FAIDA ZA MACHO YA ROHONI // ZIJUE NJIA ZA MUNGU WAKO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2024
- #maombi #biblia #rohoni #Mungu
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Habakuki 2:14
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
Mungu abariki neno Hilo
Amen amen
barikiwa sana
Mutumishi tufanye jee pakujua mutu mubaya utufuguliye baba
Asante Yesu mwana wa mungu Asante kwa roho mtakatifu ulietuachia atuongoze ubarikiwe sana mtu wa mungu
Ameni 🙏 Mtumish wa Mungu
Ee Mungu naomba unipe Macho ya rohon
Nijitambue pia
Nipe moyo wa upendo niwapende watu sahihi
Wanaokuja kwenye maisha yangu
Ktk jina la Yesu Ameni 🙏
Kabisa mtumishi nakuelewa pia nabarikiwa sana
Naomba Mungu anipe nafsi watoto wangu
Amen Amen mtumishi wa Mungu Mungu akubariki sana Amen asante roho mtakatifu nipe macho nione jehova
Ee Mwenyezi Mungu wa Mbinguni nipe macho ya Rohoni
Ameni
🙏Amen mtumishi umenena ukweli kabisa
Amen Amen ee mungu wangu nisaidie ili niweze kuwa namcho ya rohoni niweze kutumikia familia yangu bila wewe mimi siwezi ninakuhitaji usikae mbali nami
Amen! Barikiwa sn Mtumishi wa Mungu
Naomba Mungu anipe nafsi ya rohoni Mimi na watoto wangu tuweke mungu mbele kwa kwombeana kwa kifamilia pamoja kwa jina la YESU Ameeeen
Mungu akubariki Sana.
Uko sahihi kabisa
Mungu wangu naomba unipe macho ya rohoni; nisaisie ee mungu wangu
Asante Amen
Amen 🙏, Mungu nisaidie nione katika rohoni,ubarikiwe sana mtumishi unanijenga sana umenifanya nisimame katika none na Mungu aongee na mm ubarikiwe sana
Mungu anataka kunisaidia Mimi asante sana kwa hili barikiwa tu maana gafla nimekutana na kipindi hiki
Ameeen 🙏🙏🙏
Amin ubarikiwe mtumishi wa bwana
Asante kwa mafusho mtumishi wa Mungu balikiwa sana
Asante sana yesu Kristo kwa ajili ya upendo wako kwa familia yangu!
Amen amen barkiwa sana Mtumishi wamngu
Kweli mutumishi 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi
Amen 🙏 mtumishi wa mungu ninapo yasikiliza mafundisho yako nazidi kubarikiwa naomba mungu apee macho ya rohoni ili niweze kuona kile kubaya kinapo nikujia
Ee nafsi yangu muhimidi BWANA, Nipe macho ya rohoni nione sawasawa ee Mwenyezi-Mungu ,asante mt kwa ufunuo huu, roho mtakatifu atusaidie kuona visivyo vyema mbele yetu. 🙏🙏
Ameen ubarikiwe matumisi wa mungu kwa neno lenye funzo
Amen mungu akubariki
Ameni MTUMISHI WA BWANA
Nisaidie Baba Nionee Macho Ya Rohoni Asante Bwana Yesu
Ameni mtumishi ya mungu
Ameni mtumishi ubalikiwe sana
Naomba nipate macho ya rohoni Kwa Jina la Yesu eemeeen
Hili neno linanihusu Mimi mtumishi naamini neno hili limekuja kwaajili yangu
Amina. Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, naomba Mungu anipe hekima na anifungue macho ya rohon.
Amina Mungu naomba unipe macho rohoni
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏 mtumishi mungu akubariki sana 🙏 naomba mungu azidi kunifumbua macho ya Rohini na ufahamu wake ukaongezeke Dani yangu mtumishi mungu akubariki sana 🙏🙏🙌
Amen 🙏 ubarikiwe Sana mtumshi wa mungu
Naomba mtumishi was mungu unishike mkono nilikuja muombezi lakini Sasa siwezi kuonba ataniki funga siombi kabisa nisaidie Anne kutoka msa barikiwa
Baraka zitembee nasi siku zote za maisha yetu
Naomba Mungu unipe macho ya rohoni
Neno hili limeelekezwa kwangu haswa, nashukuru Mungu kwa hekima hii ya mtumishi wa Mungu. Nafsi yangu mpende Mungu siku na nyakati zote za maisha yangu Amina
Mungu naomba unipe macho ya Rohoni na pia naomba mzidi kumuweka mwanangu kwa maombi
Amen niombee nime vunjika moyo naomba lakini sifanikiwi
Usivunjike moyo mpendwa wangu.Yesu anaweza usikate tamaa
Amen Amen Ee Mungu naomba ufungue macho yangu ya Rohoni ili Nione sawa sawa na Mapenzi yako Mungu uliye hai.
Amen ni kweli kabisa Mungu atusaidie sana
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu kwa kutupa ufahamu huu
Eimeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Asante Mtumishi wa Mungu kwa kunitia Moyo ili somo nimenigusa mm
I’m very happy Man of God, my name is Amimu Rajabu,
You need to receive Jesus as the Lord and savior of your life
Nipe macho nione mungu🙏
AMEN AMEN mtumishi wa MUNGU UBARIKIWE SANA n kweli kabisa MUNGU atuongoze
Asante YESU kwa kusema nami
Mungu atusaidie aki na atumpe macho ya kiroho ili tuweze kujua mema na mabaya
Ameen barikiwa mtumishi wa mungu kwa Neno hili
Bwana nope macho nione sawasawa.👏👏
Amen amen amen mungu akubariki tu sana mchungaji
Mungu akubariki nimebarikiwa Amen
Bwana anaendelea kutushikilia tumshukuru siku zote 🙏🙏🙏🙏🙏🙏amina
Amen and Amen 🙏
Amen 🙏.
Ameen Ameen
Amen
Asante sana kuni ongoza.
Ubarikiwe sana 👏
Ameni.Mtumishi.wa.Mungu
😢🙏🏿
Napokea kwa jina la yesu kristo wa Nazareth macho ya rohoni ilikuwa na kuona kile kimejificha .
Roho yangu ina amani kila ninapo sikiliza maneno ya Mungu Mtumishi wa Mungu, Bwana akubariki sana.
Amen barikiwa mtumishi lakini nilikuwa naomba kuuliza mfano mimi naishi na ndugu hawajaokoka na hawajui maombi kabisa nitawezaje kuwavuta hata tunaomba pamoja
Usimvute mtu yeyote, Omba mwenyewe kwanza na waombee wao pia.atakayetenda ni Mungu mwenyewe
Mtumishi nimekua nikiombea familia yangu kutokana stagnation ya umasikini ,magojwa nambo mengi ya kushangaza,naomba maelekezo sababu mmi ndio nimeokoka peke yangu tena niko mchanga kiroho naomba m saanda nikomboe familia yangu
Mungu akushike mkono wake dear
Esenti nikweli
Naomba link ya what's app,bado sijafanikiwa kuwapata......naomba tafadhali?
Amen. Mungu nifungulie macho ya rohoni
nitumie meseji +255 758 708804
@@sirizabiblia5276 okay.
Huo wimbo wa underground unaitwaje?
Napokea kutoka kwako macho ya rohoni ili nipate kuona sawasawa na wewe na kupata siri zote zilizojificha
Ikiwezeka nitumie no yako,tuombe pamoja kuna kitu nakihisi ndani yangu ila naitangi maelekezo
namba ipo kwenye mafundisho humo
Amen 🙏🏻
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen