aadi ni déni, mimi mtu wenu Prince Bockson, nawaleteya VITAIMANA leo, kipindi iki ni kwa yule yoyote anatamani kuelewa nyimbo zalingala, na maana yake kwa KISWAHILI.
Hahaha bro haki wanibamba sana na tasfiri zako..wajua sisi wakenya twapenda nyimba za lingala lakini likua hatuelewi..lakini sahii tunafil happy na tafsiri zako👍👍👍👍👍👍
Yeah papa Mimi naitwa Switbert na kati ya Doha Qatar. Nakupata vizuri. Ninaelew lingala kiasi na nafurahia sana tafsiri zako.Naomba unitafsirie wimbo wa Jb.Tshituka Mpiana 48 heures ge coco.Ahsnte.
Vzr sana prince penda sana mpangilio was lingala songs hasa za mwana muzik uyo
Safi sana kwa tafsiri nzuri
George nakukubali sana
Nitafsrie wimbo merveille kabeya_ saison
Ajuaeli @dodoma Tanzania.. unafanya vizuri Sanaa.. nimetafuta silivi yake Koffi Olomide uliyotafsiri sijaona.
I like songs from DRC 🎉
Unaimba vizuri sana
Prince Bockson hongera kwa kazi nzuri. Tafadhali naomba wimbo wa Zaiko Langa Langa wa Systeme ya Benda
Nzr sana prince
Nitafsrie wimbo merveille kabeya saison
Prince Bockson..umenigusa haswaa!
Cogo my friend
Ikopoa sanaaaa
Je m'abonne 🍾🇨🇩🇨🇩❤❤❤❤
Welcome
Sijui ni lini wimbo huu nitauchoka.
naomba utupigie ile ya marathon - ferregola
Nakubali sana
J aime trop cet chanson
Kaz nzur
Naitwa Johari from Tz nakupenda sana unavotafsiri nyimbo za huko congo kilingalaa
Johari tupo pamoja
Kombo na Ngai papa Karisa Jaluo navandaka awa mombasa
Mrc nayitwa siradji niko kigali toseperi mingi
Uko sawa bro, ni Jackson L.
Naomba tafsiki ya wimbo baba congo wa defao flom John tanzania
Ninaoba tafsiri ya wimbo wa fally pupa maria
Yaa ferregola namkuli kuliko mwanamuziki yoyote kongo hebu broo endelea kutafsri vizur mm ibra kutoka kahama tanzania
Safi sana
Mambo VP nakubali mwanguu unanupungasana joo naomba tafusiri yake koffi olomide mokuwa
Chale Nduli naomba tafsir vita lmana limix
Hivi ndo vitu vyangu aiseee tupo pamoja
Merci mon frere
Umetisha mzee kweli wewe ni teacher mzee
Ninaitwa Sangu Rasool kutoka Uganda Afrika mashariki..ndugu we ni Mtalaam katika chochote.
Apa fresh Papa Bockson.Courage moto,eloko oyo eza malamo penza
Naitwa Amina Migilla naomba tafsiri ya Premiere classe wa Ferre Gola
Nakukubali sana kaka naomba utafsiri wimbo wa ferregola, vie a zero
Madiluu RTC
Effrakata ya koffi olomide
❤❤❤❤❤❤
Prince Bockson, naomba tafsiri ya wimbo wa Ferre Gola na Heritier - Nostalgie
🎉❤
Naomba tafsiri Wimbo wa king emenea MUKUSA
Next tutafsilie yah jean ya madilu system
Nimefurahia tafsiri yako, naitwa Sankey Livingstone
Naitwa Emanuel na kati ya Mwanza Tanzania naomba tafasiri ya wimbo Realite wa Ferre Gola
Vizuri sana prince bokson
sadick mlawa sanc ya fabric
Bernard from migori
Mimi na itwa patient kapuku jr na sema asante kwa kazi una fanya kwetu
asane sana
msaada ku share na watu wa uko, ili kazi zipande mbele
@@princebockson5299 ndiyo kabisa tuko tu na share na wato apo kenya wanakubali kazi yako sana
Ahmad
Inch'Allah ya KOFFI
Una tishaa bro Sana mie nitafsirie nyimboo ya dzoidzoi ya wenge music
Courage courage mr Bockson
Fanya mpango ulete Ile kitu ya marehemu PAPAA WEMBA. inaitwa MOYII
Safi sana Prince hongera sana
Poa sana
kitoko papaa craisons werra son
Kazi nzuri mwamba
Mm naitwa gilii kutoka bukavu mtaa WA NYAWERA TAFSIRI YA NYIMBO KOFII MONDE YA RABI
Nita kupa Gili, ila ita bidi utumiye watu Tano iyi lien yetu ili tupate kuendzleya
Mpini wa maana Sana huo
Uko.vzr bro 🤝🔥
Nitafasilie wimbo solution wa Werrason
nakukubali sana
Saf sana mm natak zenga luketu
Hongera sana nitafrilie wimbo wa JB mpiana wa omba
Naitwa tate mutu ya mutu
Prince Bockson hongera sana
Umetisha sana mzee baba
Naomba tafsiri ya nyimbo za ferry golla
Xafiiiii bro nakubali
Geleson mwampamba nipo mbeya napenda utafisli wimbo wa madilu sistme djaffar
luganda hapa nitafsilie nyimbo ya gola kamasutra na paolo
Naitwa Ramadhan napendelea vitaimana
Aspirine by koffi please
🎉deo rasi naomba tafsiri ya wimbo wakofi Maggie
Maboko pamba
Tafsili wimbo wa ferre gola. 3ieme doigt
Naitwa shela napenda wimbo wa bakanja
Kaka naomba nyimbo y kumama papa refix
Hahaha bro haki wanibamba sana na tasfiri zako..wajua sisi wakenya twapenda nyimba za lingala lakini likua hatuelewi..lakini sahii tunafil happy na tafsiri zako👍👍👍👍👍👍
Naoba wibo wa madilu biya ismail mohamed
Tafsiri pesa position
Joseph naomba unitafrie wimbo wa fally ipupa marlenne
Tafsiri na nyimbo yoyote ya chikito yule msanii wa ferre gora,aliimba huko bandal katika concert
Naomba tafsiri ya wimbo I love you Jb mpiana
Unatisha hapana Mfano
Mimi naitwa Mutuwashi Kayembe naomba tafsiri ya wimbo wa maboko pamba ya Ferre gola
Nilikuwa naitaji tafisili mda xana
Kazi nzuri sana. Naomba Prince de la ville tafsiri ya Heritier Watta na Werrason.
Yeah papa Mimi naitwa Switbert na kati ya Doha Qatar. Nakupata vizuri. Ninaelew lingala kiasi na nafurahia sana tafsiri zako.Naomba unitafsirie wimbo wa Jb.Tshituka Mpiana 48 heures ge coco.Ahsnte.
karibu sana ndugu ombi linafika. tuzidi sana ku share nawengine ili jamaa izidi kukomaa
Nipe tafsiri ya neno solola bien
Solola bien ina maanisha "ongeya vizuri"
Kitoko makasi Papaa 👍
tupo pamoja
Kazi nzuri kabisa... Tafadhi translate la pluie by extra musica..
Naomba tafsiri ya wimbo wa Oliva ngoma LUSA
Prince naomba tafsili ya wimbo elegance ya cindy
Dickinson
Naitwa ramadhan naomba tafsili ya wimbo maboko pamba wa ferre gola
Yes moninga mongongo malamu kaka
LAIS laizer nimekupenda tafiri ya bolongo na mpenzi was bolongo sanaa
Papaa napenda kazi zako, me naomba utafsiri wimbo wa madilu system ft Coco Nyboma Jalousie
Anaitwa Adam ,muzina
Tom marita
Ng'wenesho, naomba tofasiri ya wimbo wa Mobutu candidate ulioimbwa na gwiji Franco.
Mamou franco