA VITA SIO VYETU NI VYA BWANA EE EE MAANA MUNGU HADHIHAKIWI CHOCHOTE APANDACHO MTU ATAVUNA AA EE TENA KUBALI MAONYO HAKUNA MWISHO WOWOTE WA KUTUNGA VITABU HII NI JUMLA YA MAMBO YOTE YAMEKWISHA KUSIKIWA MCHE MUNGU USHIKE AMRI ZAKE ADUI ZANGU, NIWAPENDE, AEE NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA WACHAWI NA WAGANGA, WASIONIPENDA, NIWAGAWIE NA MALI ZANGU NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA WANAOWINDA WATOTO WANGU, NA FAMILIA NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA WANAOPENDA NIANGAMIE, NIWAGAWIE MALI, NIWALISHE NIWALAZE NIWAPENDE, NIWAOMBEE, NIWATAKIE NA MEMA AA AYAYAYAYA EE III OO YESU ZAMA ZAKO NI ZAKE

  • @shinemoshitv6247
    @shinemoshitv6247 2 หลายเดือนก่อน

    naitwa james chilongwe wa Shine fm moshi kilimanjaro mtumishi nyimbo zako zinanibariki sana hasa napokuwa katika program zangu hewani.Big up sana mr Mulenda.

  • @DoreenKinya-b5d
    @DoreenKinya-b5d 2 หลายเดือนก่อน

    Very smart song be blessed

  • @YamunguFereza
    @YamunguFereza 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤ safi sana bwana awabariki.

  • @YamunguFereza
    @YamunguFereza 2 หลายเดือนก่อน

    Amen brother good luck.

  • @YamunguFereza
    @YamunguFereza 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤ Nakuona mutumishi. Mungu awabariki sana

  • @elinazalongo205
    @elinazalongo205 2 หลายเดือนก่อน

    Yani every song you release is a blessing to me,.. 😊 i love this. Remain blessed Pastor Mulenda

  • @PetitKajola
    @PetitKajola 3 หลายเดือนก่อน

    Good ❤❤

  • @Mamisaclaudineesther
    @Mamisaclaudineesther 3 หลายเดือนก่อน

    Yezu nde bomoi❤❤❤congratulations ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @ev.johnkayofficial
    @ev.johnkayofficial 3 หลายเดือนก่อน

    A song that blesses me

  • @XMANMmn
    @XMANMmn 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah

  • @XMANMmn
    @XMANMmn 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah glory to might God thanks for praise God bless absolutely pastor

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kaka wa mie my favourite song🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @kingjoshuak091
    @kingjoshuak091 3 หลายเดือนก่อน

    Powerful

  • @vumafilms
    @vumafilms 3 หลายเดือนก่อน

    Very nice job, more Grace

  • @njambiann7870
    @njambiann7870 3 หลายเดือนก่อน

    Is big 🇰🇪 my God😊

  • @njambiann7870
    @njambiann7870 3 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @Epenete
    @Epenete 3 หลายเดือนก่อน

    Songa mbele

  • @bofendaifelotubiofficial7980
    @bofendaifelotubiofficial7980 3 หลายเดือนก่อน

    Nice song

  • @Rebemilo
    @Rebemilo 3 หลายเดือนก่อน

    Mtumish wa Mungu Iyi wimbo imeni gusa sana tena sana More grace 🙏

    • @kigusilemulenda1496
      @kigusilemulenda1496 3 หลายเดือนก่อน

      Amen amen my sister glory to Yehovah

  • @Rebemilo
    @Rebemilo 3 หลายเดือนก่อน

    This song touched me a lot Like naisikiza sana

  • @MinisterRosemaryWilfredy
    @MinisterRosemaryWilfredy 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzr mtumishi ubarikiwe na MUNGU

  • @lutambwealfredetabo
    @lutambwealfredetabo 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera ndugu. Tunakufata tukiwa Baraka DRC 🇨🇩🇨🇩

    • @kigusilemulenda1496
      @kigusilemulenda1496 3 หลายเดือนก่อน

      Asante sana ndugu zangu, Mungu atukuzwe

  • @lutambwealfredetabo
    @lutambwealfredetabo 3 หลายเดือนก่อน

    Ongera ndugu. Tunakufata tukiwa Baraka DRC

  • @amtarecords9287
    @amtarecords9287 3 หลายเดือนก่อน

    baba unanibariki sana, MUNGU akutunze

  • @WELONGOMLELAFIDO
    @WELONGOMLELAFIDO 3 หลายเดือนก่อน

    𝑺𝒂𝒇𝒊 𝒌𝒂𝒌𝒂

  • @msafiripeterluundo5925
    @msafiripeterluundo5925 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana kaka mkubwa 🙌🙏

  • @AngelMuzungu
    @AngelMuzungu 3 หลายเดือนก่อน

    Kazizuri snaa

  • @AngelMuzungu
    @AngelMuzungu 3 หลายเดือนก่อน

    zuri snaa❤

  • @gloryMhone-k6d
    @gloryMhone-k6d 3 หลายเดือนก่อน

    This is beautiful son

  • @WELONGOMLELAFIDO
    @WELONGOMLELAFIDO 3 หลายเดือนก่อน

    𝑺𝒊𝒇𝒂 𝒌𝒘𝒂 𝑴𝒖𝒏𝒈𝒖

  • @karimpasclee4043
    @karimpasclee4043 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @karimpasclee4043
    @karimpasclee4043 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @karimpasclee4043
    @karimpasclee4043 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @karimpasclee4043
    @karimpasclee4043 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana 🙏

  • @karimpasclee4043
    @karimpasclee4043 3 หลายเดือนก่อน

    Munngu akubariki sana papa

  • @DavidOngoya
    @DavidOngoya 3 หลายเดือนก่อน

    Amen papa may God continue to bless you

  • @XMANMmn
    @XMANMmn 3 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah hallelujah

  • @ElocoLambert-bg1sz
    @ElocoLambert-bg1sz 3 หลายเดือนก่อน

    Amen God blessed you me brother for this song

  • @embassyimani9711
    @embassyimani9711 3 หลายเดือนก่อน

    Wimbo nzuri unagusa moyo

  • @sunitamambo75
    @sunitamambo75 3 หลายเดือนก่อน

    Kenyans let’s gather here our brothers wamefanya ile kitu tena🙏🙏🙏Amen

  • @tatubaraka5752
    @tatubaraka5752 3 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeen

  • @JohnPello-io2jf
    @JohnPello-io2jf 3 หลายเดือนก่อน

    Pamoja Sana mtumishi wa Mungu alie hai.

  • @jumanashon3774
    @jumanashon3774 3 หลายเดือนก่อน

    With God Everything possible