@@tahaonlinetv8989 Salamu Mimi nataka nifahamishae utaratinu wa kuniunga TAHA. Nina eneo dogo wastan wa ekari tatu. Maji yapo ya kisima, uwezo zaidi ya 10,000lts/hr
Nina uhitaji wa kujiunga mama mkulima mdogo napaswa kufanya je? Nipo Iringa vijijini kijiji cha kiwele na jiandaa kuwa na Shamba la migomba naomba maelekezo.
Nawwzaje kuwakuta taha
Ofisi zenu zipo wapi kwa arusha
Jinsi gani naweza kijiunga kua mwanachama?nipo mkoani rukwa(sumbawanga)
Toen elimu ya taha na vigezo na mashart ya kujiunga
Ninahitaji mbegu za parachichi aina ya hass niko marangu
Habari,
Tafadhali wasiliana na Bwanashamba wetu Mkoa wa kilimanjaro kuptia mawasiliano +255 757 800 694 Abdon Hamaro
Namna ya kujiunga Niko mkoa wa Rukwa wilaya ya nkasi
je mnahusika tu na watu wa mikoa ya hko arusha 2
Nina uhitaji wakijiunga kwenye kikundi nawapataje
Nahitaj kujiunga na taha najiunga je
Tunawapataje
Nawapataje
Karibu sana, tafadhali wasiliana na mtu wetu wa wanachama namba 0763718849.
Nawezaje kujiunga na taha na masharti yake ni yapi
Nahitaji maelekezo Ili nijiunge na taha mi nimkulima mdogo nipo mkoani shinyanga
Sawa lkn hamjaweka hata namba
Karibu sana, tafadhali wasiliana na mtu wetu wa wanachama namba 0763718849.
@@tahaonlinetv8989
Salamu
Mimi nataka nifahamishae utaratinu wa kuniunga TAHA.
Nina eneo dogo wastan wa ekari tatu.
Maji yapo ya kisima, uwezo zaidi ya 10,000lts/hr
Nahitaji kuwa mwanachama nafanyaje
Ni vigezo gani vitanifanya niwe mwa
Nina uhitaji wa kujiunga mama mkulima mdogo napaswa kufanya je? Nipo Iringa vijijini kijiji cha kiwele na jiandaa kuwa na Shamba la migomba naomba maelekezo.
Uliwapata au
Mm mwenyewe nipo Arusha ninqependa pia kuwa mwanachamq