UCHAWI WA KISIWA CHA UKARA JIWE LINACHEZA KWA KUIMBIWA NYIMBA ZA MIZIMU/JOKA KUBWA/WANAWAKE WANAKUFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 190

  • @florangido202
    @florangido202 2 หลายเดือนก่อน +2

    Uongo mtupu
    Wanataka urudi wapige hela.
    Wakerewe wanapenda sana Ushirikina
    Nyoka ni Alama ya Uchawi bana....hacheni hizo Okokeni Wakala.

    • @JustinMwakalukila
      @JustinMwakalukila 15 วันที่ผ่านมา

      Ndugu yangu unaweza kuona km uongo lkn mm siwezi kubisha kabsa labda tyu baazi ya maelezo ya huyu mzee ndo nmeyasikia leo, lkn mimi nmeenda ukerewe aisee NYOKA hawaui Hawa watu nmeona laivu na wala were men ulofika Ata hawez kukudhuru yule NYOKA,yaan Hawa watu Nyoka ndo minimum yao kuna kabila wanaitwa WAJITA hawaui kabsa Nyoka,yan nyoka akitokea walipokaa huwa wanamfukuza tyu na sio kumpga😢😢,Wana hatar xna aisee

  • @veeinn7965
    @veeinn7965 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzuri burebeka burebeka 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂

  • @philipoluzege3200
    @philipoluzege3200 3 ปีที่แล้ว +7

    Umeliwa hera yako tu davstar

  • @happynesskimt6249
    @happynesskimt6249 3 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh jaman Kuna mambo Tz 🇹🇿 naipenda nchi yangu😂😂😂 sihami😍😍🔥🔥

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 4 หลายเดือนก่อน +4

    Mumevuta Bange ya wapi nyiee na stori zenu za uwongo 😅😂😂😂😂

  • @ludza32
    @ludza32 3 ปีที่แล้ว +9

    Hao davistar wamekucheza 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @saeedahhenry711
      @saeedahhenry711 ปีที่แล้ว +1

      Kweli sio elfu hamsini Kuna mtangazaji Alisha fika hapo alitoa elfu kumi na Tano to na jiwe lilicheza akiwa analiimbia

  • @kingkijaempire7356
    @kingkijaempire7356 3 ปีที่แล้ว +1

    Davister hapo jamaa wanazingua mtu anachezesha jiwe na mguu anakwambia mizimu ndo inachezesha kweli..😆😆😆🤗🤗

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo mzee ajui historia vizuri ya hapo tafuta mzee kbsa anayejua

  • @samuelpmathew4266
    @samuelpmathew4266 3 ปีที่แล้ว +4

    Davista umeliwa hapo 😂😂😂 Mungu awasamehe hawa

  • @margaretachieng9887
    @margaretachieng9887 3 ปีที่แล้ว

    Story nzuri sana ✨

  • @piusmtwale7690
    @piusmtwale7690 3 ปีที่แล้ว +3

    Hatari sana lakn waambie wamugeukie kristo waachane na imani potofu

    • @eyezarc1239
      @eyezarc1239 6 หลายเดือนก่อน

      Ulokole mwingine ni ushamba khaa imani potofu ipi?, kila mtu Ana imani Ndo maana hta mbinguni hawaendi walokole peke yao stop fooling around

    • @CarlenGift
      @CarlenGift 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@eyezarc1239MUNGU akusamehe

  • @jacksonkamasho3960
    @jacksonkamasho3960 4 หลายเดือนก่อน +4

    Matapeli kama matapeli wengine tu. Na ww mwandishi unaamini jiwe lisikie kweli?

    • @MariaMagele
      @MariaMagele 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe sio mkazi WA Kuala ndomaana huami sie wakala ndo tunajua

    • @mariakidumba8439
      @mariakidumba8439 2 หลายเดือนก่อน

      Linacheza nikweli

    • @MartinTausi
      @MartinTausi 29 วันที่ผ่านมา

      ​@@mariakidumba8439nikweli kabisaa

  • @gracelusulo5555
    @gracelusulo5555 3 หลายเดือนก่อน

    Uongo tu mumeliwa sana Yesu Alisha msliza kazi Imani hiyo sio

  • @superhemed7590
    @superhemed7590 6 หลายเดือนก่อน +3

    Achen masihara nyinyi ukubwa wa jiwe ilo huwez chezesha na kamguu ka yule mzee tu

  • @piusmtwale7690
    @piusmtwale7690 3 ปีที่แล้ว +2

    Mr dastan hiyo pesa ungenirushia mkitoka hapo jamaa wanarudi kuchukua hiyo wamekuchezea kiini macho

  • @PanchaPmalelemba
    @PanchaPmalelemba 26 วันที่ผ่านมา

    Yan ninyi wandixh wa habali mna kubali kwel

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 3 ปีที่แล้ว +5

    Kumbe mpaka alitikishe na mguu, mi nilijua linacheza lenyewe

  • @user-jz5nf9ly6s
    @user-jz5nf9ly6s 8 หลายเดือนก่อน

    tumrudie mungu yotehayo nikukosa hof ya mugu tueome tumjue mungu amin kunakesho utaulizwa umeutumia vp uhaiwako mungu atuongoze

    • @ismailabbas4197
      @ismailabbas4197 5 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni zezeta kabisa sasa hapo wanamkosoa Mungu ? Tamaduni zetu waafrica lazma tuziishi

  • @peninahkariuki4679
    @peninahkariuki4679 3 ปีที่แล้ว +2

    Maajabu haya 😳🇰🇪

  • @kmwendemusic5379
    @kmwendemusic5379 3 ปีที่แล้ว

    Wah..... miungu inaishi miongoni mwetu kweli teknolojia imetusaidia sana kujua mengi yaliyofichwa,,,,, lkn sasa davistar si apo umesacrifice pesa kwa miungu inayoishi kwa hilo jiwe, sasa itakuaje jameni

  • @alexanderkisinini9376
    @alexanderkisinini9376 5 หลายเดือนก่อน

    Hilo jjiwe halina chochote kuka kwake linaelea juu ya mawe mawili nilikwenda peke nikalichezesha nilivyo taka wezi tu hao.

  • @MichaelHakme
    @MichaelHakme 25 วันที่ผ่านมา

    Mbona analitikisa na muguu

  • @lydiaedwin3998
    @lydiaedwin3998 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwa Mara ya kwanza Davi umedanganywa yaan hapo ni namna ya kupiga pesa tu

    • @kurwpaul1134
      @kurwpaul1134 3 ปีที่แล้ว

      Sio kweli

    • @kurwpaul1134
      @kurwpaul1134 3 ปีที่แล้ว

      Sio kweli

    • @lydiaedwin3998
      @lydiaedwin3998 3 ปีที่แล้ว +1

      Sasa unabisha Nini yaan jiwe linasukumwa Kisha linatingishika afu mnasema linacheza ,mie nilijua mnaimba bila kugusa Kisha linacheza ,acheni uongo

    • @txsoundsrecord3663
      @txsoundsrecord3663 7 หลายเดือนก่อน

      acha uongo mizimu haina mwili wala nyama umepigwaaaaaa hahahaaaaa davii

  • @Waziri77
    @Waziri77 4 หลายเดือนก่อน

    hii sehemu inakaa kama mwibale wa mwanja

  • @johalisemalima6979
    @johalisemalima6979 3 ปีที่แล้ว +2

    Hiyo sehemu inaitwa bukiko nilitaka kupetezwa nilitembea kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni baada ya maombi ndio nikaona njia nillipishana kauli na mzee mmoja allikuwa anaitwa mzee jojo siijui kama yupo... ????? Mpaka leo???

  • @brown24photography
    @brown24photography 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂ukweli ni kwamba wameliwa uongo tu

    • @WachajiWaForo
      @WachajiWaForo 4 หลายเดือนก่อน

      Umeona eee. Jiwe liko kama duara litacheza tu likitikiswa

  • @philiplangat4467
    @philiplangat4467 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sioni la ajabu jiwe Lina sukumwa kwa mguu.

  • @DevothaFredrick-x6g
    @DevothaFredrick-x6g หลายเดือนก่อน

    Mbona naona analiskuma na mguu 😅

  • @ntiliyothomas5146
    @ntiliyothomas5146 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimecheka mbavu zangu mpka zinAuma😄😄😄😄

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +1

    mr dav

  • @WayiSitta
    @WayiSitta 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi kwann haingii hiyo

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 4 หลายเดือนก่อน

    Equilibrium 😂😂

  • @rabilubinza7661
    @rabilubinza7661 3 ปีที่แล้ว +2

    Davista tuelezee vizuri mbona analisukuma na mguu mi sijaelewa😂

    • @buxxjosephs6379
      @buxxjosephs6379 11 หลายเดือนก่อน

      NASHANGAAA

    • @فيصلالبادي-ح1غ
      @فيصلالبادي-ح1غ 4 หลายเดือนก่อน

      @@buxxjosephs6379ungejiuliza swali huo mguu wa huyo Mzee unauwezo kweli wa kusukuma Hilo jiwe jamani

  • @saidhamad533
    @saidhamad533 3 ปีที่แล้ว +1

    Davista na nguvu zako zote umezidiwa na mkalebeka😁

  • @to-chisesoboy7336
    @to-chisesoboy7336 ปีที่แล้ว

    Mkuu huko mbona mmepiga picha watu wanaoga ziwani Wako Uchi 😅😅

  • @rehemambito7989
    @rehemambito7989 3 ปีที่แล้ว +2

    Tanzania kuna mambo jameni

  • @user-vd1mv9ir3m
    @user-vd1mv9ir3m 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂watanzania Muna vituko mukorebekamukorebeka mpaka akanyagwe

  • @ZaidAKissinza
    @ZaidAKissinza 23 วันที่ผ่านมา

    Waandishi mmeliwaaaaaaaaa na mmepigwaaaaaaaaaaaa.

  • @KOBEBOYTZ
    @KOBEBOYTZ 9 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania namba 1

    • @WachajiWaForo
      @WachajiWaForo 4 หลายเดือนก่อน

      Kwa ushirikina

  • @ColinsSix-qb6mv
    @ColinsSix-qb6mv 8 หลายเดือนก่อน

    Proud home sweet home

  • @sontainewton
    @sontainewton 27 วันที่ผ่านมา

    Anashezesha jiwe na mguu uongo tupu

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 3 ปีที่แล้ว +1

    Kaka Davistar mbona unajikakamua 😁😁😁

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtakuja kufunikwa na Iman zenu Za kishrkina😂😂😂😂🙄Pesa zinachukuliwa Na nan

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wacheni ushirikina nidhambi kubwa sana kwa Allah

    • @kungugeni
      @kungugeni 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe mpumbavu Imani za kiafrika inaponya huyo yesu mnamjuwa mbwa nyinyi

    • @sheehamadnganzi8317
      @sheehamadnganzi8317 4 หลายเดือนก่อน

      @@kungugeni wewe msenge sana, mbona mnaenda hospital,fala wewe unaamini jiwe,go back to school you,an academic dwaf shut up your mouth na ushirikina wako

  • @eyezarc1239
    @eyezarc1239 6 หลายเดือนก่อน

    Nyayo za mwanamalundi mzee hizo

  • @esterabonga7947
    @esterabonga7947 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama una Yesu hizi imani utaishia kuziskia tu

  • @josephatmakuka4860
    @josephatmakuka4860 3 ปีที่แล้ว +1

    Eti wazee walikuwa wanacheza usolo

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 3 หลายเดือนก่อน

    Huu ni uhuni tu wa kuendekeza mamizimu na ni ujanjaujanja tu,

  • @Y0u_tube
    @Y0u_tube 3 ปีที่แล้ว +1

    asa jiwe linacheza vipi wakati anaskuma na mguu 😹😹 embu kuweni serious bana uwe unatupa ata historia za wazungu hao wasenge unaowahoji skuizi wanazingua tu kamba nyingi

  • @user-vk5qp5gy2u
    @user-vk5qp5gy2u 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂
    Jaman mlibeka

  • @user-hc2to2vu7b
    @user-hc2to2vu7b 10 หลายเดือนก่อน

    Ok

  • @tonoboymwatonokaaa2862
    @tonoboymwatonokaaa2862 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mzee tapeli uyo😂😂😂😂😂

  • @KisagaJohn
    @KisagaJohn 3 หลายเดือนก่อน

    Àhaa kumbe nyie hapo mabwabwae yaan mnaleta stor za uongo tu kila stor uongo mabwabwa nyie😮😮😮😮😮

  • @nellienjeri7361
    @nellienjeri7361 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani,hawa jamaa wote wanagojea elfu hamsini eeh?? Kweli kazi ni kazi

  • @dottosagi7116
    @dottosagi7116 9 หลายเดือนก่อน

    hakuna namna hilo jiwe linacheza kwa miujiza, tilt angle yake sehemu inaruhusu hcho kitu kufanyika, nilipoona chupa ya maji kwa chini iko positioned hpo nmekua convinced zaid, inahtaji slippery surface hio sehemu na nguvu kidogo, huto tumwimbo ni ujasiriamali.

  • @safiam5338
    @safiam5338 3 ปีที่แล้ว

    Aah davista iyi mara umeliwa

  • @KariukiRoysambu
    @KariukiRoysambu 3 ปีที่แล้ว +2

    Na Tz kuna mambo

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 4 หลายเดือนก่อน

    Mafuru niko hapa davistar ukiitaji nikwambie kwa nn nilikanyaga jiwe likajichora nyao

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 ปีที่แล้ว

    Mwl alisema sifa zote anazo ila jama jama, mkara, mwl akacheka😁😁😁😁👍

  • @BrightonBenadictor
    @BrightonBenadictor 4 หลายเดือนก่อน

    Bro hapo umepigwa hebu rudi sikunyingine wakiwa hawapo hao wazeee ujaribu kulitikisa kama halitikisiki

  • @husseinhamisi4828
    @husseinhamisi4828 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona anatingisha na mguu babu umeliwa

  • @marcowilliam6767
    @marcowilliam6767 2 หลายเดือนก่อน

    Utakut mtu anasema yesu ndio kimbilio utazan anamjuwa

  • @aidanmbilinyi8184
    @aidanmbilinyi8184 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @tonoboymwatonokaaa2862
    @tonoboymwatonokaaa2862 8 หลายเดือนก่อน

    Aaaa uyo mzee muhuni daa

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 ปีที่แล้ว

    Uje uende na tabora kuna nyayo za kuna pale mbwa alikuwa analala wanapocheza bao lipo ila kete sie tulizikutaga ngoma navimbo zake ila walishaziiba kete hakuna wala fimbo

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh kwahilo jiwe kuchezeshwa na mguu ni hatar kwan huku kwetu mawe yapo ila huwezi hata kulichezesha

    • @NassourBimkubwq
      @NassourBimkubwq 4 หลายเดือนก่อน

      Sasa vile lilivokaa lazima licheze, acheni imani potofu

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 3 ปีที่แล้ว

    Long time nilifika apo,before mv nyerere kuzama

  • @MichaelJoel-wo4vj
    @MichaelJoel-wo4vj หลายเดือนก่อน

    Hao ndo sie🤔

  • @ismailabbas4197
    @ismailabbas4197 5 หลายเดือนก่อน

    Ye aliimbie licheze lenyewe sio kulikanyaga 😅

  • @jacksonkamasho3960
    @jacksonkamasho3960 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa mbona anatumia mguu kulisukuma

  • @nehemia397
    @nehemia397 6 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 we jamaaa umepigwa kizembe nyoko zqko

  • @HassanMeja-rs4cy
    @HassanMeja-rs4cy 2 หลายเดือนก่อน

    Jiwe mpaka litikiswe daah uwongo

  • @chunaabdullah1333
    @chunaabdullah1333 4 หลายเดือนก่อน

    Amesema makorokoro sio makolokolo davista

  • @piusmtwale7690
    @piusmtwale7690 3 ปีที่แล้ว +4

    Yesu ndo tumaini pekee uzo Iman zimeshapitwa na wakati

    • @mwambakakudji6288
      @mwambakakudji6288 3 ปีที่แล้ว

      Yesu mzungu au mweusi ?

    • @chachawambura4030
      @chachawambura4030 2 ปีที่แล้ว +1

      Acha Imani za kizungu Hawa ndio Mungu wetu

    • @ismailabbas4197
      @ismailabbas4197 5 หลายเดือนก่อน

      Acha utaahira wewe sasa hapo ni dhambi au wanamkufuru MUNGU? Hizi ni mila zetu waafrica

    • @CarlenGift
      @CarlenGift 4 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

    • @CarlenGift
      @CarlenGift 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwambakakudji6288MUNGU akusamehe

  • @KennedyNgusa
    @KennedyNgusa 7 หลายเดือนก่อน

    Atoe miguuu

  • @frankthadeo9167
    @frankthadeo9167 3 ปีที่แล้ว

    Nahs Huo ni mguu banhaaaa

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 6 หลายเดือนก่อน

    Yani apo bado ajui kujielezea

  • @jafariemmanuel1694
    @jafariemmanuel1694 3 ปีที่แล้ว +1

    Mbona naikanyaga hapo tumeepigwa mzeee

  • @nellienjeri7361
    @nellienjeri7361 3 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli Mandhari haya nimeyapend zaidi, hasa inahitaji Utalii kabisa,sababu ni sehemu nzuri ya kufanya picknic

    • @user-hc2to2vu7b
      @user-hc2to2vu7b 10 หลายเดือนก่อน

      Wew unapatikana wap

  • @annamussa185
    @annamussa185 7 หลายเดือนก่อน

    Waongo hao

  • @christinarussambi2161
    @christinarussambi2161 3 ปีที่แล้ว

    🤔 dunia mmmmh Mungu simama mwenyewe

  • @mercylynmasila1258
    @mercylynmasila1258 3 ปีที่แล้ว

    Hinabidi nifike huko Mr fact

  • @user-jx4mv4ij7o
    @user-jx4mv4ij7o 7 หลายเดือนก่อน

    Anasafirije huyo chatu baada ya kula maana inaaminika kwamba chatu akishiba huwa anakaa hapo mpaka cha kula kiyeyuke inakuwaje yeye akila anaendelea na safari?

  • @symonmwangemi5775
    @symonmwangemi5775 5 หลายเดือนก่อน

    Tunalagaiwa

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว

    Pazuri

  • @ryhislamminamuonamsengetu9111
    @ryhislamminamuonamsengetu9111 3 ปีที่แล้ว

    Mnamoyo mi sikai likikasirika je likawafunika mh🤔

  • @ahmadichumbueni6261
    @ahmadichumbueni6261 11 หลายเดือนก่อน

    Sasa acheni uongo ilo jiwe mmekitega

  • @paulmafuru7283
    @paulmafuru7283 4 หลายเดือนก่อน

    Mmmmh siyo kuwa limekaa Bevo

  • @ZedyMwamengo
    @ZedyMwamengo 10 หลายเดือนก่อน

    uuuuu hatari sana

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup68 3 ปีที่แล้ว

    Mafuru, masato

  • @jafari3218
    @jafari3218 10 หลายเดือนก่อน

    Wasomi watasema kuna force of gravity

  • @user-hc2to2vu7b
    @user-hc2to2vu7b 10 หลายเดือนก่อน

    Mom's San mzee

  • @ReubenMapambano
    @ReubenMapambano 4 หลายเดือนก่อน

    Ni saw Lakini,Yesu kirsto ni zaidi ya Aya, kazi ni kuamini neno lake

  • @anisabodle1178
    @anisabodle1178 3 ปีที่แล้ว +1

    This man is making money Davista huyo ni tapeli

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 3 ปีที่แล้ว

    Angalia usiliwe na Mamba 🐊 maana hapo si pa mchezo mchezo

  • @user-cw8jv1jm6n
    @user-cw8jv1jm6n 8 หลายเดือนก่อน

    Vizuli kuona majabu yapo jamani

  • @annapeter6065
    @annapeter6065 3 ปีที่แล้ว

    Milad umenichekesha kweli leo,,, burebeka kitu kimya

  • @rosemarry2020
    @rosemarry2020 3 ปีที่แล้ว

    Mbona unatingisha kwa mguu wake maenyewe Devi umeliwa aisee

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 4 หลายเดือนก่อน

    Mtu waliekuwa na uwezo ktk Kanda ya ziwa ni mwanamalundi tu

  • @alibulushi-d9j
    @alibulushi-d9j 4 หลายเดือนก่อน

    Muandishi unachosha unareya mawali hayo hayo