KUSAFISHA NYUMBA NZIMA/Whole House Clean with Us …. Swahili vlog

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • #tanzanianyoutuber

ความคิดเห็น • 22

  • @fraumazula
    @fraumazula ปีที่แล้ว

    Napenda kila kitu ufanyacho my dear, unanidanya nam nipende kufanya as wewe ufanyavyo tu❤❤

  • @muka7354
    @muka7354 ปีที่แล้ว +1

    Kwasababu ya video zako na mimi nimenunua viungo vyote muhimu, kupangilia vitu etc. Ubarikiwe Ika

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      ♥️♥️

  • @MagrethEdward-iz7cz
    @MagrethEdward-iz7cz ปีที่แล้ว +1

    Huwa napenda sana kazi zako za upishi nk, najifunza mengi kutoka kwako ubarikiwe❤

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Asante sanaa ❤️

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 ปีที่แล้ว +1

    nyumba yako nzuri sna

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Asante dear ♥️

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +1

    Ika miss you

  • @elizabethmajija9539
    @elizabethmajija9539 ปีที่แล้ว

    Dada napenda video zako napenda kilakitu kutoka kwako kiukwel najifunz vtu vingi kupitia video zako❤❤❤

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Asante ♥️

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 ปีที่แล้ว +1

    kucoment sana so dhambi akii,nilijifunza kutoka kwako kununua hako kadude ka kuwekea mafuta

  • @nurumwangoka5909
    @nurumwangoka5909 ปีที่แล้ว +1

    mambo niyapendayo ika tafadhar komaa na haya mambo piah,fanya nusu kwa nusu yaan mapishi na usafi

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Asante sana Nuru… ngoja nizidi kukomaa 😂♥️

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 ปีที่แล้ว

      @@ikamalle pouwa dear nakuaminia,me nachoka kwenda kwa wakenya sielewi kimombo nakutegemea wewe mswahilj mwenzangu😅😅okoa jahazi bwana

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      ​@@nurumwangoka5909 😂😂😂😂 kwa kimombo nakuunga na miguu

    • @nurumwangoka5909
      @nurumwangoka5909 ปีที่แล้ว

      @@khadijahali4837 😅😅😅

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      @@nurumwangoka5909 😁😁

  • @fraumazula
    @fraumazula ปีที่แล้ว

    Fanya ununue shoe rack sister😂

    • @ikamalle
      @ikamalle  ปีที่แล้ว

      Hiko hakina umuhimu kwa sasa…

    • @noelashoo6043
      @noelashoo6043 5 หลายเดือนก่อน

      Chukulia positive KAma una Fundisha house organizing hiko Muhim esp kama unataka kika kitu kiwe Mahala Pake Bila Kuzagaa ..liwekee Bajet

    • @ikamalle
      @ikamalle  5 หลายเดือนก่อน

      Sifundishi usafi (hiyo ni vlog) na kweli hakina umuhimu kwa muda huo, bajeti yangu ya mwaka naijua mimi... yeye alitoa wazo nikamjibu.. hakuna negativity yoyote hapo "wewe ndio ujifunze kuwa positive" nkt