Ucjaliii kaka mkubwa binafsi na enjoy na kujifunza mengi sana kupitia kipindi cha SUNDAY STORY, napenda the way unavo deliver stories yaan napenda sana. Tangu 2007 nikiwa mdogo nimekufatilia sana ingawaje kuna wakati ulikuwa hupatikani, Kwa sasa napata kazi zako kupitia you tube maana sipo huko karagwe, nipo Dodoma. Naomba bradha, ikikupendeza upload na zile simulizi nyingine kama vile ile ya "my mother'z blood na nyinginezo maana znafundisha ukiachana na burudan zilizoshehen kwenye hzo simulizi. Kikubwa nafurahishwa sana na vile unaongea lugha yetu ya KINYAMBO, vzuri kuliko hata wazawa aseee, na enjoy kinyama BIG UP SANA KAKA ❤❤❤
❤
Ucjaliii kaka mkubwa binafsi na enjoy na kujifunza mengi sana kupitia kipindi cha SUNDAY STORY, napenda the way unavo deliver stories yaan napenda sana.
Tangu 2007 nikiwa mdogo nimekufatilia sana ingawaje kuna wakati ulikuwa hupatikani,
Kwa sasa napata kazi zako kupitia you tube maana sipo huko karagwe, nipo Dodoma.
Naomba bradha, ikikupendeza upload na zile simulizi nyingine kama vile ile ya "my mother'z blood na nyinginezo maana znafundisha ukiachana na burudan zilizoshehen kwenye hzo simulizi.
Kikubwa nafurahishwa sana na vile unaongea lugha yetu ya KINYAMBO, vzuri kuliko hata wazawa aseee, na enjoy kinyama
BIG UP SANA KAKA ❤❤❤
Bro skuiz hausikiki karagwe fm wala kwenye mitandao shida nin tumekumissi wadau wako wa simulizi karagwe fm bro💯🇹🇿🔥