Prince Bockson nakuelewa sana kaka Niko Somanda Yoma Bariadi Tz nakufuatilia sana na izo ngoma za bana Zaire. Zaidi Mimi ni fan wa JB MPIANA, itakuwa poa sana siku Moja ukitafsir wimbo unaitwa NO COMENT SHENGEN utunzi wa JB MPIANA Ndani ya Wenge BCBG we love you Prince Bockson.
Kabla usiku haujakucha ije ikawa kuchelewa mno.basi ningali wasihi wandishi wa vitabu waniandikie kitabu cha mapenzi ya Ada Bombole .kwa sababu vizazi vitakavyo kuja vifahamu ya kwamba watu walio watangulia pia waliweza kufurahia maisha na mapenzi.Ada Bombole in kama Musa aliwaokowaka wana wa israeli kwa kupiga fimbo juu ya maji yakajigawa nao wakavuka .
Kutoka Burundi naitwa Jesus Marie Ingabire. Hapa ndo nakufa kwa raha nikisikia nyimbo hizi. Ila kaka Bockson, kama kweli unasoma comments, naomba Chantal Switzerland ya werrason.
Nakumbuka ni mimi niliomba tafsiri wa wimbo huu na nashukuru nimeelewa maana wa Recto Verso album ya 1997 kabla Wenge Musica 4x4 kujitenga kuwa Maison Mere na Wenge BCBG na Wenge El Paris
Bro Prince you killed it Men. This is an awesome job . I love JB Mpiana songs to death. You did a great job ever. After Ii listen this translation from you Prince, I found myself to ilike this song more and more. Very good song. Keep up a great job Bro. Looking for Karma Vuama..🙏🏿
Ashante kwa kutafsiri wimbo huu vile nilikuomba Prince Bockson. Ingekuwa hava vema zaidi kama ungenifanyia tafsiri ya album yote mzima wa JB Mpiana na nyimbo zake zote katika album mzima pia tafadhali. Merci papa
Naomba unitafsiri Omba please
Hongela kaka nalomba tafusili wimbo nzele by madilu system
Kaka Prince vraiment unaweza sana tena sana unastaili mauwa mengi kbs
Asante sana
Prince Bockson nakuelewa sana kaka Niko Somanda Yoma Bariadi Tz nakufuatilia sana na izo ngoma za bana Zaire. Zaidi Mimi ni fan wa JB MPIANA, itakuwa poa sana siku Moja ukitafsir wimbo unaitwa NO COMENT SHENGEN utunzi wa JB MPIANA Ndani ya Wenge BCBG we love you Prince Bockson.
naitwa Butera Idrissa na mimi uniseme papa
Bro kazi safi kweli
Ebhaaana eeeeh
Huu ni wimbo wangu wa kwanza wa JB MPIANA KUUPENDA ..... SIJAWI IPENDA FEUX DE LA MOUR...KIUKWELI
Gaudis Ephraim nazali na bomoi na Shinyanga Tanzania
Big-up Prince Bockson kwa tafsri safi ya Recto-Verso ya JB Mpiana
Naomba tofsiri ya Extra Muzica Denide
I am Prof. Dr. Savai Gukhu and I approve this channel!!
Thanks Dr
Tutafsiriye wimbo wa JB mpiana Bye bye julie
Bro unajua hadi unakeraaa🔥🔥
Bokson uko na voice kam ya mpiana
Asante
Phabiani Masala Toka Zanzibar pemba Wawi chale chake
Imani toka shinyanga nakukubali
Kazi Safi inafurahisha, kufahamisha na kuelimisha.
Hiyo nyimbo tamu sana ( Recto - Verso )
One of my all time favourite songs from JB Mpiana
Prince BOCKSON, Wewe kibokoooooo
asante saaana, zidi ku share na wengine ili wote wapate kuelewa rumba za Congo kwa kiswahili
Safi sana...utuwekee na Germando ya JB Mpiana na A flayé ya Fally Ipupa.
JB best rhumba icon
@Prince Bokison . Naomba Tafsiri ya Julia ya Zipompapomba
Nimeerewa
Kaka nimekupa saruti kwa TAFASIRI ya lingala kwa kiswahili nitaje mimi JOHN MATONDO Makao makuu ya Tanzania Dodoma napenda sana lingala unanifikisha.❤
Kabla usiku haujakucha ije ikawa kuchelewa mno.basi ningali wasihi wandishi wa vitabu waniandikie kitabu cha mapenzi ya Ada Bombole .kwa sababu vizazi vitakavyo kuja vifahamu ya kwamba watu walio watangulia pia waliweza kufurahia maisha na mapenzi.Ada Bombole in kama Musa aliwaokowaka wana wa israeli kwa kupiga fimbo juu ya maji yakajigawa nao wakavuka .
waaaouu, umenionesha kabisa kama umeifata kwa makini saaaana, na kweli nashukuru.
Nomba tasfiri kwa kiswahili nyimbo ya felix wazekwa apres lamour
Asante sana brother. Mbona hatuoni ukiangusha tafsiri zingine tena
Kutoka Burundi naitwa Jesus Marie Ingabire. Hapa ndo nakufa kwa raha nikisikia nyimbo hizi. Ila kaka Bockson, kama kweli unasoma comments, naomba Chantal Switzerland ya werrason.
Naomba tafusi ya Madilu system, song Vice Versa.
Nakumbuka ni mimi niliomba tafsiri wa wimbo huu na nashukuru nimeelewa maana wa Recto Verso album ya 1997 kabla Wenge Musica 4x4 kujitenga kuwa Maison Mere na Wenge BCBG na Wenge El Paris
Mukubwa Prince bockson sichok kukusikiliza
Asante sana, basi zidi ku share saana
Asante sana bockson
Bien
I like this videp
Lete Bea zobeguem ya JB mpiana Kwa kiswahil
Mukulu 👌👌💪🏼💪🏼
Naona maneno mengine ni ya lugha ya frace
Kama mimi tu peke yangu ndo naomba hiyi nyimbo isiwe sababu ya kutokuitafsiri. Sikia losambo nangai.
Ngai Masuky nayoki yo malamu nakati ya Arusha
Naomba wimbo WA empire Bakuba rigo teka nipate tafsili yake pia fally ipupa assosie
karibu sana ndugu ombi linafika, basi tuzidi ou rushiya wengine ili familia iwe kubwa zaidi
Bro Prince you killed it Men. This is an awesome job . I love JB Mpiana songs to death. You did a great job ever. After Ii listen this translation from you Prince, I found myself to ilike this song more and more. Very good song. Keep up a great job Bro.
Looking for Karma Vuama..🙏🏿
Thanks, keep sharing
Na Ezau
Uko vizuri sana mzee baba
asante sana bro, share nawengine
Thnaks alot brother ahsante sana recto verso
Ashante kwa kutafsiri wimbo huu vile nilikuomba Prince Bockson. Ingekuwa hava vema zaidi kama ungenifanyia tafsiri ya album yote mzima wa JB Mpiana na nyimbo zake zote katika album mzima pia tafadhali. Merci papa
Kaka ni kazi kubwa sana japo naomba nisimsemee
Uko vizuri bockson
Hatari sana hiyo sauti imetulia
Thank you Bockson.I requested it!
Nasikiliza recto verso na kat ya Libumbashi,papaa Simon Dc
Kaka hii nimei share kabla sijaisikiza 😁😀😁😀
Na ZADIO KONGOLO WIMBO WA JB MPIANA
Uko vzr ila naomba tafasli ya nyimbo ya fally pupa wimbo bakanja
Nisawa
Ika kaka usisahau NYOKALESSE YA FALLY
Naomba tafsiri ya Omba" yake Papa Cherie Jibee.
Necha kutoka sinza Dar es Salaam.. Naomba wimbo wa 48gecoco wa Jb mpiana
Nitaituma hii link na hakika wadau wataongezeka sana
Naomba Tafsiri ya Kala yi Boeing
Kala yi boing
Habari yako mkubwa,ningependa nipate namba yako ya WhatsApp.
wtsp namba ya kwngu iko apo kwenye video
YAKA TZ KOSALA MOSALA OYO OYEBI SWAHILI BIEN NAKANISI MOSALA EKOZALA MALAMU YAYA LOSAKO PONA YO
Safi sana.......
Amida shatur mke wa jb amerudi kwa papa sheriiii wanavyomuita wanawake wa congo 🇨🇩 lakini mbona bcbg wapo kimya hakuna kazi mpya?
,
,
,
,,
,
Bro kazi safi kweli